Miriam Lukindo - Wamekuja ( Official Music Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • [14:12, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Ni wimbo ambao Bwana alinipa Tarehe 1 June
    Nikiwa nimetua Mjini Mbeya nikielekea Sumbawanga. Kutoka katika kitabu cha
    zaburi 20: 7
    Hawa wanataja magari na hawa farasi, Bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu.
    Nani yangu nilikuwa niko kwenyemaombi na nilichokuwa namta Bwana ni yeye na nguvu zake.
    Nikawa namwambia mimi siwezi kufanya pasipo wewe kufanya, nakuomba isiwe nikama mara nyingine lakini iwe ya utofauti.
    Nikamwambia kunawale wanawatu wao wana walinda nakuwatetea, mimi sina mtu mwingine wala tegemeo lingine ila kwako.
    Kwahiyo ndani yangu ndio nikasikia
    WAMEKUJA , namagari, wamekuja nafarasi,
    Sisi tumekuja najina la Bwana
    Nina amini Mungu wako ataenda kukuinua kwakuwa umeamua kuliweka mbele Jina lake.
    Mithali 21 : 31.
    Far…
    [14:12, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Ibra naomba uongezee iyo msg yahapo chini unapo uweka ujumbe TH-cam
    [14:14, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Nahuu ndio ujasiri wetu kwamba tuendapo kwa Jina lake vitu vina badilika kwenye maisha yetu
    1 Yohana 5:14.
    Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
    1 Yohana 5:15.
    Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
    [14:16, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Kikoti’ Nimeuliza kuhusu nyimbo
    Sinzioni kwenye music platforms.
    Huwa natamani inapoingia vidéo na audio iwepo
    [14:27, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Nahuu ndio ujasiri wetu kwamba tuendapo kwa Jina lake vitu vina badilika kwenye maisha yetu
    1 Yohana 5:14.
    Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
    1 Yohana 5:15.
    Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
    Hatuoni haya kulitaja jina lake
    1 Samuel 17:45.
    Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.

ความคิดเห็น • 77

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 16 วันที่ผ่านมา +5

    Nakumbuka nilienda interview ya kaz kwenye kampuni moja hapa Tanzania, wenzangu walikuja na magar,mimi nilikuj na miguu na jina la Yesu, sikuwa namfaham mtu kwenye taasisi zaidi Yesu alinitetea.

  • @NaomiAntoni
    @NaomiAntoni 53 นาทีที่ผ่านมา

    Gloryyyyy Mungu akubariki Sana wimbo mzuri

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 16 วันที่ผ่านมา +1

    Amen sisi tunakuja na jina la Yesu. NABARIKI TAIFA LANGU KWA JINA LA YESU.

  • @patrickkubuya
    @patrickkubuya หลายเดือนก่อน +6

    Sisi tuna YESU tu

  • @deborahdavid4371
    @deborahdavid4371 25 วันที่ผ่านมา

    Amen,nilikua nimeutafuta huu wimbo ,kumbe ulikuwa huja urelease..Mungu akubariki sana miriam

  • @Aisha-qd2rg
    @Aisha-qd2rg หลายเดือนก่อน +2

    wow kumbe wewe ndo umeimba wimbo mzuri Sana hallelujah ❤❤❤❤

  • @ahuriladaniel9849
    @ahuriladaniel9849 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    My love for this song 🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @PeterMuneneUSA
    @PeterMuneneUSA หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Hallelujah. Sisi tumekuja kwa jina La YESU. Jina lenye NGUVU na UWEZA. Hatuogopi. Asante My sister for this. More grace

    • @miriamlukindo
      @miriamlukindo  หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @minister_jo
      @minister_jo 28 วันที่ผ่านมา

      A powerful message of the gospel,
      I will minister this song with my team. ❤

  • @gracejackson836
    @gracejackson836 หลายเดือนก่อน +2

    Wamekuja na magari, wamekuja na farasi
    Sisi tumekuja na JINA LA YESU❤❤❤❤❤
    Glory to Go🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElizabethGerson-gv9ct
    @ElizabethGerson-gv9ct หลายเดือนก่อน +2

    Sisi tumekuja na jina la Yesu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 23 วันที่ผ่านมา +1

    Miri unanibariki sana. Thank you for your service

  • @maranathagospelmessagesbyj1255
    @maranathagospelmessagesbyj1255 หลายเดือนก่อน +1

    Unatafakarisha sana huuu wimbo, unakufanyaa uendelee kulitumaini Jina la Bwana Yesu

  • @bethaminga877
    @bethaminga877 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi tumekuja na jina YESU

  • @gwakisamwakilema
    @gwakisamwakilema หลายเดือนก่อน +2

    My all time song...

