ความคิดเห็น •

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyumbani ninyumban I misss KIGOMA kwetu pamoza Sana 🙏🙌

  • @limimaziku7488
    @limimaziku7488 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana wanakigoma kwa kuboresha miundombinu kwa asilimia kadhaa, lakini bado inahitajika nguvu nyingi kuimalisha miundombinu hizo

  • @AmanduceFesto-nb6kh
    @AmanduceFesto-nb6kh 9 หลายเดือนก่อน +2

    Miondombinu serkal imejtahd ila vjumba vlvyochokachoka ni vingi

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 9 หลายเดือนก่อน

      Hahaha !! Endelea kuwa nasi sisi kwa kutazama vipindi vyetu vingine vya SakuaSakua na UFM na Imba na UFM .Ni hapa hapa the unique Facts Media (UFM).

  • @alexjumanne939
    @alexjumanne939 3 ปีที่แล้ว +2

    Kigoma ya sasa so kama ya zamaniiii yazd kupendeza

  • @omanatr8729
    @omanatr8729 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimemisi home jaman

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 ปีที่แล้ว +2

    Samia suluhu oyee

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 ปีที่แล้ว

      Endelea kuwa pamoja nasi katika kwa vipindi vyetu vya SakuaSakua na UFM pia imba na UFM.

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 8 หลายเดือนก่อน

      Karibu endelea kuwa pamoja nasi hata katika vipindi vyetu vingine vya SakuaSakua na UFM na pia vya Imba na UFM.ni hapa hapa the Unique Facts Media UFM.kukuletea kweli za kipekee(Unique Facts).

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 3 ปีที่แล้ว

    Nyumban kwetu 💕💕

  • @Omary-d7n
    @Omary-d7n 8 หลายเดือนก่อน

    Matokeo kitato Cha nne mwandiga secondary kigoma

  • @mustapharama4063
    @mustapharama4063 3 ปีที่แล้ว +2

    acheni usenge mnapasifia kigoma mkiwa mbali mnapo fanikiwa hamkumbuki kuludi kwenu kujenga hata vibanda ili papendeze

  • @amanimatokeo4591
    @amanimatokeo4591 3 ปีที่แล้ว +2

    duuu home kgm nimepamis

  • @OmanOman-bh4yh
    @OmanOman-bh4yh 3 ปีที่แล้ว +1

    Wacha wee kigoma yetu iyoo

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 9 หลายเดือนก่อน +1

    afazali ivyo kuliko bure na vumbi

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 9 หลายเดือนก่อน

      Hahaha . Endelea kufuatilia vipindi vyetu pia vya SakuaSakua na UFM na pia vya Imba na UFM. Asante kwa kuwa nasi. Siku hizi Kigoma inan'gaaa !!! Alika na wengine kufuatilia the Uniunge Facts Media UFM.

  • @husseinmrisho5207
    @husseinmrisho5207 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyumbani kwetu K. Town

  • @eliudmkondo4290
    @eliudmkondo4290 3 ปีที่แล้ว

    Kahabwa barabarani magofuuuu

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha . NYumba za asili ! Nyumbani ni Nyumbaaaniii. Dagaa kwa maweseee! Hope you enjoyed!

    • @eliaskahory341
      @eliaskahory341 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmm

    • @eliaskahory341
      @eliaskahory341 3 ปีที่แล้ว

      @@uniquefactsmediaufm6735aq