Jaman mnyonge mnyongen haki mpen kk na kkbalsan lakin hebu acha uongo mbona wakin harmonz wanmafnkio kk vtu vyengine tujiongez mashabk inaman hamuon mafanikio yakina mboss palewalipo vika
Hamic Akida sasa muhusika mkuu ndio anaongea ww unabishaa nn ww unasikia kwa watu na unaangalia majina ya wasanii wengine yy muhusika ndio anaongea ukweli ww kausha tu
@@langamsuya3791 ndo mana mim nakufundisha wew mbumbumbu wakuja wew unamuona rich hajui na hapigi show kisa kutoka wasafi wakat rich mziki wake mkubwa na show kaanza kufanya kabla wew hujaja mjini na kabla hujaanza kutumia sim alaf ulivyokuwa punguani unamfananisha rich na mbosso wakat wakina mbosso walkuw hawana lolote kabla hawajamchukua wasafi boya wew
Background Music iko juu Sana muipunguze. Pia tumieni Lapel Mics, hizo mnazotumia ni ngumu kum control mtumiaji kuna wakati ana weka mic karibu wakati mwingine anaweka mbali na hata akiweka karibu kuna wakati inakuwa karibu kiasi sauti ina distort
WCB NI CHAMA LA WANA🔥🔥🔥HAMUWAWEZI WALE VIJANA MAMAEZENU...Mulidhani mukimbania SIMBA na Wasanii Wake Watapotea?Hahahaa Ndio Kwanza Wanazidi kutusuaa🔥🔥🔥#NUMBER 1 LABEL IN AFRICA!!!!NA kwa Sasa WASAFI FM NDIO HABARI YA MJINI🔥🔥🔥
Mavoco wewe ulikuwa star kabisa umeharibu nyota yako pale umeenda wasafi, Kama hiv umeshuka sana ushauri wangu ww kazana kabisa usimtegemei mtu wala usilaumu eti bora ungebaki hapana ww juwa unapotaka kufika.🙏
Naomba next time wekeni sawa upande wa Sound kuanzia mic zinafoka sana hazijakaa kwenye range moja sauti zinarise na kufall sana.. na hio back play beat inammeza ndugu mtangazaji na ndugu msemaji😂
Dozen jitahid usiweke utimu kwenye kipindi chako hio sio clouds hio ni wewe hujui uendako na ukiangali bado kijana bado unahitaji watu wengine kufanikisha mambo yako
deusdeo david go easy on him man.u-team gani unazungumzia hapa🤔 Umenifanya niiangalie hii interview upya ila sijaona hiko unacho kilalamikia??au unamaanisha ilibidi na Diamond awepo Hapo 😂
Dozen me nakukubali sana sema huo uclouds wako unaleta kwenye biashara yako hapo unazingua sana utakuwa hausogeii sababu ya ubinafsi wa kishamba ww umeamua kufungua online tv kwa ajili ya ku push kaz za wasanii wote but still upo na segregation ona hapo mmezungumzia wcb lkn hutaki kuitaji kwa maana unaona kama utaipa airtime ya bure this does not accepted punguza chuki zako fanya kwa usawa bro.
Dozen interview nzuri sana lakin SAUTI IMEKUA CHINI BORA MVAE MIC KULIKO KUSHIKA MIC AISEE MMEBOA SANA KATIKA SAUT BINAFSI IMENIUDHI SANA PILI DOZEN MASWALI YA LEO HAYANA UANDALIZI MZURI AU NAWEZA SEMA HAUKUA KATIKA MOOD NZURI AISEE MASWALI BINAFSI SIJAYAPENDA KUMBUKA HII CHANNEL YETU NDIO INAANZA KAZA SANA KUA SERIOUS PLEASE. LOVE YOU N I APPRECIATE YOU MUCH
label kubwa bongo ni wcb tu kakuna nyingine sasa uta zunguka mwisho wa siku utaishia kuuza mandazi muulize q chief kilicho mkuta hadi kawa omba omba siku izi
Interview zako zinakuwaga nzuri sana ila nadhani unahitaji sound balance ya background music na microphone volume ile kupata usikivu bora wa Maswali na Majibu.
mavoko nimuongo ...ww si ndo ulikuwa unasema mond alikuwa anakwabia ..utoe ngoma back to back...leo unasema walikuwa wanakubania .muogope mungu ww ..ndo maana...unafel ngoma zko....
