D Voice - Umenifunza (Official Lyric Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- Get #SwahiliKid Album 👇🏼
dvoice.lnk.to/...
Swahili Kid is an album that encompasses various musical genres, including Singeli, Bongo Fleva, Amapiano, Afro Pop, Zouk, and it delves into social themes, love, pain, life's hardships, and more, showcasing D Voice's songwriting and singing talent. This album offers a fresh and captivating sound in the world of Swahili music and can appeal to music lovers of various genres.
Track 01. Umenifunza:
-This song highlights the lives of young people and the challenges they face in their relationships, as well as how poverty can lead to feelings of humiliation.
/ @itsdvoice
For Bookings:
dvoice@wcbwasafi.com
Follow D Voice On:
Instagram: / dvoice_ginnii
Facebook: / dvoice_ginnii
Twitter: / dvoice_ginnii
TikTok: / dvoice_ginni
#DVoice #Music #Wasafi
Copyright ©2023 WCB Wasafi. All rights reserved.
Umaskini mbaya😭Mwenyezi Mungu atujalie Maisha mema
Wanao Replay hii song kama mimi mnipe like zangu nijinenepee , love from Burundi 🇧🇮
"Siwezi sema nimesusa..." Proves tjat kweli ni akili zetu watoto wa kiswahili Big up Swahili Kid
Umasikini mbya umenifunza , je t'aime D voice swahili kid ❤️🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥
Katika nyimbo zote hii imenigusa na ni kaili wallah uwiiiiii😢😢
😥😥 Umaskini Mbaya Ila najua ipo siku mwenyezi mungu atanibariki na mimi Muhunii sikuwa na vyangu naamini mungu atanipa fungu langu Hii nyimbo @Dvoice Umeimba Maisha yangu ila najua ipo siku narudi kwenye comment hii sijui itakuwa imepita muda ganii ila najua nitakuwa nimeshapata fungu langu 😩😩 (🙏Mwenyezi Mungu wewe Ndo unayejua Hatima ya maisha yangu Sijakata tamaa ila najua Umeniandalia Mazuri Hata kama sio Duniani Basi Naamini hata mbinguni Nitakuwa na furaha Zaidi ya hapa duniani Leo 17/11/2023 Asante Sana Kwa Zawadi ya kuwa mzima wa afya njema 🤲🤲🙏😭😭)
Pambana.
🫂
🎉🎉🎉🎉
True bro😢😢 umaskini kitu kabya
God above everything❤❤❤❤❤
Kiukweli hii ngoma nimeirudia mara tano x10 kali imegusa moyo wangu sana nimeyapitia na nitaitoa covering yake very soon
Huuu wimbo ungemweka na mbosso kani yesuuuuu tungeongea mengine.
One of the best song in the album ♥️♥️
Unaimbaa mpaka unaimbaa tena sir God akubless safari yakoo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭
Mhhhh mbosso hajausika kweli humu ❤❤❤❤ kama hajausika bas wcb imeongeza kichwa kingine❤❤
Dogo ni mwandishi mzuri sana
Ulava lava km nao upo
Lazima mbosso amehusika
Lava lava
Nyimbo Kali good good vc
Vionjo,vikorombwezo ,pambio na ladha zote za aina ya muziki zinapatikana WASAFI acheni tu
Ni kweli Mondi ni jini anamuono wambali tumpe heshima yake
5k likes on this much love from kenya
Hii ngoma ina deserve kuwa truck no 1
Kwa wale wanaoelewa muziki this man is magic
🎉🎉🎉🎉
Mbona kama mboso tu ana flow mulemule
HUJUIIII Dogo anajua aisee mtunzi kama simba la masimba DANGA D 🎉
Hongera sana Mr D voice unajua sana brother angu, music is your talent💪💪💪 songa mbele nasi pia tuko nyuma yako 👉 God bless you🙏 sisi huku DRC🇨🇩 Tumezipenda sana kazi zako unafanya vizuri sana kabisa💪 tunakuombea sana baada ya miezi kadhaa nawewa uanze pata tuzo tofauti tofauti za ndani naza inje pia✌💕
😂😂❤ogela umenikumbusha mbali sana
The only man who gave a loving wisdom advice to his Ex..
Karibu wasafi classic baby, unaenda kuwa Star mkubwa Tanzania
Poverty is unjust it defiles a man Mungu atubariki sote
Bakoraa
Iyi ngoma ni hatari alafu kijana kaimba kwa hisia aise big up sana km Mungu kamuelekeza Simba akusaini basi utafika mbali big up
D ,, achana na singeri unajuaa bongo kinyaamaa ww na Ravarava wanyamaa sana munajuaa kubemberezaa
mungu akupe mafaniko mema mtoto wa kitaa kitaa kuna watu jibu wame ripata ao wasomi feki watu tupo uku kitaa tunao pambana namro wakira siku njoo ujaribu Kama utaweza sisi tuna weza
Welcome usafini si ndo mashabiki wenye nguvu east africa
😭😭😭😞😞 Nachukia mapenzi sio rahisi kupata mtu sahihi.watu wenye moyo mzuri na upendo wa kweli hawapati upendo wa kweli.
my fav jaaam🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊😊😊am into yo vicals , such great artistry , good melody with sweet rythems🤤🤤!!! such a good lyrics 😊
Ila nimeamin kila kitu kina kuja kwa sababu kikubwa kuwa na subira ongera sana d voice 🫶♥️ mungu🙏 akufanyie wepesi katika safari yako hii ya was ngoma Kari sana tena san unajua sana nikupe 🌹🌹
Wasafi imepata msanii mzuri sana atakam kukua ka zuchu tu🎉❤❤❤❤
Aliyeweka Melody namuona lavalava ❤❤
True story
Well well well. Ndugu yangu D voice, hongera sana kwa jitihada zako kwenye tasnia hili la muziki. Nakutakia kila la heri unapo jiunga na team WCB. tena nakuombea dua njema Mungu akufikishe walipofika wasanii wote wa WCB kwa ujumla. Asante kwa jitihada zako na Mwenyezi akubariki milele 🙏🙏🙏.
