TAZAMA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIUWASHA MWENGE WA UHURU MTWARA LEO HII
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 มี.ค. 2023
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Asante waziri wetu
Kazi ya mwenge ni nini?
Huo uchawi mnaloga kila mwaka kilikimbiza ili mbaki madarakan
Naomba like za majaliwa
Kwani unafaida gani
Faida yake ni kubwa sana_. Kwanza Ni mwenge wa uhuru_ yaani Unakumbusha kwamba mbio za kuutafuta uhuru ndo ulianza kipindi kama hicho... Vilevile Unapita katika Halmashauri zote za nchi ya Tanzania ili kuyatambulisha mambo muhimu ya nchi
Kazi ya mwenge
1.kumbukumbu ya kupigania uhuru
2.kumulika uelekeo wa nchi
3.kuzindua miradi ya maendeleo
4.kufichua maovu yanayofanyika ktk sehemu mbalimbali za nchi nk