Hichi cheo ni cha hali ya juu Sana na anaestahili ni mama pekee. Allah amrehemu mamangu😭😭😭. Amabo bado mama zao wapo waenzini Sana maana mm mlango Mmoja wa pepo ushafungwa.
Mfano wake mama katik dunia bado hajapatikan na sijui Kama ataja tokea. Allah awajaze Kher mama wote katik dunia na kesho Akhera. BAARAKALLAHU FIKHA. YAA USTAADHI
Hino qaswida kiukweli inasisimu Sana usipo jikaza unaeza lia...ila Mungu akujalie maisha marefu ustadh mwenye ulitoa hino qaswida ww na wale wote waliochangia inshaallah ya rabil-alamin
Hakika akuna kama mama hii qaswida naipend kil napo isikiliz machoz yana nitoka Maan mama anapita mengi kwaajir y mtot wake yaan cheo cha Mama akun atakae kifikia Mungu akuzidishie sheikh khafidh🙏🙏
Allah wape umri mrefu mama zetu na waliotangulia wape pepo ya firdaus
Amiin🙏
Yaraabb mlaze pema mamayangu 😭😭😭ustadh mungu akujaz kheri qaswida nzuri sanaa kuhusu mama wenye mama zao wapo Hai waheshimuni mupte radhi etcshukrn
I love mama angu
😭😭😭
Na wewe Allah akupe subra mzidishie dua kwa wingi
Ndugu umenitoa machozi wallah 😢mie pia mama alishafariki Yani naumia Kila nnapo mkumbuka😭😭😭😭
ambao bado tunasikiliza hii kaswda gonga like hapa mwez wa10 2024
Tupo pamoja❤️
Mama,Mama,Mama,mungu akupe afya njema ❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏
Ya Allah mjenge mamangu jumba fil-jannah kama aliviomba nana Asia umjenge jumba pepon ..Aamiin..🤲
Ya rabby mjalie maisha mema mama angu nampendaa sana na kila jambo la kheri liwe juu yake amiin
Ameen yaa Rahman,,Ameen,wahurumia mama zetu,wape yako mema yaa Malik ❤
Ustadh hafidh pongezi sana...natokea kenya mombasa ...twafurahia kaswida yako sanaa maa shaa allah
Kwa kweli mtunzi na mwimbaji anastahili pongezi sana sana kasida nzuri maneno maneno mazuri sana
ewee Mola wangu ! muumba duniaa! Mrehem mamayangu umuondoshee udhia ...(adhabu ya qabri)
Asante mungu kwakunipa mama huyu mjaalie. Kila. Lililo jema awe Ni miongon mwa waja wema. Cku ya mwsho🙏♥️
Nice. Kaswida. Haini ishi hamu maa shaa Allah
Masha Allah Mungu Pepo yake njema Kwan nmejifunza ktu Kwa qaswida yko ustadh hafidh Mungu akujazie mema amiin
Mama zetu wote allah awalipe kila lilokhair maana si kwa shida hizi mlizptia
Amyyyn in shaa allh
Amin
Mama mama❤ Yarab tujalie mama zetu❤❤❤ Qaswida nzuli sana
mama yangu mungu akupe dafutari lako kwa mkono wakulia kilasiku nakukumbuka sana mama yangu kila siku nakuombea mama yangu
Hichi cheo ni cha hali ya juu Sana na anaestahili ni mama pekee. Allah amrehemu mamangu😭😭😭. Amabo bado mama zao wapo waenzini Sana maana mm mlango Mmoja wa pepo ushafungwa.
Kabbisaa mungu awaraham mama zetu
@@nuruabass7833 amin
Nikisikiliza kila mda hulia allah akurehemu mama angu akusameh dhambi zako zote
Allah mjalie mama yang afya njema na umuepushe Kila baya ,umjalie umri mref wenye manufaa umpe mwish mwem. I love you mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashairi Mashallah ! Hongera Ustadh HAFIDH nadhani hii ndio CASIDA nnayo ipenda kuliko zote nolizowahi kuzisikia
Mashaallah Allah bless u Ostadhi hafidh❤❤
Yaarab mjaalie mama angu awe ni miongoni mwa waja wako wema I love you mama popote ulipo tambua Allah akuepushe na kila la Shari
Allah awarehem mama na baba zaetu waliopo mbele ya haki....
