Serekali kama mnataka anzisheni Dini yenu,acheni kuingilia Dini yetu - Sheikh Ponda | Kundecha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @Mtumishi755
    @Mtumishi755 ปีที่แล้ว +1

    Dalili ya wakati wa Mwenyezi Mungu katika taifa ni kuinua watu wa dini zote kuikosea waziwazi pasipo woga serikali iliyo madarakani. Shekhe Ponda Allah akubariki na kukuongoza.

  • @MaalimuIslaamu
    @MaalimuIslaamu ปีที่แล้ว

    Allah Tunakuomba utujalie kufa kwetu tufe mashahidi, utunusuru ,uwahifadhi masheikh wetu pamoja na wanazuoni wetu wakiongozwa na Maalim ponda Issa ponda Allaahumma amiin Inshaallah

  • @hamisially-c4x
    @hamisially-c4x วันที่ผ่านมา

    HUYU SHEKHE NAMUELEWA SANA

  • @NazalaliHakika
    @NazalaliHakika 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akulindeni viongozi wetu haki tuipate

  • @tripplescholarsforsuccess9677
    @tripplescholarsforsuccess9677 ปีที่แล้ว +2

    Sahihi Shehe wangu, waanzishe dini yao maana tumechoshwa.

  • @kulthumbashiru864
    @kulthumbashiru864 ปีที่แล้ว

    Maashallah shekhe asiogopa mwanadam hakika allah atakusimamia

  • @yapukahassan
    @yapukahassan ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana shekhe wangu

  • @hassansalim-ke9cb
    @hassansalim-ke9cb ปีที่แล้ว

    Napenda sana msimamo kwakweli nimeelewa Allah atujaze imani natuwe imara

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 ปีที่แล้ว

    Shekhe ponda nakukubali Sana, yani tuwe makini na Hawa viongozi wa mshahara wasioheshim katiba.

  • @fatimajuma8900
    @fatimajuma8900 ปีที่แล้ว

    Allah Subhaana akuhifadhini nyiye wasenaji wetu na atuhifadhiye dini yetu na hasada zawo ziwapunduwe wenyewe

  • @san-africacare7638
    @san-africacare7638 ปีที่แล้ว

    Allah awajalie kheri MashaAllah zetu, Tupo Nyuma Yetu tuamrisheni Tutafata...

  • @lylywise9385
    @lylywise9385 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ...allah akuhifadh

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed ปีที่แล้ว

    Alhamndulillah,Serikali ishirikishe Mashehe kuandaa Mtaala wa Dini. Na Walimu wawe Mashehe hata Maimamu kama ilivyokuwa Awali.Serikali iajili Walimu wa Kiislamu .Wakufunzi wa Kiislamu washirikishwe.Alhamndulilaah

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 ปีที่แล้ว

    Mashekhe wetu tunawaaminia hapana msikibali kutupitishia ibilisi katikati ya uislam

  • @jumahozza-dg6ec
    @jumahozza-dg6ec ปีที่แล้ว

    Sahihi kabs hapo serikali imevuka mipaka kwakwel dah mungu ainusuru hii dini kwakwel

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy ปีที่แล้ว

    Allah awajalie inshallah

  • @rajabsalum98
    @rajabsalum98 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajalie kheri

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 11 หลายเดือนก่อน

    Samiya akumbuke yy anajiita muislamu asijali siyasa na duniya na cheyo😊

  • @fadhilfathamula4224
    @fadhilfathamula4224 ปีที่แล้ว

    Tupo nyuma yenu mashekhe wetu

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 ปีที่แล้ว

    Allah awabaarik sana!

  • @jumu1964
    @jumu1964 ปีที่แล้ว

    Allah awalinde vingozi wetu wa dini

  • @MuuYascohy-oc7os
    @MuuYascohy-oc7os ปีที่แล้ว +3

    Nyie mnaangaika bure tu wenzenu Bakwata washakutana na serikal washachukua chao na ndo mana wapo kimya kbsa na wafundishaji watakuwa wao Bakwata upuuz wataajiriwa na kulipwa mishahara kinachotuumiza waislam ni unafiki hatuna umoja na njaa hivi vitu kila siku tutakuwa watu wa kufarakana tu

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 4 หลายเดือนก่อน

    Si vizuri kuchezea vitabu vya dini. Serekali iunde katiba yake lkn imani isingiliwe.

