Mi ushauri wangu bado ni ule ule "hii tamthilia muitungie kitabu ni nzuri na ina mafunzo mengi tofauti tofauti kwa jamii yetu ya kitanzania" isipite tu hivi hivi. Katika tamthilia zote nilizo angalia nakuzitathmini hii ni Super Brand. Santeni sana.
Hakuna kitu kibaya kama udanganyifu katika mahusiano ,nakuhurumia sana Tina ,ukweli utabainika tu .cheers team nipeni likes 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 from lovely motherland country 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mnatuchelewesha kweli lakini mnatoa vitu vya kueleweka nawapenda sana Mungu awabariki Kwa kazi yenu nzuri, hii movie inamafunzo flani ndani yake, kama ulikua unashika darasani basi hata hii movie utaielewatu vizuri sana, hivyo basi twende nalo hadi tamati
Movie ni nzuri sana hongera kwa kazi nzuri, ila sasa muongeze mda jmn episod inakuwa fupi sana, na mnatuweka sana, yaani mnatuchelewesha, muwaishe😂, nawapenda❤
Hakuna anaependa kuchelewesha kazi jamn ukiona hivyo kuna sababu zinavyofanya achelewe sisi tunataka tu awahi kutoa video ila hatujui changamoto gani anapitia had anatuletea video nzur hizi kaz sio lahisi jamn kama tunavyo fikil 😢
Nitafurahi sana nikiona mali yakina Kelvin imerudi mikononi mwao kwa mara ya pili ❤❤ bt mnatuchelewesha sana niko kenya naisubiria next episode kwa hamu sana...hongereni wsna Donta Tv kazi nzr Allah awajazie kheir Inshallah 🙏❤
AYA JAMANI USHAURI NA MAONI YENU TOENI HAPA NA TUTAYAJIBU NA KUYAFANYIA KAZI 🥰🙌
unachelewesha sna mkuu
Kelvin yaani wiki mzima alafu mnarueekea Video ya 22 mins surely 😢
Khaaaa jaman ndo kutufanyia nn hvy tumesubirii mpaka
Fanya muongeze v2 jamani tunasubiri sanampaka tunachoka
Mnachelewesha xna😢
anataka Kelvin arudishe mali zake halafu Tina awe maskini agonge like hapo
Itakuwa rh sanaaah
Yes
Yani mimi ninachotaka kwa Tina sio umaskini tuu Bali uchizi uwe juu yake
haitakiwi, mungu atampa Mali bwana kelvin,kikubwa huwa ni furaha tu ktk haya maisha
❤❤❤❤
Nakupenda sana loveness kama na wewe unampenda love weka like hapa
❤❤❤❤
Mi ushauri wangu bado ni ule ule "hii tamthilia muitungie kitabu ni nzuri na ina mafunzo mengi tofauti tofauti kwa jamii yetu ya kitanzania" isipite tu hivi hivi. Katika tamthilia zote nilizo angalia nakuzitathmini hii ni Super Brand. Santeni sana.
Kweli kabisa. Na wahusika wote wameuvaa uhusika wao vzuri. Especially Lovenes na Tina
@sikudhanimohammad7692 hakika, yaani hii tamthilia maa shaa Allah ...@ Sikudhani
Kweli kabisa inafundisha sana
Toen kwa wakat plz tunajua mnazo kaz nyng na viporo vng hamjavimalza ila tunawaombeen to mjitahd kutoka wakat juen tunawapenda sana Team DontaTv❤
Kazi nzur ila mmechelew tena iko fupi sana mbona kama unakubalian n mm eka like
Namba 1 😂 Tulio na Umoja wa Huba la Loveness na Kelvin Tujuane japo Kwa like tu , huku tukimwonea Huruma mama Candy 😢 Anajuta mwee
😂😂🎉🎉kibox maaajab😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona umenitangulia😢
😂😂😂wewe mi kama nmeona love anaumwa hivi mbona amebadilika usoni😢😢
We mbna comment yko almost sema umetagulia🎉🎉🎉🎉
😃😃 kibox na wewe mpambeee
Hakuna kitu kibaya kama udanganyifu katika mahusiano ,nakuhurumia sana Tina ,ukweli utabainika tu .cheers team nipeni likes 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 from lovely motherland country 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kweli❤❤❤nimeelewa
Hakika
Umesema kwer❤🎉🎉🎉
Yaani nimechungulia hdi nikachoka 😂mnatutesa jamani...
