Kaka Emanuel mgogo mara nyingi nyimbo zako hua zinanifanya Nalia Sana kwasababu unagusa Maisha yangu, Mungu ananikumbusha kuishi Maisha ya utakatifu kupitia nyimbo zako mm Kila siku miaka yote tangu uko Sayuni bendi mm nilikua napiga nyimbo zako huko kijijini kwetu wananiuliza huyo Nani anaimba mpaka tunalia nawaambia Emmanuel mgogo nikaahidi IPO siku nitakua naimba na Mimi na nitamleta Ila sijafanikiwa mpaka sasa kwenda studio😢😢😢😢
Wakati unakuja kaka, hii safari sio rahasi vile inagarimu mda kwa wengine, Mimi niliaminia kurekodi mapema 2004 ila nilikuja jaliwa 2017 wimbo mmoja, sasa Nina nyimbo 8 nimejalwa video moja mwaka huu. Inaitwa WAMTUMAINIO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI. Utukufu kwa Yesu🙌🙌🥁🥁🪘 nazidi kusonga hiatus kwa hatua🚶🚶
Pastor Emmanuel Mgogo mungu azid kukupa neema ya uhai ili uzidi kuihubiri injili kwa njia ya uimbaji wako ambao kwa hakika umetukuka sana na wengi tunahudumiwa kiroho na kuokolewa. Na ikikupendeza mtumishi tunaomba hata kila mwezi tuhudumie kwa nyimbo mbalimbali please
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢pray for Me Brethrens Leo niombee pls I beg You God's People. I will explain late. Just pray for me and my daughter 😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢plsss❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢
Kaka Emanuel mgogo mara nyingi nyimbo zako hua zinanifanya Nalia Sana kwasababu unagusa Maisha yangu, Mungu ananikumbusha kuishi Maisha ya utakatifu kupitia nyimbo zako mm Kila siku miaka yote tangu uko Sayuni bendi mm nilikua napiga nyimbo zako huko kijijini kwetu wananiuliza huyo Nani anaimba mpaka tunalia nawaambia Emmanuel mgogo nikaahidi IPO siku nitakua naimba na Mimi na nitamleta Ila sijafanikiwa mpaka sasa kwenda studio😢😢😢😢
Pole Sana Mungu akufanyie wepes akukutanishe na watu sahihi wa kukupa saport
Always spirits connect♥️ ukisikia hvyo rohoni, ujue kile alicho nacho na wewe unacho pia, Mungu akufungulie njia💪💪
Wakati unakuja kaka, hii safari sio rahasi vile inagarimu mda kwa wengine, Mimi niliaminia kurekodi mapema 2004 ila nilikuja jaliwa 2017 wimbo mmoja, sasa Nina nyimbo 8 nimejalwa video moja mwaka huu. Inaitwa WAMTUMAINIO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI. Utukufu kwa Yesu🙌🙌🥁🥁🪘 nazidi kusonga hiatus kwa hatua🚶🚶
😭 moyo wangu yesu unajua ulivyo na maumivu yesu nakuhitaji sana nifundishe kutokukata tamaa
So powerful 🙏
Yale mambo ambayo macho yajawai kuona hayo ndo Mungu anafanya never give up
We here in Malawi we are praying to God that he should be with you Emmanuel mgogo
Daaaaaah natamani walau siku 1 nimuone huu mtumishi ananibarki vya kutosha dunia kateka hisia za watu mungu akbarki sana na zaidi ya sana wooow
Mungu akubariki sana nyimbo zako huwa zina nibariki sana
Woooow ❤❤❤❤❤❤. My mom will be walking down the aile using this song❤❤❤❤.
Nyimbo nzuri ya kupendeza yenye uwepo wa Mungu.Barikiwa Mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ubarikiwe saana Ntumishi
I'm from Zambia 🇿🇲 nice video
Daaaah ila huu wimbo 🥺🥺
Mtumishi MUNGU AZID kukubariki nyimbo zako nzur sana endelee kunyenyekea ili MUNGU AZID kukupaka mafuta
My favorite song is kutana na Yesu... All the way from Nairobi Kenya... I love your songs my brother...
I thank God for you every song you sing it watching me and teaches alot
Never give up! There is a great turnaround, There is a new Restoration, There is a new Refreshing 🙏 thanks Mtumishi for the great message.
