Very nice,those changes of curriculum with effective supervision of our government will help to build astrong nation with skilled and knowledgable peole.
Also training to primary teachers and secondary schools would be provided to enable he/she to perform well task of teaching theoritically and practically,teaching technics would be transformed to enhence work of training
Kwenye mabadiliko haya watekelezwaji( walimu) wameachwa sana! Wengi wanapambana kuhakikisha wanayafikia malengo waliyoagizwa na sio ujuzi walio nao! Walimu wakumbukwe kwenye mafunzo na si mwalimu mmoja then aje awafundishe wengine! Mwl awezeshwe🤔🤔
Sawa. Lakini nina wasiwasi kwenye upatikanaji wa vitendea kazi kama vile computer, mazingira bora ya kujifunzia pamoja na mafunzo kwa nguvukazi (walimu). Shule tayari zimeishafunguliwa kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa mtaala mpya lakini bado walimu hawajapatiwa mafunzo, na vitendea kazi wala vitabu vya kufundishia. Hakukuwa na ulazima wa kuanza utekelezaji wa mtaala mpya kwa haraka hivyo bila kufanya maandalizi ya kutosha. Pia katika michepuo iliyotajwa nashangaa eti mtu atakayesoma mchepuo wa sayansi eti atachagua asome ama somo la biology au physics. Hili limefanyika kwa bahati mbaya au kuna kitu kimekosewa? Wanafunzi watakaoenda kusomea udaktari huko MUHAS ina maana hawana haja ya kusoma masomo ya physics na biology? Tutawapataje madaktari kwa namna hii? Kumbuka ili usome udakatari lazima uwe umesoma masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY. Ndio maana wanafunzi waliosoma tahasusi ya CBG hawasomei udakatari kwa kuwa hawakusoma PHYSICS ambalo ni somo la lazima kama unataka kusomea udaktari. Kwa hii mitaala mipya naona wanafunzi wote watakaohitimu hawataweza kusomea udaktari. Sasa madaktari tutakuwa tunaagiza kutoka China au Marekani? Inasikitisha sana. Kwa maoni yangu, utekelezaji wa mtaala mpya ulipaswa kusubiri kwanza. Bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa mwaka jana haikuikujaziwa fedha za ziada kwa ajili ya ununuzi wa vitendea kazi (vitabu, kompiuta,nk), mafunzo kwa walimu na uboreshwaji wa miundombinu (madawati, umeme, madarasa, maabara, stoo, nk) itakayowezesha utekelezaji wa mtaala mpya. Fikiria darasa moja la shule za kata linakuwa na wanafunzi 300 na wote wanakaa chini (hakuna madawati) na pia shule nyingi (90%) hazina umeme. Hizo compiuta zitatumiwaje na watoto 300 kwenye darasa moja wakati wanakaa wakiwa wamebanana hata nafasi ya kuweka kompiuta hakuna (hata kama zingekuwepo). Na wakati huo huo shule haina umeme wa kuchajia kompiuta wala stoo ya kuzitunza baada ya matumizi. Je, serikali hamuoni kuwa huu mtaala mpya mnaouharakisha hautekelezeki kivitendo? Haya ndiyo madhara ya kuchanganya siasa na utaalamu. Kinachozungumzwa kwenye majukwaa ya siasa ni taofauti na kile kinachotekelezwa. Kwanza, kwa maelezo yako Dr Komba umesema walimu wanapewa semina kama maandalizi ya kuwaandaa kutekeleza mtaala mpya. Lakini hadi sasa yawezekana ni 1% ya walimu waliopata hiyo semina elekezi. Je, hawa 99% waliobaki watafundishaje bila semina? Pia, sidhani kama unaweza kumfundisha mwalimu somo la Elimu ya Biashara (Business Education) akaelewa kwa siku 2 tu na kwenda kufunisha kwa umahiri. Huu ni uongo. Ilitakiwa hawa walimu waende kusoma sio chini ya mwaka mmoja ndipo waje wakafundishe. Tunarudia makosa yaleyale ya miaka iliyopita. Kulikuwa na somo la Stadi za Kazi lililoanzishwa na kuwaagiza walimu kufundisha bila kuwapa mafunzo. Kwa mfano, kwenye hilo somo la stadi za kazi kuna mada za ufundi redio, ufundi umeme, ushonaji, nk. Sasa mwalimu hujamfundisha mambo ya ufundi umeme na redio na ushonaji wa nguo unategemea afundishe kwa kutumia miujiza gani? Nionavyo mimi ni kwamba serikali, ikiongozwa na wanasiasa, imeamua kuharibu mfumo wa elimu kwa makusudi na kwa kisingizio cha kujiajiri wakati bado haijajiandaa ipasavyo kutekeleza mtaala mpya. Na kwa kuwa serikali ndiyo imeshika mpini wa kisu na wananchi wameshika makali, lazima tu wananchi wakubali kuburuzwa, hasa ukizingatia wengi wao ni mbumbumbu. Mwisho wa siku tutatengeneza taifa la wasomi wajinga ambao hawawezi kushindana na wasomi kutoka nchi nyingine zenye eilimu bora na zinazojali maisha ya wananchi wao. Inauma sana.
