Aslm alkm Mashallah walimu kwa kazi nzuri atakae elewa sawa na atakae kua ameelewa but mshindani Achana nae even if you asked Gpt about the question its tell the trueth about islam
Surah ya 28 ayah ya 30 Basi alipo ufikia aliitwa kutoka ng'ambo ya bonde la kuliani katika eneo lilio barikiwa kutoka kwenye mti Ewe Musa Hakika Mimi ni Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote
@Samuel-iu9xm kabisa. Hana haja ya kujifunza au kufunza. Anakwenda kufanya ushindani tu na anatumia zaidi akili kuliko maandishi na kujaribu kupotosha aya. Hasbunallah waneemal wakil.
Masheikh wetu tunaomba next time mkikitana na watukama Hawa nibora kuwapa time muwasikilize kuliko kubishananao maana m avyo bishana mnazidi kupoteza time Bora mumsikilize hoja zake amalize atoemaoni yake amalize one time
Huyu RASTA ali kuwa ame jaa STEAM za Bangi! Na leo Ujinga wa Jatelo ume julikana! Jatelo ameji aibisha kweli, aki fikiri ni Mjanja sana. Lakini Ustad Salim, amem vua Jatelo, Sulwari leo! Tabarak Allah Team and local support.
Narudia tena Sheikh Salim, Shadrack amewaste 25 minutes leo, muda ambao ungetumika kueneza dawaah yeye amepoteza, nakuomba usimruhusu. Mpe ushindi, mwambie hatutaki mjadala nayeye afwate anachoona yeye ni sawa.
Assalamu Alykum Naomba Sheikh Salim umruhusu Muulizaji Shadrack suali moja au mawili tu na asipoteze wakati wako maana ni mtu mbishi wa kupoteza wakati daima na Capability to absorb information is low ni fujo tu
Aslm alkm Mashallah walimu kwa kazi nzuri atakae elewa sawa na atakae kua ameelewa but mshindani Achana nae even if you asked Gpt about the question its tell the trueth about islam
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu, shukran jazeelan
MASHALLAH mabroo twajivunia kuwapata walimu wetu kwa njia murwa tena sana Allah awahifadhi daima
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nimefurahi kuwaona tena tuko pamoja
Allahu ma baarrik Sheikh Salim Na Ali
Uyo wa kwanza usimruhusu tena analeta upuzi mahali serious
Alafu uyo sijui shadrack maneno yake aweke limits asifanye mchezo mola
Sheikh Salim piga marufuku huyo Shadrack. 😔
Huyo rasta komo nae mwengine. Kweli kila soko halikosi mwendawazimu wake.😅
Maalimu Salim Dawaa huyu Shadrak hakuna haja ya kupoteza muda nae akili zake ndogo sana hata kwa kumsikiliza
Huyu Shadrach hajikujifunza ni ushindani tu! Never give opportunity to such clowns!
Kabisa
Nimetangulia leo 😅
Naona kuanzia saa moja unashika simu mkononi ukiwa kwa TH-cam ukiotea clip 😂😅. Mashallah Mabrouk
Assalamu Alaykum team
Na huyu Shaitrak, ni jamma waku TUMWA na Gang ya Josephu, kule Eastleigh.
Waleikum salaam
Masha Allah
Allah awalipe ndunia na Akhera
HUYU SHADRAK HATUTAKI AULIZE MASUALI, MAANA NI MJINGA MTUPUUU
Kabisa, anaharibu muda na hana maarifa
Wawooo hawaaaoniiii wanaaaoo kufaaaa naniii Amerudiiiii???¿ Hawaaaeleeeewiii kwamba kulaaa jamboooo mwenyezimnguuu ndieee Apangayeeee,,,,,halaliij walaaaa hasinziiiii
Huyo shadrack huma mbishi na kupoteza mda na anacheka anajua anapewa mda mwingi
Surah ya 28 ayah ya 30 Basi alipo ufikia aliitwa kutoka ng'ambo ya bonde la kuliani katika eneo lilio barikiwa kutoka kwenye mti Ewe Musa Hakika Mimi ni Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote
Huyu shadrak hana hoja hana maswali kila siku anakuja na maswali hayo hayo na kupoteza mda.....ifike mda musimpe nafasi 😢😢
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Kazi rahisi, Jetelo akileta maneno mengi, guza tu Fungu la kumi na sadaka. Atakimbia bila viatu.
Maashala lazima npite huku
Huyo Shadrack munamuacha akiharibu muda wa daawah. Watu wa kutumwa kila siku kuwapotezea wakati na ushindani usokuwa na maandishi.
@@HisMajesty64 amekuwa too much.
@Samuel-iu9xm kabisa. Hana haja ya kujifunza au kufunza. Anakwenda kufanya ushindani tu na anatumia zaidi akili kuliko maandishi na kujaribu kupotosha aya. Hasbunallah waneemal wakil.
Kweli ame kuja kupoteza time tu
@@Samuel-iu9xm
Time Waster tuu!
Siijui kwanini Us5ad Salim anampa fasi yaku potwza Wakati!
Na huyu RASTA aliye vuta Bangi, ame waste 15 mins leo!
Hanaata elimu ni kutaka kushindana anfikiria Mambo ya Allah nikama mpira subhanallah
Shadrack wakutumwa kupoteza muda . Hana swali la maana .
Baba Ally unanifurahisha sana Alhamdulilah nilikuwa sina raha ila nimefurahi sana😂
Yani kuna watu mnawapa nafasi alafu wana aribu muda.
Sh salim hata nyinyi munafanya mchezo na huyu shadrack wacheni kupoteza time na huyu kijana
Rasta ana upuzi mengi. Sheikh Salim, weka block Shadrack hana hoja, yake ni upishi tu na kupoteza wakati.
Mwalimu muulize kuhusu kujifananisha nawanaume alitowa kukitabugani
Masheikh wetu tunaomba next time mkikitana na watukama Hawa nibora kuwapa time muwasikilize kuliko kubishananao maana m avyo bishana mnazidi kupoteza time Bora mumsikilize hoja zake amalize atoemaoni yake amalize one time
Muda ya leo mulipoteza to bure wlh
Mashaalah
❤
URASTA NI BANGI, KUMUELEWA MPAKA UWE MVUTAJI KAMA YEYE.
Yani km akili za kirasta ndio namna hio walai hata bangi haina maana😂😂😂
Huyu Shadrack needs to be banned from muhadara. He is a time waster sent by the pastors .
Sio yesu pekeake ndio alama ya kiyama kuwa kime kurubiya but kuna vitu viiingi ambavyo ni alama ya kiyama kuwa kime kurubiya
Huyu RASTA ali kuwa ame jaa STEAM za Bangi!
Na leo Ujinga wa Jatelo ume julikana!
Jatelo ameji aibisha kweli, aki fikiri ni Mjanja sana.
Lakini Ustad Salim, amem vua Jatelo, Sulwari leo!
Tabarak Allah Team and local support.
Mna wafunza wanajifanya waerevu wanarudi wakijifanya walimu amabao wamejua kuuliza maswali
Ustadh salim mm nimewasoma hawa wakristo naona sana wanaamini ati shetani ndio atatia watu motoni pia waelimishe kuhusu hilo.
Allahamdhulla
Huyo shadrak usimpe nafasi ya kuuliza maswali Huwa anaaribu muda please ametuchosha
Yuyorasta anakitu stor zake nizanyaba.
Hata bible pia yasema kuna andiko nakumbuka uliwahi kusoma yesu alipoulizwa na makuhani walimuliza yesu kuwa wewe ni mtoto wa mungu