Asante Mama Maria kwa maombezi Yako na Pia Asante Yesu kwa huruma na neema Yako ulionijalia naskiza nafuu ila Bado nakutumainia kwa uponyaji kamilifu.Amina🙏
Malaika wa mungu mlinzi wangu mpenzi ambaye upendo wake unanifanya niwapo hapa uwe nami leo hii kuniangaza na kunilinda kunitawala na kuniongoza amina 🎉
Nimefurahi kusali rosari takatifu kwa pamoja barikiwa. Ninahitaji unikumbuke kwa maombi naitwa Judith moraa niko Saudi mungu anijalie nifaulu nitoke kwa hii familia yenye inaniteza
Father umenifunza kusali rosali takatifu baada ya miaka zaidi ya arubaini. Asante sana kwa kuniongoza njia ya kristu. Sasa Nasali rosary kila siku. Sifa kwa mungu. Father naomba namba yako ya simu
Àsante sana kwa kutuongoza kusali Rozari pamoja nawe. Mungu akujalie kila kheri.
Amina mama yetu Maria utuombee
Unijalie Ee Mungu wangu .ukutane na mahitaji yangu
.
Ee YEsu wangu mwema kitulizo ja taabu zangu zote utuhurumie .maria mama wa Mungu utuombee Amina🙏
Amina, utuhurumie eeh bwana na utubariki.
Usikilise maombi yet bwana.
Amina 🙏Asante Padre kwa kutuongoza kwa kusali Rozari.
Bikira Maria mama Mwema..utuombee
Asante Padre Josephat Kwa kutuongoza Kwa sala ya Rosari hasa Kwa lugha ya Kiswahili. Ubarikiwe tele
Amina
Ee ama Maria uwe matumaini yetu, katika maisha yetu kwa uwezi wa roho mtakatifu ❤
Amina,utuombee katika mashaka yetu We mama Maria na mtakatifu Yosefu🙏
Thank lord
Utuhurumie sisi na Dunia nzima
Uniombe kazi yangu inuke vizuri nimeteseka Sana Ee yesu unikumbuke Kwa hii mombi
Eee Yesu Mwema Asante kwa mema na Huruma yako kwa Ulimwengu Mzima 🙏🏿 Ewe Mama yetu Maria mwenye Heri Tuombee kwa Mwanao Mpendwa sisi wana wa Dunia 👏🏾
A mina
Amina Eehh Yusu mwema niondolee janga la uoga
Amina🙏🙏uwa tunaomba pamoja rosary barikiwa
🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
Kupitia Rosary tuwakumbuke wazazi walio na majukumu ya kifamilia,mama Bikira maria awajalie neema ya kufaulu.
Ee yesu tunakuabudu tunakushukuru kwa kuwa umewakomboa watu kwa msaraba wako❤
Mara yangu ya kwanza hapa na nimebarikiwa sana ajabu. Mwenyezi Mungu akubariki Padre.
Ee Mama Bikira Maria Tuombe
Ninakimbilia ulinzi wako Mama Maria niombee kwa mwanao Yesu Aweze kuniponya kutokana na maradhi ya homa yanayonikumba🙏Amina
Asante Mama Maria kwa maombezi Yako na Pia Asante Yesu kwa huruma na neema Yako ulionijalia naskiza nafuu ila Bado nakutumainia kwa uponyaji kamilifu.Amina🙏
Baba ubarikiwe sana
Mungu atuletee uponaji n wokovu amina
Thanks alot am blessed..
Amina barikiwa pia father
Eeh bikira Maria utusikilize sala zetu
Asante nimefarijika jmatatu na ijumaa hii
Tuongoze
Asante kwa ibada hii
Kupitia Rosary hii tunawaombea wote wanaodhulumiwa haki zao amina. 🎉🎉🎉
Amina, asante Fr. kwa Rozari hii
Ee YESU mwema unisamehe dhambi zangu ………….🙏🙏
❤❤
MUNGU nisamehe matedo yagu
Katika dendo la nne Yesu atusaidie kuibeba misalaba ya kifamilia.
