FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC (NGAO YA JAMII 17/8/2019)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Miamba ya soka nchini Tanzania, Simba SC na Azam FC zimemenyana vikali kwenye mchezo wa kuwania NGAO YA JAMII ikiwwa ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania.
    Kwenye mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam na kurushwa MBASHARA na #AzamSports2 Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 huku mabao yake yakifungwa na Shiboub (2) na wengine wakiwa ni Chama na Kahata.
    Mabao ya Azam FC yamefungwa na Chilunda na Domayo.

ความคิดเห็น • 252

  • @dizo5080
    @dizo5080 5 ปีที่แล้ว +89

    Kwa simba hii hatari sana na we kama wa kwanza kuangalia hii gonga like tujuane

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 ปีที่แล้ว +68

    Next level #Shibobo nihatali kwasimba hii uwanja wataifa teams mnaokutana na simba mjipange jamani msije mkafungwa magoli ya dunia kweli simba sasa inabadilisha mpila wa Tanzania mana tulikuatunaona ulaya sasa bongo tunaona kwateam moja tu jibu nisimbaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏💪💪💪👆

  • @roobenmwakitalu4133
    @roobenmwakitalu4133 5 ปีที่แล้ว +62

    sjawaiona team ambayo inaishi vzur kama simba wachezaji wanaraha ya kupitiliza mungu ibariki simba

  • @asha_homedecorations
    @asha_homedecorations 5 ปีที่แล้ว +55

    Sijalala Saa Sita Hii Nilikuwa Naisubiri Hii Kitu 🔥🔥🔥🔥

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว +11

    Mkij kucheza na mnyama simba mjipange sanaa kwa kweli

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni htari duhuh mkome kutuchezea fau , Simba haitaki mchezo kbisaaa ,Asante Simba yang kunifurahisha

  • @babdulla3779
    @babdulla3779 5 ปีที่แล้ว +119

    Wapenzi wa Simba Like zenu 👇 kma Cyo pita tu

  • @alexjeremia7686
    @alexjeremia7686 5 ปีที่แล้ว +139

    Wangapi tunacheki muda huu TH-cam hili tukio la Ngao ya Jamii. tujuane hapa kwa like SimbaSc ni #NguvuMoja 🔥🔥 #NextLevel

  • @al-kokisuliman9045
    @al-kokisuliman9045 5 ปีที่แล้ว +33

    Shaibooob🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩

  • @morlovzeboy4926
    @morlovzeboy4926 5 ปีที่แล้ว +43

    Mashambik wameongeza volume km kwel we mwana CMB na umeskia iyo volume lyke yako APA

  • @jackemanuel4697
    @jackemanuel4697 5 ปีที่แล้ว +1

    mungu ibariki Tanzania mungu ibariki simba sport club

    • @erichusen5538
      @erichusen5538 2 ปีที่แล้ว

      Peter bada awe anaaza jaman

  • @isayamwidete6420
    @isayamwidete6420 5 ปีที่แล้ว +12

    dilunga ni shidaaaaaa!!💪🇹🇿

    • @jafebony4724
      @jafebony4724 4 ปีที่แล้ว +1

      Isaya Mwidete Mimi nili isubili kwaamu sana ila kwetu umeme ulikata

  • @salimzaidi9203
    @salimzaidi9203 5 ปีที่แล้ว +4

    Napata raha sana kuona timu yangu inafanya vizur mungu ibariki simba

  • @haulejuliana5
    @haulejuliana5 5 ปีที่แล้ว +5

    Mnanipa rahaa jmn simbaa 👏🏻👏🏻

  • @DaudiLeonidas
    @DaudiLeonidas 10 หลายเดือนก่อน

    ❤ I LOVE simba

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 5 ปีที่แล้ว +18

    Nimeskia tetesi manara inasemekana sio msemaji wetu kufaleki hatutaki mtumwingne zaidi ya manara boss mo please usimuondoe manara kwenye hiyo nafasi anashawishi watu kuja uwanjani ,gonga like ya manara kama unamkubali anavyowatengeneza kwasukwasu

