@MohammedKirro kwan kuna undani zaid ya huu Mkusanyiko ambao Mtume Hakuufanya wala Maswahaba hawaujui mkusanyiko kama huu kisha ndani yake watu wakaimba na kukohoa Ambayo ni mapyaa ktk Uislam hayakujulikana huko Azali yameanzshwa na Watu wajinga walioshindwa kujua Mising ya Uislam kuwa ni Tawhidi na Kufuata Sunna.
Yaani kila niunapo uso wake sheikh,USO luliojaa nuru ya Allaah(sw) machozi yananitoka. Na ni macho gani yanayoona uso wa sheikh Muhammad Nassor kisha usitoke machozi kupitia macho yake?
Subhanallah uslam huu ni ule mliyourithi kutoka kwa mababu zenu Laakin si uislam waliokuwa nao mtume sala na salam ziwe juu yake na maswahaba Nalaiti jambo hili ingalikuwa ni dini basi wangelikuwanalo mtume na maswahaba zake Nyinyi tunawajuwa ni watu washirikina wenye kutufu na kuzunguka ktk majeneza na ktk makabuli Na uchafu wenu emeenda mbali mno mpaka mkawazika mashekhe zenu ktk miskiti na mkawa mnayatumia makaburi hayo kuomba sa,ada na majambo yenu maiti hizo badala ya kumuomba allah Na mkazunguka kwa kutufu ktk makaburi hayo NYIE NI WATU WACHAFU KTK DINI HII TUKUFU ni watu ambao mnatakiwa kupigwa vika kama tunavyo wapiga vita mashia qaatala humullah Nyie mskiti wa ngamiani mburahati mmemzika shekhe wenu na mnatufu ktk kabuli lake hii ni shirki acheni uchafu huu Njia yenu hii ni khabitha MUOGOPENI ALLAH KWAKE MTAREJEA
Nenda kasome adab na jinsi ya kujibu watu kwanza kisha njoo ujibu maswali haya chini: Kukaa pamoja na kumkumbuka Allah ni dhambi au ibada ambayo huzungurukwa na malaika? Sheikh wetu kazikwa nyuma ya msikiti tunakotawadha, wala siyo ndani ya msikitini na hatumuombi yeye haja zetu bali allah pekee Tatizo la mawahabi ni ukosefu wa tarbiya na adab. Mtu asiye na akhlaq huwa anawafukuza watu ktk dini
Yaani kila niunapo uso wake sheikh,USO luliojaa nuru ya Allaah(sw) machozi yananitoka. Na ni macho gani yanayoona uso wa sheikh Muhammad Nassor kisha usitoke machozi kupitia macho yake?
Yaa Allah mrehem sheikh wetu na waumini wote na uweke pamoja na mtume wetu mustwatah
Alihabibi sheikh wetu mhammad nassor (R A)
Maasha llaah mabrook alhalmdulillaah rabbil aalamiin
Allah awasamehe watu hawa wanaoKohoa wakidhan.wanafanya ibada na huku wakitajaraj malipo
Bidaa ni mbaya sana.Nimekumbuka nami nilikuepo enz izoo
Na pia Allah akuelimishe wewe mana ungejuwa kiundani yanayotendeka hapo basi ungelitamani nawewe ungekuwepo 😅😅😅😮😮😊😂😢
@MohammedKirro kwan kuna undani zaid ya huu Mkusanyiko ambao Mtume Hakuufanya wala Maswahaba hawaujui mkusanyiko kama huu kisha ndani yake watu wakaimba na kukohoa Ambayo ni mapyaa ktk Uislam hayakujulikana huko Azali yameanzshwa na Watu wajinga walioshindwa kujua Mising ya Uislam kuwa ni Tawhidi na Kufuata Sunna.
Waliyyullaah Sheikh Muhammad Nassor
Hii dua inaitwaje hii ambyo inamalizia hpa ahmada
Hii code hamuwezi kuijua mpaka cc watu wa twarika
masha allah ilahayow dambigoda iyo dambi walidkoda iyo dambi kuwi so waxbaraybo illah dhaaf anagane illah hanagadhigo kuwo ku daysada amiin amiin yarabi
Nitafute kwa jina muridun nyerere kwenye TH-cam
waliu shekh Muhammad nassoro. (r a)
Hakika ni clip yenye manufaa kwetu. Ni moja ya sauti inayompendeza yeyote kuanzia dk 2 na sekunde .
Hakika ni Shekh Hakika...Muhammad Nassor(RA)
Shekh Hakikatii
يارب صل على محمد نبينا اشرف الانام
Mashaallh. Naomba kushare
Allah amrehem sheikh wetu Mohammad nassoro
R.A
MASHAH ALLAH...MASHAH ALLAH...MASHAH ALLAH...