Nadhan manadiiko haya ya mitaala ya elimu yanaweza kutufaa Kwan yatakua yamefanyiwa utafiti wa kutosha kulingana na Kasi ya mabadilko na tekinolojia ya Dunia Sasa.
Umri wa watoto unanipa shida,mfugaji hawezi kufanya mabadiliko mtoto wa miaka ishirini kusimamia rasilimali za familia hata mkulima,sijui malengo ya Serikali ,kigezo cha kuisifu Serikali,naamini kuwa inatengeneza matatizo.
Hongeren sana mtahala huu ukisimamiwa vizuri Tanzania itapunguza tatizo la ajira
Very nice,those changes of curriculum with effective supervision of our government will help to build astrong nation with skilled and knowledgable peole.
Hongera sana TIE Kwa Kazi nzuri👏👏👏
Asante .maboresho ya MTAALA Yako vizuri
Kingereza drs la kwanza big up👏👏👏
Congratulations cna Kwa mabadiliko maana Nchi za wenzetu wamtuacha kabisa
Also training to primary teachers and secondary schools would be provided to enable he/she to perform well task of teaching theoritically and practically,teaching technics would be transformed to enhence work of training
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri
Naomba mwongozo Wa sayansi Drs la tatu
Kwenye mabadiliko haya watekelezwaji( walimu) wameachwa sana! Wengi wanapambana kuhakikisha wanayafikia malengo waliyoagizwa na sio ujuzi walio nao! Walimu wakumbukwe kwenye mafunzo na si mwalimu mmoja then aje awafundishe wengine! Mwl awezeshwe🤔🤔
Sawa. Lakini nina wasiwasi kwenye upatikanaji wa vitendea kazi kama vile computer, mazingira bora ya kujifunzia pamoja na mafunzo kwa nguvukazi (walimu). Shule tayari zimeishafunguliwa kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa mtaala mpya lakini bado walimu hawajapatiwa mafunzo, na vitendea kazi wala vitabu vya kufundishia. Hakukuwa na ulazima wa kuanza utekelezaji wa mtaala mpya kwa haraka hivyo bila kufanya maandalizi ya kutosha.
Pia katika michepuo iliyotajwa nashangaa eti mtu atakayesoma mchepuo wa sayansi eti atachagua asome ama somo la biology au physics. Hili limefanyika kwa bahati mbaya au kuna kitu kimekosewa? Wanafunzi watakaoenda kusomea udaktari huko MUHAS ina maana hawana haja ya kusoma masomo ya physics na biology? Tutawapataje madaktari kwa namna hii?
Kumbuka ili usome udakatari lazima uwe umesoma masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY. Ndio maana wanafunzi waliosoma tahasusi ya CBG hawasomei udakatari kwa kuwa hawakusoma PHYSICS ambalo ni somo la lazima kama unataka kusomea udaktari. Kwa hii mitaala mipya naona wanafunzi wote watakaohitimu hawataweza kusomea udaktari. Sasa madaktari tutakuwa tunaagiza kutoka China au Marekani? Inasikitisha sana.
