ISHARA 5 WEWE NI MWONAJI NA NABII MKUBWA ISHARA HIZI ZITAWATOKEA WATU 10 KATI YA 1000

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 105

  • @robertmasele417
    @robertmasele417 5 หลายเดือนก่อน +7

    Maombi yangu(1)nimjue Mungu zaidi(2)Niwe nabii(3)uchumi wangu upone(4)Niwe mtumishi mkubwa(5)Niwe nafungua waliofungwa(6)Niwe shujaa na shupavu(7)Nishinde vita vyote(8)Janet apone figo(9)karama za Roho mtakatifu zifurike ndani yangu(10)uwepo wa Mungu usipungue kwangu(11)Nipate kuona(12)Wanangu wawe watumishi mashuhuri

  • @JosphineAchieng-s3g
    @JosphineAchieng-s3g หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu ponya ndoa yangu ipone katika jina lako YESU 🤲 naomba ushindi ushuhuda history mapya kutoka kwako, naomba nguvu zako YESU inijaze na roho mtakatifu initawale mwangaza 🌟 wako YESU macho ya rohoni masikio ya rohoni , nionyeshe njia 🙌 YESU wangu, nioshe na damu Yako YESU ulinzi Bora zaidi pamoja na uzao wangu ndoa yangu katika jina lako YESU

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz 10 หลายเดือนก่อน +3

    asante Mungu kila kitu ni kweli na ndivyo Yesu alivyonipa hicho kipawa

  • @NyamweruAlex
    @NyamweruAlex หลายเดือนก่อน +2

    Ee mwenyezi Mungu nibariki kuniumba hivi niongezee nguvu zaidi

  • @PeninahN
    @PeninahN หลายเดือนก่อน +2

    Asante mtumishi hua naomba kufikila kitu na inafanyika na pia mtumishi niambie hii ya kuota nikiombea watu na wafungua

  • @ChristianIsaya
    @ChristianIsaya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki saana aposto
    Nakuusiyana maombi Mungu anajuwa aja ya moyo wangu Ila muombapo mututiye katika Salama sababu Sisi ni wenye maitaji mbele za Mungu wetu mubarikiwe saaana

  • @deongonyan5408
    @deongonyan5408 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu
    mimi namshukulu Mungu niko salama
    mtumishi wa Mungu niombee nikuwe kiroho maana maadui ni wengi wanaotaka kuniludisha nyuma ili kusudi la Mungu lisitimie kwangu
    Baraka za MUNGU ZIWE NAWE SIKU ZOTE ILI TUZIDI KUJIFUNZA KUPITIA KWAKO AMEEN🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ubongosahihi
    @ubongosahihi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Apostle 🙏🏿 hayo yote yapo Karibu yote na yamenitokea juzi tu 15/06/2024 kuamka 16/06/2024 niliamka ghafla saa Nane na DAKIKA kumi na Tano nikaanza kukemea na nikakea mmpaka nikasikia uchovu wa Ajabu 😢😢

  • @ChristinaNyarobi
    @ChristinaNyarobi 3 วันที่ผ่านมา

    Amen huyo ni mimi kabisa Mungu tengeneza njia zangu 🙏

  • @DorisKipangula
    @DorisKipangula 5 หลายเดือนก่อน +1

    Na mwomba mungu aniinue aniongezee imani ,niwemtu wasala namaombisana ainue hudumayangu aniepushe namitihani ya duniahi aseme namimi kila wakati kwanamuna yoyote na roho mtakatifu anifundishe ansaidie yeye alie msada wangu wakalibu.asante mungu muumbawambingu nanchi navitu vyote vinavyo onekana navisivyo oneka utukufu niwako Amina

  • @KundiPaulo-s1h
    @KundiPaulo-s1h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa mungu nikweli kabisa Mimi huwa na hisi kitu na kinatokea kweli Yani hata nikishika sm yangu nikahisi frani atanifuta na kweli ana nitafuta Asante Mungu kwa zawadi 🙏🙏

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi wa Mungu napenda sana mafundisho yako Mungu akubariki sana

  • @cheyoyegela4838
    @cheyoyegela4838 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana mtumishi wa mungu katika hayo Kuna vitu ua naviona.

