D.voice hizi nyimbo mbili uloimba na zuchu ndo zimebamba sana hii inaonesha jinsi gani watu wanapenda mziki wa aina gani tz cheza umo mdogo wangu singeli sio kivile
Here is the queen zuu we need sio chapat cjui honey upo vizur dada uloimba na mboso ,ray na mondi zile za kimahaba changanya na hii hapo ndio nmekwama huko kwengine kwiooooooo 😅😅😅😅
D voice hii talent ndio ulikuwa umeficha unaimbia tu watu kwenye ufuko kwenye bahari 😂😂😂 love this me napenda kiswahili sanaaaa 💯zuchu you perfcted this
I love how this is taking us to the tbts tarab songs @zuchu has a great voice that blends everywhere in all rythms n @d voice to blends everywhere too😉
D.voice hizi nyimbo mbili uloimba na zuchu ndo zimebamba sana hii inaonesha jinsi gani watu wanapenda mziki wa aina gani tz cheza umo mdogo wangu singeli sio kivile
Zuchu she's so talented kafunika vibaya mnoooo huyu mtoto zuuuh anajua sana kachukua nyooota ya mondi wa Tandale
Nimekuja kuusikiliza tena huu Wimbo baada ya zuchu kusema ameuandika yeye dah zuchu bonge la mwandishi❤
Hii ndio goma Kali kati ya zote 🎉🎉 love you d voice and zuch All the best
Indeed na ile ya mboso
Ya bambam nd Kali zaid,, y pili 'lolo'
Exactly.👊
Huyo dogo ni mbosso watatu, vanny wanne na harmonize mmoja combined mamae
Zuchu umundani umeweka ududu mwingi sana love so much ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ D voici respect bro
Zuchu is the queen!🥴
Rahaaaa yani nnapenzi jipya hapa na burudika tu na huu wimbo❤❤❤❤❤❤
Huu ndio mziki unakufaa bi Zuhura...love the vocals❤
Oh my God...am wordless,this my favorite song...zuchu you have a a very adorable,wonderful, beautiful voice...nice song,nice collaboration
Wimbo mtamu kuliko nyama ya bata aisee zuchu iyo sauti dah! D voice uko juu pia maana sio rahisi kwa mwanaume kuimba kitaarabu
Kweli kbsa 😊
Alokuwa hodari wa kuimba basi hachaguwi nyimbo hata Taarab huwa rahisi kwake ikiwa anakijuwa vizuri Kiswahili ikiwa mwanamke au mwanamme.
Huuu wimbo nimeupenda pambeee 👌
Yani zuchu yani song inaaamsha hisia jamani muko vizur ❤❤❤ ilove you 😘
Zuchu wewe kiboko duuh ady naliaya ❤❤❤❤
😂😂😂tulia nae
ZUCHU IS NEXT LEVEL FOR EVERY THING🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Zuchu this is what you shud be giving us not those sukaris and honey you sing🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
She is versatile, we need all the flavours
How can one have such a cute face and a melodious voice 😭😭😭 Y'all ate this one ❤
Rightttt
@@Kingjac-5828 most definitely
That's why we call him D voice😂😂😂you know what D stands for?@zarithebossladyofficial?
Just imagine ❤❤
Zuch is the one no any one lady is above zuch now in tz
Etiii mawimbiiiii ,jamani ,,🎉🎉🤩🔥🔥🔥,,swahili nation to the top kazi bora sana
This collabo was so hot to cook a beans in a second
Hii ndiyo ladha HALISI ya muziki wa kiswahili!❤❤
Naam
Huu ni mziki wa kizanzibar naukubali sana
❤️👍
Love❤❤❤❤ u my sis zuchu ata chapati na shika na zikubari hatar imba utakavyo we unauwaga always
D voice you are dope.
I like the way you are composing your songs. Kenyans we are here to support 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I always tell my friends "Ukifa sai Wana ku'replace", Kode boy na Ray washa pata replacement, 2 in 1😂kwampigo..... big up D voice💯
Kabisaa yaan huyu wimbo zuchu umetukosha
My Queen 👑 never disappoint I really love zuchu
Nyie zuchu anajua na kaPat wanao endan na saut bas ❤❤ km yote zuchu najua hujawah tuangusha
Ila mm hii songs imenipa feeling flani iv asee❤
Here is the queen zuu we need sio chapat cjui honey upo vizur dada uloimba na mboso ,ray na mondi zile za kimahaba changanya na hii hapo ndio nmekwama huko kwengine kwiooooooo 😅😅😅😅
Aki zuchu wangu❤❤❤ Hadi naccmkwa aki I love you ❤na chombo kpya WCB pongez kwko broo❤❤❤
Uko poa
@zuchu's voice is melodious to my ears, makes me want to listen more to this🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwenye alimwandikia zuchu amwandikie siku zote...tumechoka na chapati
😂😂😂😂
Anaandika mwenywe zuchu
Always ilove ❤❤ you zuchu from kenya shatta 001 twakupenda sanaa kenyaaa
Mimi wakwanza nipeni mauwa yangu
Nipo na zuu, dvoice
Rahaaaaaa
Nyimbo yangu pendwa hiii funga mwaka fungua mwaka❤❤❤🎉sio shida zangu kuiskiliza😂😂😂😂
Kabisa ushasema mzee baba huyo mtoto ana uwezo mkubwa sana
Zuchu huu ndio mziki sasa naipenda hiyo sauti mama❤
Nimezama tamu sanaaaaa
Wooow MashaAllah umetusisimua malaika zuchu
❤❤❤ Nyimbo nzr sana kwa sisi watu wa pwani wallah
Wimbo uliohimba umenikumbisha mbali sana
God bless aka kakijana nakaona mbal kimafanikio
Yani zuchu apo yangekuwa diamond ingekuwa poa Sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Vile lyrical apo mwanzo zime flow, ilikuwa inakaa ngoma ingine kali sanaaaaaa
D voice......so beautiful,,as usual zuchu on top
piga likes tukisonga from kenya
🎉🎉🎉🎉🎉wow madamu wasukar nmeipenda saut ako
Nimeipenda huu mziki nauskiliza kila hakati
Nami Pia 🔥🥂
Chaaaaiiiii hii kali sana!!!
