I liked the way they sang happily regardless of their political issues, this is important, I would be happier if Professor J was there, thank you Madam President for having a great team.
Kwasasa maisha ya shabadilika lkn Kuna wengi mbon wanafanya kama hawa lkn wanaishia Julia njaa tu Ila hao wapiga makelele ndo wasanii wenye pesa kubwa na wanatembea na walinz kwa usalama wao
I love the way tanzanians appreciate their own hadi president amekaa anawaskia... salute to you people 👋 Nice performance guys all this artists have been my childhood favorites from Nako 2 Nako soldiers,joh making,nikii wa pili,ay,and my main favorite mwana FA
I always love hip hop song hawa wengine wabana pua kila verse mapenzi mapenzi mapenzi weka kule thus why ukija kwangu usiniulize cjui Niweke nyimbo za hawa wanaojiita bongo flava utapata tabu sana na mpaka sasa cjui heat song ya bongo ni Ipi zaidi nikisafiri ktk basi Zuber the Trans from dar to Mza
Yaaani sugu umewaheshimisha wasanii wenzako jamani wa zamani ila Badoo wapo juu jmn mpk Sasa awa ndo waligendally was mziki wakiongozwa na Queen ladyjaeedy
Ingetumika nguvu kama hii kuutangaza utalii wa nchi yetu ingependeza zaidi kuliko kugharamikia filamu ambayo wengi wa 🇹🇿 wamekua wakiifikiria kinamna tofauti kabisa.
We unajua ni nchi ngapi zimeangalia hiyo filamu ya utalii na unajua ni watalii wangapi wameshakuja Tanzania mpaka Sasa epuka kulaumu usichokijua Fanya uchunguzi usikurupuke sisi Wana Arusha tunaona matunda ya hiyo filamu
Tuseme tu ukwer old rapper wanasaut na vocal za kibabe anaykubar hili tia like hapa
Mungu akufanyie wepesi babaangu Professor J, Leo hii ungekuwepo, inshallah Mungu akufanyie wepesi 🙏🙏🙏
Mungu huyu anampango nae amina
Ume nigusa Sana nawewe uliye tukumbusha hili mungu akulinde Sana ndungu yangu nimekupenda bure kwa kauliyako nzuri na inayo tukumbusha mengi🙏💓
@@chimbokiswaga8662 Amina ndg yangu daima tuombeane kheri🙏🙏🙏🙏
Amen
Inshallah 🙏🙏 13/06/2023 prof anaendelea kuriCover
Hip Hop is always best in Performance. You can feel lyrics and flows.
I got goosebumps when I saw Nick and FA Performing in front of the President.. such a joy to watch.. Samia should be proud of her leaders
Same to me I got goosebumps 💕
Sister Jide yupo so pure! vocal zile zile yani🤦🏿♂️ sauti moja ya dhahabu mno! hakika hadi sasa hakuna wa kumzidi Lady Jaydee
Sawa kabisa
Yupo mwingne maua sama
Maua sama hawezi kufikia hiyo chuma
Komando jidee
I appreciate the chemistry being made, make it a song as a remix. Mwana FA 🙏
Big up Kwa my brother Joseph mbilinyi a.k.a Sugu muziki wa ma legendary hautakufa milele
You Tanzanians see this?....Kuna heshima ukijipa utajiweka Mahalia flani....Hakuna Ali ama Diamond hapa.Only legends 🇰🇪... represented
Alikiba na diamond sio wana hip hop hapo ni hip hop
Apo walipo inatosha sana
Dah
Na Inaonenya wanapendana na kuthaminiana inapendeza
Only Sugu,Jide, AY and FA are the legends
😂😂😂🎤🇹🇿🪘 Yap! Nakubali, Mimi ni mpagazi on the Mountain kilimanjaro
I liked the way they sang happily regardless of their political issues, this is important, I would be happier if Professor J was there, thank you Madam President for having a great team.
Ay kauwa pongezi kwa John making na mwana f.a sister jide nk
Killer kabisa ,wasanii wanatakiwa kujifunza kupitia hii show ,mziki sio kupiga makelele this is real real music 😊😊😊
Kwasasa maisha ya shabadilika lkn Kuna wengi mbon wanafanya kama hawa lkn wanaishia Julia njaa tu Ila hao wapiga makelele ndo wasanii wenye pesa kubwa na wanatembea na walinz kwa usalama wao
Inategemea una perform wapi na umma ni kina Nan..??
@@msalabanireko1518 ❤
Watoto wa kizazi hikiki wanaimba ilimlad .old music it's very nice.
Much respect Wakongwe, a bit sad not seeing Juma Nature and Prof J on this one.
Pole sn j mwenyezi mungu akuzidishie subra ya dhati moyon upone haraka
Much respect to the veterans
Mwana FA 🙌🙌🙌🙌🙌 binamu you always killing it
Naikubali ile utaoa lini
🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu Lady J Dee nyoko
I love the way tanzanians appreciate their own hadi president amekaa anawaskia... salute to you people 👋
Nice performance guys all this artists have been my childhood favorites from Nako 2 Nako soldiers,joh making,nikii wa pili,ay,and my main favorite mwana FA
Bila kusahau mwanzilishi wa bongo flavour mr. 2 sugu.
Lod izy mnyama sana flow zake
Alo kosekana ni professor Jay jamani🙁Allah ampee shufaa ajumuekee na wenzake
Kakosekana Professor na Nature duu.
