HISTORIA YA KANISA LA KATOLIKI...HII NDIO SIRI WACHUNGAJI WANAZINI MASISTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 193

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 4 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah masheikh wetu,Allah awaepushe na hasad na awajaalie kila la kheir.Nawependa kwa ajili ya Allah..

  • @omakywazamani6696
    @omakywazamani6696 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah Mungu yawa zidishieni nguvu nasi pia tuwe watu kama nyie wa kulingania maneno ya Mungu na mungu atupe mwisho mzuri kama ilivyo tokea kwa amir said Omar ibn hatabu

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 4 ปีที่แล้ว +5

    Maashaallah mashekhe zetu mungu akuhifadhini

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 4 ปีที่แล้ว +9

    Masha'Allah nakupenda bule mazinge wangu. Yani ukianza hii mada najua kwamba ni moto utawawashia. Ila ukweli usemwe kichungu kitemwe na kitamu kimezwe, wambie wakisikia sawa wakikaidi shauli yao lawama kwao si kwako ujumbe umesha warushia tayali.

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      wewe sarum majini mhamad utafuga majini mupaga rini mbwa wewe

  • @andrekandeke2774
    @andrekandeke2774 4 ปีที่แล้ว +4

    Allahu Akbar Mwenyezi Mungu awape moyo ya kulinda Uislam.

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +13

    Malipo yenu Kwa ALLAH in sha ALLAH

  • @sadanahimana7193
    @sadanahimana7193 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah awalinde sana awape umri mrefu wenye kheir Nina furahishwa na Daawa yenu hua nawafwata kila siku Ma shaa Allah na wapenda kwa ajili ya Allah .

  • @fauzialwi3488
    @fauzialwi3488 4 ปีที่แล้ว +4

    Asalam Aleykum please English subtitles next video please Kenya Daawah online tv In Sha Allah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah alshabab, daawa kibao. A salaam aleikhum waramaturah wabarAkhat

  • @babuzemacan3713
    @babuzemacan3713 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah mashekhe wetu, sitashindwa kusikiliza

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma shaa Allah Yani corona Allah aipeperushe daawa iendelee in shaa Allah. Ukweli Amna binaadam aweza ishi bila mwenza niukweli pastor wanakula watu wao

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah wallah Uislam raha Mazinge atia chumvi kweli😃

    • @salmaissa9793
      @salmaissa9793 4 ปีที่แล้ว

      Lkni nkweli twawaona sana

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Nahicho kilemba nacho😃😃

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj ปีที่แล้ว

    Taqbeer Allahu Akbr 🤲

  • @duniaabdallah2852
    @duniaabdallah2852 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha'llah masheikh Wangu Nawapenda.

  • @hassananwar7327
    @hassananwar7327 4 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh Yahya Issa Mupo wapi Masheikh wangu na mm ningependa kuhudhuria live kuwasalimia mashekhe wangu.

  • @ngokaomary5123
    @ngokaomary5123 4 ปีที่แล้ว +4

    Assalaam haleikum warahmatulilah wabarakath ..ma'sheikh wetu mnaongoza swalla zima la Imani

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      hivi nyinyi waga huko kwenu waga kunamabadiriko gani maana misikitini nimahari pa kujifuzia ugaid wa mhamad Kwanza hapo mripo majini ya mewajaa hivi mungu gani huyo mnae mwabudu mbwa nyinyi wa mhamad

  • @abdullahiaden6354
    @abdullahiaden6354 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah. Ni furaha kubwa masheikhi wanafundisha mambo sahihi. Allah InshaAllah atawalipa

  • @ibrahimkhamis8648
    @ibrahimkhamis8648 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allaah shukran Jazeelan wa JazaakumuLlaahu khayr

  • @ashirafathumani1666
    @ashirafathumani1666 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah. Mambo mazuri ila location sio. Hatuwaiskii vizuri upepo mwingi San tunakosa uhondo.