Hunishindi Mimi yaani khaaaa
Jaman tunachok san
Yaaan mm zaid mpk nilikata tamaa😂
Wasema kidog wanatutesa snaaa 😂😂😂
Kama mimi
Mnachelewa mno jamani had ainogi tena mjitahidi kuwahi ila na wapenda sana team kelvin☺️☺️
Kazi mzuri shda moja t unachelew kutoa mpaka unatkata moto,, gonga like kama upo pamoja namm😁😁😁
Mnachelewesha mnooooooo hata hainogi kufuatilia, au ndo trick ya kupata comments nyingiiiii!!!!🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹 Inaboa bhanaaa
Kweli
Wameanz kushiba
@@SamwelNyambalyakuwa na hekima ww
Mhmhmh wewe unadhan kitu rahis ee
Kweli kaka bora nifatilie dunia tu kidg wanajitahid
Wa kwanza kutoka team strong nawapenda sana Kevin na loveness
Kevin Mukosawa kabisa ❤ Nawapenda sana ndugu zangu Tz 🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya
Mumechelewesha sana tena sana lkn hongera team kelvin na loveness nawapenda bure ❤
Waoooo💞tuliisubili sana asante kwa kutuletea kitu tulichokisubili kwa ham sana, like nyingi kwake kaka kelvin💞
Mwatuchelewesha Sana but hongereni kwa KAZI nzuri
Kevn pole sana😅
Ghaiii mbona mnachelewesha hadi nimechoka nikichungulia anyway I want my like guy ❤❤❤😂😂😂
Natamani nimjue.baba wa Denis nimefurahi kuona familia ya Kelvin ikiwa na furaha❤❤❤❤❤❤❤
Denis alilelewa na kusomeshwa na babaake kelvin
Mnazinguwa wahisha kazi on time kevi Sasa kaz ya moto itafika siku utakosa on trending ukiwa unachelewesha
Uyo Denis atakuja Kuwafrahisha Nyie Gamba Family!!!🤣🤣🤣🤣🤣Shaur Yenuuu 🤣🤣🤣🤣🤣Mtafurahiiii
Sio wa kwnz ila nimerauka leo much love from kenya ❤❤
Jamani mnabow bwana mbonammechelew San kutoa mzigo jaman🎉🎉🎉🎉🎉 nipeni lak zangu nawapend san❤❤❤❤❤❤❤❤
Mnachelewesha Sana kupost Ila moto vizuri...❤❤
ACHENI KUCHELEWESHA TUNAWAPENDA SANA❤❤❤
Kitu kimeingia twende nalo jamani nakatoto kazuri kwakweli 💯💯🥀 lovenes
Nawapenda sana move nzuriii ila mnachelewa sana
I'm very happy kujua kumbe Dennis Ako na sisi 💃💃kelvin uko save ...mungu atusaindie .tuone mwaka mpya pamoja tena
Kuna Cha kujifunza hapa kwa Loveness❤... Wadada ❤
Ni kweli kabisa❤❤
Waaah karibu nianguke kwa kukimbia ili niwe wa kwanza tena sikufaulu😂😂😂😂waliokua wakisubiri kwa hamu kama mimi tujuane ❤❤❤🎉
🌹
Ndo ss hapa
😂😂😂😂wee uku watu wanakesha uku hawalali
Mnatuchelewesha kweli lakini mnatoa vitu vya kueleweka nawapenda sana Mungu awabariki Kwa kazi yenu nzuri, hii movie inamafunzo flani ndani yake, kama ulikua unashika darasani basi hata hii movie utaielewatu vizuri sana, hivyo basi twende nalo hadi tamati
Zingatia muda sana ndugu zangu.
