Kakudanganya nani? Kweli wanaiba vikura vidogo vidogo ili kuua vyama pinzani wasiwe na wawakilishi lkn uchaguzi wa Uraisi bado hata wasimamie wazungu Ccm bado anashinda uraisi bila wizi
Mwenyezi MUNGU awajalie uwezo na uyimara zaidi wakupambana ,, yy ndo mtetezi peke kwenu,, simameni imara,, mushikamane kwa nguvu moja,awajalie upendo na utulivu katika kipindi hiki kigumu kwenu Amina,, Amina
Mzee wasira angepumziks tuu, badala kuingia kwenye hizi hekaheka yee angejikita kanisani amrudie Mungu umri umeshaenda siasa ni uongo uongo mambo yasiyompendeza Mungu
KZila myu yupo kwa maslahi kk akuna anae angaika na kutukana wengine ili apate cheyo eti sababu ya wananchi tu akuna Dunia nzima,, ni sababu ya Fursa na Maisha mazuri,,
Kumshukuru raisi kwa kuwaweka madarakani na sio wananchi walio wapigia kura au wapo bungeni kwa kukiwakilisha chama na sio wananchi kwa sababu kilichopita ni chama sio mgombea
Sauti yako pia muhimu,, Fungua wewe mdomo ili kesho uitwe hero,,, unataka aanzishe nani? Na wewe si mdomo unao na ni nchi yako,, weka debate au sera zako kwa jinsi ulivyokuwa intelligence kushinda wa Tanzania wote ili tukusifie na tukuite mkombozi
Saivi Wasira na Lissu na Heche na wengine muanze kutuambia tunawezaje kutoka hapa na kujitegemea hizi mambo za makelele na vichambo, Misaada hakuna na China kiuhalisia hua Haitoi misaada au ni kidogo, Nchi Kiarabu au Ashia misaada ni midogo...Mtuambie tunaendaje kujitegemea na kutumia rasili Mali zetu vizuri..kujitegemea bila Misaada
Asikudanganye mtu,, mwaka wa lowassa bdio ulikuwa na mvuto nchi nzima,, sasa hivi ni kujaribu tu kurudisha uaminifu kwa wananchi na baadhi ya wanachama tu waliowapotezaga,, na kuji imarisha kwa mwaka 2030 wawe strong, mwaka huu wanatafuta kurudisha tena wabunge kazaa bungeni sio uraisi hata kwa ndoto
WASIRA HAJITAMBUI KAMA ANGEKUWA ANAJITAMBUA ASINGEKUBALI UTEUZI WA KAZI YEYOTE YA KIUTENDAJI NDANI YA CHAMA UMRI UMEKWISHA MTUPA MKONO ; ANGEKUWA ANAJITAMBUA ; ANGEBAKIA KUWA MSHAURI LAKINI NI BAHATI MBAYA KWAMBA KATIKA UMRI HUO BUSARA HAIPO . ANAONEKANA KUWA NI KILOJA CHA CCM .
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Naona maumivu makari ambayo hata mm napata ambayo heche anayafeeL sana...Ana uchungu sana na hiLi Taifa basi tu jah bLess us..👏👏
Anauchungu na wewe usituletee upuuzi hapa,
Na Samia aweje?
Puuz nyie
@@vicentnyanda828 Ko mtizamo wako ni upi..maake sjakueLewa mpka Dk hii🙀🙀
Huyo anayesema ni upuuzi mbona yeye ndiyo mpuuzi wa mwisho? Hajui hata kaongea nn.
