Tanesco Ni mbuz wa kafara tu tatzo liko kwa watawala ngaz za juu,tanesco hawanunui majeneretor Wala hawajaz maji mtera ndo maana maguful aliligundua Hilo na akalikomesha hili tatzo Mara moja,swal langu je waliokuwa chini ya maguful unataka kuniambia hawajui?wanajua sana
Hongera Eng Geodfrey for Good explaination
Mungu akubaliki sanaa
Mungu akutunze
Kwani makonda hawez kutumbua watumish
Ww makonda na ccm yenu acheni maigizo kwenye maisha ya watanzania
Mitano tena baba ako
Tanesco Ni mbuz wa kafara tu tatzo liko kwa watawala ngaz za juu,tanesco hawanunui majeneretor Wala hawajaz maji mtera ndo maana maguful aliligundua Hilo na akalikomesha hili tatzo Mara moja,swal langu je waliokuwa chini ya maguful unataka kuniambia hawajui?wanajua sana
Mie enginia nimemuelewa
Acha uongo makonda