Radd nyepesi kwa muhammad bachu هداه الله

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว

    Mawahabi shikamoo

  • @darweshonlinetv
    @darweshonlinetv ปีที่แล้ว

    Nyie ni masalaf au wapumbavu

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 ปีที่แล้ว

    Moto umewaka mawahabi wameanza kupomdana wao kwa wao

  • @Jadidatz
    @Jadidatz ปีที่แล้ว

    Hivi mwenyekiti na katibu mkuu wa salafi tz ni nani?

  • @subulus_salaam2023
    @subulus_salaam2023 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Muhammad bachu arudi kusoma tu siyo kukosea huko wazi wazi

  • @hamisikanyama984
    @hamisikanyama984 ปีที่แล้ว

    Mmeaza kusengenyana letinidalili mtume kafanya hivyo

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Haya mambo mume yakoroga wenyewe sasa kwann sasaivi mulalamike?

  • @yussufali8883
    @yussufali8883 ปีที่แล้ว

    Waisalamu tunakwenda wapi ya jamaa
    Kwa mambo haya

  • @hassankagoma58
    @hassankagoma58 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Muhammad haijui dawatu assalafiyah, angeijuwa dawa hii iliyobarikiwa asingefanya utetezi kuwatetea watu walopinda na walionje na manhaj ya assalaf kama jamaatul tabliigh, watu wa bibilia na wngn na wote anawatetea, hatak wasemwe!

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu uislamu una mambo tele ya kujadiliwa sio kila siku kulumbana na Muhammad Bachu hii ni aibu kila siku Bachu Bachu uislamu gani inaonekana mna ilimu kubwa ila ufahamu wenu juu ya uislamu ukawa ni mtihani.

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023 2 ปีที่แล้ว

      @@mahamoudduchi3318
      Kumbe hujaifaham daa'wa salafiya ikoje.
      Sio kila siku bachu bachu bali mtu akipinda sharti awekwe sawa
      Pili markaz zote za salafiya ni darsa tu zinazomeshwa ww ndo hufuatilii ndo maana unaona kila siku bachu bachu
      Kwa msaada zaidi pakua app ya firqatunnaajia ndo utayakuta yote humo:-
      -Darsa
      -khutba
      -Mihadhara
      -Nadwa
      -Rudduud
      -Midahalo ya kielimu
      Na mengineyo mengi.

    • @saidifadhel9706
      @saidifadhel9706 2 ปีที่แล้ว +2

      Sijuwi ni nani atakuwa ni mwenye kujitahidi akapatia ili alipwe hizo mara mbili, na ni nani aliyejitahidi na kulipwa angalau hio mara moja kwa kujitahidi kwake?
      Naona fitna tu baina ya waislamu wenyewe kwa wenyewe. Hii ni hatari sana kwa hakika na nikuombeni mutafakkari sana na sio kujiona eti mm nitakuwa dhalili nikikubali kushindwa kutkna na ukweli utakapo dhihiri.

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Akhy baaraka Allaahu fiik.
    Ila da'wah ya namna hii sisi hatuihitaji, nawala da'wah salafiyyah haiko hivi.
    Sasa nyinyi alie kupeni kibali cha kuwatoa wana Sunnah ndani ya Sunnah na Manhaji ya Salafi ni nani?

  • @jumaomar2601
    @jumaomar2601 2 ปีที่แล้ว

    nendeni vijijini wamasai wanaimbishwa ndowaingia kwenywe uisilimu muko mjini mnagombana tu

  • @alexenderlacazeete4924
    @alexenderlacazeete4924 2 ปีที่แล้ว

    nyinyi hamna lolote katafute nyanya uislam si unyamwezi we ni mnyamwezi lugha huiwezi mchezee bachu akufundishe

    • @AL_GHURABAA_U
      @AL_GHURABAA_U 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mbaguzi. Na ubaguzi ni uovu na uvundo.
      Mnyamwezi ni bora kwa Allah na apendeza zaidi kwa Allah akiwa mchamungu. Na sis wazanzibari ni punda na mzoga tu ikiwa si wachamungu mbele ya Allah. Mtake msamaha Allah akhy. Sisi wazanzibari kazi yetu kusifu tuu
      Hatutaki kusoma na tunapenda kuwakweza watu.
      Usidharau watu kwa anapotokea.
      { یَـٰۤأَیُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّا خَلَقۡنَـٰكُم مِّن ذَكَرࣲ وَأُنثَىٰ وَجَعَلۡنَـٰكُمۡ شُعُوبࣰا وَقَبَاۤىِٕلَ لِتَعَارَفُوۤا۟ۚ إِنَّ أَكۡرَمَكُمۡ عِندَ ٱللَّهِ أَتۡقَىٰكُمۡۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلِیمٌ خَبِیرࣱ }
      [Surah Al-Hujurât: 13]
      Tumche Allah anapokosolewa mtu wewe tafuta haqi simamia dalili, fanyia kazi lkn unaenda kufanya ubaguzi wa wazi kabisa kwa mapenzi yako tu juu ya mtu.
      Nimekushusha thamani akhy.

  • @saidymoto3889
    @saidymoto3889 2 ปีที่แล้ว

    Sasa huoni kama huo na wewe ni usheitwani unaongea Nini hapooo

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 ปีที่แล้ว

    Eeeh kijana utakuja dhurika kulumbana na maulamaa wacha utoto wa kubishana Elimu hio iwe ww ukosawa umesoma wapi wakat Wanazuon waliopita walisoma mwanzo wakat hata huyo baba yk hajazaliwa walikuwa hawajui kusoma uje kuwa ww ndio mwenye Elimu unauparadanya Uislamu unadhani Allah atakulipa nn muogope Allah ww ulikuwa kuwapiga vita makafir sio Waislamu wezio,hemu jifunze vitabu miongo mwavitabu nakupa kitabu hichi, Bi dayat hidaya utajua jinsi ya kuitumia elimu yk iweje ktk kuisha ktk dunia ili kutaka radhi za Allah, jifunze kusoma historia za wachamungu hawa kuwa na Ujinga km huo,Mohammed Nassor bachu,,Maulamaa wote wanakutaja hujui km Laana hii itakushukia uje tafute nn kimekudhuru rudi chuon ukasome bado huja fudhu Ndugu yetu Ogopa dunia muongope Allah