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah awaifadhi maustadh wetu

  • @fadhilichai4414
    @fadhilichai4414 ปีที่แล้ว

    Aslm alaykum ya brothers, mm namuombea kwa Allah ampe na kumruzuku mwisho mwema kwa KAZI munayoifanya mmungu awahifadhi dhidi ya shari za shwaitan

  • @mwanamwinyibmwakinalo4094
    @mwanamwinyibmwakinalo4094 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah masheikh wetu nawapenda sanaaa, sheikh Mazinge hua wanipunga sana ukiwapasha pia kuna shamba la mananasi

    • @salmaissa9793
      @salmaissa9793 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahah uliiona hiyo

    • @mwanamwinyibmwakinalo4094
      @mwanamwinyibmwakinalo4094 4 ปีที่แล้ว

      @@salmaissa9793
      Ndio,hupenda kuhudhuria mihadhara kwetu ujamaa akija
      😀😀😀

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +3

    ALLAHUMA swalli wasallim wabaarik aleihi

  • @razatrazat6833
    @razatrazat6833 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa ALLAH. ALLAH awahifadhi masheikh wetu ila tutaepuka aje hii Calender

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nasikia raha mwenyezi Mungu aendelee kumuongoza na amjalie muda mrefu

  • @abdullahiisaackkiriama2505
    @abdullahiisaackkiriama2505 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mashekhe wetu tunawapenda Allah awabariki sana apo dunia na aheera

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu หลายเดือนก่อน

    Kazi mnayo fanya ni ngumu sana, Mungu atawalipa.

  • @ummua5006
    @ummua5006 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazakumu Llaahu khairan

  • @busta_malik5971
    @busta_malik5971 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana hawa waadhili endeleeni kutu elimisha

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallaah yarab tuhifadh na utulinde pamoja na mashekh wetu wote amiin

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awastiri na awaongoze masheh zangu msiogope mtu ogopeni mungu tu ukweli uonyeshwe.nauongo ufutwe

  • @akaachoseries4673
    @akaachoseries4673 4 ปีที่แล้ว +6

    kanisa hili kweli n la uongo.

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hakika inafurahisha sana

  • @ummabdulrahman170
    @ummabdulrahman170 4 ปีที่แล้ว

    In shaa Allah mungu awafunguwe macho yao na masikio waelewe waambiwao maanake ukristo ni mtihani wa maisha ya duniani na kesho akhera ni adhabu Allah atuongoze sote njia iliyo nyoka

  • @mohammedmoshe6622
    @mohammedmoshe6622 4 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH!!!!!!! Umeongea Ukweli Kabisa

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +3

    Tushee hizi video kwa Wingi, lnshaAllah
    Sema mazinge Hua unanikoshaga Sana tu haswaa maswala hayo dah
    Alafu sijui Ismail nae ulimuacha wapi swaiba yako

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani mashekhe mungu awajaze ilmu mungu awape malipo mema

  • @kingakomarey2921
    @kingakomarey2921 4 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge wamkumbuka sio huyo waziiri 2011 makadara ground mombasa Akibishana na ww na ww ukamwambia utakuja tu kusilimu ndo huyo hapo Ashasilimu Ahamdulilah

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      wewe mazinge nakupa miezi usipo kuja kutubu na hayo majini yako ya taperi mhamad utakufu

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @paulpaul34
    @paulpaul34 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe sheikh wanafikiria kama watoto

  • @سعيدهعلي-ف5ك
    @سعيدهعلي-ف5ك 3 ปีที่แล้ว

    Masha llah Allah atawalipaa ya rabbiy

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 ปีที่แล้ว +3

    Asalaam aleykum, MASHEKH KUNA MAZINGE WA TZ NAOMBENI MUUNGANE NAYE ILI DAAWA IWEZE KUFANYIKA TANZANIA HASA MKOA WA KIGOMA, nitafurah sana

