ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
This is beautiful mix❤
Damu ya Yesu nitakase
Ehe we ekaristi kuabudu naomba nisaidie katika mtihani yangu ninayo Anza 11 mwenzi 2025 mtihani wa yuwi 2, wewe mwenyezi Mungu nasema asante kwa kunijalia afya njema piha naomba niepushe na magonjwa katika kipindi ninacha kalibia mitihan
I really love this song
Kupitia nyimbo hizi za kuabudu Ekaristi Takatifu naomba Mungu uniponye magonjwa yanayosumbua mwili wangu. AMINA.
Mungu naomba uniponye magonjwa yanayonisumbua afya yangu
See yesu wa ekaristi unilinde Mimi ,na family yangu tote utufunike Kwa damu Yako ya thamani❤
Eee Yesu wa Ekaristi naomba uniponye magonjwa yanayo nisumbua
Mungu wangu nikumbuke kwa maombi yangu
Yesu nakuabudu nakutukuza maisha yangu mikononi mwako kwani wewe ndiwe mweza yote
Ee Yesu wa Ekaristi ninakuabudu ninakutukuza ktk Maumbo ya Mkate na Divai🙏🙏🙏
thanks to whoever prepared this mix 😍
Yesu mwema uwakumbuke wote waliouasi uwasamehe na kuwarudisha katika zizi lako.
Yesu naomba uniponye
Damu na mwili wa yesu nakuomba ukaponya wa wazazi wangu . Especially my Mom who have dimetria.
Yesu naomba unitakase na familia yangu
Eucharist Adoration be my strength and center of My family
Dear Lord, i pray for financial freedom so that i may serve you better. In Jesus Name Amen.
Yesu wa Ekarist naomba uniongezee iman
Yesu katika Ekaristi takatifu nijalie neema na unijaze na Roho Mtakatifu Mungu niishi kama mapenzi yako. Amina
Asante yesu wa ekaristi, nakutumainia katika maisha yangu.
Mungu anaomba uniponye magonjwa
Asante yesu
Mwathani wakwa na Ngai wakwa❤
Feeling nourished and energized ...ooh body and blood of Jesus!!
Asante Yesu, sifa Kwa Yesu.
ekaresti ni cakula ca uzima, asante
Mwili na damu ya kristu tegemeo langu
Nabari na nyimbo hizi❤❤❤❤❤❤❤❤
Tafuta kitabu kinachojulikana kama tumshangilie Bwana
Yeah
NAKUABUDU YESU KWA MOYO WANGU WOTE NAKUTEGEMEA WEWE. NINASHUKURU KWA KUNIPA NGUVU
Umenipigania katika mapito yangu Asante Yesu kwa upendo wako kwangu na mtoto wangu kweli wewe ni mzima
Yesu wa ekarist nijalie 2025 ndoto zangu zitimie
❤Amina
Naomba nibatizwe na ndoa🙏
Uko wapi mpendwa
Naomba uponyaji nakufunguliwa
May you get your healing in the name of Jesus.Be free!
Mungu akujalie haja ya moyo wako
May Our Lord be with you Maurine &May His face shine on you. With God, nothing’s impossible💜
Eee bwana nakusifu nakusema n asante kwa yale umenitendea na unazidi kukaa na mimi❤
Eee Mungu Na mwanadamu katika Hostia. Nakuabudu fudi fudi eee mfalme mtukufu Wa milele
Huruma MUNGU ndani YESU izidi kuwa nasi siku zote
Yesu ni muweza yote,love you Jesus
Eukaristi ni Yesu mzima. Namuabudu nikipiga magoti.
Nakuabudu kifudifudi ee Yesu naomba nipe kifo chema
Hallelujah 🙏 praise u Lord Jesus Christ ❤
Yesu ni mweza yote . Ninamshukuru kwa yote aliyonitendea
Natakuabudu milele yote yesu wangu
Yesu wangu nishike mkono nitembee name milele yote amina
Yesu tegemeo langu
Yesu naomba unitakase
Good mix ❤❤❤❤❤
Eee yesu kristu karibu moyoni mwangu ukae nami milele yote daima
KATIKA JINA LA YESU KRISTU BWANA NINAKUABU NA NI AKUSHUKURU KWAKUWA UMETUKOMBOA KWA MSALABA WAKO MTAKATIFU.
One her studies be with her please my jesus
Yesu ni yote
Thanky Jesus kwa yote amina amina
Naipenda sana ekaristi
🤗
Thanking God for blessings of children praying for break throu of my daughter who wants to becom a saloonist..may God have mercy on her
Oh Jesus heal the world
Asante asante asante yesu
A wonderful day celebrated today
Asante kwa yesu wa ukaristia
Mighty jesus
I go out with bianca ellis amen cute baby cake faces ❤❤❤❤
Jina lake ni Yezu christu wa Nazareth
Amen 🙏 🙏 🙏
Oh Sacrament most Holy, oh Sacrament Divine. All praise and all thanksgiving be every moment thine
There is power in the holy Sacramento
Amin sana
Jésu confido in te
Ýesu utulinde sisii zote
We ni jibu la maswali yangu yote aubudiwe nakusifiwa milele yote
Aminaaaaa
Jesus remember Feli from the evil one
🙏❤️🔥
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
eyesu unikumbuke Mimi na family yangu
Amen🙏
Tukapate kubarikiwa kutokana na nyimbo za ekaristi takatifu
Mfalme tukufu niokoe
lyrics please
7:35 7:37
Chh
They r nobsoies old newss just bionca wo are they amen
Justice judgemental in the medc8al ppl gave it to me.ruined my.life amennyuck demons i got angood women
Nakwaabudu fudi fudi,ee mfalume mtukufu wa milele
Wacheni Uwongo tokea lini ukafanya Ibada kwa kuimba nyumba na vinanda?
Asante sana Yesu

Jesus remember
Feli from the evil one