Angalia jinsi Simba na Yanga walivyotoana jasho kupata 2-2
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2020
- Highlights za mechi VPL kati ya Simba na Yanga iliyochezwa tarehe 04/01/2020 Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam.
#KariakooDerby #DarDerby #SimbaYanga #SimbaVSYanga #SimbaSC #YangaSC #UwanjaWaTaifa #BalamaMapinduzi #MeddieKagere #MohammedBanka #MoBanka - กีฬา
Kama unaangalia tena mbungi iii gonga like nyingi sana
Wale 2024 tujuane
Najikumbusha kidogo YANGA 💚💛🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 2023
Bado naitazama hii mechi
Nipeni like za mwaka 2/1/2023 jamani yanga naipenda san
I wish ningekua mtanzania.... Inchi nzuli Sana kbsa....
Karibu♥️
Naiangalia kila Mara leo tarehe 06/08/2022 najma leo ni siku yetu wananchi hatuna jambo dogo leo kwa mkapa ni 🔥🔥🔥🔥🔥✅🔰
Wanannchi tulifanya come back ya kibabe sana hii siku
Hiii mechi man of the match alkuwa farouk shikalo
From Congo naipenda sana yanga siku muda wakati wa mechi ya yanga nitakuja niitizame Tanzanie maana naipenda sana hiyo team yanga
Karibuu kuangaliya tatehe 18/9/2020
Ukija ntakupokea 0657092713
Mechi yangu pendwa kabisa hii ya simba na yanga🔥🔥
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
Younga he the best in🇹🇿
Thank you Balama mapinduzi
Hongereni watani WA jadi
Can't stop to watch this match every day
Yanga tamu💚
Sifa za pekee ziende kwa mfungaji wa goli la pili la Yanga MO Banka, maana alijitoa Muhanga kwelikweli🙌🙌🙌
Very beautiful DERBY....one of the biggest derby in our AFRICA
Gonga like kama unaangalia hii game december 2022
Mimi naangalia leo😂😂
Kama unaamin Simba walobebwa Sana achia like
Edwin Gwesso kama zote
Ndo tatizo la watanzania, simba walimiliki mpira sio walibebwa
Balamaaaa oooh yess banka huyo baba niyooooo niyonzima babaa
Kwahiyo yanga ni under dog sio
Kile kichwa cha John boko kama angefunga wangekufa wengi sana taifa
Yanga doesn't give up. I love the spirit
Simba Bab lao nakupenda San simba love simb
Anaeangalia hili game mpaka ss agonge like🤙 juma pili talee 23 mwezi wa 10 Simba anakula 2
Sio talee bali ni tarehe....!!! 12/11/2022
Baraka mpenja. Hiyo sauti aseee Mungu kakupa kipajiiiii. Inavutiaa yaniiiiii
Mambo
@@shijasaid3505 kwema asee
Sanaa
Pole kagere nawachezaji wote kwa ujumla nawependa Sana Sana mwaaaa
Zuhira uko pleas?
these are the best commentators in the world
Naiangalia leo talehe 14mei 2024 nimefrahi Sana yanga Raha jaman
Mmmmmmmmmmm hii ndio lig tamu Africa mashariki na kati naipenda sana timu yangu yanga Africa
Uongo mbaya yanga anajez nzuri sana
Jkkghlki
Bikjjbjvbbjjkjjh
Haya
Yanga inavutia bhn
I love simba my timu noma sana ,uchezaji wake utaupenda ,kuliko washindwe hutok saresare
kaz nzuri kwa timu zote
Mechi tam
@@mlulamadawa7567 kam manbebwa na refa angalie hamtofika mbele hat kidogo jichungeni sana na bado huu ni mwanzo tyu
simba hawajui kuwa mpira n dakika 90
Kwanza wanabahati sana simba
Nimemkumbuka sonso rest in paradise
Mechi nzuri kutoka kwa wana Yanga
Simba wajinga too wamebebwa na be wamefungwa
I love you yanga
Only
YANGA ni🔥🔥🔥🔥🔥
R,I,p soso sote waja wa mungu
Uongo mbaya huyu mwana mama rukia hii iwe ni mechi yake ya mwisho kuchezesha hajui anachokifanya uwanjan inaonekana ni mshabiki wa Simba loooh cyo kwa mbeleko hizo
Huo ndo ukweli
Mama mshabiki wa simba wmuyu
this is young African
Asante sana simba timu yangu kwa kuwa mnatumia nguvu zenu na mnashinda safi sana waache hivyo vichokoo na viuchawi vyao
Kafe hiko
umeona kagere amekamatwa na hirizi ulingoni ninyi ni wachawi
Naipenda yanga sana god bress
Hii ndio derby Kali kwa miaka 7 ya hivi karibuni, maana kabumbu ilipigwa.
