MZEE BUTIKU AHOJI KWANINI MASAUNI ALIZOMEWA/MASIBANI KWA ALLY KIBAO/AMTAJA MBOWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @willykomba8376
    @willykomba8376 6 วันที่ผ่านมา +7

    Kichwa like baba wa Taifa❤

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 6 วันที่ผ่านมา +6

    Barikiwa sana mzee

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 6 วันที่ผ่านมา +9

    Kama namsikiliza NYERERE

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 6 วันที่ผ่านมา +2

    Amina mzee wetu Mungu akubariki sana ila uwe macho usije ukatekwa na kuuwawa.

  • @AdonaiFredy
    @AdonaiFredy 6 วันที่ผ่านมา +6

    Naona mzee unawakumbusha kazi waandishi manyumbu

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee anawapa na semina ya bure waandishi ndio aina ya waandishi tulionao vichwa empty

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 6 วันที่ผ่านมา +1

    Safi Sana mzee uenda mungu kakutuma utupe maneno mazuli

  • @oscarurio1176
    @oscarurio1176 6 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu ni Mwema kupitia Utumishi uliotukuka uweza uwezo wa kusema ukweli

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 6 วันที่ผ่านมา

      Alikuwa nani uyu mzee mim sijui?

  • @isaacsifuel3199
    @isaacsifuel3199 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    God bless you 🙏 uko sw sn unabusara.

  • @yahyamalolo3202
    @yahyamalolo3202 6 วันที่ผ่านมา +6

    Hao waandishi wote hapo hakuna anayeweza kuuliza chochote wenyewe ni Machawa,waandishi ni Kikeke na Odemba

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 6 วันที่ผ่านมา +4

    Ni kweli mzee wetu maneno yako

  • @eugeniombambe821
    @eugeniombambe821 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa mzee WETU Butiku , endeles kuwatia moyo wakuwa na kufua mbele katika kweli

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee butiku mungu akuongezee umri mrefu , kwa maneno ya ushujaa

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 3 วันที่ผ่านมา

    Safi sana mzeee

  • @danielkanso
    @danielkanso 6 วันที่ผ่านมา +11

    Wazee wangekuwa kama huyu nguvu yetu ingekuwa imara sana

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 6 วันที่ผ่านมา +1

      Bado kuna woga katika kufunguka

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee una kiti chako kwa mungu

  • @user-hj3ky9zy6y
    @user-hj3ky9zy6y 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mh butiku mungu akubaliki

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 6 วันที่ผ่านมา +3

    Wambie mzee wamekuwa machawa badala waandike habari

  • @prudencerweyemamu371
    @prudencerweyemamu371 6 วันที่ผ่านมา +2

    Walau Mzee wetu huyu anatimiza wajibu wake kama mzee bila kujali itikadi ya chama chake cha siasa.

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee unawapa darasa waandishi😂

  • @StephenMalisa
    @StephenMalisa 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wanaogopa kupotezwa

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 3 วันที่ผ่านมา

    Serikali hii haitaki kukosolewa! Inataka kusifiwa sifiwa tu! Ndo maana kuna chawa! Chawa hupenda pachafu!

  • @KayongoOba-ht2rf
    @KayongoOba-ht2rf 6 วันที่ผ่านมา +3

    azina ya taifa kama hii

  • @IsayaMalinda45
    @IsayaMalinda45 6 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥

  • @erickwanjarajr5707
    @erickwanjarajr5707 6 วันที่ผ่านมา +1

    Ukiwa mwanahabari lazima uwe critical thinker

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 6 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amina baba hiii pia waandishi waelewe

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 6 วันที่ผ่านมา

    Siyo siasa inaumiza sana

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 6 วันที่ผ่านมา

    Tutamuunga mkono kwa mazuri nasio kwa kukandamiza watu na wapa hofu ili mambo Yao yaende sawa kwenye uchaguzi

  • @ngwanzajohn2108
    @ngwanzajohn2108 5 วันที่ผ่านมา

    Duuh Mzee kawaka..😅

  • @AgreyMbwambo-z9j
    @AgreyMbwambo-z9j 3 วันที่ผ่านมา

    5:50

  • @AgreyMbwambo-z9j
    @AgreyMbwambo-z9j 3 วันที่ผ่านมา

    Wuwi munatupeleka wapi kunanini katika madaraka mkumbukeni mwinyi alijiuzulu ninyi kunanini hamtoki

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 6 วันที่ผ่านมา +2

    ALIZOMEWA KWELI, LAKINI FAHAMU KUWA NI KWA USHABIKI.WA KISIASA.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 6 วันที่ผ่านมา +3