  • @Pacificah-n9x
    @Pacificah-n9x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, God bless you Apostle

  • @AliceNzomwita
    @AliceNzomwita 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ufungurivu wa ndoto zangu, nirikuwa naota Sana, ivi zimezimika, musada wa maombi 🙏

  • @helenasangu3698
    @helenasangu3698 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu kwa Neema hii, ninaushuhuda juu ya kuona kitu kabla ya kutokea, kipindi cha nyuma nilikua nikiota ndoto naipuzia inapoleta matokeo yawe mazuri au mabaya ndo nashituka, kwa sasa sipuzii hivi vitu kabisa, nilikua naota ndoto flani kipindi flani tena ikawa inaludia mara nyingi nilipuzia kabisa ila nilipoanza kuona ile shida ndo nikaanza kukumbuka ile ndoto, nilimsihi Mungu na mambo yakakaasawa, leo ni siku ya kwanza kukusikia ila unaongea ukweli mtupu, Mungu akubariki.

  • @FurahiniSanga-i4h
    @FurahiniSanga-i4h 5 หลายเดือนก่อน +1

    1,naomba Mungu anisamehe kwa kutokujua kwangu Mungu anipe ishara3anaposema nami3 anijulishe kama ni yeye ananipa maono4aponye fikra zangu zimti yeye5aponye maisha yangu 6aponye watoto wangu na jehanamu ya moto7 amuongezeee nguvu ya kupambanua roho8anisaidie siku ya kufa kwangu nikiri jina lakeYesu9alisaidie kanisa ktk siku za mwisho1
    0anipe hekima nionapo mambo ya watu11anipemoyo wa kuwafikia walengwa na kueleweka12anijalie kuingia uzima wa milele amina

  • @theresiaambroce7280
    @theresiaambroce7280 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen karibia ishara zote tano ninazo Mungu anisaidie nifikie kusudi lake

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 22 วันที่ผ่านมา

    Ameni 🙏

  • @christinakibuda1197
    @christinakibuda1197 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana ntumishi wa Mungu

  • @Mwikalimakewa
    @Mwikalimakewa 27 วันที่ผ่านมา

    Amen .haki ni mm unaniongelelea kwa maana ata Leo niliona mtu akichoma bible nikajikuta ninampinga sana tena sn

  • @lovenessmagome8876
    @lovenessmagome8876 11 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa baba

  • @AbaAbaa-t6h
    @AbaAbaa-t6h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana

  • @MariamMaliseri
    @MariamMaliseri 10 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina kweli hata Mimi saa nane Tisa kumi na Moja najipata nimeamka pia kuota ndoto nyingi

  • @AgnessPete
    @AgnessPete 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante ssana mtumishi manemonyako yananipa Imani nafaraja mungu akubariki ssana emen🙏

  • @BeatusChristian
    @BeatusChristian 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you!!!!

  • @VeredianaJeremiah
    @VeredianaJeremiah 3 หลายเดือนก่อน

    Amen,Nina sifa hizoo natamani nijifunze zaidi Ili niweze kuyatafsiri hayo maono ninayoyaona

  • @MoreenGaudence
    @MoreenGaudence 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Baba nimependa mafundisho yako

  • @vicklyimo9571
    @vicklyimo9571 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen .

  • @emmanuelchesula
    @emmanuelchesula 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor I need to grow spiritually

  • @AmosiDaniel-e5q
    @AmosiDaniel-e5q 9 หลายเดือนก่อน +2

    Apostle mm naota sana mbingu zinafunguka na malaika wanatoka n meota zaidi ya mara2

  • @محمد-ث9ت4ظ
    @محمد-ث9ت4ظ 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

  • @AgnessPete
    @AgnessPete 11 หลายเดือนก่อน +4

    Maombi yangu 12. 1. Nimjuwe mungu. 2. Nisiwemvivukusoma bibiria. 3 nisiwemvivu kuamkakupmba. 4. Ninakipaji chauimbaji injiri rohomtakatifu aniiniue. 5. Nipatemafanikio kwenye kirimoninachorima. 6 niwemuimbaji mkubwa kwakuponya kufungua kupitiauimbajiwangu 7. Watoto wangu warudi kwamungu wamtumikie yesu. 8. Kirakirichopotea chakwangu kurudi. 9. Mungu anifanikishe nipatepesa yakurekodi nyimbo zangu za injiri kwanjia rahisi 10. Nipatemafanikio kirahisi. 11 miminafamiria yangu roho mtakatifu aturinde 12. Nikutanishwe na watu sahiii emen

  • @VeroncaMathew
    @VeroncaMathew 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi, hivyo ndiyo nilivyo nikiota au nikifiria kitu kinatokea muda huo huo

  • @selinamrikaria6143
    @selinamrikaria6143 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kila ulichoongea hapo ndio kinaendelea kwenye maisha yangu.