Aamin
Amina
MashaAllah 😘 Allah awalinde na kuwahifadhi mama wote duniani 🤲
Amiin
Allah awarehemu mama zetu na walio hai Allah awape afya njema na umri mrefu wenye kheri nao
Mama...the everlasting friend❤❤❤
Mama mamaa hakuna kama mama ewe mwenyezi mungu mrehemu mamangu
Masha Allah mungu awape maisha marefu wa kina mama
Mungu wangu naomba usiku na machana muondochee marathi .mama yangu
I love my mum mungu akupe afya njema na umri mrefu wenye gheri na ww 🙏🙏🙏🙏❤️♥️💯
Penda sana mama nani zaidi Yako Kwa kweli hakuna. Allah mpe mama yangu afya njema na umri mrefu na wamama wote Kwa jumla aamin InshaAllah
Amina.mwenzi.ungu.mpe.msho.mwema.sheewtu.masharwa
Mashaallah nakupenda Sana mama angu Allah akupe umli mlefu afya bora akuepushie na Kira hasadi ❤❤
Mfano wake mama katik dunia bado hajapatikan na sijui Kama ataja tokea. Allah awajaze Kher mama wote katik dunia na kesho Akhera. BAARAKALLAHU FIKHA. YAA USTAADHI
Hino qaswida kiukweli inasisimu Sana usipo jikaza unaeza lia...ila Mungu akujalie maisha marefu ustadh mwenye ulitoa hino qaswida ww na wale wote waliochangia inshaallah ya rabil-alamin
Allah awape afya njema mama zetu walio Hai🥰🥰 n walio tangulia Allah awake pema pepon😢 🙏
Shukraan ustadh hafidh nakupa pongezi 100%
Mam yang mung akupe Umli mref nakupend San mam yang ❤❤ 1:34
Mashaallah Mashaallah bialfi marra. Ujumbe umeendana na ladha ya lahni yenye kugusa moyo. Baraka llahu fiik
Mashallah! Awajalie akina mama zetu na Baba zetu pepo. amin
Mashallaah
😭😭😭😭
ya rabi mjalie mama yangu afya njema🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupenda sana mama angu Mungu akujaze afya ,lnshaAllah
Yaa Allah mjalie mamangu kipenzi afya njema na umri mrefu nizidi kupata radhi zake 🤲🤲 shukran sheikh hafidh Allah akujaze kher kwa qaswida nzuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rabby ghfirly waliwalideiya warham huma kama rabbayani swaghira
Yarabi mjaalie mamaangu mwisho mwema 🙏🙏 na firdaus yakawe makazi yake itakapo fika hatma 😭😭🙏🙏
Mama nakupenda sana Allah akujalie ktk pepo yake
ya Allah mjaalie mam yangu pepo ya firdaus🙏🙏🙏🙏
Allah ampe umri mrefu mamangu nampnda Sana🥰🥰
Mungu wangu nakuomba umpe afya njema mama yangu. Kauli thabit na mwisho mwema. Nampenda sanaa mama angu👏
Allah akujalye kak
Allah awape subra na ustahamilivu mama wote nakupenda sn mamaangu allah akujaalie firdous🥰🥰😘
Heshima kwamama yangu,nampenda sana inshallah
Ya rabbi mjaalie mama yangu hapa duniani na akhera umsamehe madhambi yake
Penda sana mam yangu Allah ampe Afya tele inshallah
Huu wimbo nmeupends sana kaka❤❤❤❤❤
maxhaalh Allah akuzidishiy zaidi kakaang nakupend sn walah 🥰
Hii kaswida kila nikiiskia lazima machozi yanitoke MwenyezMungu awalaze pema wenye wema wazazi wetu waliotangulia namtamani sana mamangu
Allah wajaalie mama zetu pepo ilio yajuu
Mashallah Allah awaafikie mfanye hta zaidi ya hapo
Ya Allah mpe afya mama yangu
Mashalah kaswida nzur mno
Yarab mpe maisha mema mamangu na umjalie awe miongon mwa wazizi wema🙏🙏🙏🙏🙏
Mashllah naipendasana na nakupendapia ostath
Mama hana wa kumzidi, mama jamani mama!
😭😭 MAMA NI MAMA TU HAKUNA AWEZAE KUZIBA PENGO LAKE
Naenda sana kasida zako wewe saluti
Napenda sana ma yangu❤❤❤
Mashallah Allah ampe umri mrefu mama yngu
Allah amlehem mama yangu😭😭😭
Mungu amjaze kher mama yngu❤️
ALHAMDULILLAH
MWENYEZMUNGU AMREHEMU MAMAYANGU NA BABAYANGU WAPENZI WANGU.....MUNGU AWAONDOSHEE ADHABU ZA QABRI AWAJAALIE MAQABRI YAO YAWE VIWANJA VYA
😣mungu awa remu Waze wetu atupe mwisho mwema na sisi inshallah
Hakuna jamani hiki cheo atakayepata 😭
Mashallah Allah akulipe kwa maneno yako adhim
Hongera sana mungu atakubarki 1:30
Ilove my parents ALLAH gives jannat my parents (our parents) jannat nagheem firdaus.
Hongera ustadh hafidh
Jamani mm nataka qaswida za hafidhi zote please nazipataje
mashaalah penda mama
Allah ampe mwisho mwema mamayangu mzazi aaaaamiiiin
Allah akuzishie kher kwa hiki kipaji chako kaka
𝐽𝑎𝑚𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑝𝑒𝑛𝑧𝑖 𝑛𝑎𝑜𝑚𝑏𝑒𝑛𝑖 𝑎𝑢𝑑𝑖𝑜 𝑦𝑎 ℎ𝑖𝑖 𝑛𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑠𝑖𝑖𝑝𝑎𝑡𝑖
Jaman mam ni mam mpaka kiama
Mashallah nsuri
Twaribu Abdallah
Nakupenda mama 😭😘😘
Tuwafanyien wema Na ihsan wazazi
Cheo chake mama yangu
Mung akuzidishiy Kila la kheri
Amina
Mashalwah
Kwakweli unaweza kaka
I love you ❤️ mammy ❤️❤️❤️❤️😢
Cheo chake mama yang hakuna aliye pitia
Mashallah I love you ❤️ mumy
Well done
Maashaallah
Allahumma amin
Amin yarrabil alaamiin
Mama mama mama
Twawa pendaaa sana wazazi wetu mungu awazidishie umri mrefu
Mama mama mama daraja zake nikubwa
Hakika akuna kama mama hii qaswida naipend kil napo isikiliz machoz yana nitoka Maan mama anapita mengi kwaajir y mtot wake yaan cheo cha Mama akun atakae kifikia Mungu akuzidishie sheikh khafidh🙏🙏
Mama
Mashaalla mama mama mama nakupenda sana huna misili ktk hii dunia
❤❤❤
🎉🎉🎉
I love you mum
Cheo chak mama yang
Kaswida yangu pendwa