Kwa maoni yangu, utekelezaji wa mtaala mpya ulipaswa kusubiri kwanza. Bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa mwaka jana haikuikujaziwa fedha za ziada kwa ajili ya ununuzi wa vitendea kazi (vitabu, kompiuta,nk), mafunzo kwa walimu na uboreshwaji wa miundombinu (madawati, umeme, madarasa, maabara, stoo, nk) itakayowezesha utekelezaji wa mtaala mpya.
Fikiria darasa moja la shule za kata linakuwa na wanafunzi 300 na wote wanakaa chini (hakuna madawati) na pia shule nyingi (90%) hazina umeme. Hizo compiuta zitatumiwaje na watoto 300 kwenye darasa moja wakati wanakaa wakiwa wamebanana hata nafasi ya kuweka kompiuta hakuna (hata kama zingekuwepo). Na wakati huo huo shule haina umeme wa kuchajia kompiuta wala stoo ya kuzitunza baada ya matumizi. Je, serikali hamuoni kuwa huu mtaala mpya mnaouharakisha hautekelezeki kivitendo?
Haya ndiyo madhara ya kuchanganya siasa na utaalamu. Kinachozungumzwa kwenye majukwaa ya siasa ni taofauti na kile kinachotekelezwa. Kwanza, kwa maelezo yako Dr Komba umesema walimu wanapewa semina kama maandalizi ya kuwaandaa kutekeleza mtaala mpya. Lakini hadi sasa yawezekana ni 1% ya walimu waliopata hiyo semina elekezi. Je, hawa 99% waliobaki watafundishaje bila semina?
Pia, sidhani kama unaweza kumfundisha mwalimu somo la Elimu ya Biashara (Business Education) akaelewa kwa siku 2 tu na kwenda kufunisha kwa umahiri. Huu ni uongo. Ilitakiwa hawa walimu waende kusoma sio chini ya mwaka mmoja ndipo waje wakafundishe. Tunarudia makosa yaleyale ya miaka iliyopita. Kulikuwa na somo la Stadi za Kazi lililoanzishwa na kuwaagiza walimu kufundisha bila kuwapa mafunzo. Kwa mfano, kwenye hilo somo la stadi za kazi kuna mada za ufundi redio, ufundi umeme, ushonaji, nk. Sasa mwalimu hujamfundisha mambo ya ufundi umeme na redio na ushonaji wa nguo unategemea afundishe kwa kutumia miujiza gani?
Nionavyo mimi ni kwamba serikali, ikiongozwa na wanasiasa, imeamua kuharibu mfumo wa elimu kwa makusudi na kwa kisingizio cha kujiajiri wakati bado haijajiandaa ipasavyo kutekeleza mtaala mpya. Na kwa kuwa serikali ndiyo imeshika mpini wa kisu na wananchi wameshika makali, lazima tu wananchi wakubali kuburuzwa, hasa ukizingatia wengi wao ni mbumbumbu. Mwisho wa siku tutatengeneza taifa la wasomi wajinga ambao hawawezi kushindana na wasomi kutoka nchi nyingine zenye eilimu bora na zinazojali maisha ya wananchi wao. Inauma sana.
Nadhan manadiiko haya ya mitaala ya elimu yanaweza kutufaa Kwan yatakua yamefanyiwa utafiti wa kutosha kulingana na Kasi ya mabadilko na tekinolojia ya Dunia Sasa.
Mitaala yetu pia iangalie na uhitaji wa soko la ajira nchini
Naomba mtaala mpya wa kufundisha lugha ya kifaransa kwa elimu ya msingi
Umri wa watoto unanipa shida,mfugaji hawezi kufanya mabadiliko mtoto wa miaka ishirini kusimamia rasilimali za familia hata mkulima,sijui malengo ya Serikali ,kigezo cha kuisifu Serikali,naamini kuwa inatengeneza matatizo.