Mamy asante sana nimejaribu lakini mkate wangu haujaumuka nahisi nimekosea kwenye hamira au kwa sababu sikuweka bread improver?? ila umetoka mtamu nashukuru sana ubarikiwe
Jaman madam mm nimejifunza vingi na nimejarib lakin mkate mara kadhaa unanishinda unakuwa mgumu juuu hauwez kukaa hata siku 2.😭😭 Halaf naomba kuuliza ninapooka kitu chochote kwenye umeme yaan oven ile ac inatakuwa iwe inapuliza? bado cjajua sana🙈
Habari dada mwalimu anafundisha vizuri samahan kuna eneo sijaelewa kuseti timer alivoweka dakika Saba Hadi kumi hapohapo amewasha kwenye hamsini hii inakuaje
Unaweza kukaaa siku ngp usiharibike? Kwa mf. Kama umeamua kufanya mikate ya biashara? Na kama huo uliooka Kwenye pan ndefu huwa unauza bei gn kama ni mikate ya kuuza? Ulipo gawa donge baada ya kuumuka ukapima Kwenye mzani, ulipima uzito sawa kwa sawa ndio ukagawa Kwenye tins hizo tofauti? Au kuna tin ilizidi?
Darasa zuri hongera 😍
Dada🥰🥰
Wewe ni mwalimu Bora dada ❤❤❤❤
Mashaallah yani nakupenda vle unatufungisha hatuwa kwa hatuwa shukran sna
Shukran dear
Asante sana dada wa mziwanda bakers umenifundisha vitu vingi mashaallah
Asante Sana mziwanda kwa recipe yenu nimejaribu kuifuatilia vilivyo
Shukran na karibu sana
Wow!! Ahsante dear leo acha nijaribu kwa vitendo
Hapo upate bulbend kwa chai ya maziwa.hadi Raha tamu😋😋 Ma Sha Allah Shukrn Habbity.🌷
Masha Allah shukran kwa mapishi naomba picha ya bread pruver nione Mimi sijui
Kweli ata mimicjui
Kwenye maduka ya keki
Asant kwa darasa zuri samahan kuna eneo sijaelewa nisaidie ulivo set timer 7 dak hadi 10 hapo hapo unasema timer 50 hapo nisaidie
Salaaala! Napenda mapishi yako sana.
Shukran karibu sana
Hongera Sana Dada wa mziwanda. Samahani unga nzuri kwa mikate Ni Upi dear
Asante my dia nimejifunza sana
Mashaallah mzuri sana
🙏
Ahsante mwaya nimejaribu nimeweza
Mashallah Allah akupe kheri in shallah
Jazakal Allahu kheri
Dada nimekuelewa ,,uko vzr sana
🥰🙏
mashaallah
Safi wewe ni mwalimu bora sana
Yaan ww dada nakupenda😍 Bure wallah una mapishi mazur mpak nataman nikuone.🤣
Kazi nzuri
Shukran sana sister
Nashukuru nimejifunza kuweka bread prover.
Karibu sana
kazi nzuri dada.
Unaelekeza vzr dada .
Nakupenda sana mziwanda❤️
Ahsante sana dear
Shukran sana dada yangu
asanti sana
Mashallah
Ahsante kwa darasa zuri
Nitajaribu dear
Thanks nimejaribu hio RECIPE it's so nice 😋😋😋
Asante Sana kwa upishi wenu nauliza je waweza kutumia unga wwte kw kupika mkate?
Ndio wowote unafaa
Napenda sana mafundisho yako
Ahsante sana nimejaribu mkate umetokea vizuri.
Mashallah hongera dada kwa mapishi mazuri.je naweza kuipata wapi Bakery improver na ikoje please.
Ipo kama magadi laini na ina rangi ya cream
Mamy asante sana nimejaribu lakini mkate wangu haujaumuka nahisi nimekosea kwenye hamira au kwa sababu sikuweka bread improver?? ila umetoka mtamu nashukuru sana ubarikiwe
Hongera
Hello mom I love you recipe I would love to learn I'm from kenya I need machine
Waoh ntaijaribu hii, asante
Karibu
Shukran ukhty
🥰
Umenisaidia sana kipenzi nimeweza kupika kwa usahihi wa vipimo MUNGU akubariki sana
Ameen karibu sana
Asante madam mie ni mgeni naomba urudie siku nyingine
Je huo mkate waweza uza sh ngapi?
Asante Sana daa kwa upishi wako, je nauliza bread improver nilazima kuweka kw mkate.
Sio lazima saana
Hivyo vyombo vyakupikiya vinauzwaje
Nice😍😍😋😋
Nice
Bread prover napata wapi nitengeneze na mimi
Asante mpenzi
ASANTE SANA DADANGU MAHITAJI YOTE NNAYO NYUMBNI
Karibu tena dear
Allah akulipe malipo mazuri, huna choyo mwenyewe
Amiin Yaa Rabb
Kabisa yani sio mchoyo Huyu dada, Mungu amzidishie kwakweli
Jamani waweza tumia blue band
Magerine ni kitu gan dadah
Mfano wake blue band,Prestige hizo ndio Margarine
Darasa zuri sana
❤❤❤❤❤
Kwenye kukanda unga hutumii mafuta?