    • @frenkisaya1280
      @frenkisaya1280 5 ปีที่แล้ว

      Zile Taarifa sio za kweli

    • @shanysalim2009
      @shanysalim2009 5 ปีที่แล้ว +1

      kile kichanel ni cha yanga jitoe haraka na kinaitwa cha watu weusi

    • @thefamilyfilms4686
      @thefamilyfilms4686 5 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa alisema 2020 anataka kujiingiza kwenye siasa siyo kwamba amefukuzwa...hao NI MACHURA CHURA Wameeneza

    • @wakilsuleiman1875
      @wakilsuleiman1875 4 ปีที่แล้ว

      Tanzania sitanzi

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 5 ปีที่แล้ว +15

    Ndiyo Simbaaaaaaaaaa.
    Tumeshinda lakini beki yetu siyo nzuri. Wanafanya makosa sana (hasa Wawa) tukikutana na Fowards wenye bahati tutaadhibiwa sana.
    Wawa hana tena kiwango cha Simba bora. Tunahitaji beki bora wa Kiwango cha juu kama Nyoni au zaidi.

    • @adefridamlowe622
      @adefridamlowe622 5 ปีที่แล้ว

      Bora kama umeligundua ilo man wengne wanafurahia matokeo tyu

  • @HashimKibalua
    @HashimKibalua หลายเดือนก่อน

    Simba hii ilikuwa ya moto sana

  • @WastaraMsangi-ck9tu
    @WastaraMsangi-ck9tu ปีที่แล้ว +1

    Simba ni noma 🏆⚽

  • @arsengwitaba345
    @arsengwitaba345 5 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana

  • @shilatuboniphace8402
    @shilatuboniphace8402 5 ปีที่แล้ว +11

    Tunacheza vizuri simba ila beki yetu bado inamapungufu sana paangaliwe hapa aisee

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +2

      NI kweli kabisa. Wawa amekuwa exposed kwa mara nyingine. Da silva amrithi.. Wawa ni shati kama kawaida. Shabalala naye anaonekana hawezi high pressure game..! Gadiel au yule beki wa Lipuli ambadilishe Shabalala naye ni shati..!

    • @masaelesiasa2039
      @masaelesiasa2039 3 ปีที่แล้ว +1

      Mambo wa Simba

    • @samwelshaban3978
      @samwelshaban3978 2 ปีที่แล้ว

      💕💕💕🦁🦁🦁

  • @phylliponyamahanga5424
    @phylliponyamahanga5424 5 ปีที่แล้ว +13

    naipongeza sana timu yetu kwa mchezo mzuri ila2 beki za kati zifanyiwe kazi bado kuna mapungufu"”"""

  • @ibraline830
    @ibraline830 5 ปีที่แล้ว +5

    Simba simama nishuke maana kunawatu ligi ikianza wataoigwa kumi bila this is next level

  • @najmaomari8127
    @najmaomari8127 5 ปีที่แล้ว +10

    Alhmdhulillah

  • @avithapolinary7443
    @avithapolinary7443 5 ปีที่แล้ว +2

    simba ni moto

  • @MwenjumaShemvuni
    @MwenjumaShemvuni 7 หลายเดือนก่อน

    Simba hii yamoto🔥🔥🔥🔥

  • @charlesmagesa9140
    @charlesmagesa9140 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba babaaaa laooo

  • @shabanimiyumbaniki9376
    @shabanimiyumbaniki9376 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba baba lao

  • @mutalemwagabriel2277
    @mutalemwagabriel2277 5 ปีที่แล้ว +13

    Mnao uliza kuhusu ajibu sikiliza, Ajibu bado anauguza majeraha aliyoyapata kule Kenya kwenye timu ya taifa. Mmesikia au niongeze sauti?

  • @farajaluvanda1242
    @farajaluvanda1242 5 ปีที่แล้ว +20

    Wana simba mko wapi jamani mbona hampo humu ndani tuendelee kutamba sie.

