ZANZIBAR YANG'AA, YAWEKA REKODI KIWANJA CHA NDEGE AFRIKA, NDEGE KUBWA KUINGIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e 3 หลายเดือนก่อน +18

    God bless Zanzibar, my beautiful Country ❤

  • @GlolyMbowe
    @GlolyMbowe 3 หลายเดือนก่อน +6

    Asante Kwa maendeleo

  • @piusundisputed
    @piusundisputed 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hongerenii Sana kwa hatua hio ,ila rekebisheni utaratibu wa abiria kukaa mda mrefuu Sana kusubiria huduma ,ukienda nchi za wenzetu abiria hawakai Sana waiting lounge!!

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 3 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah tujaalie nchi yetu zanzibar salama na wasoitakia mema dini yatu ya kiislam

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 3 หลายเดือนก่อน +13

    Kwa kujisifia tu hamjambo mbona maisha yetu hayabadiliki si mapato yanaongezek

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 3 หลายเดือนก่อน +8

      Huko marekani watu wanamaisha magumu seuze nyie fanya kazi hakuna siku mtu atakuekea pesa mfukoni

    • @rkcomercialenterprises3209
      @rkcomercialenterprises3209 3 หลายเดือนก่อน +2

      Data za kupika na inategemea mtoa data ni nani.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน +1

      SALIM HAUONI MAENDELEO YANAYOFANYIKA HIVI UNAVYOFIKIRI MABARABARA HOSPITALI MASOKO MASKULI NA KADHALIKA YOTE HAYO YANAJENGWA NA NINI?! AU NDO ULITAKA PASIFANYIKE MAENDELEO NA PESA WAPEWE WANANCHI WAKAZILE?!

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 3 หลายเดือนก่อน +2

      Chuki Choyo na roho zitakutoa roho balahau

    • @BadoMartense
      @BadoMartense 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mtu mzima unajaa ujinga, sasa zile hela ulitaka wazigawie wananchi ndo ujuwe serkali inafanya kazi nzuri ? Acha kulala nenda utafute maisha. Tajiri hasumbui

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 หลายเดือนก่อน

    ONGERA SANA ZANZIBAR, soon mnaweza wazidi dubai kama mkijipanga vizuri , wekeni pia accademy kubwa za kimataifa

  • @themasimbi2
    @themasimbi2 3 หลายเดือนก่อน +7

    Uwanja wa ndege wa zanzibar KIA maana ake ndo nn mbn kma cjaelewa

    • @chapaboyclassic3907
      @chapaboyclassic3907 3 หลายเดือนก่อน

      AKIA

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wamekosea ni AAKIA Amani Abeid Karume International Airport

    • @jamesmsalilwa8733
      @jamesmsalilwa8733 3 หลายเดือนก่อน

      Hawa watangazaji `social media` wanatakiwa wawe wamesoma Uandishi wa Habari. Iwe ni utaratibu, kama serikali inavyosema kusajili TH-cam 1m/= mtu analipia.

    • @OmarJuma-bk9wl
      @OmarJuma-bk9wl 3 หลายเดือนก่อน +1

      Abeid Karume International Airport.... AKIA

    • @dullykobbiemainoo
      @dullykobbiemainoo 3 หลายเดือนก่อน

      karume international airport

  • @danielkullwa1613
    @danielkullwa1613 3 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar KIA...ufafanuzi kidogo hapo

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah!!!

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio mukaanza roho mbaya kutangaza wageni wakate bima ya afya kuona wageni wengi wanatembelea Zanzibar Ila utawagharimu

  • @chidi_don
    @chidi_don 3 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥✊🏾

  • @AkleyBernard-g9o
    @AkleyBernard-g9o 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana rais wenu anasafili sana kwaajili nchi yake maana uku akuna anachokifa

  • @abdallaameir3153
    @abdallaameir3153 3 หลายเดือนก่อน +1

    Na hapo hatuna ule uhuru kamili kwa Tanganyika ila tungalikua mbali sana

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 3 หลายเดือนก่อน

      Sahauni kuizidi Zanzibar kw chochote kwenye maendeleo ni vile Zanzibar hatuna Mamlaka kamili tu

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 3 หลายเดือนก่อน

      @@OmerSuley-gl7go huyo ni mwenzio ndugu yangu ipitie comment yake tena utaielewa hahhaa

    • @RynoFiree
      @RynoFiree 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mi sion hata umuhimu wa huo muungano, nibora kila mtu apambane na ardhi yake

  • @gloria5990
    @gloria5990 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani!! Zanzibar international airport na KIA wapi na wapi?? Pls check kazi zenu watangazaji.

    • @makjumalymeloy2850
      @makjumalymeloy2850 3 หลายเดือนก่อน

      AKIA

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 3 หลายเดือนก่อน

      Ndy kfup cha jna lke

    • @spacegamers126
      @spacegamers126 2 หลายเดือนก่อน

      AAKIA = Abeid Amaan Karume International Airport

  • @SuleimanSuleiman-w7l
    @SuleimanSuleiman-w7l 3 หลายเดือนก่อน +3

    Watalii wakija serikali inaingiza nini au ndio kujitia wema tu , inabidi tujue twafaidika vipi watalii wakiingia ?

