PAVINGS ZA KUCHORA NI BORA KULIKO PAVINGS ZA VITOFARI TAZAMA UBORA WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli kabisa

  • @ivankulola5847
    @ivankulola5847 3 หลายเดือนก่อน

    Pamoja na uzuri wake lakini sio eco friendly au rafiki na mazingira sababu zinafunika ardhi kabisa bila kupata mwanya wa kupumua. Pia displacent yake kwa ardhi au utawanyo wa uzito ni negative na inazuia maji kunyonya na ardhi. Zakuungia japokua zinakua zimebana,maji huweza kupita kwenye crevices zilizopo.
    Lakini kama mtu haujali sana mazingira zakuchora hazina shida kabisa.

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa hii nitaweka kwangu

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 ปีที่แล้ว +1

    Daa ii channel naipenda mno najifunza mengi 🙏🙏🙏🙏

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 หลายเดือนก่อน

    Tuanfikie namba

  • @martinikalunga
    @martinikalunga 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani naweza kupata hivo vibati kwa sh ngapi kwa maua matano tofauti tofauti?

  • @HawaMussa-h4z
    @HawaMussa-h4z 4 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wap