Lema ujumbe umeeleweka kambi ya wauwaji pokeeni hizo salaamu pia mjue wenye haki hawana mioyo kama yenu wangekuwa kama nyie hapo msibani pangenuka mngetafutana lakini waoneni walivyo wastaalabu watu wa watu wasio na jazba sasa msiojulikana mnapewa somo kumcha mungu ni vitendo vya haki sio majina ya dini fulani mimi kwa kweli nachukizwa na udhalimu na wadhalimu wote kama mungu anavyowachukia
Laiti mioyo ingesomwa kama balua kweli wanadamu tungekimbiana maana kuna kawaida mchawi akiuwa huwa wa kwanza kuhuzulia mazishi hiyo ni kawaida kwa wachawi wote kujivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
Lema leo umeongea maneno yenye busara sana Mungu akubariki 😢😢😢 Masauni ujumbe huo fikixha sehemu husika uwambie watupumzishe kuteka ndugu zetu 😢😢
Amen Amen Amen
Lema ni genouz sana sikupingi na sitokupinga niseme tu
Huyo ndo God bless Lema ninayemjua hongera Sana Lema mwenye masikio na asikie.
Lema, asante kwa kuwa wazi juu ya watejaji kisha wanakuja kujiuzunisha msibani.
Hii nimeipenda
Lema bigpu saana
Amina
Lema ujumbe umeeleweka kambi ya wauwaji pokeeni hizo salaamu pia mjue wenye haki hawana mioyo kama yenu wangekuwa kama nyie hapo msibani pangenuka mngetafutana lakini waoneni walivyo wastaalabu watu wa watu wasio na jazba sasa msiojulikana mnapewa somo kumcha mungu ni vitendo vya haki sio majina ya dini fulani mimi kwa kweli nachukizwa na udhalimu na wadhalimu wote kama mungu anavyowachukia
Dhana ni haraamu.
Mimi nilipopigwa Risasi kichwani mbona hamkuyasema hayo?
Safiiii lemaaaaaaa
Mh lema unakiti chako peponii
Hakika damu ya huyu mzee itawafuata wote waliohusika kumuua!! Inauma mnooo!!
Nadhani hiyo damu isiyo na hatia haitawaacha salama na familia zao
Nimekuelewa Lema
Bs unawajua ww lema c uwataje
Lema kidume,dah!brow leo umeongea maneno ya hekma sana wenye akili tumekuelewa.
Na dhima ya kisema uongo je?
Ni halali kisema uongo?
Huyu mzee wa wapiiiii
Lema Ana balls kuliko mwenyekitiii
Mashekhe Mko wapi fungeni kwa Nia moja msome Albadiri walimuua huyu mzee iliwageuke vichaa
Mtutafutie hao wanaua wenzao
Lema umeongea maneno mazima
Poleni sana jaman Ina UZUNISHA 😅😅😅
Laiti mioyo ingesomwa kama balua kweli wanadamu tungekimbiana maana kuna kawaida mchawi akiuwa huwa wa kwanza kuhuzulia mazishi hiyo ni kawaida kwa wachawi wote kujivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu
Pengine wapo hapo hapo chadema
Tulikwisha mwambia Masauni ajitafakari aliposema hakuna utekaji!sasa awaambie watanzania Kibao ameuwawa na nani?Jiuzulu!!Period
Hakika Lema Kwa hayo MANENO YAKO yameliza WENGI. Ila amini ty utashinda.MUNGU PIGANA nao wanaopigana na CHADEMA.ZAB..Ya 35
Kwan hapo msibani au siasani