2 - NEEMA YA MUNGU INAVYOKUJULISHA NA KUKUONDOLEA KILICHOKUKWAMISHA || Mwl Christopher Mwakasege.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @JuhudiKyando
    @JuhudiKyando 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akupe miaka mingi zaidi Mwalimu na Mungu aone kwamba anatoa vyote kwako kuja kwetu,asibakize ili tunufaike iwe Kwa njia ya maandishi au sauti.Mungu akutunze na akupe neema yake.

  • @wemawestern1971
    @wemawestern1971 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu naomba mume sahihi maishani mwangu

  • @elifarijijackson4258
    @elifarijijackson4258 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nami pia Yesu unisikie, unikomboe akili zangu na maisha yangu yote kupitia damu ya Yesu katika neema yake.

  • @gloryshayo9966
    @gloryshayo9966 9 หลายเดือนก่อน +14

    Yesu kristu nikumbuke na mimi siku kama ya leo ikawe ushuhuda mkubwa kwangu na familia yangu

  • @saraphinaluhwago112
    @saraphinaluhwago112 9 หลายเดือนก่อน +4

    Amen,Akili yangu na familia yangu zikombolewe kwa msaada wa Neema ya Mungu

  • @wemawestern1971
    @wemawestern1971 9 หลายเดือนก่อน +2

    Neema Yako Mungu inifuate me na ndugu zangu wote na familia yangu yote amuna

  • @justicemollel4928
    @justicemollel4928 9 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Mungu kwa kumpa neema Mtumishi wako Mwalimu Mwakasege aweze kuachilia neema ya kutusikizisha neno lako la msaada lenye kuweza kutuweka huru akili, fikra na ufahamu zilizoshikwa na ibilisi kutugamiza tusione fursa zilizopo. Pokea sifa Bwana wa mabwana Mungu wa neema .

  • @ThomasMapunda
    @ThomasMapunda 9 หลายเดือนก่อน +2

    Àsante MUNGU Kwa mtumishi wako kutuletea chakula Bora Cha kiroho

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Yesu Mungu wetu. Mungu akubariki sana Kwa mafunuo haya Mungu amekufunulia kutufundisha ss watu wake. I am so blessed. Our Lord Jesus bless u and MANA at large. Amen

  • @rozaliayamaygidonay
    @rozaliayamaygidonay 9 หลายเดือนก่อน +5

    Neema y mungu iniangazie Mimi na familia yangu na uzao wangu

  • @fadhillwitiko
    @fadhillwitiko 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen my father ❤❤

  • @LucyGidamis-o5k
    @LucyGidamis-o5k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yangu afunguliwe. Neema ya Mungu iwe pamoja nae

  • @user98771
    @user98771 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu asante kwa somo..hili somo ni zito watu bado hawajalielewa vizuri tunaomba leo Roho Mtakatifu alichakate kwenye level yetu Baba tuelewe vizuri

  • @marymonge5512
    @marymonge5512 4 หลายเดือนก่อน

    Neema ya Mungu ikatembelee akiri za mwanangu gabriela

  • @zelotemollelyangaushindims8127
    @zelotemollelyangaushindims8127 7 หลายเดือนก่อน

    Amen yesu usinipite

  • @LiciaKiwale
    @LiciaKiwale 8 หลายเดือนก่อน

    Eeh mwenyezi Mungu nakushukur Kwa hatua niliyofika had saiv naomba uzidi kunizidishia neema Yako iniongoze katika maisha yangu

  • @zainabukimaro9805
    @zainabukimaro9805 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana. Yesu usinipite

  • @janechengula2833
    @janechengula2833 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Neema ya Mungu ipite kwangu na watoto wangu nawaleta kwako

  • @pascalmndeda2438
    @pascalmndeda2438 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen,neema ya Mungu ipite kwangu,kwenye familia yangu.

  • @EliaNganyange
    @EliaNganyange 9 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Mungu Kwa SoMo hili la neema

  • @wemawestern1971
    @wemawestern1971 9 หลายเดือนก่อน +2

    Neema Yako Mungu ifungue milango ya kuolewa kwangu

  • @heradiussdereck2257
    @heradiussdereck2257 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Bwana Yesu kwa neema yako ya msalaba, nakiri nimefunguliwa na kupona, Amen

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Akili zangu ziiunganike NA Neema yako mungu nikombolewe.

