Allah akufungulie Zaidi ya hapo sheikh wetu, akupe afya njema, umri mrefu wenye kheri nawe, akulinde na fitna, husda na vijicho vya watu. Allah akulipe kheri nyingi kwa uyafanyayo.
SubhanAllah,,,,akua cjui meng hayo ,,,shukran sheikh Wang,,,,umenifungua maskio,,,,,,Allah atujaze kher tuwe wenye kuzingatia na kufuata maamrisho ya dni
Shekhe Othmani michael nakuelewa sana,,, kwa hakika allah akujaze khery na baraka tele katka maisha mema na akupe mwisho mwema inshaallah:; unatunufaisha sana sana
Waaalaykum msalam warahmatullah wabarakatuh naaam nnashkuru vipi hali yako unaendeleaje, yaani kaka yetu yarabi AKUTILIE nnuru zaidi kwa kutufundisha khayrat ,yarabi atujaaalie tufanikiwe na atujaaali mwisho uliomwema na aturuzuku pepo yake tukufu FIRDAUS amin ,yarabi turuzuku ya kheri,wallah tunakuuuupenda sanna kwa ajili ya ALLAH
Maashaahla shehe mwezimu akuweke na akulinde na husda za shetwani na akujaze na imani akupe kila la kheri na mungu atujalie nasi tuwe wenye kutenda mema amin ishaahlaaaa
Asante sana shekh wetu ila natamani hii dua mfano ya nabii Nuhu angeitafsiri kwa kiswahili ingekuwa bora zaidi, niwie radhi kama nimesema vibaya shekh wangu.
( فَدَعَا رَبَّهُ أَنِّي مَغْلُوبٌ فَانتَصِرْ ) القمر (10) Al-Qamar Basi akamwomba Mola wake Mlezi akasema: Kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru!
Naam shekh Mashallah allah akuzidishie sana umenipa faraja kubwa sana nilikua nimezongwa na masahibu na mawazo hasira lakn badala ya kukusikiza allhamdulliha nimemsamehe alonikosea na namtegemea allah majibu yake inshallah
Masha Allah ndugu yangu Allah akupe Umri napenda Hutba zako Kwa Unavyongea kwa upole na Utaratibu Na Kusistiza kwa Uzuri Sana nakuelewa sana na nimejifunza vitu vipya hapa Alhamdhulillah 🙏
Masha Allah sheikh Authuman mawaidha mujaraabu sana na tunajifunza mambo mengi mema lnshallah mungu akubariki Afya/emaan/umry mwema Ameen yarab..Ma Salam
@@athumanmichael8501 Ahsante kwa kuelimusha na kutufunza yalo mema na ndo inavotakiwa kila wakati uwe karibu na Alla kwa kumuomba unayoyataka na unayo yapenda.
Sheikh nakukubali sana sana sheikh wangu Allah akuhifadhi wewe ni zaidi ya dhahabu sheikh.Umenilisha imani kubwa mpaka nikarudi nilikokua sheikh wangu MashaAllah
shukran sheikh kwa kutuonyesha nini maana ya Dua na muongozo wa Allah pamoja na mitume yake InshaAllah mungu akuhifadhi kwa jambo Amin🙏baaraka zako zipo kwa Allah subhanahu wataalah🙏
Maa sha Allah Shukran sheikh wetu kipenz cha wengi Allah akupe umri mrefu furaha na amani akuondolee hasadi za waja wake Hakika ni faida kubwa sana kumshirikisha Allah kwa kila jambo
Mashaallah mm hupenda sana huyu ustadh yani anatueleza from Ato z napenda sana mawaidha yake alhamdulillah sahi nashkuru kupitia mawaidha yake Allah akupe mwisho mwema ustadh wetu🙏🙏😘😘👌
Allah akufungulie Zaidi ya hapo sheikh wetu, akupe afya njema, umri mrefu wenye kheri nawe, akulinde na fitna, husda na vijicho vya watu. Allah akulipe kheri nyingi kwa uyafanyayo.