Duuu hii yang
Yanga oyeeeeeee.idumu maisha yake yote
tuko pamoja
Leo tarhe 17 mwezi 5 2024 pumzika kwa amani ally sonso😢
0000000000000000000000000
Simba Baba lao 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wawa mungu anamuona kamuumiza nchimbi
Filam
Refaaa unanikera sana unapopendelea mshenzi mkubwa wews
Wawa kamkanyaga nchimbi mpaka Leo Tff kimya penalty wamepewa ila tarehe nane mulilala na viatu
Tarehe 8, CHAMA ALIMKANYAGA FEI TOTO..
Kweli kaka
Daima mbele nyuma mwiko 🌼
Mov
Hahahahhaahah
Mambovip
Shikalo yupo vizuri 💥
Well done yanga
Hii sku siwez isahau ata nilijua yanga tunatoka matupu
Ngoja kwanz nicheke😄😀
I like your league watu wanasupport timu Yao Sisi wakenya tunasupport kina man u na chelsea
Yanga hoyeeeeee
Respect wana yanga kwa kuchomoa magoli yote
Amaa kweli Yanga
Wakimataifa
Ushindi kesho lazma yangaaa oyeee
01 /03/2023 naiona vzr
Hongern ban
Mwaka wa kulia huu kwa cmba
Hii ndo ilikuwa derby sasa mpira mzuri mtu unatamani usiishe
Happy yanga
Licha ya lawama anazopewa bado huyu Dada anajitahidi sana, ni mmoja wa marefa bora sana wa soka nchi hii, pengine kungekuwa na VAR kama wenzetu angetisha zaidi
Yanga safi
Asante mungu kwa kutujalia point 1 simba sport club dhidi ya yanga sport club
Magesa
Jack Emanuel saf sana 🙏mungu
Natokea Rwanda mimi ni nianga
💚💛💚💛
Simba wanatufung kwamaneno tu lakini wanjani hakuna kitu
4-1
4-1,5-0,1-0(nyoni),1-0(okwi)yaani watu wa uto bhana
yaaani mgoli wa BALAMA MAPINDUZI NI HATARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
R.i.p Ali mtoni
Juma abdull kamshika ziwa reva kama umeona gonga like
Ujio wa kocha uyo wamekwisha wale wenye jini kisilani
S
Simba na nkana
Simba vs nkaba
Kube yanga kufunga kipindi cha pili toka zaman
Yaani simba bila penati hawatoboi😅😅nimerudia kuangalia
Hii mech ilikuwa moto
Simbaaa oyeeh
Mshabiki wa Simba akiona mechi hii naona wataacha kumlalamikia refarii wa mechi ya tar.7/11/2020 maana yanga tulilalamika Sana hakuna hatua yeyote iliyochokuliwa na tff Kwa refarii sasa wasubiri kulikosa kombe mwaka huu tunakuja kuchukua nafasi zetu za awali tuliwaacha mtambe itoshe kusema inatosha
Kabisa
tatz ilianzia kwa shabalala kwann ambusu mwenzake na amlaliae
Simba my timu haibahatishi jmni naioenda sanaaaa
Pumzika kwa amani ally sonso mton
✨... Kale kamsemo kanakosema ukifunguka unakula nyingi..bado kapo uko kwenu😀😀😂🤣
Gundo AnimaL wameacha
#YANGA FOREVER
Pumzikaaa kwa amani sonso😭😭😭
Kumbe zimbwe alishacheza kagera ☺😌😌
EU mug ways kg Bush Kyd
Yes
Yanga oyoooooo
Oyooo
Leo yang lazima wakae
Tatizo la Simba FC ni mashabiki wao, wanaongeaga sana...🤫
Na nyie shida yenu mnaroga sna
Yangaaaaa oyeeeeeee
Hi mechi ilikuwa mzuri sanaa
yaani huyu wawa mungu anamuona
Nice football
Yanga hongera sana
Mshukul mshabik wnu alivyotumwa uwanjan lass hvyo mngll naviatu
Mapokezi yacorhnos uwanjawandege
Mimi diyanga damu naumia yanga isipo shinda ila simba alijitaidi ingekua kama saizi angekula 5
Wape salamuu
Safi sana
Naiona vzr kwer
R.I.P Sonso
Diamond simba
Hii ndio ilikuwa simba bwana siyo ya sasa.
Makolo kitambo wameanza kubebwa😂😂👌lkn wap
Matokeyo.yanga.vs.mtibwa