TUHUMA NZITO: MKURUGENZI WA KIGOMA AKUTANA NA MOTO WA MAKONDA, WANANCHI WAMVAA VIKALI, "ANATUONEA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 17

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 4 หลายเดือนก่อน

    Izi Habari Zinaitaji Intaneti Nzuri Izi Weifa Zimechoka Ulaya Zinakuja Tanzania Kula Pesa Azina Uduma Nzuri Zinachuna Pesa Zijenge Ulaya Serikali Kwanini Mnaluusu Weifa Mbovu Na Mnajua Wazi Watanzania Bado Washamba Kwanini Na Viongozi Msiutoe Huo Ushamba Msiangalie Kodi Zao Wakati Uduma Zao Mbovu Wananoa Mwisho Wananchi Wanalia Na Chama Tawala

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda wafanyakazi wa serikali wanadhulumu wananchi vibaya wanaingiza watu chaka kwakutumia sheria

  • @lovemusicnoreen9185
    @lovemusicnoreen9185 4 หลายเดือนก่อน

    Waha🙌🙌🙌

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 5 หลายเดือนก่อน

    Hii ni shida ya makada wa chama cha Ccm kupewa nafasi za serikali.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa apewe nani, Serikali ni ya CCM ni lazima apewe nafasi mwana CCM kutekeleza ilani yao, kutokuwajibika ni issue nyingine.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wanajiumiuza tuu tumaini makonda atawasaidia
    Badala yake anaongeza matatizo makubwa kwa wanachi kwa nini nasema hivyo makosa yanafanywa na viongozi makonda anatuma tena waamuzi hao hao wakae pembeni wajadiliene wakati wote viongozi wanajuana sasa makonda anawasadia wanachi au anawatengenezea zaidi uadui wa wananchi na hao.viongozi bora hata yabaki huko hiko mahakani hawasadii wananchi ni shida juu ya shida makufuli ni makufuli makonda hana uwezo km makufuli anataka sifa tuu

    • @fundimagari5825
      @fundimagari5825 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe huwezi kuona impact yake kwa sababu unadhani Makonda anafanya siasa ..lakini nakuhakikishia kuna watu watatumbuliwa kimya kimya ..Makonda anafikisha ujumbe kwa wakubwa

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 5 หลายเดือนก่อน

    Waha tunapenda ubishi

  • @lucykamuhabwa567
    @lucykamuhabwa567 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda kazi yako ninzuri ila inaishia mjini nenda na vijijini kuna shida

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mijinga Sana hii mijitu najuta kuzaliwa kigoma

    • @peterkamana1265
      @peterkamana1265 5 หลายเดือนก่อน

      Msenge kabisa wewe na huenda sio wa kigoma

    • @peterkamana1265
      @peterkamana1265 5 หลายเดือนก่อน

      Mijitu ni wewe na ukoo wako

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 5 หลายเดือนก่อน

      ​Wewe ni ngombe unaacha kumwamini mungu unaamwamini kamchape nonsese

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 5 หลายเดือนก่อน

      Yani waha wenzangu wameniangusha

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 5 หลายเดือนก่อน

      Mi ni muha ila nakuuuunga mkono