Ameen NIMESI KWA KUFUATA MWONGOZO WAKO NIMEBARIKIWA ASANTE
Asante baba kwakutuongosa na rosari takatifu Mimi. Niko kirinyaga Kenya uwa ninafarijika sana salazako padri Mungu akubariki usidi kutufariji. Amina
Thank you so much father🙏🙏🙏
Always welcome
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakushukuru, Pd.kunishirikisha nami kusali pamoja nawe.
Ubarikiwe na Mama Maria, Bikira Mtakatifu.
❤ Amen
Maombi .maombi yetu pokea BaBa maombi. Maombi yetu pokea baba
Asante sana
Asante padre swai kwa tutuongoza kwa Sala. Siku imeanza na baraka tele
Naomba Mungu atuondolee janga la cancer
Amen 🙏 🙏 🙏
Hongera kwa kutuongaza rosari tuzari Rosa hili tuokoke🙏🇸🇦
Asante pia
Thanks for the blessings
Ameeeen ❤❤❤
Prayer request that I win 342m mega jackpot today and in future baby karita will get 10 million share, Amen hail mary×3❤
36:47
Blessed
Ee YEsu uziyemwingi wa hazira kwa huruma tupokee
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amena
The spirit of God compelled me to pray rosary...i searched Friday one and i feel consoled, Thanks for the evangelisation keep up God's work Fr👏
Be blessed Catherine
Amina Eehh YESU mwema usikiye kuomba kwetu
Amiiinaaa....
Kwa maombezi ya mtumishi wako utujalie Kwa wema wako usio na kipimo tupate Yale tunayoomba tunaomba hayo Kwa njia ya yesu kristo bwana wetu Amina
Malaika wa mungu mlinzi wangu mpenzi ambaye upendo wake unanifanya niwapo hapa uwe nami leo hii kuniangaza na kunilinda kunitawala na kuniongoza amina 🎉
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😮😮😮😮😮😮😮😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Maria mama yetu, tuombee
Asante kwa kuomba na Mimi Rosary napenda sana Sala za rosari
Aamen
Amina asante sana Father 🙏
Amina
Asante
Nimefurahi kusali rosari takatifu kwa pamoja barikiwa. Ninahitaji unikumbuke kwa maombi naitwa Judith moraa niko Saudi mungu anijalie nifaulu nitoke kwa hii familia yenye inaniteza
Pole sana Judith Mungu akubariki na kukulinda
Amen
Siurudy huku tanzani
@@fr.Josephat-SharingGodsLoveninashukuru mungu alinitendea nilipelekwa nyumba ingine.ninaomba kibali mbele ya my bosses na mbele yake mwenyezi mungu
21:37
Amina. Be blessed father.
Asante sana Fr nimefarijika na Hii Rozari Mungu akubariki sana Baba🙏🙏🙏
Ubarikiwe Rose..keep sharing
Am blessed father
Asante kwa kuniongoza kusali Rosali takatifu kila siku. May God bless you 🙏🙏
Karibu sana..Mungu akubariki
Mama yetu mkingiwa dhambi atuombee
Father umenifunza kusali rosali takatifu baada ya miaka zaidi ya arubaini. Asante sana kwa kuniongoza njia ya kristu. Sasa Nasali rosary kila siku. Sifa kwa mungu. Father naomba namba yako ya simu
Tumshukuru Mungu.+255693994747
Asante..0693994747
Amen
Amina
AMINA 🙏
Almighty God bless you father,my family is blessed 🙏
Amen
I feel blessed this morning, father, Amen
Be Blessed cinta
Mama Maria ni kila kitu kwetu ndo anafanya kazi kubwa kutuombea kwa mwanae
Ubarikiwe sana Fr.
Amen. Thanks for the blessings❤
Amina nimefurahi kusali pamoja nawe father.Maria mtakatifu aniweke katikati ya maombi anaposali 🙏🙏🙏
Mama wa huruma utuombee🙏
Blessed
Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina❤❤
Am blessed Father
Amen 🙏🏼 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amina 🙏 🙏
❤❤❤
Amina
Blessed, blessed father
Amina
Amina
@@marykamau2084Tunashukuru sana kwa rosari takatifu
Amina 🙏🙏🙏🙏
AMINA 🙏
Amina
amen
Amen 🙏❤
Amen
❤❤
Amina
AMINA Amina
Amina 🙏
Amen 🙏🙏
Amina❤❤
Amina..