SHETANI |Ep 1- 5|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 66

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 7 หลายเดือนก่อน +24

    Hii n reality y Dunia y sasa km. Wapenzi hii movie like apa please love from 🇰🇪🇸🇦 Riyadh 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @rothrickCynthia-yu2sb
    @rothrickCynthia-yu2sb 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hii movie inafunzomakali kuhusu hii dunia y sass pongezi mwenye tamthilia hii nzuri❤️❤️❤️❤️❤️👌👍👍

  • @merryananias
    @merryananias 7 หลายเดือนก่อน +9

    Nakukubar sana mwamba ❤❤❤❤ be gup sanaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota 5 หลายเดือนก่อน +3

    Sijamaliza movie huyu mchungaji kazingua... Kabashee

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hiii nikiboko ya zoteeeeee apa mmeupigawingi nawapenda sanaaaa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ndg yenu nikiwa kenya🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 7 หลายเดือนก่อน +4

    inafundisha sana,,,hasta kumtafuta Mungu Kwa bidii kipindi hiki Cha mwisho,,, Mungu awabariki sana 🙏

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hap umeloba Mzee Mang'anya Simba

  • @MwanapiliAthumani-zp1bs
    @MwanapiliAthumani-zp1bs 5 หลายเดือนก่อน +1

    Akk huyu shetani atatupoteza mungu atuepushe naye

  • @jofreymfugale4752
    @jofreymfugale4752 6 หลายเดือนก่อน +2

    Movie ni kali sana bonge la stori ila kdg kumekuwa na mchanganyo wa imani ukristo hauamin katika majini wazuri na uyo aliyeigiza kama mchungaji amekuwa na viashiria vichache vya uislamu sasa ilikuwa ni vyema zaid angekuwa shee

    • @jofreymfugale4752
      @jofreymfugale4752 6 หลายเดือนก่อน

      Stori ingeendana zaid na uhalisia kama uyo aliyeigiza mchungaji angekuwa ni shee

    • @KamandaJohn-qv6kd
      @KamandaJohn-qv6kd 5 หลายเดือนก่อน

      @@jofreymfugale4752sawa

  • @BenedictMmboyi-f1o
    @BenedictMmboyi-f1o 3 หลายเดือนก่อน

    Vedeo iko safi sijaona ubaya wowote Yani watilie mkazo vivyo hivyo

  • @SitumaiKikono
    @SitumaiKikono 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji kavaa kofia mpo series kweli bora uhuxika ungekua ustadh tu 😢

  • @Rely-h2i
    @Rely-h2i 3 หลายเดือนก่อน

    Wow mmeupiga mwingi

  • @fablissmwanginde
    @fablissmwanginde 2 หลายเดือนก่อน

    aisee itafteni hii move ni kalii sanaa

  • @FlaviaPhilemonPhilipo
    @FlaviaPhilemonPhilipo 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atuepushe na majang

  • @Lael-mn4nb
    @Lael-mn4nb 6 หลายเดือนก่อน

    Huy ni shee au shetani

  • @NicelindaMwita
    @NicelindaMwita 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji kavaa kibaragashia

  • @Nasibu-09
    @Nasibu-09 4 หลายเดือนก่อน

    "Ndo Uzuri" 😂

  • @vyukusengenelly7668
    @vyukusengenelly7668 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eti mkwe wa nyoko najikuta nacheka kama fala😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AdamSimon-d2k
    @AdamSimon-d2k 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri but tujitahida kuendana na maisha halisia sidhani kama shee anaweza kuombea mtu au pastor akavaa barakashia

  • @valinemkanamkuverammbone-ci9ou
    @valinemkanamkuverammbone-ci9ou 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri na mafunzo mazuri

  • @marangotv7748
    @marangotv7748 7 หลายเดือนก่อน

    Imeanza vizuri lakini imeisha vibaya but ongera sana nawapenda sana 🇬🇦

  • @ShafqShafq-pq4zi
    @ShafqShafq-pq4zi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi uyo shehe au mchungaji

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shetani😮😮

  • @ShijaJagady
    @ShijaJagady 4 หลายเดือนก่อน

    👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @Allystudio-d6j
    @Allystudio-d6j 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤🎉

  • @saummwakumbo.4926
    @saummwakumbo.4926 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂mchawi

