SHEIKH MWAIPOPO AFICHUA MAFUTA YA AJABU DAR /YANAFUKUZA MPAKA MAJINI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @ilhamswaleh3428
    @ilhamswaleh3428 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh tulia neno Allah sio mungu mda wote

  • @hassanabubakar3001
    @hassanabubakar3001 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh Firdaus from 🇬🇧

    • @aliasidi6942
      @aliasidi6942 5 หลายเดือนก่อน

      Kkij9ĝhh59k4g
      Hfgpnu

  • @sirbussongo4490
    @sirbussongo4490 ปีที่แล้ว

    Mimi nakuelewa sana.

  • @mostaphanakudiwa6479
    @mostaphanakudiwa6479 3 ปีที่แล้ว

    mh jaazangu mm mostapha comments zenu nimeziona kwa shekhe ilaa hamna Aliye kamilika mmekosea baazi ya coments zetu tatizo la sule lilipelekwa kwa shekhe kishk .na mazinge na voice ziliwekwa hazalani shekhe Alisimama kwa Ajili ya wadhili wote haina maana kwamba sule hajui dawa yoyote kwa nilivyo helewa mm lakin.

  • @ghulamyassintv4825
    @ghulamyassintv4825 3 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/w-d-xo.html
    ☝️ Ukitaka kufanikiwa kimaisha fanya Mambo haya matatu

  • @kennah03m
    @kennah03m 2 ปีที่แล้ว +1

    Shehe ulkua unamponda dr sulle ili wateja wakufuate wewe??? Msiba huu

  • @shufaamujarabu2705
    @shufaamujarabu2705 3 ปีที่แล้ว

    Acheni utapeliii

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Acha apige hela

  • @hafidhhafidh2736
    @hafidhhafidh2736 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe unazinguwa sana nilikuwa akuelwa sana ila asaiv nakuona na wew ufai kwasabab ulisema sure ana elim ya tiba, asa na wewe iyo elima ya tiba umeipat wapi acha na wew uwo ni wizi lazima tuambiane ukweli

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV  3 ปีที่แล้ว +2

      Tena mtu mwenyewe unaitwa diegoo halafu Mimi siongei na wahuni naongea na watu wenye akili

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 ปีที่แล้ว

      @@SHEIKHMWAIPOPOTV 😁😁😁😁🤣🤣🤣 Ahsante sana Sheikh kwamrejesho

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV  3 ปีที่แล้ว

      @@DonMooSTUDIO_Express umesema Mimi mwizi nani nimemuibia siitaji kumuibia mtu ntakula haki yangu hata Kama ni kidogo hicho kinanitosha ndicho alicho Nipa mungu wakristo waislamu wananijua siitaji kuzurumu haki ya mtu Kama Kuna mazaifu ni yakibinadamu tuu Mimi sio malaika

    • @hafidhhafidh2736
      @hafidhhafidh2736 3 ปีที่แล้ว

      @@SHEIKHMWAIPOPOTV shekhe ukweli lazima usemwe acha me nimeuliza elim umepat wap ya kutoa tiba

    • @hafidhhafidh2736
      @hafidhhafidh2736 3 ปีที่แล้ว

      @@SHEIKHMWAIPOPOTV shekhe unaa tuhebisha sis ambao tulikusapota wakati wakati ukimsema sur asa leo unafanya nin shekhe

  • @shufaamujarabu2705
    @shufaamujarabu2705 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ulimpiga vijembe Dr Sulley kua hajui tiba, Leo na wewe umeona tiba Zina maslahi sioo.. nilisha kugundua wewe ulikua unatafuta Kiki ya kupata fans!!

    • @mostaphanakudiwa6479
      @mostaphanakudiwa6479 3 ปีที่แล้ว

      mmh ww daa!

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 3 ปีที่แล้ว

      Kweli atwambia kapata wap cheti cha kutibu km alivosema sule sio doctor

    • @ilovejesus666
      @ilovejesus666 3 ปีที่แล้ว

      Wew mwenyewe mwizi et unauza fusho chafu duh acha ujinga

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 3 ปีที่แล้ว

    Sadaka za mihadhara hazipo tena. Njaa imekupa ubunifu, sio mbaya ila chunga shirki isikumeze

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 3 ปีที่แล้ว

    Muongo hayo ni mafuta ya upako

  • @michaelvicem6323
    @michaelvicem6323 3 ปีที่แล้ว

    Mwiz mganga mkubwa

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/w-d-xo.html

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV  3 ปีที่แล้ว

      Mwenye elimu ya tiba no mtume sio sure Wala Mimi uwezo wako mdogo wa kufikiri sio razima nisikilizwe na mkristo Kama wewe hata mwanzo sijakuambia unisikilize Wala unielewe

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV  3 ปีที่แล้ว

      Punguza kisokolokinyo unakua Kama shetani

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 ปีที่แล้ว

      @@SHEIKHMWAIPOPOTV lakini najua anaye andika haya sio Sheikh Mwaipopo ni wasaidizi wake. Sheikh hawezi kuandika haya abadan

    • @michaelvicem6323
      @michaelvicem6323 3 ปีที่แล้ว

      @@SHEIKHMWAIPOPOTV kuforce kupata maisha waislamu skuizi wagumu kutapelika,,kama jitangaze mganga tuje kutibiwa

  • @shufaamujarabu2705
    @shufaamujarabu2705 3 ปีที่แล้ว

    Mwizi weweeeeeee, njaaa tuuu zinawasumbua matapeli wakubwa nyieeee

    • @mostaphanakudiwa6479
      @mostaphanakudiwa6479 3 ปีที่แล้ว

      humelewa ukatia Akilini kaka

    • @ayubumsigwa5538
      @ayubumsigwa5538 3 ปีที่แล้ว

      Wiz wake ni nn? tupe dalili za wizi wake

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@ayubumsigwa5538 Mwaipopo anasema Friji ilikuepo wakati wa Ayubu 😂😂😂

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 ปีที่แล้ว

      Kakuibia sh ngp

    • @omarbyz8695
      @omarbyz8695 3 ปีที่แล้ว

      Weee inawezekana ndio mwizi no 1 mpuuzi wewe