D Voice Ft Mbosso - Mpeni Taarifa (Official Lyric Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 503

  • @carolynembesa
    @carolynembesa 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dvoice weuh moto wa kuotea mbali banaa

  • @esikingamrperfume1997
    @esikingamrperfume1997 ปีที่แล้ว +56

    Matajiri wawili watoto wa Professor Mondy mkuu wa Arts wako kazi hapa 🎉🎉🎉❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 yote ni wasafi

  • @nesuutvofficial83
    @nesuutvofficial83 ปีที่แล้ว +19

    Huyu D voice amekam wasafi na jasho sana good my brother

  • @fidel3230
    @fidel3230 ปีที่แล้ว +185

    Mbosso nimekuzoea kwa hits, sasa hapa umeyatimba haswa. You have hitten below the belt bana. Huyu kijana anaitaji mazoezi zaidi, nyimbo zake zote zenye ametoa zote ziko chini sana

    • @aureusnchimbi7243
      @aureusnchimbi7243 ปีที่แล้ว +4

      Exactly

    • @Kingjac-5828
      @Kingjac-5828 ปีที่แล้ว +15

      Nahhh he’s amazing to be honest

    • @flavourboyke
      @flavourboyke ปีที่แล้ว +33

      The boy is amazing we sema umetumwa😂

    • @allyahahmed1091
      @allyahahmed1091 ปีที่แล้ว +10

      U said it all kasoro bambam the rest ushuziii

    • @gabrielmiatus3886
      @gabrielmiatus3886 ปีที่แล้ว +19

      Yajayo yana furahishaa sanaa kijana wetu yupo vizurii mnoo soon mtaanza kuskia tuzo zikimwendea🔥🔥

  • @Rober607
    @Rober607 ปีที่แล้ว +97

    Hiii ngoma ndo nimeikubali kuliko zote kama na wewe umeipenda kama mimi like hapa👊👊👊👊👊👊👊🥂

    • @RahmaKhalid-td9hx
      @RahmaKhalid-td9hx ปีที่แล้ว +3

      ❤❤❤❤❤

    • @platnumzkangu3236
      @platnumzkangu3236 ปีที่แล้ว +3

      Eeh hii na kama wengeni aliyopiga na. Mondi hatari xn

    • @Rober607
      @Rober607 ปีที่แล้ว +2

      @@RahmaKhalid-td9hx 💔💔💔💔

    • @kidoshi254
      @kidoshi254 ปีที่แล้ว +1

      Umeskia akiwa na lavalava

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 8 หลายเดือนก่อน

      Sauti kama Diamond
      D voice ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 ปีที่แล้ว +3

    kachungulieni TH-cam uko,D voice everywhere kwenye trending na bado.Wasafi hawawezekani.

  • @shariffadhil1767
    @shariffadhil1767 ปีที่แล้ว +43

    Hiii ngoma mbuzi hakupaswa kukosa. Young lunya. Angeipendezesha sana

  • @boazmusungu177
    @boazmusungu177 ปีที่แล้ว +19

    Enyewe wasafi ni viwango vingine tu kivyake anyway we love you bro mkifanya kazi safi lazima kama mashabiki tuseme jambo kifupi nimeikubali❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @boughneythegreat009
    @boughneythegreat009 ปีที่แล้ว +15

    Mambo swafi kule wasafi,, soea hizo sauti 😂❤❤

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mbosso amepita na hii nyimbo 😅😅😅😅 km ya kwakwe😂 ana roho mbaya

  • @novatamlowosa2234
    @novatamlowosa2234 ปีที่แล้ว +2

    Jaman Kuna kina planner jaribun kuwaskiza na hao.. good luck to d voice🎉

  • @ejereadan5201
    @ejereadan5201 ปีที่แล้ว +20

    Uyu Kenya wanasema ako chonjo. ❤

  • @AnitaGeorge-sq2dd
    @AnitaGeorge-sq2dd 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii inafa simba diamond 💎 asikilize iko na massage yake👍👍💯.

