LIVE: MUNGU HAJAKUSAHAU WALA KUKUACHA // MKUMBUSHE KUHUSU WEWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Isaya 25:8
    Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana BWANA amenena hayo.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 85

  • @Fridaykibona
    @Fridaykibona 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni amen yesu naomba unikumbuke nitoke nilipo

  • @frankndetto3665
    @frankndetto3665 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen ikawe Baraka Nyingi kwenye Maisha Yangu

  • @DebbieWilshire
    @DebbieWilshire 21 วันที่ผ่านมา

    Mwagalwa pacifique agente yesu pasteur munguakubariki

  • @Angelina35789
    @Angelina35789 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU wangu naomba rehema nisamehe MUNGU wangu we ni MUNGU wa msamahaa 😭😭😭😭🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️😌😌😌 nahitaji kuonekana kwako naomba neema na kibali MUNGU wangu

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nahitaji kuwa na watoto. Mume umeshanipa nahitaji watoto. Tumbo langu likazae watoto na wawe na afya njema. Nakupenda Mungu. Asante🙏

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 7 หลายเดือนก่อน +1

    NIKUMBUKE NA MIMI LEO.

  • @verynicejohn7384
    @verynicejohn7384 7 หลายเดือนก่อน

    Nikumbuke bwana kwenye maisha yangu nakataa roho ya diley kwenye maisha yangu katika jina la Yesu🙏🏼🙏🏼

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni Ameni Ameni roho za umauti tunaitoa wataanguka WAWOO 2024 nitapita katikati yao Ameni Ameni Ameni ww ndiye hakimu. Ameni Ameni

  • @OdetteMacumu
    @OdetteMacumu 7 หลายเดือนก่อน

    Amen mon Pasteur préféré Mungu wangu akuchunge kila leo baba yetu

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dhambi zangu ni nyingi mno lkn baba neno pako linasema hauwezi kunisahau ,niko hapa BABA naomba unisamehe na unipokee ktk udhaifu wangu.

  • @Emmanuelikimota
    @Emmanuelikimota 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen na barikiwa sana na maombi haya nikiwa Omani mabarikiwe wote

  • @edinamtemela9214
    @edinamtemela9214 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nikumbuke bwana yesu kwa habari ya mume

  • @skilindaissa5441
    @skilindaissa5441 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu Wngu umejaa huruma sna ktk Maisha yngu Mungu mwenye upendo uliotupa ni mkubwa Sana .Mungu gusa Watoto Wngu.gusa mume Wngu.gusa family yngu.gusa wagonjwa wote waponye Baba hufanye njia pasipo njia Asante Mungu 🙏🙏 gusa waliotangulia mbele za haki.gusa baba😭😭

  • @elizabethsangu224
    @elizabethsangu224 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba rehema nisamehe kwakutenda zambi mungu wangu nomba nisamehe Kwa Zambi ya ukoo kwa zambi ya family nisamehe naomba neema yako ini fulike nisaidie mungu wangu nikomboe nahitaji msaada wako nikumbuke mungu wangu nakwitaji kwenye maisha yangu yote najifunika kwa damu ya yesu naomba uni samehe mungu wangu mabaya yasni fate naomba baba unae ishi milele namilee ukae nami nakwamini ww baba pekeako sna waku mwamini yesu wangu niongoze naomba niweke katika mwanga

  • @elizabethsangu224
    @elizabethsangu224 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mungu wangu uni lehem baba nisamehe usni ache baba nilehem baba nimekutenda zambi nisaidie mungu wangu nikomboe nahitaji msaada nilehem mungu wangu nakuomba kwenye maIsha yangu nisaidie mungu usnifche sula Yako kwajili ya uovu wangu nikomboe mungu wangu naomba sikio lako lini skie naomba macho yako yani tazame mungu wangu naomba mkono wako uni guse kla baya lini toke katka maisha yangu nikomboe nahitaji msaada wako nahitaji niwe naww mungu wangu ameni🙏