  • @alineciza6373
    @alineciza6373 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe kaka

  • @joycndimbo
    @joycndimbo 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 8 หลายเดือนก่อน

    Amen.Yesu ni mwema .

  • @NeemaGauso
    @NeemaGauso 2 หลายเดือนก่อน

    Shalom maombi yangu adui apigwe mume wangu aokoke ,alieiba cm yangu ndotoni arudishe mimi naomi

  • @MiragorethLaswai
    @MiragorethLaswai 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niliota ngombe wawili wamekufa na kesho asbh diwan wetu akawa ameibiwa ngombe

  • @felistamrutu7288
    @felistamrutu7288 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu umeni gusa sana yote uliyo fundisha yananihusu mimi

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  11 หลายเดือนก่อน +1

      Anza KUMTUMIKIA MUNGU

    • @felistamrutu7288
      @felistamrutu7288 11 หลายเดือนก่อน

      @@shiningstarheavenlyembassy ameen mtumishi wa Mungu siku mbili zilizopita niliota nyoka ameniuma kidole cha mkono nilipo stuka usngizini nikakuta kidole changu kina vujaja damu kina maumivu makali nini maana yake

  • @ElisiaEdward-e8m
    @ElisiaEdward-e8m 28 วันที่ผ่านมา

    Leo nimepata majibu maana haya yote nilikuwa najiuliza kwanini yananitokea MUNGU NISAIDIE HII KARAMA IKUE IPASAVYO

  • @liliankinyamagoha5887
    @liliankinyamagoha5887 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu anisaidie,1Nipate chuo.2Ninunue gari,3.Nipone Macho,4Nipone mifupa,5Henry apate hela nyingi,6.Nipate pesa nyingi,7.liinny henry awe na akili sana kwenye masomo,8.mama apone ganzi,9.Nijenge nyumba ya gholofa,10.Nipate marafiki wenye hela.11. Nipate pesa,12.nipate pesa nyingi.

    • @margaretnjeri2537
      @margaretnjeri2537 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba Mungu atimize doto zangu za mafanikio

  • @Sharonshaa-m7h
    @Sharonshaa-m7h 11 หลายเดือนก่อน +2

    apostle niambie maana ya kuota nyumba iliyo jengwe na kusimama

  • @JanetJumwa-zf7nn
    @JanetJumwa-zf7nn 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @angle3600
    @angle3600 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru haya yote niko nayo

  • @JaneWanja-i2l
    @JaneWanja-i2l 9 หลายเดือนก่อน

    Kitambo nilikuwa naona kitu atharani kama kuona mtu naoyeshwa maisha yake vinye eko alavu nimwabia kitu enavayika lakini postar siku enzi sijue kulinda aje ata kuomba na sindwa. nanilikuwa naletewa mambo naiona kama vile unawenza ona kitu Kwa tv niombee postar ni vunguliwe tena postar amen

  • @MoreenGaudence
    @MoreenGaudence 6 หลายเดือนก่อน

  • @damakatana
    @damakatana 26 วันที่ผ่านมา

    Mimi Niko hivo kabisa nikikosa kuomba maasa mawili kichwa Huma alafu naota karibia ndoto 5 lakini sisahau hata moja

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz 10 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kukimbia mwito wa Mungu na mwito wa Mungu ni mzuri... eeeh Yesu nitumie kwenye kazi zako

  • @LucyKapinga-fg4dk
    @LucyKapinga-fg4dk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ayubu 33-1415

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani mimi nipo hivyo kabisa💯

  • @AgnessPete
    @AgnessPete 5 หลายเดือนก่อน +1

    Emen Mimi huwanamuota mtu ambaye arikuwa mume wangu turisha tengana tokea erf mbiri na kumina Saba namuota Niko kwake rakini Mimi huwa simuazi mini aposto

  • @matronmkenda3510
    @matronmkenda3510 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duu hapo kwenye ndoto jaman naota mpaka naota tena mr ameshazoea sasa maana ananisikia nnavokemea kwenye ndoto shindwa kwa jina la Yesu na nikishtuliwa nkilala naendeleza hiyo ndoto mpaka nimalize saa nyingine naota napigana vita nashika upanga napiga nao watu sijui zina maana gani

  • @CatherineMuthoni-xq3pu
    @CatherineMuthoni-xq3pu 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nko hapa nkiota kitu Hua inatokea after three days Ata hii vita ilitokea kenya juzii nliota😢

  • @JanetJumwa-zf7nn
    @JanetJumwa-zf7nn 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nikiota kitatolea na nikiongea neno lolote linatimia nashukuru mungu