@@juliusmix HajieLewi hawa si ndo madishi yanayoshika kipindi frequency za mgao kipind cha kujitegemea kwa uwezo haLifunction..shida kabsa 👐👐
Facts
haki ya Mungu hapa tumepata watu ,,safi heche safi lissu
Ccm hawategemei kura za wananchi wao wanategemea usalama wa taifa ndio kiburi chao sasa lzma mtafute njia kukomesha hilo
Kakudanganya nani? Kweli wanaiba vikura vidogo vidogo ili kuua vyama pinzani wasiwe na wawakilishi lkn uchaguzi wa Uraisi bado hata wasimamie wazungu Ccm bado anashinda uraisi bila wizi
Mwenyezi MUNGU awajalie uwezo na uyimara zaidi wakupambana ,, yy ndo mtetezi peke kwenu,, simameni imara,, mushikamane kwa nguvu moja,awajalie upendo na utulivu katika kipindi hiki kigumu kwenu Amina,, Amina
Aaamen
Hongera mzee Kobe,
Upo sawa kamanda
kweli mhehe wa Dar huyo akatubu maana kama si watoto wake ni wajukuu watafia leba ili ajue kuwa Mungu yupo na hadhihakiwi
Mzee wasira angepumziks tuu, badala kuingia kwenye hizi hekaheka yee angejikita kanisani amrudie Mungu umri umeshaenda siasa ni uongo uongo mambo yasiyompendeza Mungu
Ngorongoro inarudi kwa wananchi
Msitolewe kwenye Mada, No reform No Election
Chalamila amezidi sana mama mjamzito unamjibu jibu baya kama hilo
Amazing 👏 🎉🎉
Kazi nzuri
Jamani acha! Mungu yupo
Jamaa Heche baada ya cheo Kaanza kunenepa
KZila myu yupo kwa maslahi kk akuna anae angaika na kutukana wengine ili apate cheyo eti sababu ya wananchi tu akuna Dunia nzima,, ni sababu ya Fursa na Maisha mazuri,,
Huyu ni mwenyekiti ajaye baada ya lissu, wachaga kwenye uongozi hatuko kama wakurya au wajaluo, piga kazi makamu mwenyekiti 🎉
Kumshukuru raisi kwa kuwaweka madarakani na sio wananchi walio wapigia kura au wapo bungeni kwa kukiwakilisha chama na sio wananchi kwa sababu kilichopita ni chama sio mgombea
Exactly home boy
Tatizo ninaloliona tz wananchi walio wengi wapowapo ndio maana tunaburuzwa serikali haina cha maana inachofanya hakuna wa kufunguwa mdogo
Sauti yako pia muhimu,, Fungua wewe mdomo ili kesho uitwe hero,,, unataka aanzishe nani? Na wewe si mdomo unao na ni nchi yako,, weka debate au sera zako kwa jinsi ulivyokuwa intelligence kushinda wa Tanzania wote ili tukusifie na tukuite mkombozi
Hamna kitu boss
Saivi Wasira na Lissu na Heche na wengine muanze kutuambia tunawezaje kutoka hapa na kujitegemea hizi mambo za makelele na vichambo, Misaada hakuna na China kiuhalisia hua Haitoi misaada au ni kidogo, Nchi Kiarabu au Ashia misaada ni midogo...Mtuambie tunaendaje kujitegemea na kutumia rasili Mali zetu vizuri..kujitegemea bila Misaada
Eti huwezi kumfundisha mpya mzee🤣🤣🤣
SERA YA CHADEMA, WAZEE NI MBWA JHECHE
Yn mwaka huu kz ipo
Asikudanganye mtu,, mwaka wa lowassa bdio ulikuwa na mvuto nchi nzima,, sasa hivi ni kujaribu tu kurudisha uaminifu kwa wananchi na baadhi ya wanachama tu waliowapotezaga,, na kuji imarisha kwa mwaka 2030 wawe strong, mwaka huu wanatafuta kurudisha tena wabunge kazaa bungeni sio uraisi hata kwa ndoto
Pamoja Mh heche mungu awape uzima na afya njema ili muongoze mapambano tuwape hawa ccm chama cha matahira madarakani.