  • @AlbertKimathi-w2d
    @AlbertKimathi-w2d ปีที่แล้ว +6

    This boy ako saawa .talent iko...njia ya uandishi anayoo

  • @ItsAgavaddy
    @ItsAgavaddy ปีที่แล้ว +47

    Because we are Wasafi family, lazima leo ufike 100k subscribers

    • @weeckyleecky
      @weeckyleecky ปีที่แล้ว +3

      Pitia yangu

    • @nurenKalimu
      @nurenKalimu 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ni mnoma sana

  • @RhenimTopedy-rh3xo
    @RhenimTopedy-rh3xo ปีที่แล้ว +31

    🎉🎉 D voice mkali kama wasafi family

  • @harizoneVlby
    @harizoneVlby ปีที่แล้ว +4

    Mbosso nione me nabonda zaidi ya d voice semenijaman

  • @HappyYange
    @HappyYange ปีที่แล้ว +3

    Wasafi bwana leo nyimbo mbaya baada ya week inakua tami

  • @IssaHashimu-xn9gw
    @IssaHashimu-xn9gw ปีที่แล้ว +6

    Asilimia 90% ya nyimbo zote zimeingia Trending 🔥🙌 Top 10 sichini ya nyimbo 4 🙌

  • @dorothyumaz-kf6sk
    @dorothyumaz-kf6sk 11 หลายเดือนก่อน +2

    huyo D voice ameimba na wasafi wote nimkali✊✊👊

  • @bebetotembo9899
    @bebetotembo9899 ปีที่แล้ว +28

    D voice anajua Na anajua tena💥💥💥

  • @shamakisimba7991
    @shamakisimba7991 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali Kaka we sani wetu kabisa🇨🇩🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Momobably
    @Momobably ปีที่แล้ว +36

    Kama una mkubali dvoice gonga like🎉

  • @hassankaaz5948
    @hassankaaz5948 ปีที่แล้ว +1

    mbosso amesema hauezi nitoka kifala mbosso umehakikisha tumejua wewe ni mkongwe hata kama dogo anaweza balaa

  • @invocavitykitaly2483
    @invocavitykitaly2483 ปีที่แล้ว +9

    Mbosso fanya kuharibu basi hata siku moja tukukosoe kidogo kila siku unaua

    • @fatmaomar5559
      @fatmaomar5559 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂ataishijeee mjiniii 😂😂😂😂

    • @MokomoraMwakomora
      @MokomoraMwakomora ปีที่แล้ว

      Mbosooooo fundii man✌️

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 ปีที่แล้ว +1

    Nimuache sasa nimuachie nani💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 ปีที่แล้ว +4

    Binafsi sijaelewa bd rabda niuskilize mara nyingi huwenda nitauelewa ila kwa sasa bado

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx ปีที่แล้ว +1

    Khan Ajawah Kunifelish Kamwe , Unajuw Mpak Unakera Mzeh Wa Ameyatimba

  • @Fabrice-m2g
    @Fabrice-m2g ปีที่แล้ว +21

    D voice tusha kuamini tayari '🙌🙌 congratulations 🤝❤️

  • @mustyofficialtz2215
    @mustyofficialtz2215 ปีที่แล้ว +1

    huyu hana hit za kueleweka sajili sijaielewa kbs

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali mbosso wow sawa 🤝👏🖐️🖐️💃❤️❤️❤️🤣🤣👌👌🥰🥰🎉🎉🎉🎉👍🥱💋💋😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌️✌️

  • @farijjmohammed7723
    @farijjmohammed7723 ปีที่แล้ว +1

    mboso n tishio sana kwenye mziki wa bongo flava

  • @Johndestar470
    @Johndestar470 ปีที่แล้ว +5

    Hii ngoma kalii kinoma 👏👏👏👏mmetisha sn

  • @EtokaMzaliwa-p9v
    @EtokaMzaliwa-p9v 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubailisana ,
    Lini utatutembelea Usa?