  • @hassanmakoye1264
    @hassanmakoye1264 5 ปีที่แล้ว +3

    Zimbwe junior on fire

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 ปีที่แล้ว +7

    😆😆😆😆Simba raha jamni simba oyeeeee nangalia mpaka raha zinapitiliza asanteni sana marefa sita duh hii kweli kali

  • @ashaghali8714
    @ashaghali8714 4 ปีที่แล้ว

    Simba raha sana🦁🦁🦁🦁

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Jmni Simba ni timu yenye utamu jmni dah ,wachezaji raha mshbiki raha ,walezina viongozi wao rahaaa dah

  • @mansooridrisa244
    @mansooridrisa244 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri xana

  • @calvinnjau4670
    @calvinnjau4670 5 ปีที่แล้ว +7

    defense ya simba narudia defence ya simba ni ovyoo kabisa...baiwezekani imevuja mara nyingi sana washambuliaji wa azam kama wangekuaa makin mechi ingekuwa vingine.Naona hii ndo inaweza kutukwamisha caf tusipobadilika

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 ปีที่แล้ว +7

    Endeleeni Kudislike sisi tunawanyoosha tuuu, 2020 kama kawa tunabeba Tenaa yan miaka mitano mfululizo hampati ubingwa

  • @aziziphilipo828
    @aziziphilipo828 4 ปีที่แล้ว +1

    Sumba oyeeeee

  • @RehemaAbdala-kp9dz
    @RehemaAbdala-kp9dz 5 หลายเดือนก่อน

    🦁🦁🦁🦁🦁

  • @bilgithambunda8834
    @bilgithambunda8834 5 ปีที่แล้ว +1

    fire fireeeeeeeee

  • @paschalsayi9724
    @paschalsayi9724 5 ปีที่แล้ว +1

    Penda xn cmb npn like

  • @mathayomayumba8915
    @mathayomayumba8915 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up zimba

  • @VicentMkude
    @VicentMkude 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo nachek hii mechi 2024

  • @aloycemolelli4580
    @aloycemolelli4580 5 ปีที่แล้ว +2

    Saafiiii saaaana

  • @mustaphamapunda2312
    @mustaphamapunda2312 5 ปีที่แล้ว +13

    Mtatusamehe azam ilikuw haiwahusu lakn bac wahucka wameon

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 5 ปีที่แล้ว +22

    Saa nne tukutane central moshi tukawatolee dhamana yanga maana walikamatwa wakiiba matikiti ya police,,

    • @ignatuspius7537
      @ignatuspius7537 5 ปีที่แล้ว +1

      Lazaro Joseph Linda haaaaaaaaaaaa yaaan weye

    • @josephkitiku3116
      @josephkitiku3116 5 ปีที่แล้ว +1

      Hapana sio matikiti walikuwa wameiba ndizi huko moshi.

  • @petermalangwa4589
    @petermalangwa4589 4 ปีที่แล้ว

    Kwa simba hii mtateseka sana wapinzani

  • @emmanuelbuyamba9375
    @emmanuelbuyamba9375 5 ปีที่แล้ว +2

    kwa simba hii,wapinzani mjipange

  • @jumamada921
    @jumamada921 5 ปีที่แล้ว +1

    Fire

  • @JescaCharles-r4r
    @JescaCharles-r4r ปีที่แล้ว

    Dilunga tutamkumbuka sana Simba

  • @emmanuelwangese2649
    @emmanuelwangese2649 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna alieona Mpra umepta wapi ktk ya Mabeki mpira uleee nyavuni

  • @ibrahimchatila4945
    @ibrahimchatila4945 5 ปีที่แล้ว +4

    Chama alivyowachenga tuu chilunda akashika kichwa kuashria ndio basi tena

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว

    Kwa SIMBA hii Raha sanaa 😂 tunatembea kifua mbele 👊 No stress 🤣

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 5 ปีที่แล้ว +2

    Deepdown Adam nawo wako vizuri tukubali

  • @williamraphael1398
    @williamraphael1398 5 ปีที่แล้ว +2

    jamani dilunga mbona no mtamu sana siku hizi

  • @rachelchengula3379
    @rachelchengula3379 5 ปีที่แล้ว +3

    Yes yesss Kichwa kimoja chenye uzito wa tani moja😂😂uyoo c kashata wala c kashashaa ni fransis kahataa duuh mtangazaji unajua kutukoshaa😂😂😂😂😂🙏