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 ปีที่แล้ว +1

    Sheykh ponda kidume

  • @florapetro-pn1og
    @florapetro-pn1og ปีที่แล้ว

    Shalom shalom, kwakweli mimi mchungaji nimekuunga mkono, watumishi wa umma wakitaka kupigwa na Mungu ingilie dini za watu,kweli serikali ianzishe dini yake

    • @omaryally4278
      @omaryally4278 ปีที่แล้ว

      waache watuchokoze wanatujua vzr wakiona tupo kimya wanatuchokoza

    • @SelemanMakau
      @SelemanMakau ปีที่แล้ว

      @@omaryally4278 minaona watu wkechoka amni,hi ilokuwepo,lkn wajue tu mutatauua kwa kupinga ilo Kama Kama kawida ya selkali hi,lkn wajue kabisa,kule kwa mkapa mtu ataondoka mmja na wataondoka maelf ya watu so atuopi kufia imani na ndo itakuwa mwisho wa mikusanyioo nchi hii, myi twendeni tu,so tushachoka,wantaka kituvuruga lakn uku kwenye jammii tuko pamoka watanzanoa wote,msisauau I'll sisi atutaki kutuingolia kwenye dini kwa sababu,yoooooote kwenye qur-ani Allah alishakamilisha,nandokana alimchukua mtume wake acheni bakgi.

  • @rukiaomar7828
    @rukiaomar7828 ปีที่แล้ว

    Jazakallah kheir

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +4

    Tz Matatizo yote ya dini hususan Ya kiislam n BAKWATA , Chunguzen sana hıı kıtu
    Leo mashekh wanateswa maabusu huko lkn BAKWATA hata kunyanyua sautı
    Mtu wnaeekwa mnali na
    1- Familia yake
    2- mke wake
    3- Godoro lake
    4- nyumba yake
    5- waımin wake
    Anaenda kuweka maanusu chumba ambachoo hakuna godoro kula kwake n kwa shda muaka 8-9 .
    Kweli ubünadamu huu??
    Mbona hatujasıkua Askof kakaa Maabusu humoo????
    Asbunallah Allah waneemail wakiil.

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 ปีที่แล้ว

      😭😭😭

    • @swahibually8349
      @swahibually8349 ปีที่แล้ว

      Hivi kwenye Bakwata kuna sehemu/kipengele Gani hasa kinachokua tatizo?

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 11 หลายเดือนก่อน

    Wamelewaa wamesahauu Kama wameumbwa

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 ปีที่แล้ว +1

    wana zani hiyo ni bandari tuta fikishana pabaya huko ndio wataujua uislamu nini nimesha waeleza siku zote hata akiwa mtawala anajita muislamu tusikubaliane nayo yalio tokea kwenye bandari ndio hawa hawa wahuni sasa tunakula nao tunasema hawana mazara pia ina wezekana wamewatupia waislmu hili dudu ili kuhamisha mjadala wa bandari

  • @AdamPaulo-x2k
    @AdamPaulo-x2k 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee kamateni na kutiya ndani miaka 100😮😮😮

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 3 หลายเดือนก่อน

      Unatombwa akil ww na ukoo wenu mzim

  • @NasmaAlly-jc6sg
    @NasmaAlly-jc6sg ปีที่แล้ว +2

    Watuachie dini yetu

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 ปีที่แล้ว +1

    SHETANI WA CCM HATAWAACHA WAISLAAM NA DINI YENU! SEREKALI NA VIONGOZI WOTE NI CCM ILA KIONGOZI WAO NI SHETANI👀👀😱😱

  • @brianmunde4415
    @brianmunde4415 ปีที่แล้ว

    Wata pigwa viboko za ALLAH

  • @husseinnurdin6999
    @husseinnurdin6999 ปีที่แล้ว +2

    Mfumo kristo bado ni tatizo nchini, kikubwa zaidi panahitajika mshikamano na umoja zaidi wa hali ya juu kwa waislamu ili kuepukana na matatizo kama hayo.