Good artist,good voice,good boy matusi hamnaga hapa ni umasikin mbayaaaaa
Kweli umasikini mhbaya sana kama unamkubali huyu d voice nipe like zangu🔥🔥🔥
Kma je utanipendaga ya diamond, nyc song
Naunga mkono asilimia 💯🇹🇿 comment ya Mr @YuzzoGraphics ..ni kweli @D voice umeimba maisha ya Vijana wengi wa Sasa...Hakika pesa imekuwa dereva wa mapenzi na mahusiano Sikuizi😢
Kati ya zenye nmeskiza hii ngoma Kali afu kama umeyaimba Maisha yangu vile
A song for hurt broken broke boys 😢
Kama umeisiliza zaidi ya mara moja gonga like ❤
B
Daaah welcome to the family mwaya unaimba mpaka unakera nyimbo Kali umetisha uwandishi umepitiliza big up
Big up nice one
Mwanangu fresh uko juu kama mkia mbuzi
Ngoma yangu ya mwaka D achana na singeri kaka huku ndo kwako
Umeanza ka lava lava
D voice sauti yako unaifanyia KAZI kisawa saw mpka lava lava unamfunika sasa
Hongera simba kwa kuturetea burudani mpya
To be honest dogo knows how to sing,bravo!🙌
Umenifunzaaaa umaskini mbayaaaaa
I repeat this song more than 5times 🥰🥰🎀
Iyo song nime isikiya Mara nyingi ata au choshi ❤️🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Am down with the same talent.kenyan artist mnihelp out ama nimtafute chibu dagote
Mtafute ruto
Nasikia tu vitu vya mbosso na mondi tu humu,hamna kipya
Playing on repeat ❤️. Kila la heri WCB
Nice Kuna kitu kweli kimo big up wasafi
Wanaolia waliowahi kutendwa wanaosikitika wanaposkiliza hii nyimbo like text hii❤❤😭😭
Sending love and hugs all the way from Namibia 🇳🇦
Bonge la wimbo umeiimba
Fundii sana fannan huyuuuu...🎉
Tatizo kwetu mbagala..wasafiiiiiii
Tunapenda kumusapot d voice wetu ita akaunti zimekua nying had kero jamn musaidien huyu
Naamini mungu atanibaliki katika mwaka huu
yani umeuwa sana d voice hiyo nyimbomaana dem wangu alinifanya hivyo
Hii ngoma imetulia Dvoice ungechelewa kdogo nimwaga wino wasafiii ila unajua mpka naskilza mara 100.Big up dogo
So nicely song to listen
D VOICE Nakubali Blood Nipe LIKE jamani
Nyimbo nzuri Sana ❤❤❤,sauti mashallah 😋😋❤️❤️
Nilishawai nyanganywa demu kisa kipato daaah😢
Unajua sana d voice god Aku bless
Nice song 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 abarundi tumenyane ❤
Uandishi hundred percent
MashaAllah ; MashaAllah ❤
Uyu jamaa ataenda far away akipewa good support na Simba
100% my story 😊
Good songs,
Good voice,
Good artist
From tiktok live a ❤ for the songs 🤗
Good artist and good song 🎤🎤🎤💥🔥🔥🔥🔥🤗🙏
I love the song 💗💗 from Kenya mach love
Ipo kweli siku mungu nami atanijib maombi yangu atakama so leo wala kesho umaskin ntauwaucha tu ila asante mungu wangu kwakunipa pumzi ndefu mpaka leo napumua tena🙏🙏Thank-you jesus
Kaza buti utafika unapotaka na usichoke kumuomba mungu
Imenigusa Sana mpaka nimemaliza bando
👏👏👏👏👏👏👏ongera natamani na mm sikumoja niwe Kama ww
Tumepata kibao cha kuwakumbuka ma ex hii niyangu pendwa kati ya zote
Hii ngoma hainishi utamu.kweli umaskin mbaya
Daaaaaa uyu dogo anajua kuimba aise!! Bongo kumbe tunavipaji❤
❤❤❤❤
My best song of all
Good song ilove it❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💕💕💕💕💕💕
Nyimbo zote nimesikiliza ila hii ni best
Unaimba mpaka unaimba tena❤️❤️
Acha tu hii ngoma Dah🙌🔥❤
Nalilia umaskini 😢😢
ndo umeshatoboa 🔥🔥
Wimbo wangu pendwa❤❤
Ebanaee hii ngoma kali kali sana ipo kwenye uhalisia 100%
Umasikini djamani
Sara herry mkweramweni nakutakia Kila la kheri ktk maisha yako maana umenifunza sitokusahau 😭😭😭 Bado nipo single nimehama dar naishi Dodoma natamani kurudi lkn naona moto umeuchoma moyo wangu umeteketea"umaskini mbaya usinge cheat natamani ata Leo niwe na wew nimekumiss💔
Masha Allah buro🎉🎉
Favorite song ♥️♥️♥️♥️
Kweli 💯 kabisa ila Bora uhai IPO siku.🙏
Waoooo so nice song
Wangu amechukuliwa kisa doo
Ktk zako zote ulizoimba hii Kali sana
The best song from dvoice 👏👏👏👏you take it from lavalava 🔥🔥
Imetugusa Sana hi Ngoma maskin tunanyanyasika Sana yani hi nyimbo kila ikipigwa inanigusa mpaka moyon sjui hata uliwaza nn salut Kwa hili kaka