BINTI WA MIAKA 20 ATELEKEZWA MITAANI NA BWANAAKE KISA KUZAA MTOTO ANA KICHWA KIKUCHWA |KANIKATAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @jennet6484
    @jennet6484 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wamama mnapokua na ujauzito hakikisheni mnameza vidonge vya folic acid kipindi chote cha ujauzito..inasaidia vingi hata tatzo la mgongo wazi.

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 10 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah

  • @upendoabraham2010
    @upendoabraham2010 10 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu nakuomba umponye huyu mtoto kwa ruhuma zako. Hayo ni maji yamejaa inatakiwa yatolewe kuna mpila anawekewa, tumsaidie kwa kile tutakacho jaaliwa mtoto apate matibabu

  • @MohammedSaleh-t5h
    @MohammedSaleh-t5h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hio nimaji ya mwili unabaki kichwani kwahio hapo inahitajika operation ya kuweka tube kutoka kichwani kwenda tumboni

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 10 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu jamani dada zangu acheni mikorogo, hujui umemdhuruje mtoto wako akiwa tumboni 😢😢😢

    • @YasmeenKhalifa-zq1zk
      @YasmeenKhalifa-zq1zk 10 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisa umeongea point❤

    • @maryamrashid8499
      @maryamrashid8499 10 หลายเดือนก่อน

      Germany wakiona mtt mgonjwa wanakushauri mimba waitoe haraka

    • @maryamrashid8499
      @maryamrashid8499 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa sbb wanasema atakuja Hana faida ila wew mzazi utahangaika kulea na matibabu .

    • @maryamrashid8499
      @maryamrashid8499 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa sisi waafrika hatuwezi kufanya hivyo tunamkosea,sana mungu

    • @keynasseib9999
      @keynasseib9999 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani alikua anakunywa huo mkorogo
      Waja mbona mnavisa
      Dunia nyepesi lkn waja wazito jaman

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wanaume Sasa unamkimbia mtoto wakati mimba ulitia ww mwenyewe? Heeeee jamani wanaume mkubali kupambana na damu zenu

  • @elizabethbwakila3982
    @elizabethbwakila3982 10 หลายเดือนก่อน +1

    Satilaundi nimecheka kusikia satilaundi

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 10 หลายเดือนก่อน

    Maskin pole mwanangu