  • @GladysOngera-ep4yg
    @GladysOngera-ep4yg 6 หลายเดือนก่อน

    Amen,Mungu ameniona,you are loud and clear listening Na kubarikiwa man of GOD

  • @FatumaJuma-ss6eo
    @FatumaJuma-ss6eo 7 หลายเดือนก่อน

    yesu wangu wewe ndo kimbilio langu na tegemezi langu najiunganisha na ibada hii damu yako ikanene mema kwenye maisha yangu 🙏🏿

    • @ElizabethMkare
      @ElizabethMkare 7 หลายเดือนก่อน

      Damu yako ya takasa Maisha yangu

  • @GladysOngera-ep4yg
    @GladysOngera-ep4yg 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba Niko hapa nakuhitaji Kwa Maisha yangu Na familia yangu, Neno Lako ndio tegemeo langu.

  • @lorenzolaurence1625
    @lorenzolaurence1625 7 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu wa nyakati zote simama na mim leo ninakuitaji na naziamini kazi zako🙏😌

  • @hellleinpaul1262
    @hellleinpaul1262 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu nataka nikuone kwenye maisha yangu

  • @BerthaAblaham
    @BerthaAblaham 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu niko hapa nahitaji mguso wako Jehova napitia changamoto nyingi kwenye maisha yangu bila wewe Mungu wangu siwezi nimechoka kulia Mungu nikumbuke sasa kila nikitaka kupiga hatua najikuta nimeanguka tena Mungu usinyamaze kwangu nikumbuke namimi leo😢😢😢😢

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 7 หลายเดือนก่อน +1

    NIPO HAPA.

  • @ceciliagilbert973
    @ceciliagilbert973 6 หลายเดือนก่อน

    Niwezeshe baba.yangu YESU nikumbuke

  • @amirikitururu9494
    @amirikitururu9494 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kunitia nguvu na kukusogelea wewe na nimekuona usiku huu kupitia mtumishi wako

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana maana sasa unaenda kuniponya kwa imaaan Uwezi kuniacha Mwenyezi Mungu

  • @JumaNussura
    @JumaNussura 7 หลายเดือนก่อน +1

    Damu yako inikomboe

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba uni unikumbuke kila nipokuwa majaribuni nipate umeme unikumbuke uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nikumbuke YEHOVA.

  • @cleverambangile3675
    @cleverambangile3675 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Mungu ni mwema kwenye maisha yngu ❤❤❤

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn 7 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana kwa kuniumba upya na kuyasamee maisha yangu asante jemedari ungali una keti katika kiti cha rehema bb 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana tuoshe na Damu yako turehemu Bwana

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen and Ameeeen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa mungu, naamini mungu yuko nami hajanisahau

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Bwana naomba usinipite nakutegemea wewe katika biashara yangu maisha yangu familia yangu katika magonjwa usiwapite waponye Yesu ni wewe tu mponyaji akuna mwingine mwenye nguvu ni wewe 🙏🙏🙏

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen asante bwana yesu Kwa yote umetenda Kwa hii Ibada uhimidiwe yesu hakuna kama wewe🙌🙌🙏♥️

  • @amirikitururu9494
    @amirikitururu9494 5 หลายเดือนก่อน

    Natamani sana nguvu zako za roho mtakatifu

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 7 หลายเดือนก่อน

    Niondolee laana katika maisha yangu

  • @Sali-dr3xx
    @Sali-dr3xx 6 หลายเดือนก่อน

    Eunice mweni Jina lako limepita majina yote yesu onekana kwa mtoto wangu maryana kwa masomo yake in Jesus name

  • @GladysOngera-ep4yg
    @GladysOngera-ep4yg 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu wewe ndio tumaini yangu

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu Baba Bwana nipo apa ndio nakuja kwa moyo wa toba niko mbele zako 🙏

  • @Fridaykibona
    @Fridaykibona 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni ❤❤

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Bwana Yesu kwa neema ya Ibada hii ya leo 🙏🙌 na nguvu yako kuu ya kuokoa kuponya

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nikumbuke na mimi

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu kwa Jina lako lina nguvu

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu Kwa ukombozi!