Dada Mziwanda Bakers, aksante sana kwa maarifa yako. Kwa Dar, Bread Improver naweza kuinunua wapi tafadhali?.
Kaliakoo
Thanks mumy
Nimeelewa
Nimejaribu Leo jaman cake imeiva vizur ila shida kwenye kupamba😂
❤❤❤👏👏🙏
Thanks Sana mziwanda bakers je Kama Sina oven ya ku bake huo mkate je Ninaweza kufanyaje ?
Tumia mkaa unafaa bila wasi
Yummy yummy
Bread improve nini au mbadala wake ni nini?
Sasa dada kama huna overall unaeza tumia hata jiko la mkaa
Unaweza bila shida
Dada kam una Cha kupikia mkate wawez tumiq
Asatesana
Mmh kwakweli nnafurah Sana unafundisha hatua kwahatua huna ubinafsi
Karibu sana
Dada Habari yako samahani lkn nimepika mkate Mara mbili zote unakua mgumu kwan nakosea wap?? Naomba unisaidie
Ukandaji wako fanya ulainike vizuri pale mwanzoni ,utapata mkate mzuri sana
Asnt nimejifunza hivyo mkate unakanda km inavyofanya maandazi sio
Na mba kunavitu nahitaji please
Leo ntawapikia binti zangu
Maa shaa Allah 😘😘
Jaman madam mm nimejifunza vingi na nimejarib lakin mkate mara kadhaa unanishinda unakuwa mgumu juuu hauwez kukaa hata siku 2.😭😭
Halaf naomba kuuliza ninapooka kitu chochote kwenye umeme yaan oven ile ac inatakuwa iwe inapuliza? bado cjajua sana🙈
Yaani feni ya oven ndio kazi yake kupepea automatic pika hii recipe utaipenda naimani
Bread improver inafaa kuweka kwenye keki?
Hapana dear haifai kwa keki
Nisaidie ivi icing sugar inayo ganda wanatengenezaje msaada
Ipo nitawaelekeza zaidi
Samahani hio tin ya mkate ni nchi ngapi na mkate wake unaweza uza bei gani
7"
Auweki blue bd ama mafuta
Unaelekeza vzur ntaleta mrejesho
Habari dada mwalimu anafundisha vizuri samahan kuna eneo sijaelewa kuseti timer alivoweka dakika Saba Hadi kumi hapohapo amewasha kwenye hamsini hii inakuaje
My unaweza unaweza tumia cake improver kwenye mkate?
Sijawahi kuitumia kwa mkate dear
@@mziwandabakers8297 Asante mamy nimepata leo mjini nitajaribu leo nikupe mrejesho mamaa
Mamy kikombe cha Maji ulichotumia ni ml ngapi? Mie nimetumia ml250 Maji yamekuwa mengi
Mi naomba nijue maji vikombe viwili ni sawa na Lita ngapi sina vikombe ili nipime kwa lita
Nusu lita isijae sana ipungue kudogo
@@mziwandabakers8297 thanks
Darasa nzuri
hyo oven lita ngap na n bei gani.?
Lita 70 Germany 400,000
Badala ya maji naweza weka maziwa?
Ndio unakuwa poa sana
Vipimo Dada angu n unaweza tumia Kama vyakeki au
Tunaomba picha ya hiyo prov
Ni kama unga wa mihogo inaitwa bread improver
Unapika vijuri
Na kwenye cake unaweza weka impruva
Hapana si improver hii ipo ya keki
Mangerin ndo nn?
Ni kama blue band,prestige,mo margarine nakadhalika sio vegetable oil lakini
Unaweza kukaaa siku ngp usiharibike? Kwa mf. Kama umeamua kufanya mikate ya biashara?
Na kama huo uliooka Kwenye pan ndefu huwa unauza bei gn kama ni mikate ya kuuza?
Ulipo gawa donge baada ya kuumuka ukapima Kwenye mzani, ulipima uzito sawa kwa sawa ndio ukagawa Kwenye tins hizo tofauti? Au kuna tin ilizidi?
Pia nashukuru sana Kwenye video iliyopita ulinishauri ni bake moto 160 had 160 kwa lisaa nimejaribu na cake zangu zimetoka vzr sana
Pia naomba kuuliza ni baking powder gn nzuri sana kwa kuoka cake?
Unauwezo wa kukaa siku 4 mpaka tano tu..unaweza kuuza 1500 ,nimegawa kikubwa kidogo kama gram 50 kuzidi kwenye chombo cha mkate
Shukran dear karibu sana
Baking Powder nzuri ninayoipenda mimi ni zesta
Nice