  • @MwanapiliAthumani-zp1bs
    @MwanapiliAthumani-zp1bs 5 หลายเดือนก่อน

    Hii movie akk inafumdisha sana

  • @IrenewillyMwenda
    @IrenewillyMwenda 7 หลายเดือนก่อน

    Bailamu 😘😘😘😘😀

  • @dedemishi3848
    @dedemishi3848 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna funzo zuri hapa

  • @Naomi-ec1fq
    @Naomi-ec1fq 6 หลายเดือนก่อน

    Me sjamwelewa mchungaji jmn amevaaa kibalakachee au macho yang yananidanganya

  • @NicelindaMwita
    @NicelindaMwita 4 หลายเดือนก่อน

    Hadi majini wanamshauli mtu kwenda kanisani duuh

  • @Douglasmbaabu-g4c
    @Douglasmbaabu-g4c 7 หลายเดือนก่อน +1

    ndio usurii

  • @aminaally2134
    @aminaally2134 6 หลายเดือนก่อน

    huyu mchungaj ndio anaenchangnya

  • @KamandaJohn-qv6kd
    @KamandaJohn-qv6kd 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @athumanindyema2302
    @athumanindyema2302 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa mait inadinda ?

  • @davidCubaka-cg3gg
    @davidCubaka-cg3gg 6 หลายเดือนก่อน

    Nukupendanga sana Naomi kiukweli

  • @ArsenSilayo-r4o
    @ArsenSilayo-r4o 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee Simba aliekuwa mnyama kwenye My love Leo anahubiri injili? hatareeeee

    • @ZulphaCollin
      @ZulphaCollin 6 หลายเดือนก่อน

      Mwambie atowe hiyo barakhashee

  • @habibalukinga1575
    @habibalukinga1575 7 หลายเดือนก่อน

    Me sio mtu mzuri ndo uzuri🤣🤣

    • @mouh844
      @mouh844 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo uzuri nikuchane😂😂😂😂

    • @habibalukinga1575
      @habibalukinga1575 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@mouh844 🤣🤣🤣

  • @jaitheloveBFM
    @jaitheloveBFM 6 หลายเดือนก่อน

    From 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 7 หลายเดือนก่อน

    Move shikamooo

  • @nicholasmuendo1264
    @nicholasmuendo1264 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanza leo

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 7 หลายเดือนก่อน +1

    Epsode ya sita lini lakin kaka mnaachia

  • @rithainocent5057
    @rithainocent5057 6 หลายเดือนก่อน

    Mchunguji na barakashee

  • @yassinismail-li8zy
    @yassinismail-li8zy 4 หลายเดือนก่อน

    kwanini huyo mchugaji kapeleka bibiliya huku kavaa na kofia ?? katuchanganya kunako imani yake

  • @nininahazwezabibu2595
    @nininahazwezabibu2595 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @Naomi-ec1fq
    @Naomi-ec1fq 6 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji kavaaa kibarashee jmn

  • @mrmajengotz.
    @mrmajengotz. 7 หลายเดือนก่อน +1

    💪

  • @AbelYawa-e6u
    @AbelYawa-e6u 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ReyKitwanga
    @ReyKitwanga 7 หลายเดือนก่อน

    🌷🌷

  • @JovithIRAKOZE
    @JovithIRAKOZE 7 หลายเดือนก่อน +2

    Watatu😂😂😂

  • @NashazaVanessa-dc2sg
    @NashazaVanessa-dc2sg 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @SALUSAGUDA
    @SALUSAGUDA 6 วันที่ผ่านมา

    Mnataka kuniaminisha nn an kwamba Kuna majin wazuri na wabaya?, na hao majin wazuri wanatoa wap nguvu kama wako kinyume na shetan?

  • @sabinaraphael5692
    @sabinaraphael5692 7 หลายเดือนก่อน

    Mwisho

  • @MwasitHassan-zo5pq
    @MwasitHassan-zo5pq 7 หลายเดือนก่อน

    Fatma mwamage mmempeleka wap tumemic uwepo wake

  • @sophiamwailonda
    @sophiamwailonda 7 หลายเดือนก่อน

    Yan hii ndo imeisha au🙄

  • @nurukilelo
    @nurukilelo 7 หลายเดือนก่อน +1

    🙄🙄🙄leteni 6 sasa mwataka tuview mara kumi kumi huh

  • @DavidNthiwa
    @DavidNthiwa 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nipeeni like

  • @Naomi-ec1fq
    @Naomi-ec1fq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji kavaaa kibarashee jmn