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Napenda wanavyoshangiliankwa mpendo Simba jmni wakifunga dah

  • @kambachaku8390
    @kambachaku8390 5 ปีที่แล้ว +2

    duuhh huyu dilunga ndo amekua mzuri hivi

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 3 ปีที่แล้ว

    Mbona siku hizi simba hatuchezi hivi jamani dah hii simba ilikua naspid sana yani dah wangapi tuna kumbukia leo tarehe 20 /11/20/20

  • @withowilliam9057
    @withowilliam9057 5 ปีที่แล้ว +4

    wako wapi waliomfananisha na msanii flan

  • @MAJIDTAUS
    @MAJIDTAUS 11 หลายเดือนก่อน

    Sana

  • @barakanyambele4673
    @barakanyambele4673 5 ปีที่แล้ว +15

    Timu yetu ni nzuri, ila kocha afanyie kazi makosa wanayoyafanya mabeki hasa beki za kati

  • @hamadjuma1700
    @hamadjuma1700 5 ปีที่แล้ว +1

    Chilunda umerudi tpl nakupenda san

  • @petermalangwa4589
    @petermalangwa4589 4 ปีที่แล้ว

    Simba ni moto wa kuotea mbali

  • @davidkanyililitz2003
    @davidkanyililitz2003 4 ปีที่แล้ว

    Azam japo 2mepigwa ila2kovizr sanaaaaaaa

  • @bahatimashauri3945
    @bahatimashauri3945 5 ปีที่แล้ว +6

    Chilunda kawaponza Azam amechomoa betr sa angalia kilichowakuta

  • @paschalraphael6833
    @paschalraphael6833 5 ปีที่แล้ว +2

    Mechi ilikuwa tamu sana

  • @hillarylema2928
    @hillarylema2928 4 ปีที่แล้ว

    Bado natafuta bongo movie

  • @hamadjuma1700
    @hamadjuma1700 5 ปีที่แล้ว +1

    Dad ndio mpira kwa wanachama wa azam

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii simba ni hatareee aysee

  • @MwemelaJuma
    @MwemelaJuma ปีที่แล้ว

    Saw

  • @morlovzeboy4926
    @morlovzeboy4926 5 ปีที่แล้ว +12

    Vyura tunacomment apa apa?

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว

    Dah naangaliya mechi hii tarehe 22/32020 huyu shibubu nimcheza mzuli sana lakini saivi kama hazungumziwi sana bila shaka watamtema dah namkubali sana shibubu naomba uwongozi wa simba msimtema shibubu kwavile tu hapati nafasi lakini shibubu ni bonge lamchezaj

  • @georgemuhenga5727
    @georgemuhenga5727 5 ปีที่แล้ว +5

    Azam watusamee hatukuwa na jins tulijua ni gongo wazii

  • @edsonkimbazi3050
    @edsonkimbazi3050 4 ปีที่แล้ว

    Hataki Sana Simba hihihi

  • @henricokanogu2223
    @henricokanogu2223 5 ปีที่แล้ว +1

    Next Level

  • @musahamis3629
    @musahamis3629 5 ปีที่แล้ว +2

    Kilomoni wapi sasa na domo lako kama upawa mwachie mo. Afanye kazi soma iyoooooooopoooooo!

  • @jafariufukuufuku5641
    @jafariufukuufuku5641 5 ปีที่แล้ว +1

    mpenja ww niki bokoooooo sauti yaradiiiiii

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 5 ปีที่แล้ว +5

    We mtangazaji ni mnaafiq sana kama mabosi zako wote mnamapenzi na simba

    • @morlovzeboy4926
      @morlovzeboy4926 5 ปีที่แล้ว +5

      Kwhyo at kufungwa kwko jana ye ndo chanzo 😂😂

    • @kulwamwakagali24
      @kulwamwakagali24 5 ปีที่แล้ว +1

      Itakua vizuri wewe ambae sio mnafki ukifungua yako😀😀😀😀

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว

      Kobajuma kwan watesaka jmn alafu sikuelew wew chura

    • @judithpaul5946
      @judithpaul5946 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂 kwnn uteseke

