Maelfu ya watu wajitokeza kushuhudia kupatwa kwa jua Rujewa mkoani Mbeya.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya nchi wamekusanyika katika eneo la Tazara wilayani Mbarali kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua ambalo limetokea kwa zaidi ya asilimia 98 katika neneo hilo, huku mamlaka ya hifadhi za taifa, Tanapa, ikitumia fursa hiyo kutangaza kufungua lango la kuingia ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha katika eneo la Ikoga wilayani Mbarali.

ความคิดเห็น • 5