Yes! Thank you!
Amen 🎉🎉❤
Ubatikiwe mtumishi wa mungu
Ubarikiwe mnooo...tunakusubiri Kyela kaka
Amen kubwa mungu Akubarik kaka Emmanueli mugogo❤❤❤ nyimbo zako zinanifarij
Be Blessed man of God
nimebarikiwaaa mnooooo
Mungu akubariki mtumishi by rich
Kaka MUNGU akubariki sanaa Hakuna Nyimbo ambayo Haija nibariki kutoka kwako 🙏🙏
Glory❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen
ULI KUHAYA MWENE, GOD BLESS YOU MWENE
Watching from Zambia usikate tama mutumishi wamungu ❤❤❤❤❤
It's very powerful ❤❤
😢😢😭🙌 ooh God unaujua Moyo wangu naomba uwe nam nitimize kwa yale niliyoyashindwa yakamalike
Mgogo ww ni mtumishi wa Mungu aliyehai
Amen kaka huu wimbo Nitaishi nao ❤❤❤
Watching from Kenya God bless you Man of God.
I really love your songs ❤❤❤ brother
Pastor Emmanuel Mgogo mungu azid kukupa neema ya uhai ili uzidi kuihubiri injili kwa njia ya uimbaji wako ambao kwa hakika umetukuka sana na wengi tunahudumiwa kiroho na kuokolewa. Na ikikupendeza mtumishi tunaomba hata kila mwezi tuhudumie kwa nyimbo mbalimbali please
Watching frm kenya barikiwa mtumishi this is soul touching
Asante Mungu kwa kumlinda Mtumishi wako ktk mapito aliyoyapitia mpaka leo unatumia kinywa chake kutuhubirua habari njema ya Matendo yako makuu
Nice song.
Jamaa wa mbeya Wana imba
MUNGU akubariki sana Kaka EMMANUEL🤝.
Let God continue blessing you through his ministry. Congrats 👍
Mungu akubaliki sasa tunakukalibisha kigoma kwetu
Mabadaga Moja ila barikiwa sana kaka🧘
More grace
Wow Asante Sana 🙏 moyo wangu umefurahi
Heri nikate,vitunguu, tomato,nyama lakini sio tamaa. Giving up is a no.❤
Namimi nimeona alafu ungekuwa karibu ninge tatamani kusari pamoja nawewe mutumishi wanungu utunzwe sana nanema yamungu
Yes Lord 🙏
Our God is Great 💪
Amen i will never give up
God bless you 🙏
I still have power, i still have the holy spirit with me.
Ubarikiwe sana
Amen pastor🙏
AMEN 🙏
Mtumishi tunakupenda lkn huwa unapotea sana,tunakosa nyimbo kama hizi ambazo ndani yake kuna uwepo wa Mungu
Amen 🙏
Tuna juwa wewe umetumwa na Mungu kwajili yetu maana unatujenga kila leo
Nyimbo zako zanibariki mtumishi 🇰🇪🙏
Pastor Mungu yu juu yako
Amina mtumishi wa Mungu
Amen
🙌AMEN🌟AMEN🙌
🔥🔥
Never fail in Jesus family
🙏🙏🙏🙏
Ameen
KAMA UNAKUBALLIANA NA HUU WIMBO AMKA, SIMAMA NA UANGAZE. 💥💥💫 TUPE HUU WIMBO EMOJI ZA KOPA❤💥
Namtafuta Mgogo aliyeimba "Moyo wangu'aliendaga wapi??
I can only give up on sin.
Home land ❤
😢😢🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ulijichanganya kuingia freemason Kaka saivi Una account ya TH-cam nyingine Ile yamwanzo wamechukua ulioingia nao mkataba
Amen amen 🙏🏻 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🦻🏻🦻🏻
Natamani kuwa Mchungaji mtumishi
Nilituma sms kama hii 2018 mtumishi
Is this a Brother to Pastor Daniel Mgogo?
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢pray for Me Brethrens Leo niombee pls
I beg You God's People. I will explain late. Just pray for me and my daughter 😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢plsss❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢
Amen🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦👏👏👏💯💯💯💯👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙇🙇🙇
Amen