  • @ceciliagilbert973
    @ceciliagilbert973 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu umebariki nimekutengemea wewe tu hakuna mwingine isipokuwa wewe unikumbuke

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu kwa ulinzi wako katika maisha yangu familia yangu 🙏🙏🙏

  • @NiceMboya
    @NiceMboya 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema ❤

  • @rosemarymulika1825
    @rosemarymulika1825 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Katika Jina la Yesu

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana tutazame upya

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 7 หลายเดือนก่อน

    Ni nakuhitaji Bwana na Nguvu zako zote nitazame kwa jicho LA huruma tutazame upya

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Ameni Ameni mtumishi

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nikumbuke usinisahau

  • @VeronicaMtesigwa
    @VeronicaMtesigwa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana 🙏🙏

  • @annnjeri4121
    @annnjeri4121 7 หลายเดือนก่อน +2

    Neno lako lanifalinji Amen Amen and Amen

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Bwana 🙏🙌🙌🙌

  • @Eunicelumumba-u9n
    @Eunicelumumba-u9n 7 หลายเดือนก่อน

    Asant yes naomb utusaidie mim na familia yangu bwana

  • @DebbieWilshire
    @DebbieWilshire 21 วันที่ผ่านมา

    Bwanayesunikombeleyakonishemkonoyesu

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwakuniponya

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sharom 🙏

  • @Matilda-vw5gf
    @Matilda-vw5gf 5 หลายเดือนก่อน

    Nikumbuke na mim leo pamoja na Familia yang uwaondolee mangum wananyo yapitia mangojwa ambanyo hayan kikom wewe yesu christ naomba u nikumbuke

  • @magrethmkoga7340
    @magrethmkoga7340 7 หลายเดือนก่อน

    Nikumbuke juu ya watoto wangu nikumbuke kiuchumi bwana nipo hapa nimechoka nishike mkono bwana usiniache bwana

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Roho mtakatifu

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 7 หลายเดือนก่อน +1

    BABA MUNGU ninakushukuru kwa huduma zote.NIHUDUMIE UPYA KIUCHUMI KIWANJA KIPATE MTEJA MZURI NIPATE PA KUANZIA NA KULIPA MADENI YOTE KABLA HALI HAIJAWA YA KUCHELEWA

  • @graceboke4346
    @graceboke4346 7 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu

  • @ElizabethMkare
    @ElizabethMkare 7 หลายเดือนก่อน

    Unaweza yesu

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 7 หลายเดือนก่อน

    Usinipite Bwana

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bwana🙌🙌♥️

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen 🙏

  • @LucyIwsy
    @LucyIwsy 5 หลายเดือนก่อน

    Nakata ungonjwa mguu

  • @ElizabethMkare
    @ElizabethMkare 7 หลายเดือนก่อน

    Asaninte yesu

  • @gideonwambua9498
    @gideonwambua9498 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu

  • @Jullykeya
    @Jullykeya 6 หลายเดือนก่อน

    NIKUMBUKEE MFALME😭😭😭😭😭😭😭

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fatmahussein2146
    @fatmahussein2146 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 2 หลายเดือนก่อน

    ❤SSophia

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Damu yako inanena mema hati za mashitaka tunazifuta tunatubu Bwana tuko mbele zako 🙏🙏🙏

  • @ElizabethMkare
    @ElizabethMkare 7 หลายเดือนก่อน

    Usiniache bwana

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 2 หลายเดือนก่อน

    Sophia ❤😢

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu kwa ulinzi yako kwa naomba bwana yesu usinisahau unikumbuke mm pamoja na familia yangu kumbuka mtumishi wako ibada yake pamoja na washirika wake simama na huduma ilii njili iende
    mbele

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙌