UTAJIRI NA MAFANIKIO MIKONONI MWAKO TAJA NYIRADI NZITO FANYA MANNE HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah akuzidishie Allah umri tuzidi kujia na kisoma Deen kupitia hapo atujalie kheri Dunya na akhera tumiliki vitu vikubwa .❤❤🙏

  • @RakhmanHassan-ei3kn
    @RakhmanHassan-ei3kn 7 หลายเดือนก่อน

    Shekhe Allah akuzidishie umri nakupe mwisho mwema,nilikuwa mzito Sana kswali sala zausiku ilakwaku kufatiliya nimekuwajasiri Sana na ninajivuniya Hilo, Allah akulipe kila lakheri, na tunaomba kwenye undugu zidi mawaidza,sababu dunia inapoelekeya.undugu utakuwa sioudugu tena Allah akuwezeshe inshaa Allah

  • @aminakassim831
    @aminakassim831 10 หลายเดือนก่อน

    Salaam mimi Namuomba Allah akuzidishie umri na akujaalie mwisho mwema shekh mi nilikua hata kuswali ni mpaka nijiskie yani ila nikaanza kufatilia mawaidha yako sana kila siku lazima nisikilize mawaidha yako na ndipo nikaanza kuswali tena swala 5 na sunna zake na dhuha alhamdulillah najiona kabisa mabadiliko kwe maisha yangu kuna vitu nimeviacha vichafu nimebadilika sana saivi nimeanza kuswali swalat alannabi kila siku asubuh inshallah Allah atanijibu nipo Oman niombee nipate mume

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah
    Yarabbi tuongoze kwa sote
    Kwenye njia ilonyooka.

  • @SURASHY24
    @SURASHY24 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh bhana mm nakukubali Sana na nataman niwe kama wew niwe natoa daawa kama ww

    • @ZainabHassan-q7k
      @ZainabHassan-q7k 11 หลายเดือนก่อน

      Kheri inshallah kwenye Nia Pana njia❤❤

  • @kijakaziali9063
    @kijakaziali9063 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Allah akulipe pepo sheh wetu

  • @MwanamkasiSuleiman-w3y
    @MwanamkasiSuleiman-w3y ปีที่แล้ว +1

    Allah akihifadhi shekh na akulipe na dua zako tunafaidiaka sana

  • @lalilaally200
    @lalilaally200 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah shukraan shekh kwa kutupa darsa

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar, Allah akulipe kheyri uzidi kutuelimisha mashallah,n'a tunahitaji dawa za kisunna tupo Burundi tufanyie fikra in sha Allah

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah shekh Allah akulipe kwa kila hatuwa Amin yarabil Alamin 🤲🤲from 🇬🇧

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah very beneficial lecture, BarakAllah feek

  • @AminaJanetMuremi
    @AminaJanetMuremi ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie umri sheikh.

    • @ZainabHassan-q7k
      @ZainabHassan-q7k 11 หลายเดือนก่อน

      Amiina Yaa Rabbal Alamiini

  • @KhadijaHamisi-e8e
    @KhadijaHamisi-e8e ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekh, mwaaaa nakupanda kwaajili allah ❤❤❤

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mwenyzi Mungu akuhifadhi walahi nakupenda kwaajili ya Allah na mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema

  • @ibnmasuod2184
    @ibnmasuod2184 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH shiekh ALLAH akuzidishie umri tuzidi kupata faida kutoka kwako,nimefaidika na zoezi la viungo uliyotuonyesha,nimelifanyia kazi ALLAHMNDULILAHI naona faida yake sana kwa sana,nakuombea dua sheikh uzidi khishi miaka mingi 🤲🤲

  • @ElizabethLizzy-pk3zj
    @ElizabethLizzy-pk3zj 11 หลายเดือนก่อน +1

    InshaAllah 🤲

  • @MariyamuVuai
    @MariyamuVuai 9 หลายเดือนก่อน

    Maxha Allah tabarakakallah❤❤❤❤

  • @abdulragmababdulsalam5107
    @abdulragmababdulsalam5107 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ❤❤

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar, Allah Akbar

  • @abdusam
    @abdusam ปีที่แล้ว

    Record Leo hafifu kidogo shekh wasikika kwa rasha rasha

  • @ElizabethMalisa-g7f
    @ElizabethMalisa-g7f ปีที่แล้ว +1

    Amiin Amiin

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

    Shukran shekh

  • @miishhassn
    @miishhassn ปีที่แล้ว

    shukran jazzakallahu khair🥰