UISLAM DINI YA KWELI, TIZAMA MIUJIZA 5 INAYOTHIBITISHA QUR AN KITABU CHA ALLAH NA UISLAM/SHK SLEIMAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #AdilAbdallah #ShkSuleimanBinAbbas#DarsaLaShekhShahran #SheikhMselemBinAly
    Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

ความคิดเห็น • 40

  • @hassanlibingai8811
    @hassanlibingai8811 ปีที่แล้ว +1

    MashAllah, Mwenyezi Mungu ametupendelea kuwa na Sheikh anaejuwa vizuri Qur'an na Sayansi ya Kidunia. Hakika hii ni Hazina kwetu Waislamu wa Tanzania

  • @aishamohamed9981
    @aishamohamed9981 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah akufungulie milango ya ilmu.... Nasisi tuone umuhimu wa kuwafunza watoto wetu dini na dunia...

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah akuongeze knowledge

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Allah akuhifadhi inshaallah.

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 2 ปีที่แล้ว +4

    Maashaalah Allah akulipe sheikh tunashukuru sana kwa elimu unayotupa allaah atujaalie tufaidike na elimu ulioneemeshwa na allaah mtukufu

  • @faridathman3841
    @faridathman3841 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah ampe umri shekh huyu hakika elmu hapa ipo

  • @abdullahjuma3926
    @abdullahjuma3926 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah
    Wafunze au tufunze Mungu atakulipa inshallah

  • @cassimmuller2628
    @cassimmuller2628 2 ปีที่แล้ว +2

    Manshallah nakukubali sana sheikh wangu

  • @mwawillahchops6493
    @mwawillahchops6493 2 ปีที่แล้ว +1

    ALHAMDULILLAH Allah akupe mema

  • @yahayamsagati2622
    @yahayamsagati2622 2 ปีที่แล้ว +1

    MashAllah Mwenyezi Mungu akuzidishie

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah ❤❤❤❤

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 2 ปีที่แล้ว +1

    Marshallah Ustadh jazakallahu kheri

  • @rahmakutitu4875
    @rahmakutitu4875 ปีที่แล้ว

    Maashallaa ribarikiwe tumbo lililo kuzaaa

  • @HamisIsmail
    @HamisIsmail 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah😊

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 ปีที่แล้ว +2

    الحمد لله رب العالمين،جزاك الله خيراً

  • @khatibumsekeni322
    @khatibumsekeni322 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH

  • @othmanhaji8668
    @othmanhaji8668 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa-Allah... Shekhe Yuko Vzuri Sana...Je...yupo mskiti gani?

  • @khatibumsekeni322
    @khatibumsekeni322 ปีที่แล้ว +1

    The miracle of the miracles

  • @ezekielmahogwa2602
    @ezekielmahogwa2602 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallaa

  • @saidagalu2914
    @saidagalu2914 ปีที่แล้ว

    Allah akbar ahsante

  • @omarjinialy3356
    @omarjinialy3356 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

    Quran

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu bila shaka ni mwalimu wa sheikh Dr sule me ndo kwanza nimsikie Leo Ila ukweli ni kwamba 99.9999% nahisi ni mwalimu wa Dr sule

  • @mavumbaabdallah8478
    @mavumbaabdallah8478 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli

  • @jimmyjimmy5094
    @jimmyjimmy5094 2 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar

  • @PetFamilyCute981
    @PetFamilyCute981 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama sikosei anaitwa sheikh hassan kisingo

  • @omarjinialy3356
    @omarjinialy3356 2 ปีที่แล้ว +2

    Naomba jina la sheikh huyu

    • @hassanmwinyi7046
      @hassanmwinyi7046 2 ปีที่แล้ว

      SHEIKH ANAITWA SHEIKH
      ABBAS ANAPATIKANA MARKAZI KUU GONGOLAMBOTO DARE ES SALAAM

    • @kombosquare3642
      @kombosquare3642 2 ปีที่แล้ว

      Suleiman Abbas

  • @nathanwakitaa8875
    @nathanwakitaa8875 2 ปีที่แล้ว +2

    dah hatari sana Quran ni muongozo bac tuufate!! subhanaka

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 2 ปีที่แล้ว

      Inamaana mpaka leo ulikuwa hujui ndg yng Qor-an ukiisoma vzr ukailewa utajifunza mambo mengi ni KITABU ambacho hakina mfano tumebezi kwenye maisha ya kidunia mambo ya mwenyez Mungu hatutaki kuyafata tunafeli na tunabaki kuwa wajinga

  • @junaidsaid6144
    @junaidsaid6144 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh anapatikana msikiti upi jamaniiii????

  • @bilalimketo5978
    @bilalimketo5978 2 ปีที่แล้ว

    Kwanza kabisa nimshukuru m/mungu kumleta mtu kama huyu na tunamuomba m/mungu atuletee wengi kama hawa kwa mapenzi yake, Ila mimi ninamuomba sheikh atuelezee kua majini ni akina nani kiasilia maana mimi huwa natatizika kuhusu habari hizi za majini

    • @Hassan.Nassoro
      @Hassan.Nassoro 10 หลายเดือนก่อน

      Neno Mungu huwa linaandikwa kwa herufi kubwa zingatia hilo Inshallaah 🙏

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/5UXoluZxSac/w-d-xo.html MUINGILIANO KATI YA DINI YA KIKATOLIKI NA UISLAMU HIZI ZOTE NI DINI MOJA

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/5UXoluZxSac/w-d-xo.html UKATOLIKI NA UISLAMU NI DINI MOJA

  • @AhmedHamisi-xh1mc
    @AhmedHamisi-xh1mc 11 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndo watu wanaopaswa kupewa muda zaidi kwenye media sio wale wakina mwamposa na maji yao ya kikafiri

  • @dicksonassery5083
    @dicksonassery5083 2 ปีที่แล้ว +1

    nahapa tusemeje mkuu tutafsirie 😂😂😂😂 wazee ivi jina la Yesu ni lipi.?? ukielewa hapa utajua kilichosemwa.
    Marko 16:15.,16.,17.,18.
    15. Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa. 17. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; 18. watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.