    • @rolax1999
      @rolax1999 3 ปีที่แล้ว

      Nipo kigoma

  • @fahadkhalfan2079
    @fahadkhalfan2079 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwa style hizi na jitihada hizi inshallah baada miaka 10 ukristo kenya utakuwa umeisha na kenya itakuwa madina ya Africa inshallah.. mkitoka hapo mje Tanzania masheikh wetu manake wahadhiri wa tanzania daawa mitaani hawafanyi sijui tatizo nn 😢😩

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว

      Amina lnshaAllah

    • @salmaissa9793
      @salmaissa9793 4 ปีที่แล้ว

      Inshaallah Aamiiin

    • @lacroquetalacroqueta6813
      @lacroquetalacroqueta6813 4 ปีที่แล้ว +1

      Mashekhe hawa wa daawa wako na familia zao zinataka kusaidiwa kwa kila hali na matajiri waliojitolea ni wachache kusaidia na watu sasa kwa mtazamo wangu hao wahadhiri watanzania inawezekana wameamua kutafuta kazi za kawaida ile apate kipato cha kuwasaidia family zao ndio maana hatujawasikia kwa mda mrefu sanaaaaaa, wakiristo misaada yao inatolewa na matajiri na wasimamizi kutoka ulaya wa makanisa tafauti tafauti

    • @ashaboki906
      @ashaboki906 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa wakuje Tanzania

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว

      @@lacroquetalacroqueta6813 hiyo nayo inaukweli, wacha tuchangie sadakatul jaariya, na kama mtu atakua na za ziada basi atapeana mashekhe hata walimu WA madrasa nao pia WA nahitaji kupewa lnshaAllah

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +2

    Makafiri ingieni hapa mpate sindano kwa walimu wa Kiislamu hawataki kulipwa na mtu Hao katika haya wanasubiri malipo kwa Allah ya kunusuriwa na adhabu siku ya kiama

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      hivi huyo mungu wenu wanga muhamadi waga amewafuga hakiri hapo mripo majini yamesha wafunga mizim majambazi wa mhamad Sasa kwa ushaur kwa Nini msienderee tu na uganga wenu kuriko kumzihaki mungu

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazingira mazuri Ila upepo unazingua

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      nyinyi masheh wa majini na mizimu Mimi niwashauri jambo moja kwanini nyinyi hamfungiwi wakati Kira jambo mbaya riko kwenu wafuga majin waganga mizim majambazi magaid wa mhamad kwanini badara ya kufuga majini msinge mtafuta mungu wa kweri mbwa nyinyi

  • @asiriyaaljabriy434
    @asiriyaaljabriy434 4 ปีที่แล้ว +1

    Msipendelee kuongolea nje upepo unasababisha sauti haitoki vizuri

  • @omaribrahim9268
    @omaribrahim9268 4 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleikum warhamatullah wabarakatuh masheikh namuomba tafadhali mufike meru in sha Allah

  • @boaz9248
    @boaz9248 4 ปีที่แล้ว +5

    is to good to be a Muslim

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ndipo nachukia waesilamu sababu hawatambui Yesu kristu kuwa bwana na mokozi wa maisha ya wanadamu

    • @mussashaha-iv7gg
      @mussashaha-iv7gg 8 หลายเดือนก่อน

      yesu ni wa waislamu sio wa wa kristo kwa sababu kuna ushahidi wa maandiko

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah nawapenda kwa ajili ya Allah

  • @hamishemed9396
    @hamishemed9396 4 ปีที่แล้ว +2

    Wagalatia hawaelewi kwakweli inasikitisha ila Alihamdulillah unajitahidi kuwaelimisha baadhi yao wanaongoka

  • @aaibrahim4487
    @aaibrahim4487 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah show iko mzuri sana na inaelimisha sana.....Maalim nakuuliza mbona hizi nchi zakiislamu kama Saudi,Dubai na zingine huwa Zina mkaribisha sana huyu pope nakumpa heshima...Haya Mambo yanaudhi sana.. Assalamualaikum