  • @EvaryneMweu
    @EvaryneMweu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mm huwa hivyo naweza waza kitu dakika kidogo kile nmekiwaza chafanyika hma nione kama picha inakuja mbele yangu then kutafanyika hivyo hivyo

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 7 หลายเดือนก่อน

    Mm roho yangu ikimkataa mwanaume ujue lazima awe ni mbaya /msaliti

  • @hawaajuma1206
    @hawaajuma1206 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mm ni mslamu ila napenda saana maombi yenu ,,,,tumbo langu lina shida mtumishi,,,cjui waeza nisaidia vipi,,,tumbo langu limefura upande mmja

  • @Vinblessedogaso
    @Vinblessedogaso 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni Nabii

  • @Riscar-o5x
    @Riscar-o5x 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi

  • @lucylumasho9317
    @lucylumasho9317 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi,je ukiota unapewa pesa na ndugu Yako note na coins maana yake nini?

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  11 หลายเดือนก่อน

      Note ni Saini ya UTAJIRI

    • @andrewmpinga747
      @andrewmpinga747 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mim nahusika 100%
      Nayajua mengi hadi naogopa huwa naona yaliyofichika hata pepo naziona na huwa wananikanya nisiseme

    • @anithamsoke2329
      @anithamsoke2329 11 หลายเดือนก่อน

      Asante mtumishi. Nina dalili zote hizi

    • @anithamsoke2329
      @anithamsoke2329 11 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @mamalamamamanguli2444
    @mamalamamamanguli2444 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimeota dada yangu wa tumbo moja ananipiga na mawe, yapo yalio nipata na mwingine hayakunipata nini maana yake

    • @enosjames9342
      @enosjames9342 7 หลายเดือนก่อน

      Hyo ni roho ya uadui. Mtatengana na Wala hamtafanya jambo Moja Kwa umoja

  • @FeywisNoel
    @FeywisNoel 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi kuna mda naota ndoto halaf kesho yake inaendelea au baada ya cku kadhaa au miez kadhaa unakuta inaendelea. Hii ina maana gani?

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi nahitaji kujua ukiwa unaota na kuona .yaani unaota kitu kingine na kama unaomba waonyeshwa yale ulioyaomba hii huwa ni nn

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  4 หลายเดือนก่อน +1

      @@SelinaDorcas Soma isaya 65:24

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas 4 หลายเดือนก่อน

      @@shiningstarheavenlyembassy Asant mtumishi

  • @JaneWanja-i2l
    @JaneWanja-i2l 9 หลายเดือนก่อน

    Nisaindie

  • @AOOUKenya
    @AOOUKenya 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanza Mimi na his kitu nakinatokea ama namuaza mutu ambae tuli poteleana ata miaka mitano naananionekania in real life

  • @JoyceDaudi-mf2ug
    @JoyceDaudi-mf2ug 2 หลายเดือนก่อน

    Nifunguliwe kiuchumi na nip one kiskali presha

  • @AnnaMukhwana-pf4qr
    @AnnaMukhwana-pf4qr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Je nisipoota kabisa inahashiria nn??

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  9 หลายเดือนก่อน +1

      NGUVU Yako KIROHO IPO CHINI. ADUI kakufunga NAFSI

    • @caritasmushi461
      @caritasmushi461 4 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba utufundishe somo la kufungwa nafsi na maombi ya kufungua.asante

  • @MetrineNafula-h3o
    @MetrineNafula-h3o 9 หลายเดือนก่อน

    Kati ya hayo nmeona 4niombee pastor

  • @EvaristeNdayishimiye-ye1td
    @EvaristeNdayishimiye-ye1td 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ningeitaji kuongea na wewe Apôtre

  • @bingakingalu
    @bingakingalu 6 หลายเดือนก่อน

    Nina sifa hizo zote

  • @Mitchellekyle
    @Mitchellekyle 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @geofreypatrick6667
    @geofreypatrick6667 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @EsthermlongoEsther
    @EsthermlongoEsther 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @happyshayo5397
    @happyshayo5397 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AliBosskubwa-w3v
    @AliBosskubwa-w3v 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @sospeterjackson6593
    @sospeterjackson6593 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @MoreenGaudence
    @MoreenGaudence 6 หลายเดือนก่อน

    amen

  • @irineDancan
    @irineDancan 5 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen

  • @VeronicaWachanga
    @VeronicaWachanga 24 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @NasraMrisho-z4o
    @NasraMrisho-z4o 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ombaujibiwe
    @ombaujibiwe 14 วันที่ผ่านมา

    Amen