  • @negoboy002
    @negoboy002 ปีที่แล้ว +15

    🎉🎉🎉🎉🎉❤ kaliii sanaa nakijina mbosso from Kenya

  • @hamisisalim8793
    @hamisisalim8793 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma yani nikali sana aisee,,dvoice hiyo part yako umeuwa bloody🎉🎉

  • @djimikamabu64
    @djimikamabu64 ปีที่แล้ว +31

    Mimi ni team kondeboy uzalendo umenishinda Naomba team wcb muniponeye wasafi hajawi waangusha mashabiki wake 💪🙏

  • @PaschalNkuba-cv9bd
    @PaschalNkuba-cv9bd ปีที่แล้ว +3

    Utakuta mbwa moja inaupinga huu wimbo

  • @AliChweya
    @AliChweya ปีที่แล้ว +1

    😮🎉sawasawa

  • @jewel4029
    @jewel4029 ปีที่แล้ว +4

    Finally a good song for cheats😂...

  • @meddykeita5220
    @meddykeita5220 ปีที่แล้ว +3

    Mbosso umechemsha mdogo wangu

  • @jumarwambo7420
    @jumarwambo7420 ปีที่แล้ว +1

    Dogo umefanya haraka sana kutoka nyimbo ungetulia kwanza uvute nguvu za mashabiki Sasa ngoma unazotoa n mbovu mnoo

  • @MwamibarakaMtg
    @MwamibarakaMtg ปีที่แล้ว +2

    Uyu dogo ana kipaji sana kama kicheche

  • @nicho_haircare
    @nicho_haircare ปีที่แล้ว +2

    Mbon anaimba kama Taarabu, naona still yupo chini, labda kwa Uandishi ndomna WCB wamemchukua, siongei kwa ubaya but still naona anahitaji mazoez asee

  • @00225x
    @00225x ปีที่แล้ว +2

    Uwezo mdogo sana aisee, Bado sanaaaaaa

    • @rashidgogo5558
      @rashidgogo5558 ปีที่แล้ว

      wcb hakuna dogo ataukipiga chafya unatoboa

    • @ChristinaMpwaga-ue7jf
      @ChristinaMpwaga-ue7jf ปีที่แล้ว

      Hajui chochote wanamdanganya et utaenda mbele kwa mziki ambao haukai miezi 2😂😂😂😂 alafu hawajui tatizo diamond anazeeka na mashabiki wake

    • @rashidgogo5558
      @rashidgogo5558 ปีที่แล้ว

      @@ChristinaMpwaga-ue7jf shida ya mashamiki wa tz wanaikataa wcb ukiwambia msanii gani unaeweza kufansnish na mondi wanakutajia harmonauz sasa kama unajielewa utajuwa kunaumama unaendelea mana hamo ni wcb

    • @00225x
      @00225x ปีที่แล้ว

      @@rashidgogo5558 hana uwez Wala kipaji ni vile tu anapenda kuimba, ata angeenda wap kama hujui hujui tu, hakuna Ngoma yake itayokaa kweny playlist top 30 kwa siku 5, nipo paleee nangoja miujiza ya wagalatia

    • @00225x
      @00225x ปีที่แล้ว

      @@ChristinaMpwaga-ue7jf 😂😂 ngoja tuone vina muda basi

  • @RehemaathumanAthuman-kh2iv
    @RehemaathumanAthuman-kh2iv ปีที่แล้ว

    Yan kaka pambana unaweze mungu atakupa Itaji la moyo wako mungu akujalie

  • @emanuelneriwa6619
    @emanuelneriwa6619 ปีที่แล้ว +2

    D voice kaimeza saut ya mboso

  • @JoyceTryphone-zd4gi
    @JoyceTryphone-zd4gi ปีที่แล้ว +2

    Pambana d voice mondi atakuweka sawa zaid Yuko PC sana

  • @barkeabdullah6993
    @barkeabdullah6993 ปีที่แล้ว

    I ime bana than all songs ame imba d voice kali sanaaaaaaaaaaa

  • @ziadaomar9028
    @ziadaomar9028 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaan nyumb naipendaaa San ❤❤❤❤