Amazing voices❤inanituliza polepole
Imewezaa brooo , big up kwa sana
Nikisikiliza nazid mpenda mume wangu❤
Bando liliisha kz mikzo 100 usitoke Tz ap niponjiani ufikishe mziki mbali natuwaombe mababunabibi dual zao kwa wenye choyo zao ziwarudie nice 😎😎
Two beautiful, amazing voices and melody💃💃💃💃🫶🫶👌👌🔥🔥🔥🔥 big upz D Voice & Zuchu & Wasafi
Haswaaa huyu ndie zuchu niliemlia nyeto kwa sauti tu hongera zuhura
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Unique way of praising😂
Mama yanguuuuuu we ZUUUUUUCHUUUUU utaniua weweee😢😢😢😢😢❤
My best song of the YEAR
I love him already ❤
Nyimbo nzuri kwel❤
I'm hooked ❤❤
Beautiful love song
Great voices
Lord
Those Vocals are pure eargasm 😭
Zuchu's TONE is such a rare beauty❤️✨
😢😢 1:14 😊
Song nayo imeniingia...hizi ndo nyimbo zako zuu....
Zuchu the Queen n the voice explains everything ❤❤
D voice hii talent ndio ulikuwa umeficha unaimbia tu watu kwenye ufuko kwenye bahari 😂😂😂 love this me napenda kiswahili sanaaaa 💯zuchu you perfcted this
Unyama Sana kaka
Hahaaa nyoyoooo zimesemezanaaaa🌹🌹🌹🌹
Jamani hiyo nyimbo inampendezea Haji Manara Mzungu ❤❤❤na Zai❤❤❤waaaaawooooo❤❤❤❤
Mondi hajaskia sauti ya zuchu ñn na d voice.gud song
Zuchu apo nakubali nyimbo Kali xn❤❤❤
Nice song .hapo umeweza na sio chapati
Dogo anaweza sanaa sema anapenda sana singeli wakati ata hizi ngoma yuko vizuri
Mnasauti mpaka mwani ssi mua kabisa
Huu ndy muziki mwenye mistari na mafunzo ya mapenzi
Now this is the taste of Music achana na Chapati ama Honey usijipoteze kwa mziki wa Ujinga Hivi mwendo uko swa❤❤
Zuchu mrembo lkn ndomna twapendaa nyimbo zako hongera tized# zuchu ❤❤
Zuhul huu wimb pamb❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nawapenda sana watu wangu Allah watie nguvu mwakazi zenu😊😊😊❤❤❤
Nzur sana ..ila d voice saut ya kaswida hiyo kabisaaa
Hata zuchu kipind anaanza mlisema hvyo hivyo
Kawimbo kazuri Sana mkopa kopa kwa zuchu ❤❤❤❤+d voice
I love how this is taking us to the tbts tarab songs @zuchu has a great voice that blends everywhere in all rythms n @d voice to blends everywhere too😉
😅😅😅
Nimeupenda huuu wimbo nimzuri jamani
D voice ubjua sana kijan hakika simba ajawai kosea kuon kipaj halis allah akuongoze kijan
Nikupenda Sana d voice❤❤❤❤
Mungu ambariki na yeye.
Naupenda sana huu mzk ❤❤❤❤❤
Hii nyimbo ni noma👏🏿👏🏿
Hapa zuchu kauwa jamani hii nyimbo tamu hatarii🙌🙌🙌from 🇬🇧 uk
Mungu amsamehe madhambi yake
Dah ipo siku Nta m dedicate mtoto wa mama mkwe huuu wimbooo❤
Wa Kenya wapi likes za mrembo wetu zuchu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
wenu na nani
Yani d voice ako juu sana# hadi ❤😂😂😂😂😂 mm ni fan wako😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@omonya-ej7qy hello mr violence I don't have your time
@@LindaNamalwa-m8u 🔥🔥🔥
Nikweli jamani zuchu RAHA ZIMEZIDI 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
i have 3 songs that i enjoying none stop
nimezama, turudiane na umenifunza
❤❤❤❤❤🎉😂
Zuchu nikibokokabisaa❤❤❤❤
Kweli nyoyo zimesemezana ❤❤❤
Hawa watt kweli hii nyimbo wameimba kweli kweli
Nawapenda d mungu akulinde 💖💖💞💞
Dvoice umefanya nipendee wasafi...much love ..
Best collaboration of the year
Mnaonaje mkawa mnaimba tu tarabu maana mnajuwa hadi basi ila sisi wengine hapo tunasinziya tu mm nipo kwa dimondi
Such a melodious sound lots of love from 254
Diamond creating a mini him in this song may God bless Simba ...let talents shine Masha Allah
Oh I am in love again. ❤
Zuchu unaitaji tuzo na mwezenko sauti hizo mashallah
❤❤❤am deeply involve with this song🥰🥰🥰🥰