Allahumma Aamiiyn
Amiin Yaa Rabil aalamiin
Allahumma amiyn
Allahumma Amina Ya Allah na mimi piya nijaliye nema zako na nipemwisho mwema Ya Allah na uninufaishe na imani
Alllah akuhifadhi shekh Othamn
SubhanAllah,,,,akua cjui meng hayo ,,,shukran sheikh Wang,,,,umenifungua maskio,,,,,,Allah atujaze kher tuwe wenye kuzingatia na kufuata maamrisho ya dni
mashallah mashaallah
Shekhe Othmani michael nakuelewa sana,,, kwa hakika allah akujaze khery na baraka tele katka maisha mema na akupe mwisho mwema inshaallah:; unatunufaisha sana sana
Allahumma amiyn
Allahuma amin
Ustadh nna swali nje ya mada
Waaalaykum msalam warahmatullah wabarakatuh naaam nnashkuru vipi hali yako unaendeleaje, yaani kaka yetu yarabi AKUTILIE nnuru zaidi kwa kutufundisha khayrat ,yarabi atujaaalie tufanikiwe na atujaaali mwisho uliomwema na aturuzuku pepo yake tukufu FIRDAUS amin ,yarabi turuzuku ya kheri,wallah tunakuuuupenda sanna kwa ajili ya ALLAH
Amiin Yaa Rabbi
Amiin
Amiin Amiin ya ALLAH
Nimebarikiwa na haya mafundisho barikiwa sheikh(mmmkristo)
Karibu kwenye Uislam dada Lydiah
Karibi sister lydiah! Maa shaa Allah🙏🙏🙏🙏💚
Allah akbar
Ewe mungu tuongoze katika njia njema ilionyooka Ammin
Amiyn
MASHAA ALLAH JAZZAKA ALLAH KHAIYR.ALLAH AKUHIFADHI UMETUNUFAISHA.
Allah akupe kila hitaji la moyo wako na atupe sote kwa ujumla Alhamdullilah, jazzakallah kheri sheikh
Maashaahla shehe mwezimu akuweke na akulinde na husda za shetwani na akujaze na imani akupe kila la kheri na mungu atujalie nasi tuwe wenye kutenda mema amin ishaahlaaaa
Shekhe wangu wally mungu akujaze kila LA kheri darsa nzuri na kwengine unachekesha wally wasema nijifanye mjaja nipite humo humo
Asante sana shekh wetu ila natamani hii dua mfano ya nabii Nuhu angeitafsiri kwa kiswahili ingekuwa bora zaidi, niwie radhi kama nimesema vibaya shekh wangu.
( فَدَعَا رَبَّهُ أَنِّي مَغْلُوبٌ فَانتَصِرْ )
القمر (10) Al-Qamar
Basi akamwomba Mola wake Mlezi akasema: Kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru!
Asalaam alaikhum walammatulllah wabarakatu hakika nimepata somo kubwa tangu asubuhi narudia kukusikiliza Allah atupe mwisho mwema Ummat Mohammad S.W
Saada assalam alykum
Allahumma amyn
Shukran sheikh wang mimi nimmoja wawafasi wako niko makka kwenye jamiiah ummul qura darsa zako zinanipa faraja saana asante
Masha Allah (Allah) atujaalie tuwe wenye kuyafanyia kazi haya Mambo ya kheri...
MASHA-ALLAH!!!!! JAZZAKAALLAH KHEIR,,,
ALLAH AMUHIFADHI SHEIKH WETU ..