  • @kilangiih
    @kilangiih หลายเดือนก่อน +2

    Sisi tumekuja na jina la Yesu 🎉

  • @uiptv365
    @uiptv365 หลายเดือนก่อน +2

    Amina, tumekuja na Jina la Yesu
    Jina lipitalo majina yote 🙌🏽🙌🏽🙌🏽❤️

  • @colyndelwa1738
    @colyndelwa1738 หลายเดือนก่อน +1

    The name of Jesus higher than other names

  • @BeatriceShekiondo-gw3xw
    @BeatriceShekiondo-gw3xw 26 วันที่ผ่านมา

    Halleluya sisi tumekuja na jina la Yesu ❤❤❤❤ be blessed my dearest

  • @elshaddaimathias3320
    @elshaddaimathias3320 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kukuinua na kukutumia dada yangu. ❤

  • @kwiyariashow2999
    @kwiyariashow2999 หลายเดือนก่อน +2

    Waiting from Kenya 🇰🇪 we love you

  • @kassianmwenyasi3718
    @kassianmwenyasi3718 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi atukuja na maji wala cake bali jina la Yesu

  • @nivigan
    @nivigan หลายเดือนก่อน +2

    Tumekuja na jina la yesu 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @andresgonzalez9875
    @andresgonzalez9875 27 วันที่ผ่านมา

    Qué hermoso cantas 😍😍 me enamoró así más de yahve

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤
    Praise the KING JESUS🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HaronMua-iq9ru
    @HaronMua-iq9ru หลายเดือนก่อน +2

    Blessed woman of God ❤kenya we feel and honour you great woman

  • @fridahkitavi
    @fridahkitavi หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥nimekuja na jina la yesu💃💃powerful piece

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 หลายเดือนก่อน +1

    Tulimiss sana sound kama hizi kutoka kwako Mirie

  • @faithndanu7913
    @faithndanu7913 26 วันที่ผ่านมา

    You have a very beautiful voice ❤️. God bless you

  • @joelmburu2384
    @joelmburu2384 27 วันที่ผ่านมา

    Powerfu song. Sifa kwa Yesu

  • @neemakassian8043
    @neemakassian8043 26 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah 🙌🙌🙌🙌Praise the King🙏🙏🙏

  • @jimmyleopold6621
    @jimmyleopold6621 3 วันที่ผ่านมา

    Yes Zaburi 20:7-8

  • @MsombaAlpha
    @MsombaAlpha หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙌 ubarikiwe shemeji 🙏🏾🙏🏾

  • @johnoluchibia
    @johnoluchibia 29 วันที่ผ่านมา

    Ewo 🎉🎉🎉🎉 what a song 🎵 👏 😍

  • @andresgonzalez9875
    @andresgonzalez9875 27 วันที่ผ่านมา

    With the name of Jesús name amén Glory aleluya

  • @YaNoah-Congo-Bongo
    @YaNoah-Congo-Bongo หลายเดือนก่อน

    Wimbo ni mzuri saaaaaaaaana, ila wana miziki ma minor yamezidi

  • @neyshao2492
    @neyshao2492 18 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @DianaChisutia-qc2pe
    @DianaChisutia-qc2pe หลายเดือนก่อน

    Powerful song

  • @yohanamayenga
    @yohanamayenga หลายเดือนก่อน +2

    What a blessed song!

