Asalam alykum warahmatullahi wabarakatu! Yaani nikisikia sauti ya hiyo team ya dawah nafurahia sana, mafunzo yao yalinielekeza katika uislamu, alhamdulillah!
MashaAllah. Siyo rahisi kuanzisha biashara ya kuku bila ujuzi na utafiti. Lakini kuweni na uvumilifu na mjikaze InshaAllah haimaye mtakua na kampuni kubwa.
Allah atulipe kila la kheri sote tunaofuatilia Channel hii ya Daawah .. ❤🎉 Aamiyn .. 🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬 🇧🇮 🇷🇼 🇨🇩
Asalam alykum warahmatullahi wabarakatu! Yaani nikisikia sauti ya hiyo team ya dawah nafurahia sana, mafunzo yao yalinielekeza katika uislamu, alhamdulillah!
"Mbona vitu vimooo!!!!" 😂😂 Asalamun alaykum warahmatullahi wabarakatuh! Jazakum Allahu khair! Tulikuwa tumewamiss.
Mansha Allah brothers
MashaAllah.
Siyo rahisi kuanzisha biashara ya kuku bila ujuzi na utafiti. Lakini kuweni na uvumilifu na mjikaze InshaAllah haimaye mtakua na kampuni kubwa.
As Salam Aleikum warahamatu wabarakatu,,Insh'Allah kila kitu kitakuwa kwa uwezo wake Allah subhana wataala,,Salam kutoka München Germany
Ukiskia 'Skiza habari' ujue kuna mtu anapewa dozi 😂 MashaAllah sheikh Salim uko vizuri Allah akujaalie killa la kheri
Mashallah shekhe mmerudi parauwanja
MashaaAllah tabarakah Rahman
Waleikum salaam
Allah subhana wataala
Awape mema dunia na Akhera
Mafunzo yenyu mazuri
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Jazakumullah kheyr.....watching you from Dadaab
Maa Shaa Allah
Allah awazidishie jitihada zenu na Allah awajaalie IKHLAS na awape mpaka mtosheke....Allah karim...
Aamiyn
ALLAHU AKBAR ♥️
Salam alaikoum wa rahmatoullah wa barakatouh. Allah akuzidishieni sheikh wangu, wewe na team yako yote. Sheikh nauliza, ipo wapi sheikh Kassim??
Company inataka jina na kiwanda jiwe kikubwa.
Asalam alykum 3
Waaleykum salaam warahmatullaah
Leo wa kwanza
Maashaa Allah 💖
Wa kwanza hapa
Maashaa Allah 💖
Whte tshirt kichwa kibovu hiko ubishi tu kama mavi 😅😅😅
Wacha hizo 😂😂😂
Yani hawa wakristo wamewekewa propaganda mbaya sana dhidi ya Uislam makanisani