    • @seifmohamed5813
      @seifmohamed5813 5 ปีที่แล้ว

      Povuuuuu

  • @fatmaemily4971
    @fatmaemily4971 5 ปีที่แล้ว +2

    Munyama Atari yani SIMBA mnatupa rahaaaaaaaaa

  • @trainesshebroni6160
    @trainesshebroni6160 4 ปีที่แล้ว +1

    Tupooooooo Kama woteeeee

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 5 หลายเดือนก่อน

    simba hii ilikuwaga hatari

  • @kyambarungwe4453
    @kyambarungwe4453 5 ปีที่แล้ว +4

    ongeni Sana simba ira kocha angaria maana beki zina katika Sana wawa bado makosa yale Yale mbona mlipili yupo na Santos

  • @marygorethmpanda3181
    @marygorethmpanda3181 5 ปีที่แล้ว

    I love you simba

  • @tomasshemualico9186
    @tomasshemualico9186 5 ปีที่แล้ว +5

    simba kimataifa

  • @angelmaganga9482
    @angelmaganga9482 5 ปีที่แล้ว +8

    miye nawapenda sn simbasa

  • @benjaminzephaniah4583
    @benjaminzephaniah4583 5 ปีที่แล้ว +2

    shiboub ni habari nyingine

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 5 ปีที่แล้ว +4

    Nani kaona mkude amekasirika...kagera alipo chukua ngao

  • @ابوطالبالتوم
    @ابوطالبالتوم 5 ปีที่แล้ว +4

    Shibooooob 🗡🗡🗡🗡🤺

  • @fadhilibarnabaskahwage4172
    @fadhilibarnabaskahwage4172 5 ปีที่แล้ว +2

    Naona tatizo kubwa kwenye beki yetu endapo tutakutana na streka wazuri.

    • @timothyxumbe901
      @timothyxumbe901 5 ปีที่แล้ว

      FADHILI BARNABAS KAHWAGE kwel kabisa

  • @maliamyohanaathumani3744
    @maliamyohanaathumani3744 2 ปีที่แล้ว

    Usajili was Simba

  • @modesterdavid8500
    @modesterdavid8500 5 ปีที่แล้ว +9

    hahaha yanga tujipange maana hawa viumbe wa msimbazi mhhhhh nahuyu mtu mweusi sijui msenegar sijui mjaruo sijui msudani mhhh Mungu tusaidie tu

  • @minaside6717
    @minaside6717 5 ปีที่แล้ว +14

    Simba ni moto mwingine

  • @michaelmusitah5553
    @michaelmusitah5553 5 ปีที่แล้ว +1

    Mamae!! Huu mwaka mtaelewa tu.

  • @bahatimashauri3945
    @bahatimashauri3945 5 ปีที่แล้ว +5

    Asingechomoa betr yote hayo yasngetokea

  • @vestinarichard1100
    @vestinarichard1100 5 ปีที่แล้ว +3

    twataizya mkwai karesa, sasa nafkr wachezaj wetu maelewano yameanza kua poa, simba amesha unguruma kaen chonjoo msituni

  • @josephmwangu9816
    @josephmwangu9816 5 ปีที่แล้ว +2

    ,,huyu kakulanya ni motoooo

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni warrior .. nimeanza kumuona kama Simba one.. Bwana Tz one akae mguu sawa..! Jamaa Kakolanya ni committed.. kinoma noma..! Thats what we need in GK.. Big UP Deo Kakolanya.. #NguvuMoja..!

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 5 ปีที่แล้ว +5

    Sasa chura anatafuta nini hapo ...?

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaan sijisikii raha kabisaa nisipoangalia mpira

    • @paulonima6947
      @paulonima6947 5 ปีที่แล้ว

      Narudi Simba dada angu, Yanga naitoroka

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว

      @@paulonima6947 Karibu sanaa

    • @paulonima6947
      @paulonima6947 5 ปีที่แล้ว

      Nimechoka kutexeka, yanga nimateso2

  • @mpakasinimpakasini2685
    @mpakasinimpakasini2685 5 ปีที่แล้ว

    Bado tusijisifu sana hadi tuvuke hatuwa za awali