Inshaallah
Aaamiiin
Naam shekh Mashallah allah akuzidishie sana umenipa faraja kubwa sana nilikua nimezongwa na masahibu na mawazo hasira lakn badala ya kukusikiza allhamdulliha nimemsamehe alonikosea na namtegemea allah majibu yake inshallah
Masha Allah ndugu yangu Allah akupe Umri napenda Hutba zako Kwa Unavyongea kwa upole na Utaratibu Na Kusistiza kwa Uzuri Sana nakuelewa sana na nimejifunza vitu vipya hapa Alhamdhulillah 🙏
Juma Kisanga d
Masha-allah!!!!, shekh allah akuja'alie kheri
Allahumma amyn
Sheikh Othman Michael Allah bless you and your family
Alhamdulilhay, alha akupe maisha marefu ktk dahwa
Maa shaa ALLAH nimefaidika sn shekh wngu JazzakAllah kheir
Masha Allah sheikh Authuman mawaidha mujaraabu sana na tunajifunza mambo mengi mema lnshallah mungu akubariki Afya/emaan/umry mwema Ameen yarab..Ma Salam
Mashallah Allah akulipe kher
Amiyn
Masha allah
Masha Allah mungu akujali umri mrefu uzidi kutuelemisha insha Allah
Jazakalah kheran shukurani ostadhi osthomani allah akuzindishie elim uzidi kutuelemesha yaaraby
Amin inshaallah
@@athumanmichael8501
Ahsante kwa kuelimusha na kutufunza yalo mema na ndo inavotakiwa kila wakati uwe karibu na Alla kwa kumuomba unayoyataka na unayo yapenda.
Masha Allah, shukran sheikh🙏🙏🙏🇰🇪
Allah akuhifadhi uzid kutupa darasa
JazzakaALLAHU khairy w shukran jaziilah😍
Elyfarah Uwabahinda Allhabdulinla shekhe
MashaAllah. Alhamdullillah. Shukran Sheikh
Barak'Allahu fiiQ ya Akhiiy. Allah akupe mema duniani na Akhera
Maa shaa Allah shekh tunakupenda kwa ajili ya Allah hakika mawaidha yako ni mazuri sana yanafundisha sana Allah akulipe fir dunia wall akhera
Jazaak Allahul kheir ndugu yetu ktk imaan In shaa Allah tutajisogeza kwa Allah kwa shida zetu kwa kufuata waadhi huu bora in shaa Allah.
Shukran akhy sheikh Othman Michael
Allah akujaze heri
Sheikh nakukubali sana sana sheikh wangu Allah akuhifadhi wewe ni zaidi ya dhahabu sheikh.Umenilisha imani kubwa mpaka nikarudi nilikokua sheikh wangu MashaAllah
Masha Allah maneno mujarabuu hakika Allah akulipe kheri
Allah tuongoze njia ilionyooka mashaallah nimejifuza mengi
Alla akuzidishie
Maashaallah wa shukran yaa shaykhul'ulamaai wa ustaadhiiy! Allah akupe uhai wa faida kwako.
Masha allah
Naam waalaykum Salam warahmatulah wabarakatuh shukran sana shekhe
Yaaani kaka angu wallah unatufundisha kheir yarab akulipe kheri badala kaka yetu amin
Máshaallah
Allahumma amiin
Alhamdulilah
Mashaallah shurn jazaka allah heli kila laheli na akuzidishi hekima 💖
ustaadh maashaalah allah akubarik
Mashaallah mungu akupe afya njema uzidi kutuongoza Amin
Jazaka Allah kum kheir Allah Akujaalie afya njema Sheikh Othman Michael Uzidi kutuelimisha...
Jazakallahu khery shekhe
shukran sheikh kwa kutuonyesha nini maana ya Dua na muongozo wa Allah pamoja na mitume yake InshaAllah mungu akuhifadhi kwa jambo Amin🙏baaraka zako zipo kwa Allah subhanahu wataalah🙏
MAASHA-ALLAAH M.MUNGU AKUZIDISHIE NA AKUHIFADHI HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA
MashaaAllah MashaaAllah tabarak Allah Thank you very much mwenyezi mungu akuzidishie sheq wetu jazaq Allahu ker 🙏 shukran
Jazka Aĺlah kher sheikh othman katika mawaidha yako kuna mafunzo nimejifunza ishaalla mungu akulipe hapa na Kesha ahera
Amin
Mashkura jazakAllah kheri
Allah akulipe kher inshaallah yarab🤲
Shukran Allah akujaze kila la kheri
Allah akujaze kher inshaallah
Nakumbenda sana kwaajili ya Allah sheh
Assalamu Aleykum Waarahmatullah Waabarakatu Allah tujalie kheri kwa sote Sheikh na kutufanyia wepesi wa kila hatua Dunia na Akhera Amiin
Maa sha Allah
Shukran sheikh wetu kipenz cha wengi Allah akupe umri mrefu furaha na amani akuondolee hasadi za waja wake
Hakika ni faida kubwa sana kumshirikisha Allah kwa kila jambo
Mwenyezimungu akujaalie yenyeherii
Allah akuzidishie ilmu yenye manufaa Allahumma ameen
Mashaallah
Mashallah Mashallah Mashallah.. I learned a lot from this. Mashallah. May Allah bless you and the whole team.