Maua yenu wh ❤❤❤
Ooh my God 🎉🎉🎉
Mi hapa Bado sijaelewa kitu, maana ya mtu kustaafu na mika 60, nilidhani ni mwili na ubongo kuchoka kumbe sio,
Njaa ni mbaya saaana.
NJAAA NI YULE MWENYE SHIBE HAKUJUI WEWE.ULIYE NA SHIBE UKISEMA NJAA MBAYA
Traore😁
Wasi........malizia alitakiwa kwa umri alionao akaimbe kwaya ya wazee kanisani na si kuimba wimbo wa siasa
Dangsnya toto hakuna demokrasia ktk dunia bali kuna watu hudanganya wasio na macho demokrasia ni mu mwenyewe kujitambua wengine nyie ni wagangaji tu
Mchaka mchaka
Nilikwambia ugombee urais ndio saiz yako Heche
Mbwa Mzee hakubari mafunzo
Wataelewa tu mwaka huu
Wasira hafai hta kuwa mlinzi wa Choo
Sema kijana
Nyie jeuli sana lazima muwe na kiasi Bado tunawahitaji sana tusinge penda mtuache mapema.
Watakufa wao
Mwaka huu mtakufa na hao mnaowaqbudu sema tu HUJUI MAJIRA NA NYAKATI....🙏
😢
Acheni siada za matukio, funzo wakati muna majeraha ,msema peka hakosei
Katafute bwana chawa wewe
Samia unajifanya wewe ni bubu utasema
Una faa urais
Songa, mbele
Wasira ni hazina ya nchi ww danganya hao vipofu wasiojua kitu kama ww
Wote ni njaa tu
WASIRA HAJITAMBUI KAMA ANGEKUWA ANAJITAMBUA ASINGEKUBALI UTEUZI WA KAZI YEYOTE YA KIUTENDAJI NDANI YA CHAMA UMRI UMEKWISHA MTUPA MKONO ; ANGEKUWA ANAJITAMBUA ; ANGEBAKIA KUWA MSHAURI LAKINI NI BAHATI MBAYA KWAMBA KATIKA UMRI HUO BUSARA HAIPO . ANAONEKANA KUWA NI KILOJA CHA CCM .
WEWE na wasira NANI ANAFAA ?
Heche umefilisika sisa huna sera acha
Kanye ulale mpuuzi wewe
Miyeyusho tupu mlikuwa wabunge hamna mlicho fanya kwenye majimbo mliyoongoza😅😅😅😅😅
tatizo nyie wote ni Mamluki. Wilbroad Slaa yuko wapi?
Mbona waislamu mnateseka sana ,acheni uhuni mama kilemba lazina arudishwe baharini wajinga ninyi
Mtanyosha sana mikono yenu .Hakuna kuwaachiya nchi mafisi ninyi historia ya nyuma inatusaidiya nini???
Nyie majizi iko siku nchi itakuwa na uhuru wa kweli, tanganyika huru bila ya ccm majizi wakubwa
Unafurah uwovu wa nchi hii ipo xku itajulikan hak 2
Mkondya wewe ni mpumbavu kwanza nani anakujua katika nchi hii
Mkodya acha upumbavu tunakujua ww ni chawa wa ccm
Chizi kalogwa tena
HECHE HUNA ADABU.
@@valentinemagige1840 huyu babu yenu fisadi mzee ndiyo hana adabu mpaka miaka 80 bado anataka kuendeleza wizi tu
Mjinga wewe
Shayo mpumbavu pamoja na unao watetea wote ninyi ni wapumbavu
Wahuni tu Nyiny
MAHABUS ZINAWASUBIR😂
Labda MAHABA😂
pumbavu mkubwa..mshenzi usiekuwa na maana
@@robertmhikwa8174 😄😄😄
@robertmhikwa8174 CHAMA CHA WAKATORIK,,
MWENYEKIT KAIMU NA KATIBU,,
WOTE WAKATAKIST🤣
Bwege
Upo sawa kamanda