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 2 ปีที่แล้ว

    I wish mugemutambua Yesu kristu ndio mungeelewa. Na yesu ndie njia ya ukweli ya kwenda mbinguni

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 7 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli masheh zetu nawapendeni kama roho yangu mzidi kuipiganiya dini ya allah.malipo yenu yapo.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa kwasababu wametowa siri ndio mana mnamtukana Muhammad mbona hamnaga adabu.na watazidi kusema hamtowaziwiya kitu.

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh yahya naipataje hii nasheed jaman naipenda sana

    • @wingshotel9652
      @wingshotel9652 3 ปีที่แล้ว

      Nyinyi mnazini wapi hata nyinyi wasanii

  • @duniaabdallah2852
    @duniaabdallah2852 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilikua napenda muongeze dakika yani ifike 45 basi masheikh Wangu

  • @erickkamande984
    @erickkamande984 4 ปีที่แล้ว

    Huyo sheikh mazinge namkubali sana ni mkali wa intelligence wa pungufu wa akili

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge sisemi KITU😂😂

    • @salmaissa9793
      @salmaissa9793 4 ปีที่แล้ว

      MI atha siwezi mbavu zangu,, lkni sheikh asema ukweli sio kichekesho

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      @@salmaissa9793 M mependa hichi kilemba alvokifunga😁😁😁

  • @bibahrajababdallah1743
    @bibahrajababdallah1743 4 ปีที่แล้ว

    sheikh yahya nakushukuru sana

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 7 หลายเดือนก่อน

    Kama namuona mazingee,mwaipopo,dr sule nawengine masheh wakenya na tanzaniya.wote endelezeni kazi hiyo Allah atawalipa.muwabane mbavu mpaka wanyooke waache upumbavu wao

  • @abdulmalikngola9244
    @abdulmalikngola9244 4 ปีที่แล้ว

    Assalaam alaykum w.w great work brothers sauti kidogo balaa

  • @johnsombi545
    @johnsombi545 4 ปีที่แล้ว +2

    18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu NITALIJENGA KANISA LANGU; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
    Mathayo 16:18

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Maneno ya yesu hayo ama?

    • @johnsombi545
      @johnsombi545 3 ปีที่แล้ว

      @@maherzain615 ndio akimwambia Petro

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      @@johnsombi545 mbona ye mwenye alikienda kwa sina gogi.angelijenga akiwa ye mwenyewe

  • @nicolaussengenge6465
    @nicolaussengenge6465 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu hii ni hatari kubwa tuache kujiingiza kwenye imani za watu wengine.

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 3 ปีที่แล้ว

    Naerimika sana

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 2 ปีที่แล้ว

    St Paul katika kitabu cha 1st cor 7 utaona hawalazimishi mtu kuowa wala kuolewa. Ni maamuzi ya mtu binafsi. Ukiweza baki single husipoweza owa. Free choice

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Jiulize ww mwenyewe binafs unakula unashiba unaweza kuhimili iyo hali kama binadamu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 14 วันที่ผ่านมา

    Mohamedi alianzisha uisilamu huko leo mnaongea uongo na ushabuki

  • @hanifaali9526
    @hanifaali9526 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwa catholic sisters ni ukweli ukiwaona vifua vyao vimeanguka, zimeangushwa na nini na hawajazaa?? Pia kuna wakati nilikua nafanya kibarua loreto convent nilishangaa kuona kuna sister alikua ikifika jioni anavaa mini skirt na kutoka kulikua na gari nyeusi BMW inakuja kumshukua jioni anarudi asubuhi, kwani alikua anaenda misa ya usiku peke yake?