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 3 หลายเดือนก่อน

      @@SuleimanSuleiman-w7l Na ndio maana kuna health Insurance kama sijakosea , kwa kila mgeni atakae ingia Zanzibar

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ufuska

  • @rabiahajjiali1044
    @rabiahajjiali1044 3 หลายเดือนก่อน

    AAKIA Sio KIA, KIA ni KILIMANJARO, ila AAKIA ni ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT,

  • @MakameMdungi-f9e
    @MakameMdungi-f9e 3 หลายเดือนก่อน

    Idadihio kwasiku sindogo lkn mbon halizetu duni?

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongoza Jomo Kenyatta sio zanzibar, zanz ya pili

    • @jamesmsalilwa8733
      @jamesmsalilwa8733 3 หลายเดือนก่อน

      Achaa roho mbaya. Kwa hiyo waliofanya 'analysis' wamehongwa? Ukitaka kuendelea iwe inchi, au wewe binafsi usitake kushindana uwe kama mtu au nchi fulani. Pia nikupe pole kwa mtizamo wako hasi ulionao!

    • @aliakrabi8321
      @aliakrabi8321 3 หลายเดือนก่อน

      @@jamesmsalilwa8733 unakasirika nini, ukweli si ndio huo, JK ya Kenya ya 4, zanz ya 10. fuatilia basi. unaposema Zanz imeongoza east africa ndipo tunadanganyika. acha ujinga wewe. kama zanz ingekuwa ya kwanza, tungesema ya kwanza, vipi?

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 3 หลายเดือนก่อน

      @@aliakrabi8321 chuki tu na roho mbaya ndio iliokujaa

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 3 หลายเดือนก่อน

    Naona Asante nyingi mwanzo mlikuwa mwamkutukana rais mwinyi Leo mmeona mambo mazur eti hongera mkome kumtukana rais mwinyi anafu wa zenji mna ubaguzi sana nyie

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nyumbani ninyumbani

  • @MrHuslar21
    @MrHuslar21 3 หลายเดือนก่อน +2

    duuuhh uwanja wa ndege wa zanzibar wa kia? au mm sijasikia vizuri?

    • @mzeewahbiomar.5912
      @mzeewahbiomar.5912 3 หลายเดือนก่อน +1

      AAKIA. Abeid Amani Karume international Airport

  • @kudrasogoti3796
    @kudrasogoti3796 3 หลายเดือนก่อน +8

    Naipenda Tanzania yangu

    • @NassorMohammed-oy7bc
      @NassorMohammed-oy7bc 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa zanzibar si tanzania

    • @kudrasogoti3796
      @kudrasogoti3796 3 หลายเดือนก่อน +4

      @@NassorMohammed-oy7bc kwani Zanzibar ninin na Tanzania nini mi ninachokijua ni inchi moja

    • @nassoromarelbajouny4462
      @nassoromarelbajouny4462 3 หลายเดือนก่อน

      Acha usenge huo, Zanzibar inajiiluza peke yke ww jitambue kwa Mlima wenu Feki wa Kilimanjaro mlioupora from Kenya. VIVA Zanzibar na itakua huru tu​@@kudrasogoti3796

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@kudrasogoti3796Katiba ya Zanzibar imeweka bayana kwamba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi 2 ila taifa ndio moja hivo Zanzibar hatutaki shobo

    • @kudrasogoti3796
      @kudrasogoti3796 3 หลายเดือนก่อน

      @@NassorMohammed-oy7bc shehe ukiwa ulaya unasema unatokea wap

  • @Omy-dou
    @Omy-dou 3 หลายเดือนก่อน

    Johnn terry mumemuona

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 3 หลายเดือนก่อน

    YEP KIKOJUU KWA RANK KULIKO CHA DAR

  • @hajjinyanya
    @hajjinyanya 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uwanja wa Ndege wa Zanzibar wa KIA ??? Mamamia 😅 KIA Means Kilimanjaro International

    • @BadoMartense
      @BadoMartense 3 หลายเดือนก่อน +1

      AKIA Abeid Karume International Airport

    • @nassoromarelbajouny4462
      @nassoromarelbajouny4462 3 หลายเดือนก่อน

      Kasema AKIIA na sio KIA sikiliza vizur

  • @RodrickSIOY
    @RodrickSIOY 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mna ita KIA na ni Zanzibar 😅

    • @BarakababaRama
      @BarakababaRama 3 หลายเดือนก่อน

      Ni ABEID AMAN KARUME INTANATION AIRPORT AAKIA na sio kia

    • @salimhamad2967
      @salimhamad2967 3 หลายเดือนก่อน

      KIA ni Karume International Airport

  • @MohamedAhmada-ie7ke
    @MohamedAhmada-ie7ke 3 หลายเดือนก่อน

    Alaf utamsikia mtu anakwambia nyie zanzibar mnauchumi gani nyie mnabebwa tu na tanganyika. kueni serious zanzibar ina sehemu nyingi za mapato

    • @ototek8037
      @ototek8037 3 หลายเดือนก่อน

      Hivi uchumi wa utalii unauelewa au unacomment tu! Ikiwa ndo chanzo chako pekee cha mapato utakuwa mtumwa.
      Wakisema Zanzibar kunaugonjwa hapo haitui ndege labda kungulu, hivi unaelewa thumuni la WHO? au unazani kazi yao kusambaza chanjo?

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 หลายเดือนก่อน

      @@ototek8037 kwaiyo kwa akili yako unajua zanzibar ina chanzo cha mapato kwa utalii 2 utalii ni asilimia kubwa tu pamoja na bandari