  • @dorrisjacky7053
    @dorrisjacky7053 18 วันที่ผ่านมา

    Song 🎵linatembea❤🎉

  • @user-bn1fl6go5o
    @user-bn1fl6go5o 15 วันที่ผ่านมา

    Eiii eiii eiii🎉

  • @damianm.1833
    @damianm.1833 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi

  • @elizabethmabula6044
    @elizabethmabula6044 26 วันที่ผ่านมา

    Ngoma hii inaenda kwa jina la YESU 😭😭,, Oooh Am blessed 😭😭 🙌🙌,, MUNGU akubariki mom🙌🙌🙌♥️

  • @user-xi5eg9ni8p
    @user-xi5eg9ni8p 29 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah

  • @Totolakifalme.
    @Totolakifalme. หลายเดือนก่อน

    Good song

  • @mapenzimichaelsewando4293
    @mapenzimichaelsewando4293 29 วันที่ผ่านมา

    Wamekuju 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AllanDisciple-r7w
    @AllanDisciple-r7w หลายเดือนก่อน

    Such a powerful 💥💥 message.
    👏🏾👏🏾👏🏾

  • @KibongeWaYesu
    @KibongeWaYesu หลายเดือนก่อน

    powerful

  • @EvangelistMiriamIdarus
    @EvangelistMiriamIdarus 27 วันที่ผ่านมา

    God bless you my sister @Minister Miriam Lukindo ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿✝️✝️✝️

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial หลายเดือนก่อน

    Amen wow ❤

  • @evahdaud5045
    @evahdaud5045 28 วันที่ผ่านมา

    Asante sana,niliisubiri sana hii sisi tumekuja na Jina la YESU🙌🙌

  • @godfirstkimaro2329
    @godfirstkimaro2329 หลายเดือนก่อน

    ❤what a song 😢sisi tumekujaaaaaa na jinaaaaa la Kristo Yesu😊

  • @NaomiMwandibwa
    @NaomiMwandibwa 27 วันที่ผ่านมา

    My dada Miriam nakupenda mama🥰 sisi tumekuja na JINA la Yesu

  • @samwelingao2017
    @samwelingao2017 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana my love

  • @linacharles3583
    @linacharles3583 26 วันที่ผ่านมา

    ...Baba nimefika hapa kwa jina lako YESU❤❤

  • @LukasRichard-lh5jj
    @LukasRichard-lh5jj หลายเดือนก่อน +1

    Hatimaye imeetoka Glory to might Jesus

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 19 วันที่ผ่านมา

    Nilifurahi nilipo kuona live Mbeya festival❤

  • @TumainiENgasa
    @TumainiENgasa หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @willywayne3325
    @willywayne3325 28 วันที่ผ่านมา

    Amen😇

  • @irenemushumba8812
    @irenemushumba8812 หลายเดือนก่อน

    🙌🏾🙌🏾🔥🔥

  • @user-lz8dh8mk3k
    @user-lz8dh8mk3k หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌

  • @julianamwapili3174
    @julianamwapili3174 9 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana 🎉wimbo mzuri

  • @DodetMusoko-cf6kj
    @DodetMusoko-cf6kj หลายเดือนก่อน

    💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙

  • @GinnahEmmanuel
    @GinnahEmmanuel หลายเดือนก่อน +1

    motoooooo

  • @theonestinamutole8549
    @theonestinamutole8549 22 วันที่ผ่านมา

  • @user-id6rc8le8g
    @user-id6rc8le8g หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @gladnesstambukwa9740
    @gladnesstambukwa9740 หลายเดือนก่อน +1

    Video ni nzuri,😎

  • @johnlema7778
    @johnlema7778 หลายเดือนก่อน

    Such a beautiful song,am blessed with this 🙏🔥🔥🔥♥️

  • @atonemusicstudio9155
    @atonemusicstudio9155 หลายเดือนก่อน +1

    Amen❤

  • @mosessephania
    @mosessephania หลายเดือนก่อน

    Nyimbo Kali lakini mbona aipo platform zote mtumishi

  • @deborahdavid4371
    @deborahdavid4371 25 วันที่ผ่านมา

    Amen,nilikua nimeutafuta huu wimbo ,kumbe ulikuwa huja urelease..Mungu akubariki sana miriam

  • @innocentnnko2292
    @innocentnnko2292 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @onikajulius9335
    @onikajulius9335 29 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @kumenyatv
    @kumenyatv หลายเดือนก่อน

  • @bellakombo
    @bellakombo หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @EllySteve-rm4js
    @EllySteve-rm4js หลายเดือนก่อน

    🔥🔥