for me naona kabisa Rich mavoko kuanzia aende wcb hakuna mafanikio yoyote aloyapata ya kutisha alaf wcb ni leble kubwa ukizingatia pia unasimamiwa unaweza amua hv alaf mtu akasema vyake yani ni km sasahv mm nrudi shule alaf pesa wakipata myb za show hazipitii kwake zinapitia kwa management watu sasahv wanatafta pesa na thamani rich kukndoka wcb ameona haimfaidish kitu chochote congratulation rich kwa kuliona hilo mkali alaf ww ni messi wa bongo fleva pale wcb hakuna anaekuweza
@@nickalreadyknows itafaa vp wakat anaemea mipilaa yuko ICU kwa level aliyo kuwa nayo mavoko daah cyo ya kutoa nyimbo nne alafu ina hit mojaa alafu huyu jamaa hata ajitambua hao clouds kipind mavoko yuko WCB hata cku moja hawajawi kupiga nyimbo zake na zote zilikuwa hits song alafu leo unarud kwa wachawi walewalee na atanyea debee
Hi platform imeharibu kabisa kipindi Cha XXL , before tulikua tupata content yote kuhusu msanii husika, siku hzi mnabania maswali kwenye XXL I'll muje kuyacover kwenye dozenselection. Inafikia muda msanii anaulizwa swali anajibu "sinilishaongelea kwenye dozenselection!" Work on this, sku hzi interview za XXL haziwekwi TH-cam ya clouds media Wala kuruka live sometimes! Mpaka unakuwa disappointed kutafuta. Sio kila mtu ana TH-cam akasubscribe dozenselection ndo apate content anayoitaka, rudisheni majeshi XXL ukiachana na playlist ya dj Kuna Mambo mengi yamepungua, and it's bcoz Mambo yanafanyika kikawaida saana. This is my opinion
Clouds yote na kipindi cha xxl vimepoteza mvuto baada ka kugombana na wasanii tofaut tofaut pamoja na kufa kwa Ruge pamekosa msimamizi mzuri wa vipind na kula mtangazaji nae anakuwa na onlineTv
@@hajiissa8900 🤣🤣🤣🤣🤣 yaan angalau LEO TENA inasikilizika , kuhusu online TV sio Jambo baya ni njia ya kujiongeza. Tatizo masponsor wamezidi kuwa nyomi! #moneyfirst #mantainancebaadae
RICH MAVOKO FUNDI SANA - A pure gold talent
Dozen up saw brooo kipndi chako fanya kaz brooo utafik mbali Respect
Nice interview,,, b 12 ur so talented broo
Nomaaaa
Duh nadhan tamaa zile za maisha ya wale zilipelekea uka sain mkataba pasipo kusoma vzr na kuelewa kisa una ingia leb ya fulan upate maisha mazuri
Wouuu rich makovu🌹👍
Wenye uteam ndo wanashindwa kupongeza , presenter uko vzr, TV iko vzr na artist yuko vzr, ur the best
mavooooooooooooooooooooookooooooooo nakuelewaa mnooo Broo piga kazi
Silali ndio nyimbo yangu bora kabisa
Dozen anaongea like a boss nakuelewa sana mzee 🙏🏾
Dozenselection punguzen sauti ya beat
Yerootz beat itoke kabisa
Josh Sanga pekee Nakubali 💪
Itoke kabisaa
Yerootz nic
i realize I am kind of randomly asking but does anybody know of a good website to stream new series online?
Sauti ya beat iko juu sana, then interview ndefu sana.