  • @mohamedhamdan4956
    @mohamedhamdan4956 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @sospetermwita5433
    @sospetermwita5433 5 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi watu wanafanya comedy,wake mchezo na mwenyezi mungu

  • @ramxoketti7521
    @ramxoketti7521 3 ปีที่แล้ว

    Saf ila jitahidini kukuaa sehem zisizo na upepo inaboa sana

  • @inosentmoris4389
    @inosentmoris4389 3 ปีที่แล้ว

    Nyiye niwa huni waimani

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 2 ปีที่แล้ว

    Shida waya esilamu ni hawafuati agano jipya ndio maana hawatambui Yesu kristu

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 2 ปีที่แล้ว

    Dhambi sio kuzini tu,Kila binadamu ni mtenda dhambi.dhambi ni dhambi tu.

  • @raphaeldinyu427
    @raphaeldinyu427 ปีที่แล้ว

    Biblia takatifu na Quruani ni vitabu viwili vya Imani tofauti hivyo Imani unaamini wewe sio lazima mtu mwingine aiamini

  • @aliomoke6289
    @aliomoke6289 4 ปีที่แล้ว

    I really agree with you but shida juu ya ndugu zetu wakristo ni kupuuza maneno yaliyo yakweli yaliyo fundiswa na Manabii wa ALLAH na kuyafuata maneno ya ukora na wauni wakuu Wa makanisa.Kwanza Mimi mwenyewe nilikua naenda katika kanisa la SDA nilipokuja Nairobi kikazi Kwa bahati nzuri nikatumwa Eastleigh ndio nikawapata warimu Wa kiislam wakifundiza nikaanza kufuatilia hadi nikajua ukweli na kuufuata but ninao challenges mbaya sana Kwa familia lakina nwomba muniombee Dua

  • @gaspermlelwa432
    @gaspermlelwa432 3 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu mnachokijua!! Ninyi ni wachekeshaji tu!!

  • @dennismwenje7041
    @dennismwenje7041 4 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge alf zile movie za freemason siku hizi utangezi

  • @anoldsimbeye2676
    @anoldsimbeye2676 2 ปีที่แล้ว

    Mukobize munachambuwa msichokijua nikweli akilizenuzimeishiahapo zaubinadamu.

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 2 ปีที่แล้ว

    Nyinyi mumutambue kwanza Yesu kristu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 7 หลายเดือนก่อน

      Yesu sisi tunamtambuwa sana kushinda nyinyi.na tena anatupenda sana sisi nduguzake waislam kwasababu tunamuweka nafasiyake halali Allah alieye mpa.

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 4 ปีที่แล้ว

    Ustadh Waziri mulizungumzia kuhusu kile kiraka cha yesu kwenda kusulubiwa hususwan ulisema mulikuwa mukijitetea ile Cloak wakati ule ilikuwa mukijitetea mukisema saa iliotumika kwa kigiriki na kiroma zimetafautuana sasa inamaana sisi watu wa wakusema cloak kwa kiswahili tunatumia cloak ya kigiriki kwa mfano 12 tunasema saa 6 yaani cloak zetu ile namba tunasema tafauti ilivyo.

  • @isayajerad
    @isayajerad ปีที่แล้ว

    waisiram wamesabisha ushoga maana majini ya ukahaba ya mejaa

  • @sir-ddamsir_di_key5224
    @sir-ddamsir_di_key5224 4 ปีที่แล้ว

    Wapi nduthi yeye pia next episod akuwe bana

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza catholic sio serikali sema ni chama cha siasa ulimwenguni period

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 7 หลายเดือนก่อน

    Iyo biashara ambayo mko nayo kanisani ipo siku itahomba.mnamchuwa yesu mnamuweka kwenye ibada yabiashara.ndovile aliacha anawausiya?atawakanauyo mnajuwa.na hilo jina mmejipangiya litawabakieni nyinyi wenyewe atajikunguta atawambieni yeye sio yesu.yeye ni issa bin mariam.