      Wagalatia WAMESHAINGIZA SIASA 😢😢😢😢😢KISA NI WA UPANDE WA 2

    • @user-md7sd3hk6l
      @user-md7sd3hk6l 6 วันที่ผ่านมา +2

      ngoja ya kufike alafu useme siyasa vitu nywa kweli una sema siyasa daaa

    • @ordafabian5172
      @ordafabian5172 6 วันที่ผ่านมา

      Haya banah

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 6 วันที่ผ่านมา

    Hapo inakuwaje kwa chama kimoja tu kusemwa au kutajwa kuliko vingine ? Hofu au husda au nini kolichopo nyuma ya pazia ? Maneno fulani yakisemwa na jamii A hayana ubaya na maneno hayohayo yakisemwa na jamii B inakuwa UCHOCHEZI.....!!!? Hii ikoje ?

    • @hadjiMbugi-iu4eg
      @hadjiMbugi-iu4eg 4 วันที่ผ่านมา

      Hicho chama mm mwenyewe nawasiwasi nacho kichunguzwe Kwa nn wao tuuh

  • @JosephAdam-e9w
    @JosephAdam-e9w 3 วันที่ผ่านมา

    Mmi simuungi mkono raisi nikimunga mkono ntabaki nanin

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 4 วันที่ผ่านมา

    Tunae RAIS mmoja tu si wawili au watatu hapo Thaaa thaaa!!

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 วันที่ผ่านมา

    polisi ndiyo wanavuruga 😢😮

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 6 วันที่ผ่านมา

    Mwanahalisi post zenu hazina sauti kubwa kwaniniiiiii??

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 5 วันที่ผ่านมา

    Mzee anawapiga waandushi na nyundo😅

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee wetu Butiku upo sahihi kabisa, Lkn dhambi hupovusha hawana macho ya kuona tena.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 6 วันที่ผ่านมา +2

    HAWA ndio wazee Wenye busara waliobaki kwenye hii nchi wana hekima nabusara

  • @nolascomashelle6838
    @nolascomashelle6838 6 วันที่ผ่านมา

    Semausiogope semaaa

  • @SabrinaMgunge
    @SabrinaMgunge 6 วันที่ผ่านมา

    akika mzee upo makini sana wengi waliopo sasa wapo wapo2 pesa mbele kuliko utu

  • @GoodluckTarimo-u3j
    @GoodluckTarimo-u3j 4 วันที่ผ่านมา

    Unaakili nyingi zahao waandishi waoga uliokonao

  • @danielreuben4177
    @danielreuben4177 5 วันที่ผ่านมา

    huyu ni mtu sahihi abarikiwe na bwana

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 5 วันที่ผ่านมา

    Mzee kaongea maneno matam sana kama hujielewi hutamuelewa ila hapa mashoga na machawa hawatajua mzee anaongea nn kumbe wazee wenye hasira nanchi yao wapo

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k 6 วันที่ผ่านมา

    Hkn waandishi hao wasenge

  • @Ibraah-w2q
    @Ibraah-w2q 4 วันที่ผ่านมา

    Ma. 5:38

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 6 วันที่ผ่านมา

    Babu umenena kweli

  • @ZulfaIsmail-w1d
    @ZulfaIsmail-w1d 5 วันที่ผ่านมา

    Wakumbushe wajue umhim wao

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 6 วันที่ผ่านมา

    Laisi ni mnafiki2 anajuwa atakavyo waficha

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 6 วันที่ผ่านมา

    MZEE BUTIKU UPEWE MAUA YAKO MZEE WETU

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 6 วันที่ผ่านมา

    Hazina yetu

  • @AhamedyKibarati
    @AhamedyKibarati 6 วันที่ผ่านมา

    Jua tu watenda zambi awaonivizuri mbele

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 6 วันที่ผ่านมา

    Na kwanini wanauwa watanganyika tu?

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 6 วันที่ผ่านมา

      Jee umesahau mauwaji huko Pemba baada ya uchaguzi wa 2000,uliotekelezwa na vyombo vya dola ndani ya serikali iliokuwa ikiongozwa na hao hao.

    • @silvestalaya6712
      @silvestalaya6712 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@ahmedalbalooshi8518ya ccm

  • @AnjelicaBayyone
    @AnjelicaBayyone 6 วันที่ผ่านมา

    Wezi sana ccm hii ni dhambi kubwa sana inchi itaingia gizani hii ni hatari unapambania uccm badala utaifa hii ni kero sana
    Ccm haina sera

  • @oscarurio1176
    @oscarurio1176 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni Mwema kupitia Utumishi uliotukuka uweza uwezo wa kusema ukweli