Yaa Allaah,yaa Rasuulallaah
سبحان الله سبحان الله سبحان الله
Yaan napend sana maashaallah
Yaani namkumbuka kaka yangu mwana muliidu Juma chande MUNGU amrehemu
Mashaallah Mashaallah
shamsu al atiqya R.A
allahu akbar
Mashaallah
Muhammad Nassor Habiiballah
Dhikri
Sauti nzuri yenye kuchochea kutochoka kusikiliza clip hii hasa kuanzia dk 2
Mashallah
masha allah beatiful gathering.
Maashaallah
Mansha ALLAH
Ma shaa Allah
Hivi ndio kina omar abu bakar na ali hivi maswahaba walikuwa wanicheza hivi? Niswali nauliza
Yaani kila niunapo uso wake sheikh,USO luliojaa nuru ya Allaah(sw) machozi yananitoka. Na ni macho gani yanayoona uso wa sheikh Muhammad Nassor kisha usitoke machozi kupitia macho yake?
Ni wa hache katika hao unaowaona ambao hadi sasa wapo hai.
aliyekaa pembeni kulia mwa sheikh Muhammad r.a anaitwa nani
walii wa Allah huyo sheikh mohammed nassor mashallah huyo mzee ukimshika tu baraka tupu unapata
Duh
Zikr ndio dawa.
Mustafa Abduli jibu lako lipo njiani na karibu utalipata tuu
Sheikh naomba kuuliza ni nani Swaahibul maqaam aliyechukua nafasi ya Waliyyullah Sheikh Muhammad Nassor (R.A)
Ni Sharif Sayyid Othman
masha allah .. where are they from ?
From Tanzania...
Masjid camel At mburahati Dar es salaam Tanzania.leader Al marhum Sheikh Muhammad bin Nassor Al qadiry
Subhanallah uslam huu ni ule mliyourithi kutoka kwa mababu zenu
Laakin si uislam waliokuwa nao mtume sala na salam ziwe juu yake na maswahaba
Nalaiti jambo hili ingalikuwa ni dini basi wangelikuwanalo mtume na maswahaba zake
Nyinyi tunawajuwa ni watu washirikina wenye kutufu na kuzunguka ktk majeneza na ktk makabuli
Na uchafu wenu emeenda mbali mno mpaka mkawazika mashekhe zenu ktk miskiti na mkawa mnayatumia makaburi hayo kuomba sa,ada na majambo yenu maiti hizo badala ya kumuomba allah
Na mkazunguka kwa kutufu ktk makaburi hayo NYIE NI WATU WACHAFU KTK DINI HII TUKUFU
ni watu ambao mnatakiwa kupigwa vika kama tunavyo wapiga vita mashia qaatala humullah
Nyie mskiti wa ngamiani mburahati mmemzika shekhe wenu na mnatufu ktk kabuli lake hii ni shirki acheni uchafu huu
Njia yenu hii ni khabitha
MUOGOPENI ALLAH KWAKE MTAREJEA
Hujaijua dini nenda kasome umjuwe MUNGU na mtume wake
Nenda kasome adab na jinsi ya kujibu watu kwanza kisha njoo ujibu maswali haya chini:
Kukaa pamoja na kumkumbuka Allah ni dhambi au ibada ambayo huzungurukwa na malaika?
Sheikh wetu kazikwa nyuma ya msikiti tunakotawadha, wala siyo ndani ya msikitini na hatumuombi yeye haja zetu bali allah pekee
Tatizo la mawahabi ni ukosefu wa tarbiya na adab. Mtu asiye na akhlaq huwa anawafukuza watu ktk dini
Allah akbar
Shehe Allah akuhifadhi, hawa majahili yapaswa kupigwa jihadi kwa ushirikina wao na kuwatukuza mashehe zao badala ya Allah
@@jebbywise akishasoma ndio ataoa sehemu watu wanakohoa?
Huko ndo kumtaealisha shetani.mtume alituachia dini safi sio mambo ya kipuuzi
Wewe kijana huna Dini...!
mpuuzi ni ww na babako
Usipende kuita watu wapuuz jambo kama huna ilmu nalo usiliingilie
shetan atawalishwi hivo mtume kaacha din saf ndio maana ana swaliwa hapo kama ujui maana yake yaarabbi swalli alaa muhammad
sikiliza mtume s.aw. alifundisha dhikr ya kujikohoza
kwa bidaa" Aah! mtihan
Kasome bado hujawa na ilmu juu ya mambo ya bidaa
bidaa umeanza wewe unae tuma SMS na kuponda mambo haya hali zama za rasuwli sim aikuwepo
Wewe unaesema ni bidaa unajuwa maana ya bidaa? Nenda kasomeshwe ndugu yangu usiwe mjinga.
Mtihani unao wewe usiyetambuwa jambo.
@@muhammadialliy1237 wewe nae ndio shehe wa kisufi
Maashallah
Yaani kila niunapo uso wake sheikh,USO luliojaa nuru ya Allaah(sw) machozi yananitoka. Na ni macho gani yanayoona uso wa sheikh Muhammad Nassor kisha usitoke machozi kupitia macho yake?
MaashaaAllah. Nuru kubwa.