Dada napenda kuoma video zako ila naomba uwe unaandika bidhaa unazotumia ili iwe rahis na sisi kuiga 😂😂😂 napenda natural hair hope nikifuata ushaur wako zitakuwa kama zako naomba uwe unaanzdika product unazitumia bac
Dada nimepitia vedeo zako zote mostly hujazochana Swali : nikitia Maji na Mafuta sitakiwi kuchana au nikiweka stemming baada ya kuosha sitakiwi kuchana???
Usichane nywele kavu, Usichane nywele zilizofungamani (baada ya kufumua)... Toanisha nywele zako zenye unywevu na vidole kabla yakuzikana... Chana nywele ktk mafungu...Tumia chanio lenye meno mapana kuchania nywele!.. Unaweza chana nywele zako pale unapotaka kuzichana lakini tumia njia sahihi na vifaa sahihi...(nimeonyesha namna yakuchana kipilipili)
Hiyo cantu haipatikan huku naipenda sana
Mie nywele zilinishinda 😀 hongera zako dear 💖💪🏾
Hongera sana kww ywele nzuri
Mimi nywele natural zilinishinda hongera dear nywele nzuri
jamani atutajie namba za cm basi pls
nimependa sana mfumo huo
Asante nmeelewa maana Mimi nilkua had niende saloon kila napotaka kuosha,,,usishangae jina me Ni mwanamke Hilo jina Ni Mambo ya mwanaume
Sawa dear.. usihofu
Dada napenda kuoma video zako ila naomba uwe unaandika bidhaa unazotumia ili iwe rahis na sisi kuiga 😂😂😂 napenda natural hair hope nikifuata ushaur wako zitakuwa kama zako naomba uwe unaanzdika product unazitumia bac
Ika vipi naomba kujua iyo cream ni tofauti na Shea butter
Ndio yenyewe... inaweza kua shea butter,coco butter ama yoyote tuu
@@ikamalle asante
Hy njano n mafut gn yamekaa km y mgndo
Dada nimepitia vedeo zako zote mostly hujazochana
Swali : nikitia Maji na Mafuta sitakiwi kuchana au nikiweka stemming baada ya kuosha sitakiwi kuchana???
Usichane nywele kavu, Usichane nywele zilizofungamani (baada ya kufumua)... Toanisha nywele zako zenye unywevu na vidole kabla yakuzikana... Chana nywele ktk mafungu...Tumia chanio lenye meno mapana kuchania nywele!..
Unaweza chana nywele zako pale unapotaka kuzichana lakini tumia njia sahihi na vifaa sahihi...(nimeonyesha namna yakuchana kipilipili)
Dada unanunua WAP ilo chupa LA kujinyunyuza majii na shingap
😍😍😍
Hy cat n condition y nn
Na vip kama nikiwa nasuka mara kwa mara zitakua au ndo zinakatika maana nywele zangu zilikua nzuri lakin saiv hazikui cjui kwanini
Kwa mimi inategemea na misuko pia, mingine inakata nywele mengine inakuza...jitahidi kufanya steaming (deep conditioner) kila unapofumua nywele
Ahsante my dada
me nywele zangu nyekundu napenda ziwe nyeusi kama zako
Hivyo vibanio vinapatikana wapi na hiyo condishina