  • @WilliamNyasulu
    @WilliamNyasulu ปีที่แล้ว +19

    My family 4life Wasafi❤💯🔥

  • @abeloverboy389
    @abeloverboy389 ปีที่แล้ว +1

    D voice with mbosso hapo sawa

  • @chichiblacke
    @chichiblacke ปีที่แล้ว +8

    Congratulations 🎊 👏 💐 My fave from the album❤❤ How can one not love your art...🎉

  • @bkptatastashtamz-nl7jw
    @bkptatastashtamz-nl7jw ปีที่แล้ว +1

    Mutabanana hapa hapa au sio

  • @yusuphlucas817
    @yusuphlucas817 ปีที่แล้ว +2

    big up sana mafundi wetu wa burudan

  • @DexAkili-ky7xh
    @DexAkili-ky7xh ปีที่แล้ว +2

    Uyu dogo ni giniiiii✋🔥🔥🔥

  • @kerrymavazi9170
    @kerrymavazi9170 ปีที่แล้ว +1

    Kambe D voice atasema we zombi. Nipeni like

  • @stavo_boi3112
    @stavo_boi3112 ปีที่แล้ว +36

    Everything is Allahumma ameen...congratulations D voice jinni

  • @SefuSefuDjumaSelemani
    @SefuSefuDjumaSelemani 11 หลายเดือนก่อน

    Watoto wa simba nanyi muko wa simba

  • @AidaniZembe
    @AidaniZembe ปีที่แล้ว +3

    😮😮 kidogo ana wenza

  • @YohanaMusa-hy4gw
    @YohanaMusa-hy4gw ปีที่แล้ว +2

    Nomaaaaaaaaaa

  • @ziadaomar9028
    @ziadaomar9028 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimb pamb san❤❤❤❤

  • @GhulainMbutu
    @GhulainMbutu ปีที่แล้ว +3

    Kweli anajuwa sana uyu msani mpya

  • @KelvinPumulo-yr1tv
    @KelvinPumulo-yr1tv ปีที่แล้ว +1

    Ujio wa d voice hatar

  • @KhamisHassan-dz9yw
    @KhamisHassan-dz9yw ปีที่แล้ว +1

    Siimbaaa

  • @hunaidhachikupila
    @hunaidhachikupila ปีที่แล้ว +1

    Ngoma tamu sana imepenya

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 ปีที่แล้ว

    Mmhh kumbe ndo zenu mmez oea kuchangia😮😮😮

  • @livinusrenatus
    @livinusrenatus ปีที่แล้ว +11

    Wow a nice amapiano swahili music fussion

  • @TARIQMOHAMED-bn6yj
    @TARIQMOHAMED-bn6yj ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤ nimependa hii nyimbo🔥🔥

  • @mkadinali_ent.
    @mkadinali_ent. ปีที่แล้ว +4

    D voice welcome the winning side

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 ปีที่แล้ว +6

    Bonge la ngoma ❤❤❤ from Morogoro

  • @IrChrisanteMumbere
    @IrChrisanteMumbere ปีที่แล้ว +2

    Amapiano nzuri sana 🎉

  • @JulietMoreen-ii3ul
    @JulietMoreen-ii3ul ปีที่แล้ว +5

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 TZ kuna talent walai.