  • @twidikagejoel1892
    @twidikagejoel1892 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Yesu nisaidie kuukomboa wakati wangu,kukomboa fursa zangu,kukomboa nafasi yangu,kukomboa mavuno yangu🙏

  • @GwamakaAmosi
    @GwamakaAmosi 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu kupitia ibada hii ikawe uponyaji wangu na familia yangu kila nguvu ya uchawi na kila kilicho kinyume na mapenzi yake kisipate nafasi

  • @SarahMollel-ul5um
    @SarahMollel-ul5um 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu Asante kwa neeema yako

  • @tullasam9645
    @tullasam9645 9 หลายเดือนก่อน

    Neema ya Mungu ikatawale family and ndoa yangu

  • @ApaiNyange
    @ApaiNyange 9 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa Bwana!!

  • @joycemcharo936
    @joycemcharo936 9 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi wako

  • @yakobcharles5011
    @yakobcharles5011 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana Mhe. Mchungaji Mwakasege. Mafundishó haya yanakomboa futuré na akili yangu.

    • @legendadrian
      @legendadrian 9 หลายเดือนก่อน

      Ni Mwalimu Mwakasege na sio mchungaji

    • @yakobcharles5011
      @yakobcharles5011 9 หลายเดือนก่อน

      @@legendadrian
      Ubarikiwe ndugu, nimekosa lkn mchungaji ndio anayelisha kondoo. But it's Okay uko sawa kunisahihisha Ahsante Sana.

    • @legendadrian
      @legendadrian 9 หลายเดือนก่อน

      @@yakobcharles5011 Baraka ziendelee kukaa nasi sote. Title ya Mchungaji inatokana na Kuchunga zaidi na kulisha ni Sehemu mojawapo ya kazi ya Mchungaji. Mal. Mwakasege anakazi ya kutupatia nano la Mungu lakini sio yeye anayetuchunga na ukimsikiliza hata na yeye anamchungaji wake. Ila sio mimi nimeamua kumpa jina ila endelea kumsikiliza video zake nyingi utaona kwanini yeye ni Mwalimu na sio Mchungaji.

  • @rachelanaeli6246
    @rachelanaeli6246 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen🙇🙇🙇

  • @JemaMbwilo
    @JemaMbwilo 9 หลายเดือนก่อน

    Amina Neema ya Bwana ifungue Taifa letu Tanzania

  • @antiaelizeus-jn5rx
    @antiaelizeus-jn5rx 9 หลายเดือนก่อน

    Ameeen 🙌🙌🙌

  • @tullasam9645
    @tullasam9645 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ENOCKkahusimaendeleo-hv9kw
    @ENOCKkahusimaendeleo-hv9kw 9 หลายเดือนก่อน

    Amenee

  • @rozaliayamaygidonay
    @rozaliayamaygidonay 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen sanaaa

  • @AdelinaDaudi-u2r
    @AdelinaDaudi-u2r 9 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 amen

  • @nurungendelo1023
    @nurungendelo1023 9 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @Kasihwaki
    @Kasihwaki 9 หลายเดือนก่อน

    🤲

  • @maryjohn1235
    @maryjohn1235 9 หลายเดือนก่อน

    EEEH YESU NISAIDIE KUKOMBOA WAKATI WANGU NA KUKOMBOA FURUSA ZANGU KUKOMBOA NAFSI YANGU

  • @danielipimilo2956
    @danielipimilo2956 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jessica Daniel ,,maria samson

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 9 หลายเดือนก่อน

    Nina kusifu MUNGU WANGU Nina kusifu wewe ni mwema

  • @ZayAshery
    @ZayAshery 9 หลายเดือนก่อน

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 2 หลายเดือนก่อน

    Fursa yako nifursa yaMungu.

  • @Rosepeter001
    @Rosepeter001 9 หลายเดือนก่อน

    Siku ya jana nimepata mafunuo makubwa sana

  • @victoriaowen909
    @victoriaowen909 9 หลายเดือนก่อน

    Safari hii upendo hujaweka mwalimu😢

  • @frankcharlesshayo3855
    @frankcharlesshayo3855 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @barakamapasa2947
    @barakamapasa2947 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @endaelkamala8068
    @endaelkamala8068 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @StephanoMashauri
    @StephanoMashauri 9 หลายเดือนก่อน