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 7 หลายเดือนก่อน

    Waislam tunatisha!!!kwakweli mjiamini,ndio mana tunaogopwa tunaitwa ni wachawi.sababu ya Nini? Elim nyingi kubwa.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 ปีที่แล้ว

    Kanisa Katoliki halikuanzishwa na Petro, Kanisa La Katolic Lilianzishwa na Mfalme Constantine, Karne ya Tatu. Na Acha Uwongo Waislamu hawakuwepo mpaka Karne ya 6 hivi. Tatu tuambie Mohamed aliyeanzisha Uislamu alizaliwa Karne gani?

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 4 ปีที่แล้ว +1

      Ww hujui kitu uislam haukuanzishwa muhammad kwan muda alikua mkristo,ibrahim,yusuf,nuhu,je soma ndg acha kupenda kitu kbovu ww ukristo ungekua dini tukuachie ww kwa ujanja gani uliokua nao kwanza kristo
      Ni jina la mtu ww unafanya dini unaakili kweli

  • @guwileguwileyasini758
    @guwileguwileyasini758 4 ปีที่แล้ว

    Kk yahya abili mm ninashida ya namba zako nataka nikutumie pesa kwaujezi wa msikiti naomba nambo mi naitwa ziada yasin mi ni mtanzania lla nipo oman nakuomba namba

  • @swahibusadick4419
    @swahibusadick4419 4 ปีที่แล้ว

    Allah awaongoze endeleen na dawa Wala msichoki.

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว

    Nawakubali MaSheikhe watu

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 11 หลายเดือนก่อน

    Mmejaa fitina, mbona nyie wenye vikofia wanalawiti hamsemi?

  • @raphaeldinyu427
    @raphaeldinyu427 ปีที่แล้ว

    Kama Quruan yenyewe haifundishi mambo mazuri ya Imani Shekhe ataweza kufundisha mambo mazuri ?

    • @mussashaha-iv7gg
      @mussashaha-iv7gg 8 หลายเดือนก่อน

      hakuna kitabu duniani kinacho fundisha mazuri kama qur-an sema huja soma

  • @geminassenga5303
    @geminassenga5303 3 ปีที่แล้ว

    Nawachekaga Sana😂😂😂 Ila bas tyu endeleen kumhubir huyo Mungu wen wachuki

    • @mussashaha-iv7gg
      @mussashaha-iv7gg 8 หลายเดือนก่อน

      mtu anae chukia ukweli basi atakuwa na matatizo ndugu yangu usikariri maisha dini unatakiwa usome usiweke ushabiki kumbuka kifo kipo usikubali kuwa mkristo bila kujua kitu na mwisho unapo ongea ongea kwa uthibitisho wa maandiko kweli ukrusto sio dini ni biashara tu

  • @georgemchome1428
    @georgemchome1428 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😜😜

  • @hamishemed9396
    @hamishemed9396 4 ปีที่แล้ว +1

    Kingine masheikhe zangu kwanini wakiristo wanaaminishwa picha ya msanii wa filam kuwa ndio yesu hadi wameiweka kwenye makanisa wakati sio yesu hilo nalo wanalichukuliaje

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Shetani ako na nguvu ya huu ule ulimwengu bro

  • @zaburionlinetv6245
    @zaburionlinetv6245 4 ปีที่แล้ว

    Kinshansa Ni Congo bhana hahahaha wazee washakarabara bakosa okamata Ni usanii mtupu

  • @mikaelilivigha6972
    @mikaelilivigha6972 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu hapo nyie Kama amuamini mbaki Hivyo hivyo sawa

  • @raymondngajagu66
    @raymondngajagu66 4 ปีที่แล้ว

    Umechapia hamuna kitu hapo umejaribu kuelezea ila bado jaribu usome tena

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Chochote kisichopatikana kwenye biblia ni ushirikina, Washirikina wapo dini zote

  • @hamadinyawe1816
    @hamadinyawe1816 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba sauti kipindi kizuri mashee wetu

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