Well done mr Mandi
Huyu choko toka aondoke #WCB simpendii kishenziii
Guud intaview
WCB for life
Mama Ana msaport sana
show kali sana
Semelea good
Nice interview
Hiyo back sound punguzeni
Jaman mnyonge mnyongen haki mpen kk na kkbalsan lakin hebu acha uongo mbona wakin harmonz wanmafnkio kk vtu vyengine tujiongez mashabk inaman hamuon mafanikio yakina mboss palewalipo vika
yoo dozen selection holaaa xxl
Hamic Akida sasa muhusika mkuu ndio anaongea ww unabishaa nn ww unasikia kwa watu na unaangalia majina ya wasanii wengine yy muhusika ndio anaongea ukweli ww kausha tu
The king
nakukubali saba rich mavoko
Kuna unyama sana humu ndani bro dozen...fanyia kazi vitu vichache kama kushika mic n.k
Nakubali brother DOZEN mdogomdogo tutafik wanakotaka
#dozen bless Sana boss big show in town
Beat iko juu sana hatusikilzani saut
💥💥💥💥
king'smusic recods mavoko
my great artist in TanzaniA
Utakua kichaa wew si bure
saf nice interviw bro
Semeni #wcb ndo babalaooooo 🔥🔥🔥🔥🔥
Kipind hik kikubwa sana na kinamatazamo mkuubwa na wenye kugusa vipaji vya wasaniiii weng Zaid#KAZ KUBWA KAKA MANDI
Hiyo beat ni ya nyimbo gani,nimeipenda
Rich umefulia na kmzik umekufa tangu utoke wcb hitsong ip uliotoa¿ show 10 za rich mavoko ni sawa na show moja ya mboso
Wew acha ubishi kma angekuwa hana hits song wasingemtaka kumuajil katka lebo yao pia rich kaanza mziki before ya wao
@@yassinsaid1119 hiv huwa unaelewa kswahili kweli maana hapo nimeongelea after na ww unaongelea before (nyakat) rud darasan ukajfunze tena
@@langamsuya3791 ndo mana mim nakufundisha wew mbumbumbu wakuja wew unamuona rich hajui na hapigi show kisa kutoka wasafi wakat rich mziki wake mkubwa na show kaanza kufanya kabla wew hujaja mjini na kabla hujaanza kutumia sim alaf ulivyokuwa punguani unamfananisha rich na mbosso wakat wakina mbosso walkuw hawana lolote kabla hawajamchukua wasafi boya wew
@@yassinsaid1119 kweli we ni tahira salut kwako
WCB NDIO HABARI YA MJINI🔥🔥🔥SIMBA HAMUMUWEZI MASHOGA NYIE!!!!
Nenda uko basi
Mmetishaaa sana mafundi nyie
Ongea Taratibu mavoko
Background Music iko juu Sana muipunguze.
Pia tumieni Lapel Mics, hizo mnazotumia ni ngumu kum control mtumiaji kuna wakati ana weka mic karibu wakati mwingine anaweka mbali na hata akiweka karibu kuna wakati inakuwa karibu kiasi sauti ina distort
Nimekuja Apa baada yakuona Wcb tu.
Leonard Mavele We kama inzi ukiona Mavi lazima uende
@@kendrickemmanuel1535 wew km dem wang ukiona bwana wako kadindisha wew unajichomeka mboo kwenye mkundu, Unaona ulikonifata Uku!
Hata Mimi wala bila hiyo hata asingenipata
Tupo wengi
beat kubwa ,hutusikii vizuriiiiiiii
Enterviu nzruriii
Ayoo dozen selection vipi hakuna namna ya kubonga bila kushika 🎤?naona kunamuda sauti zinakuwa hazisikiki vizuri sababu ya kukwepesha mic
Wanatafutia confidence kwenye MIC
Kwani unateseka bro
Peter Jonathan otea
Henry Msaki oyea???🤔
WCB NI CHAMA LA WANA🔥🔥🔥HAMUWAWEZI WALE VIJANA MAMAEZENU...Mulidhani mukimbania SIMBA na Wasanii Wake Watapotea?Hahahaa Ndio Kwanza Wanazidi kutusuaa🔥🔥🔥#NUMBER 1 LABEL IN AFRICA!!!!NA kwa Sasa WASAFI FM NDIO HABARI YA MJINI🔥🔥🔥
Acha ushabiki, kila mtu ana haki ya kufanya mziki
B twelv mtu imara keep moving bro
Nakubari
Kaz kaz
Haha 😂 ngoma ngapi umetoa mpaka leo toka umejitoa 😃😄🤣🤣
Mavoco wewe ulikuwa star kabisa umeharibu nyota yako pale umeenda wasafi, Kama hiv umeshuka sana ushauri wangu ww kazana kabisa usimtegemei mtu wala usilaumu eti bora ungebaki hapana ww juwa unapotaka kufika.🙏
Naomba next time wekeni sawa upande wa Sound kuanzia mic zinafoka sana hazijakaa kwenye range moja sauti zinarise na kufall sana.. na hio back play beat inammeza ndugu mtangazaji na ndugu msemaji😂
Sijapenda hii back beat imekuaa juu sana kuliko sauti zenu. Pia why mmeshika mic mikononi maana kunamuda hamsikiki
Mnatafta Kiki kupitia WCB 😂😂😂
Umepoteza mtu mzee baba wcb lebo kubwa duniani
Dozen jitahid usiweke utimu kwenye kipindi chako hio sio clouds hio ni wewe hujui uendako na ukiangali bado kijana bado unahitaji watu wengine kufanikisha mambo yako
deusdeo david go easy on him man.u-team gani unazungumzia hapa🤔
Umenifanya niiangalie hii interview upya ila sijaona hiko unacho kilalamikia??au unamaanisha ilibidi na Diamond awepo Hapo 😂
Saaana
point
Broo dozen unge luhusu ku download interviews ili kama mtu yupo offline azicheki siunajua network some time
Msikitaka kufaa nje msiwazungumzie wcb,pumbavu zenu
Iyo back ground kubwa sana!