Mashallah shukran al akh
Jazzakal kheraan Qathiraan SHEIKH.
Shukran Sana ustadh Allah akupe moyo uwo uwo naelimika kwa nasaha zako
Shukrani shekh ninepata faida kubwa leo kwa kusikiliza mawaudha haya allah akujaalie rehama duniani na akhera
JazakaAllah khayra.shukra ya Akhii
allah akuweke shekhe allah akuepushie vijicho vya hasadi
Mashaallah mm hupenda sana huyu ustadh yani anatueleza from Ato z napenda sana mawaidha yake alhamdulillah sahi nashkuru kupitia mawaidha yake Allah akupe mwisho mwema ustadh wetu🙏🙏😘😘👌
Mashallah sheikh Mwenyez Mungu akupe pepo inayo staikh
Mashallah mashallah mashallah
Ahsante sana sana mungu akuzidishie muangaza zaidi yaarabb amiin
Amiyn
Mashaallah shekhe jazakallah khera
ManshaAllah jazaka Allah khaira kwa elimu nzuri
Jazakaalllah kheir may alllah protect you and your family amin allahu maamini
Wallah najifunza mengi sana katika darsa zako
Shukran Sheikh kwa kutupa ilmu Jazakallahul kheir
Jazakallahu khairi sheih akuzidishie ilmu ili upate kutu ilimisha
Alhamdullilay asante kwa mawaidha manzuri
Shukran shekhe Othuman Allah akuzidishie umri
Mashallah mashallah mashallah Allah akubarik ahsante kw ukumbusho Allah akumiminie mengi mazuri inshallah 💕
Jazaka Allah kula kheir
Salallahu alaihi wasalam 💛
Shukran sana Allah azid kukupa afya tuzid kunufaika
MashaAllah nimependa kuzikiza mawaidha yako yaongeza imani kwenye moyo
Akujaze kheir
Allah akujaze kheir
Amiin yarabbi
Walaykumsalam warahmatullah wabarakatuh shukran kwadarsa nimejifunza mengi
Mungu akuzidishie ilmu yenye manufaa
ALLAH akuhifadhi shekhe hakika nayaelewa mawadhi yako napenda san kukizikili
Nimekupenda mono ostadhi hakika uko vizuri mnooooo
mashaa allah kila la heri.
MashaAllah shukran sana sheikh Allah akulipe kheri
maashaallah
Allah akulipe kila la kher
Jazzaka allahu ghaira sheikh wetu kwa kutupa faida
Mashallah Allah akulipe kila la kheri sheikh wetu nimejifunza mengi ambayo sikuyajua kuwa yana kheri sana hivyo
Allahumma Amina Ya Allah na mimi piya nijaliye nema zako na nipemwisho mwema Ya Allah na uninufaishe na imani
Mashallah sheikh Mungu akubarik
Shukuran Sana shekhe nimekuelewa shukuran
Shukran baraka laa
Asalam aleikum,shukran sheikh mawaidha yako mashaAllah mazuri yamenigusa sn, Amin Allah atutakabalie dua zetu.
Yan hadi rah ningepat mume km huy anae jua din au nakutoa mawaiz km iv ngefurah kwel eeew mung nijalie nipat mume km huy
Jazzakallah ustadh Allah akuzidishie ilmu ufundishe wengi
Mashaallah Mngu akuzidishie in shaa Allah
Ma Shaa Allah
Mungu akupe kheri na nguvu utupe darasa lengine
shukran sna
Jazakallah kheiran
Ali
Asalam alaykum vipi Ali yako mungu akuongoze duniani mpaka akhera inshallah
We unauliza hali duuu 🤣🤣🤣
Nikweli kabisa.hii adhkar inanguvu mno.nina ushuhuda wangu