"KIGOMA IJAYO INAFURAHISHA,WANANCHI AMKENI" DC KIGOMA SALUM KALLI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Mkuu wa wilaya ya Kigoma Mhe Salum Kalli amewataka Wananchi Mkoani humo kuanza kujiandaa kutumia fursa za kiuchumia kupitia maboresho ya miundombinu ya Maji,Usafiri na wawekezaji.
    Akizungumza katika Mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata ya Kagongo Halmashauri ya Kigom Mhe Salum Kalli amesisitiza fursa ambazo serikali inatengeneza zinapaswa kwanza kutumiwa na wazawa ili kusaidia kuboresha hali ya uchumi wa mkoa huo.

ความคิดเห็น •