Work on the sound issues mzeiya
hiyo d selection ya kiwaki
Nice work dozen but back ground music iko high sana
Dozen me nakukubali sana sema huo uclouds wako unaleta kwenye biashara yako hapo unazingua sana utakuwa hausogeii sababu ya ubinafsi wa kishamba ww umeamua kufungua online tv kwa ajili ya ku push kaz za wasanii wote but still upo na segregation ona hapo mmezungumzia wcb lkn hutaki kuitaji kwa maana unaona kama utaipa airtime ya bure this does not accepted punguza chuki zako fanya kwa usawa bro.
Yes true ameonesha chuki za wazi wazi
JUMANNE MFAUME fact baba...washayumba hawa .. hahahaa...clous yenyewe ishakufa tayar babeki... moto ni WCB..tu
JUMANNE MFAUME ume mueleza kweri mwamba hata mavoko kazingua sana
Wamekutana mapunga wawili wanahojiana
💥💥💥💥💥
Dozen interview nzuri sana lakin SAUTI IMEKUA CHINI BORA MVAE MIC KULIKO KUSHIKA MIC AISEE MMEBOA SANA KATIKA SAUT BINAFSI IMENIUDHI SANA PILI DOZEN MASWALI YA LEO HAYANA UANDALIZI MZURI AU NAWEZA SEMA HAUKUA KATIKA MOOD NZURI AISEE MASWALI BINAFSI SIJAYAPENDA KUMBUKA HII CHANNEL YETU NDIO INAANZA KAZA SANA KUA SERIOUS PLEASE.
LOVE YOU N I APPRECIATE YOU MUCH
Hiiii
Eti kuna label nyingi zimemfuata teh teh teh Tanzania kuna Label ngapi za mziki kubwa..?tuanzie hapo kwanza ?
gaore khalifa hahaaaaaa itafahamika tu huu mchezo hauhitaji hasira
Zipo Wanene the industry zipo kibao kama ujui mziki uwez elewa
Nitajie msanii mkubwa chini ya lebo ya wanene kama sio Cheen Beezy 😂😂😂
gaore khalifa duh
label kubwa bongo ni wcb tu kakuna nyingine sasa uta zunguka mwisho wa siku utaishia kuuza mandazi muulize q chief kilicho mkuta hadi kawa omba omba siku izi
Beat ipo juu zaidi ya maongezi yenu
Interview zako zinakuwaga nzuri sana ila nadhani unahitaji sound balance ya background music na microphone volume ile kupata usikivu bora wa Maswali na Majibu.
nakukubali kaka sana
Hilo biti Lina zingua had huskii vzr kinachoongelewa
Silabi Boy Tz Biti liko sawa mzee Tupa Tekno iyo 😂
@@kendrickemmanuel1535 K kubwa
Sure
Mtajibeba na vimedia vyenu lo!
THIS GUY IS GUD,TATIZO HIS X GAL
mavoko nimuongo ...ww si ndo ulikuwa unasema mond alikuwa anakwabia ..utoe ngoma back to back...leo unasema walikuwa wanakubania .muogope mungu ww ..ndo maana...unafel ngoma zko....
Nice interview ila hapo kwenye WCB ungeandika pia lebo aliyotoka km mnavyozunguka zunguka kwny interview
Dozen.kipindi kizuri ila punguzeni huu mdundo interview haiskiki vzr
Ku hit tz huwez kupata hela kuna mtu alifanya show za fiest mikoa mitano jumla yake ni show ya mtu mmoja Mara moja Jarb Ku fight nje ya nje
for me naona kabisa Rich mavoko kuanzia aende wcb hakuna mafanikio yoyote aloyapata ya kutisha alaf wcb ni leble kubwa ukizingatia pia unasimamiwa unaweza amua hv alaf mtu akasema vyake yani ni km sasahv mm nrudi shule alaf pesa wakipata myb za show hazipitii kwake zinapitia kwa management watu sasahv wanatafta pesa na thamani rich kukndoka wcb ameona haimfaidish kitu chochote congratulation rich kwa kuliona hilo mkali alaf ww ni messi wa bongo fleva pale wcb hakuna anaekuweza
Hahahaha Sasa hivi fiesta sio noma siusemetuuu
Mbona lebo ya zamani itaje kwa jina msiogope,,, dozen upo vizuri kwa maswali yako umekidhi kiu yangu ,, sina maswali tena kwa Rich
Kwahiyo sasa hv unatoa nyimbo back to back au vp rich!!?😅😅😅 Mbona hatuoni hzo back to back!!?