    • @MeflaLuxVista
      @MeflaLuxVista ปีที่แล้ว

      Uongoo bana😐wakenya mmaforce bongo nyny masimps

  • @FranceMwasamila
    @FranceMwasamila ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma niali Sana Ila Hadi utulie Sana na pia hapa kwenye apende amekua baba angekaa Simba

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 ปีที่แล้ว

    Mbosso khan mushedede ududu mwingi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jorginhMaster
    @jorginhMaster ปีที่แล้ว +2

    Mbosso umeingia na gia ganii hapoo

  • @lbmaasai929
    @lbmaasai929 ปีที่แล้ว +1

    Hawa hatari sana sana..Kenyan tupo

  • @MNOMA255
    @MNOMA255 ปีที่แล้ว +1

    Mamaaaaaaa Umetisha

  • @sacohg5458
    @sacohg5458 ปีที่แล้ว +2

    Am feeling your vybe...its a voice of a star..we still need more time a little time for a confirmation...

  • @khambainvestment
    @khambainvestment ปีที่แล้ว +1

    HUYU MSANII MM SIKU MJUA OF COURSE SIFATILI MZIKI ILA HII NGOMA NILIWEZA PARK SEHEM NIKAIISKILIZA

  • @abigaelwali2620
    @abigaelwali2620 ปีที่แล้ว +2

    Mbosso sana tu

  • @RikoNgare
    @RikoNgare 11 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo jameeeeeeeni inanimaliza😘😘😘

  • @allyidrissa2912
    @allyidrissa2912 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma mbaya

  • @AustineAlvine
    @AustineAlvine ปีที่แล้ว +2

    Ipo siku atasikika Bora awe mnyenyekevu heshima kama mbosso

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 ปีที่แล้ว +2

    Harmonize kaishaaaaaa😅

  • @mwinyiabdallah4383
    @mwinyiabdallah4383 ปีที่แล้ว +2

    Kaliiiii🔥🔥

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 ปีที่แล้ว +2

    Ila hii Ngoma Kali Sana kuliko zoote

  • @AlbertKimathi-w2d
    @AlbertKimathi-w2d ปีที่แล้ว +1

    Hii n motoo bana

  • @LazaroMathis
    @LazaroMathis ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana iy

  • @bashearabdi8631
    @bashearabdi8631 ปีที่แล้ว

    Ukisikiliza kwa mbali unaeza zani akil the brain au brother nassir kwa melody hii

  • @KingBeibei
    @KingBeibei ปีที่แล้ว +2

    Congratulations d voice uko poa bro ila pia mmm naimbe singeli na wimbo yoyote nachapa enda you tube ona yangu iko aje KING BEIBEI kutoka 254

  • @theetrendingsisters2546
    @theetrendingsisters2546 ปีที่แล้ว +2

    Mazoezi kwa wingi ama urudi kwa singeli

  • @mariamswaleh5990
    @mariamswaleh5990 ปีที่แล้ว +4

    Zuchu,s songs are so good🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @isaiaestevao939
    @isaiaestevao939 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anajua

  • @bebetotembo9899
    @bebetotembo9899 ปีที่แล้ว +1

    X voive anajua mpaka anajua tena💥💥💥

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 ปีที่แล้ว +24

    A new taste in WCB❤🌟

  • @is-hammushtak2503
    @is-hammushtak2503 ปีที่แล้ว +1

    Sanaaa tuuuu🎉uskii d voice❤

  • @madolamadola-on2te
    @madolamadola-on2te ปีที่แล้ว +2

    Wasafi baba lao 🌹🇰🇪

    • @MeflaLuxVista
      @MeflaLuxVista ปีที่แล้ว

      Mavienyeji wa Kenya mnahype anything 😂😂sasa hii ni ngoma gani unasifu

  • @Hamisi8465
    @Hamisi8465 ปีที่แล้ว +2

    Dogo anapepea roho safi🎉🎉🎉😂😂

  • @MalikiHashim-bb6uh
    @MalikiHashim-bb6uh ปีที่แล้ว +13

    🔥🔥🔥 wasafi for life