  • @zaneenbeauty
    @zaneenbeauty ปีที่แล้ว

    Na bado si mnawatetea 😂😂😂😂

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 ปีที่แล้ว

    hawa mnawaunga mkono sana hasa katika hili la bandari sasa hivi wamewarudia lini serekali ika wa treat waislamu vizuri leo mna watetea hawa ni kuwapinga wanajua sisi ndio daraja la mnge aza na hili la bandari kataeeni haya ni makufari mkicheza nao mkasema huyu ni mwezetu na ndio huyo muislamu yuko madarakani tutabaki na waisilamu majina

  • @KhalifaKibeku
    @KhalifaKibeku ปีที่แล้ว

    Wanaanzaga kwa kutesti mitambo waangalie tutapokeaje? Wakiona mnawaka na mnakinukisha wanaacha.

  • @shamte9musicofficial126
    @shamte9musicofficial126 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar ,

  • @mohamedijuma7406
    @mohamedijuma7406 ปีที่แล้ว

    Sauti ndogo sana kwenye video

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm ปีที่แล้ว

    Hapa point hasa imeelekezwa Kwa waislamu na sio vyengine wanataka kutuwekea vitu vya ovyo viongozi wajuu chukueni hatua

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 ปีที่แล้ว

      Wanajuwa hao wengine hawana Dini ya kweli, hujitungia na Kufuata/Kuamini Miongozo ya hovyohovyo. Hivyo siku Zote Duniani Serikalinza KibinAdam hutunga Sera, Sheria na Hukmu za kuukandamiza/Kuufuta UISLAMU Ktk Uso wa Dunia !
      Afu ajabu eti haohao Watendaji wa SERIKALI wanazo Dini (Waislamu/Wakristo) wanadhani Mungu hatawaadhibu eti kwavile wao ni Watendaji/WATUMISHI Wa SERIKALI na Serikali haina Dini !!!

  • @AdamPaulo-x2k
    @AdamPaulo-x2k 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani mmekusanyana ili kutuletea udini ndani ya serikali yetu kisa Palestina mukafie mbali

  • @ZyidSeleman
    @ZyidSeleman ปีที่แล้ว

    Mpaka tufe ata vyeti ni wizi kuwAibia waislamu

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 11 หลายเดือนก่อน +1

    yy atakamatwa na polisi ww utakamatwa na muungu fala

  • @RaphaeljMdimi
    @RaphaeljMdimi ปีที่แล้ว

    Rest in peace MAGUFULI

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 ปีที่แล้ว

    Hiyo dini ya uongo imeanzishwa marekani wanasoma qroan kama sahihi kumbe wanapotosha

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka tena watuache wasitutafute 😡😡😡

  • @munic6686
    @munic6686 ปีที่แล้ว +1

    Propaganda za nchi za magharibi kuuharibu uislam tuwasomeshe sana watoto wetu nyakat zijazo zitakuwa na changamoto zaidi hawa mashekh leo wapo kuna siku hawatakuwepo...

  • @nuruhassan9707
    @nuruhassan9707 ปีที่แล้ว

    Makubwa

  • @mohamedkiyungi4867
    @mohamedkiyungi4867 ปีที่แล้ว

    Kama mambo yako hivyo ni hatari sana muongozo wa uisilamu ni Quran na Sunnah za mtume wetu kubadilisha chochote katika muongozo au kuwabadilishia waisilamu muongozo wa uisilamu hawa jamaa wana andaa fujo mpya maana wanaonekana wamechoshwa na amani hii ya uongo

  • @swalhawerema57
    @swalhawerema57 ปีที่แล้ว +1

    Kama kuna kotuwanaakitafita kwenye dini uetu waseme sio waaze kuzunguka mmbuyu wakati wanaend juuu ...😡😡😡ni nin khaswaa wanakitafuta

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Wanazunguka mbuyu wakati wanaendaa..!!! 😂😂

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 ปีที่แล้ว

    5

  • @munic6686
    @munic6686 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu khaira