Old is Gold always
Sugu Hii Concerty imetisha xn big up xn remember in hiphop
AY ni master
Living Legends uwezo mkubwa Sana 💪💪💪
Huh ndy muziki na ndy wasanii pure walikuwepo.. wapo.. watakuwepo..blessed 🙏
Shikamooo hip hop na ma legend be blessed
What a performance 🎸🎸🎸
Wenye mziki wao ✨🎤💯
Kabisa
Kabisa ❤
I always love hip hop song hawa wengine wabana pua kila verse mapenzi mapenzi mapenzi weka kule thus why ukija kwangu usiniulize cjui Niweke nyimbo za hawa wanaojiita bongo flava utapata tabu sana na mpaka sasa cjui heat song ya bongo ni Ipi zaidi nikisafiri ktk basi Zuber the Trans from dar to Mza
this is tz bhana watuache na mama yetu😘😘
Prof Jay would be also great 🔥🔥
Wow from Kenya 🇰🇪 with love❤️🙏🎶👑🔥🔥🔥👏👏👏
wahenga...hongerenI sana hakika ilipendeza sana
Am always adorable to these ....nice guys.
Yaaani sugu umewaheshimisha wasanii wenzako jamani wa zamani ila Badoo wapo juu jmn mpk Sasa awa ndo waligendally was mziki wakiongozwa na Queen ladyjaeedy
😄😄😄😅😅🤣🤣! 🥱 Daaah Kwel sasaiv nchi Ndio imepata Rais sasa naona Mama anacheki Shoo hana Presha!!😭😭
AY nakuita Mara tatu AY AY AY
you killed it
Joh makini🔥🔥🔥🔥🔥
Kilimanjaro ⛰️ my best hip hop song of all time, I think jay Dee killed that corus
WAKULUNGWAAA
Ebwan kilimanjaro my best of all the time still in my playlist noma
Daaah kakosekana Wa mitulinga tu 😢
hii nyimbo ilifaa iwe kwenye sound track ya hiyo movie ya loyal tour
Sio loyal ni Royal tahira wewe
@@hateebcooper5539 😂😂😂😂mmmmhh
Legendary moments
What a voice from lady Jay dee❤
Na bado timu haijakamilika dah old is gold
Hao ndiyo wasanii wa hip hop hapa Tanzania wengine bado sanaaaaaa
Fa respect to you browh
Happy to see Ay
Ilikua 🔥🔥🔥🔥
Collaboration nzuri sana asanteni Legend
Tz more love ❤️..
Jede WW ndo kachumbali ktk pilau umetisha sana
Hawa ndo wasaniii tunaowajua sis hao wengne wakwenu.
Wape AFANDE sele 🔥🔥🔥 Fid q ,prof jay
Much love from DRCongo👌💪
Tumemjubu Dr dre
Mkude ze Don I appreciate for what u done
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ahsante Nyerere kwaktuweka pamoja ona Sasa tunacoshea mazuri kwapamoja kama taifa ss na wasanii wetu.
We need this mash up niggas! Go and record it!
Nimependa sana sungu mungu hakuzidi shiemema wewe ni kingi 👑💥💥🙏🙏💪💪
Wewe umeona ulichoandika au🤣🤣🤣🤣😂😂😃
Aisee mumeuaa kinoma mwaaaahh💋
🔥 respect woiiish ❤
Dah ilo colabo verse ya mwisho angekuepo mbunge wangu wa T Town Roma Mkatoliki ingekua kizazi sana na mistari yake konk ilionyooka kama rula😂🤣🤔
Fireee ,wahuniii
Kilimanjaro theme is great
The best rappers and the best singer
kwa wanawake bado sana kwa Jd bado saaaana
Show Tamu kinoma big up kwawaandaaji wahili tukio💪💪💪
No body talked abt jide... ❤❤
Ohhh my God...amaizing
Vibe km lote km umesikia royal tour tujuane kwa like
Ingetumika nguvu kama hii kuutangaza utalii wa nchi yetu ingependeza zaidi kuliko kugharamikia filamu ambayo wengi wa 🇹🇿 wamekua wakiifikiria kinamna tofauti kabisa.
Hata alivofanya rais ni best...wacha tuwangalie....italeta faida
Mmmh ww nae
Kwan hiyo filam ni ya kongo sio ya tx🤣🤣
Kwan hiyo filam ni ya kongo sio ya tx🤣🤣
We unajua ni nchi ngapi zimeangalia hiyo filamu ya utalii na unajua ni watalii wangapi wameshakuja Tanzania mpaka Sasa epuka kulaumu usichokijua Fanya uchunguzi usikurupuke sisi Wana Arusha tunaona matunda ya hiyo filamu
Wananimalizia bando lang mamaee 😂😂😂😂
Nikii wa Pili 👌👌👌👌
What a performance?
Hii masharp ni nomaaa🙌🏾🙌🏾
Raha ya pesa ,unakuwa na marafki wenye pesa, maskini marafiki zake watakuwa wale wale
Nimecheka sana aiseeee imebidi nikoment tuuuuu daaa life is not fare my rafiki 🤣🤣
Dah mwana falsafa FA 🙌💯💥
Niki wewe Niki wewe umetishaaaaa😮😮😮
Kwa Nini fid q ayupo kwenye list?
Hatari blessed artists,lovely
Jeedy, happy yaani🔥🔥🔥🔥
FA 🙌
Jay dee ana sauti !
Live sio mambo ya play back
AY THE GREAT OF ALL TIME
Big up mabrother big uppppppppppp
Lady jay dee Mama huyu ananyoosha
Mmetisha sana asee🔥🔥🔥
Noma 🔥🔥🔥
G nako the one and only
Duuh fid q hakuna kweli 😂😂😂
Whaaaaaao my regend
Iconics😢😢😢
Salute ff
Much love
Waaaooooooo so nice jaman
Hatareee sanaa
Juma Nature
Killer performance
MwanaFA ameua
Hii mix ya Kilimanjaro ingetoka tu audio na video.