Tunasubiria hadi tunakaribiia kukata tamaa ila kazi nzuri.Hongera sana
Mama ni mama hata kama atakukosea vipi ni lazima utamsamehe tu❤❤
Mama kelvin umefanya nimkumbuke mama yangu😢😢
Pole kipnz
Poole hata miimi
Mungu yuko nasi 💔🙏🙏
@@JaneBinyanya amen 🙏
@@ReginaPetro-g4m 🙏
Hongereni kwa kazi safi nawapenda nyote ❤❤ ee mwenyezi mungu tulinde tuvuke mwaka salama 🤲🙏
Mnachelewa kutoa had tunasahau muwe mnawaisha
Amin
yani mm nilichoka kuchungulia kila mda mnachelewesha hamjui tunavyosubir kwa ham jmn tunaipenda hii movie❤️❤️
Ndiyo Kaka Kelvin mnachelewesha sana lakini ongera sana ❤
step father ilienda wapi 😢
iliisha kitambo@@wangoroalice
Kelvin unachelewesha sana kwasababu gani rikiwepo tatizo ina Bidi mutujuze from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hakika mumetengeneza kitu kizuri 🎉🎉🎉mungu awaongoze na muendeleee kufundisha jamii❤❤❤
Mbona mumecherewesha tunawapenda sana kutoka mwoyoni
Nyie mkuje Kelvin kashapost mtoto wa boss❤
Tushafika tayari
Lakini ame tuweka sn
Wanakujaje kwny comment wapigie cm bhn waliopo kwny comment washaona😅
Tumefika ila ametuchewesha sana❤❤
Time come
Wau safi sana donta.....bt boss kelvin uwache kutucheleweshea nawapenda sana donta❤❤
Much love kwa Kelvin na lovenes ❤🎉
Leo nimewahi😅😅munip like yangu tuliosubir kwa Ham 💃💃💃💃tunawapend dan Donta tv
Chanzo cha yote haya kumbe kuna siri kubwa imejificha daaah...yajayo yanafurahisha❤❤❤🎉🎉🎉big up
Atujapenda mnavyo kawia kuposti mjuwe mshatuzoeza siku mbili mbili tunawango mnakuwa msha posti ila mtaniwia razi kwahilo ila na wapenda san
Mmh siku mbili chado peke ykee ndo anaye jua thaman yetu weeengin mmnh
Bana Wacha tuulize itutoke😂😂
Tz umeme changamoto
Mnachelewesha sana jamani ila kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwachelewesha,hata nilikuwa nmesahau,hongereni Kwa Kwa kazi nzuri
Munachelewa na mukileta mnatuletea sehemu ndogo hongereni sana kazi nzur
Ukweli kabsa c basi walete after 3days coz n fupi
Kazi nzuri sana mnatucheleweshea
Time donta unyama ni mwingi dondosha like nazisikiaga tu
Mimi ni Benjamin.nawa fuatilia toka Burundi napenda jinsi munavyo fanya kazi zenu
Ila naona kilio cha bazdhi yetu ni kwamba mmetu chelewesha ban
@@BenjaminMulindawametuchelewesha😢
Mnachelew mno kutoa mov jaman 👌👌
Kazii iendelee 😂😂 sema mnachelewesha sana mamboo
Kazi nzuri saana Tim kevin mungu awabariki tatizo sasa munacelewesha saana
🎉❤
Wa kwanza 🎉🎉haya jifanyeni hamnioni😂😂 ila Kelvin umezidi ndipo yaani unakaaa wiki mbili
Kwa kwel mpka tyusahau kuwa ipo🙌
Napenda sana movies zako kelvin vile napenda loveness❤.....mtuarakishie episode next haki mkaa sana kelvin....from Kenya we love you
Nimekua wa kwqnza kucoment🥰❤nawapenda wote mnaofatilia penzi la mtoto wa boss💝mungu awe nanyi🙏
Jamañ first one leo like hata tano ila kazi nzuri sana japo asaivi mmeichelewesha sana
Una yangu❤
Maoni yangu haki zako zipatine na lovenes mufunge ndoa ❤🎉🎉🎉 from mozambique 👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mm nangoja pale familia y kina Tina kitawakuta kitu kizito 😂😂😂 free love wahusika wote haswaaa Kelvin n Loveness mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kuchelewa ndio mbaya msee karibu tusahau kuwafuatilia yawaaah🇰🇪
Alihamdulih leo nimewah jamn❤❤❤
Sio wa kwanza lakini Leo nimefika kutoka Kenya 🇰🇪
The way nimengoja hii kipindi Acha Tu ❤❤❤❤
Movie ni nzuri sana hongera kwa kazi nzuri, ila sasa muongeze mda jmn episod inakuwa fupi sana, na mnatuweka sana, yaani mnatuchelewesha, muwaishe😂, nawapenda❤
Kaka kwakweli hii movie ulitulia sana wakati una iandika inafundisha sana mungu ukupe ujunzi zaidi🎉🎉🎉❤❤❤
Tunachunga utumaliziye baba kijacho Kelvin tunachunga utumaliziye 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💘💘💘👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Unachelewesha tupe sababu mzee sis ndo wateja wako
That's true your very late to release the episode eeee
Kevi ni jeuri anashindwa ata kujibu maoni ya mashabiki zake
@@ZulekhaRamadhan-k4oyaani hawezi jibu na anajivunia mashabiki zake 😊
Hakuna anaependa kuchelewesha kazi jamn ukiona hivyo kuna sababu zinavyofanya achelewe sisi tunataka tu awahi kutoa video ila hatujui changamoto gani anapitia had anatuletea video nzur hizi kaz sio lahisi jamn kama tunavyo fikil 😢
Kuna episode nyengine wameanza kuact ndo maana wamechelewa@@MimahMhoka
Wa kwanza ❤️ kutoka Kenya
Mnachelewesha sanaaah daaaah yaaan ni more than pain jamany 😭😭😭😭
Mtuongezee dakika tu bc pia mtie ndani ya mda msichelewe ila kaz nzuri sana tupo pamoja from Dodoma bungeni mapemaaaa ushindi 👍👍💯
Wa kwanza Leo kutokea Burundi nipen like zang 😢🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
❤❤❤@@EzechielNitunga-j8q
Burundi turaha 😅😅😅😅
Jamn Kelvin toka nianze kufatilia sijapata like hata moja ila saw nawapenda sana team loveness na Kelvin ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ni kwel kabisa tunaomba muwe mnawahi
😢😢😢
Asante sana kelven nsumbiji tunakupenda sana ila tunacho womba Dada wa KAZIisichelewe sana tunasubiri kwa amu
nawapenda na mvi yenu nzuri aky nawaomba muzid kuiendeleza isiishe haraka ju twapata mawaidha matamu sana ❤❤❤
Mnachelewa sana 😢 hadi tunaboeka bhn kazi nzuri ila mnachelewa alafu dakika chache tena
Naomba mjitahid kuwahisha nawapenda woteee❤❤
Kazinzuri sana Mr kelvin
Tumpe pole mama Kelvin🎉🎉🎉
Wakuu KAZI yenu nzuri saana ila mnachelewa saana kuachia move daah
Nimepata tumaini la Denis kurejesha Mali za babake mlezi mungu naomba umsimamie zaidi Denis aweze kurudisha Mali za babake na kelv
Arudishe mali baba akiwa amefariki inasaidia nini
Kazi nzuri sana Mr. Kelvin🇹🇿
Mm wapili jamani team loveness and klv naombeni like zenu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza Leo naombeni like Zang bc wadau
Waah kuchelewa nayo nani walikuwa wameanza kusahau kama mimi😅😅😅😅
Wangekuwa wanaleta ata dkk 50
Hapo ndo ntakapo kuwa mzimu mapenz shikamoo 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Duh aiseee broo kelvin umeuwa yan hongeren san kwa movi tamu km hiiii asanten ❤
MunacheIewa sana mnatufanya tusaau hiIipoishia usichereweshe movie bhana unakuwa km kitaIe kwenye SAMAHANI ASATE 😂😂😂😂😂
Asante YESU ya duniani ni hapa hapa anae ua kwa upanga vivyo hivyo atauawa kwa upanga
Kuna watu wanaojuwa kuwai, yan nimechalewa 2 kidogo, ndo mme way😮😮😮😮
Mtupatie ratiba maana tunasubiri tukiwa hatujui siku wala saa😂😂
Mnafanya kazi nzuri sana kelvin we loveness
Jamani Léo nimeinjoyi maman Kevin kakubali mwanae
Yaan mnachelewa sana mpak mnatukatisha tamaa..Ila loveness asijichubue ile rangi yake ndo pambe ameshaanza kutok maupele tena usoni
😂😂😂😂😂aki wewe
Dah nlkuwa naitafta hii mesej nsapot😅😅😅
@@SophiaOmare-o7d Kweli aache kupak iyo roshion imemkatas
@@SarahJoseph-r1i Umeona shoger angu
Mnachelewa sana kutuletea sehem zinazofata
Jmnnnnn 😢cc wengn tunaipenda sanah movie hii SS tunaomb jmn usicheleweshe Ni pendwa❤❤❤❤
Jambo donta t.v ni SMS'B OURAGAN toka DRC. Endeleyeni kutulisha matunda bora,mimi nagundi yangu tunamisapoti saana.
Munachelewa alafu muvi ni fupi sana kaka kevin 🎉🎉🎉🎉
Tuko pamoja nanyie kazi nzur sana mungu awape afya tele muendelee kutupa vitu vizur 🙏
Hukuuuuuuuu😂😂😂 Hiiii ni maajabu. Wana dontaa eee njooooooni hukuuuu hatimae imerejeaaaaaa
Mnacheleweza sana , Ila ni nzuri. 🇨🇩
Nitafurahi sana nikiona mali yakina Kelvin imerudi mikononi mwao kwa mara ya pili ❤❤ bt mnatuchelewesha sana niko kenya naisubiria next episode kwa hamu sana...hongereni wsna Donta Tv kazi nzr Allah awajazie kheir Inshallah 🙏❤