😂 😂
Salimia Sana Tiny Home Boy
ambao wameunsubribe kwassbb ya unafik nan
mshkaji kakonda sana
kinyonge sana mbona show imepoa
Dozen selection mziki una sauti kubwa mpaka interview haisikiki vizuri na mike hamuweki vizuri. All in all good interview
Mavooocoooo messi messi
Show tulivu na poa kabisa HONGERA
Oii next time punguzeni iko kiwimbo sijuo kinanda yani mtu husikii vizuri ✌
Mnakumbuka alivyo toa kokoro na Diambond aliojiwa unakumbuka aliongea nini kuusu kutoa ngoma uyo jamaa kigeugeu.
Mwana mpotevu pambana na hali yako 2ko busy na WCB
kapinga george ukijiongelea peke yako itafaa zaid
@@nickalreadyknows itafaa vp wakat anaemea mipilaa yuko ICU kwa level aliyo kuwa nayo mavoko daah cyo ya kutoa nyimbo nne alafu ina hit mojaa alafu huyu jamaa hata ajitambua hao clouds kipind mavoko yuko WCB hata cku moja hawajawi kupiga nyimbo zake na zote zilikuwa hits song alafu leo unarud kwa wachawi walewalee na atanyea debee
We kaaaaa t n washamba wako
umafki jamani mbona toka utoke wcb hujatoa chochote nyau wewe
😁😁
Nashangaa umeandika WCB lakini kwenye mazungumzo ya interview mnashindwa kuwataja as if unaweka chuki flani hivi.
Wcb kma maji usipokunywa utaoga. Kwaiyo mi naona kma ni wivuu tuu wakijinga.
Kaka hiyo beat inazingua broo
Sawa ngoja sasa ujione, Tatizo unavimba sana ulikuwa unazinguana na madogo mara kwa mara eti kisa unapenda kujiita mkubwa
Kwahyo hyo mikataba miwil uliyosain ikakuathir ulikuwa hauna akil??🙄
messi 🔥🔥🏁🏁
Yaan sikupendi wee dozen .Umewazingua sana wasanii unataka kunyenyekew sana pumbavu unakuja kumsema msani kama Rama d .tena redioni .
Halaf Ana tabia msanii akishaomba msamaha wanataka aongee redion ili adhalilike
umefanya vizuri kuondoka wcb na usije kujutia wao sio kila kitu hongera kwa kumpa mama nafasi
Hi platform imeharibu kabisa kipindi Cha XXL , before tulikua tupata content yote kuhusu msanii husika, siku hzi mnabania maswali kwenye XXL I'll muje kuyacover kwenye dozenselection. Inafikia muda msanii anaulizwa swali anajibu "sinilishaongelea kwenye dozenselection!" Work on this, sku hzi interview za XXL haziwekwi TH-cam ya clouds media Wala kuruka live sometimes! Mpaka unakuwa disappointed kutafuta. Sio kila mtu ana TH-cam akasubscribe dozenselection ndo apate content anayoitaka, rudisheni majeshi XXL ukiachana na playlist ya dj Kuna Mambo mengi yamepungua, and it's bcoz Mambo yanafanyika kikawaida saana. This is my opinion
Amin man saiv xxl imekuw km jahaz yan yakawaid tyu wananiuz Sana tunateseka sis tm xxl
Clouds yote na kipindi cha xxl vimepoteza mvuto baada ka kugombana na wasanii tofaut tofaut pamoja na kufa kwa Ruge pamekosa msimamizi mzuri wa vipind na kula mtangazaji nae anakuwa na onlineTv
@@hajiissa8900 🤣🤣🤣🤣🤣 yaan angalau LEO TENA inasikilizika , kuhusu online TV sio Jambo baya ni njia ya kujiongeza. Tatizo masponsor wamezidi kuwa nyomi! #moneyfirst #mantainancebaadae
Ifikie kipindi watanzania tumu elewe rich mavoko maana kuongea kweli Hata nyinyi hamuoni acha unafiki Richard kaongeya kweli
Tufanye namna tuachane na hizo mic.