Warda Abbas kama unadhani kuwa umeelimika basi ninachokufahamisha Bado hujaelimika na bahati mbaya huijui twariqa haya yote yanayofanyika yana ushahidi ulio wazi,nihatari Sana kulilaumu jambo ambalo hulifahamu nakuwaona wenzio kuwa wapo ktk hasara kumbe hasara ipo kwako,kabla ya kuwaponda kwanza unatakiwa uisome tasawwuf ndipo utagundua aina za dhikri na faida zake,vinginevyo utajikuta umeingia kwenye mdomo wa joka baya ambalo ni uwahabi,ambao kazi yao nikuyapinga kila ibada na kitabu Cha mwenyezimungu swt
Mashaallah Allah awabarik nawaona hapo babu mabruk, ba Sharif sele, somo yng MZEE MDUNGI, ba joji, ba MAKAME kombo, Dah kwa kweli NI wengi siwezi kuwesha pongezi kwenu nyote mliotoka M'balungini pita na zako na mkafika hapo nyumban TUMBATU nimemiss sana tena najifaharisha kua mm ni mtumbatu popote najitangaza bila kigugumizi chochote
Allah awasamehe na atusameh sie na wazazi wetu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo tunakwenda mkokotoni pia wanafanya. Yaani shida usiku mzima watu kazi kukwangua vifua tu ikifika asubuhi watu wote hoi. Nilikuwa sipendi kweli maana usiku hapalaliki. Kwa sasa nimeelimika Alhamdulilah. Kuna mambo tunafanya kwa vile wazee wetu walifanya .Tujiulize tunafanya ibada kwa vile wazee wetu walivyofanya au tunafanya kwa kufata amri za Allah na vigezo vya Mtume wetu Muhammad sallallahu alayhi wasalam. Tujiulize yeye na maswahaba zake walikuwa wakifanya vioja hivi? Maana kuna watu watasema kuna ubaya gani wa kumsifu mtume? Lakini sio kwa sampuli hii. Tunatakiwa kumswalia kila wakati na hasa hasa siku ya ijumaa. Na kumswalia kwenyewe ni kwa mfano kama huu. Allahuma swali alaa Muhammad waalaalihii muhammad kamaswalayta......... Jamani kutafuta elimu ni muhimu. Tatizo letu hatupendi kusoma waislam tunajiona kwa vile tumezaliwa waislam tunaswali swala tano na kufunga habari imekwisha. Allah atufanyie wepesi kwenye kuitafuta haki na kuachana na yaliyo batwil. Amiin
Wazee wako walikua sawa na hoja wanazo tatizo ulikua mdogo hukuwaomba wakutaftie shekhe wenye dalili. Lkn nakuomba rudi tafuta wanaoendeleza kisha kawaombe mjadala lakini wafate mashekhe wao NA sio kuwafata walikua hawajui. Huwenda tukafikiri wamekosea kumbe wazee wetu walikua karibu ya MTUME SAW kiuzazi kuliko sie vijukuu NA asili ya wazee wetu ni kufata kwa maswahaba ra. Lkn ile aya ilo shuka kuwa kufata mila za wazee wetu hawakukusudiwa waislamu ila ilikududiwa wale walioabudu masanamu sababu wazee wa waislamu ni maswahaba ra. Lkn watu wanapotosha kujifanya aya ilikusudia wazee wa waislamu NA hio wameanzisha makafiri kuwa wazee wetu waislamu ni wapotovu kwaio tuwafuate wao makafiri ndio wapo sahihi. Unaona wanavyoberuza. Lkn pia muislamu akifata mambo ya kikafiri muhimu aonywe
@@hilalalhabsi2047 Assalam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Dadili hazipo ndio maana nikasema akhii. Tumo tunafata mambo yasoeleweka. Hio aya mie nimeifahamu kwamba inaongelewa waliyokuwa wanaabudu masana kama wazee wao. Lakini tusiseme kwamba hizi aya zinawagusa wao tu zinatugusa na sie na ndio ikawa fundisho kwetu. Kwani hivi leo hamna wanaoabudu masanamu wanaomshirikisha Allah na kadhalika? Quran ni muongoza kwa waliopita, tuliopo sasa na wajao. Kufanya dhikr kupo lakini sio kwa njia hio na kumzushia Mtume wetu kwamba kayafanya au maswahaba zake wamefanya kwa njia hio. Ndio tukaambiwa elmu ni fardhi kwa kila muislam wakike na wakiume. Na elmu bora ni iya akhera. Elimu ya kushikamana na Quran na kushikamana na mafundisho ya Mtume wetu Muhammad salallahu alayhi wasalam. Mie naishiahapo. Kazi yangu ni kutuma ujumbe mwenye kuongoa ni Allah. Nakuombea wewe na najiombea mie Allah atujaalie tuache yalio batwil na tufuate yaliyo sahih. Assalam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh
@@wardaabasi6558 waalaikum salaam wa rahma tullah wabarakatu. NA mimi nilikua huko ulipo kwenda weye saivi. Nilikua nikifundishwa kuwaita makafiri watu wa dhikri za kukohoa NA na aina nyingi kwa mfano maulid kuzuri bakaburi NA mengine mengi. Nilipenda kumuomba Allah sw anibainishie ukweli. Nilikuja kuumwa nikapata Shekh mmoja nikamuomba anifunze dua. Wakati ananifunza namuambia shirki bidaa😂. Akaleta dalili zote nikatoka nazo kuwapelekea mashekhe wetu wanopinga nikiwapa wanaingia mitini hawanijibu wsnakimbia. Nikajua ukweli upo wapi. Sasa nipo ulipoondoka
@@hilalalhabsi2047 mie nilikuwa huko kwenye madhikiri hayo maulid , khiitma na kadhalika na sio nasema hivi kwa kujisifu na maovu niliyokuwa nikiyatenda. Baada kupewa nasaha na kwa rehma za Allah Alhamdulilah najitahidi kujiweka mbali na mambo yaliyokuwa hayana mashiko ya hadithi sahih. Kawaida ya Iblis ni kutupambia mambo maovu ili tuyaone mazuri. Nakupa mfano mdogo tu mtu utamwambia kufanya Birthday party haifai hivi walikuwa wakifanya wagiriki wanawasha mishumaa kwa ajili ya waungu wao na hio ni shirki na mwenye kumshirikisha Allah na mauti yakamfikia hajatubia basi anakwenda motoni. Kwa sababu atakuwa ni MushrikL . Allahumma ajirna mina nnar. Mtume wetu wala maswahaba hakutufundisha kulifanya hilo ila alikuwa akifunga siku yake aliyozaliwa. Kwa nini tusiige alivyofanya yeye. Tena mwambie mtu hivyo kwamba Birthay haifai mtafikia kugombana kwa vile lile jambo mtu analipenda na hajawa tayari kuliwacha. Mtu atakuuliza kuna ubaya gani kwani?. .. Na kuhusu makaburi hadithi ipo kuhusu kuzuru makaburi hilo sikupingi na nini cha kusema wakati upo makaburini unawatolea salam waislam waliozikwa hapo makaburi wote na kusema maneno hayo nyie mmetangulia nasie tupo nyuma yenu. Hayo mazushi mengine ya kwennda kusoma quran kwenye qabr nawaachia wenyewe. Na kwenye mambo ya khitma ndugu zetu huna la kuwaambia lolotee. Mtu wakati yuhai swala haitaki kusoma quran alikuwa hataki. Eti leo kafariki mumsomee quran ili iwej? Mambo yatakayomfaa ni Sadakatul jariya, elmu yenye na mtoto mwema ..Ama kwa dua hilo limethibiti na sio watu kukusanyana kila mwaka siku alokufa mtu watu wakajaza matumbo yao. Inatakiwa Kila baada ya swala kuwaombee dua au wakati itakapomaliza adhan wazee wetu.. Na jengine kuhusu kwimwita mtu kafir wakati huna ushahidi wowote haifai. Hebu tujitahidi kufata vigezo vya kipenzi wetu alikuwa anakaa na majirani zake kwa wema hata kama walikuwa ni makafir. Kuna hadithi moja Mtume Muhammad alichinja na alipochinja akagawa fungu akaamrisha akapelekewe kitoweo jiran yake wakati alikuwa sio muislam. Ule ukaribu wetu na kufahamishana kwa busara na amani basi ndio kunavutia watu kwenye Uislam na sio kibabe babee. Waislam tunatakiwa tuwe wenye akhlaq nzuri lakini leo la kuskitisha wabishi ndio sie wazinifu, wezi,.waongo, wenye kudhulumu watu, qashirikina , mashekhe waongo wenye kutafuta maslah ya kidunia ni sie waislam japo kuwa sio wote. Kweli tutapata nusra? Tumekuwa wenye kufuata mambo ya maajabu maajabu. Hivi karibuni Egypt baadhi ya waislam wanataka kuhalalisha kulala na mait kama si ushirikina ni kitu gani?i. Sababu yao kuu nini eti hadithi. Hi imefasiriwa na Anas bin Malik. Tulikuwa tupo kwenye mazishi ya mmoja ya watoto wa Mtume salallahu alayhi wassalam alikuwa amekaa kwenye kaburi, yaani ndani. Nimemuona Mtume Muhammad salallahu alayhi wassalam macho yake yakitokwa na machozi. Akasema, kuna yeyote kati yanu aliyekuwa hajafanya jimai na mkewe jana usiku? Talha akasema mie. Akaambiwa ashuke aingie ndani ya kaburi.Sasa hao wanaotaka kuhalalisha hilo tendo wamechukulia aliambiwa aikingie kwenda kujimai na maiti kwa vile yeye hakuwa miongoni mwa waliokuwa wamefanya jimai. Sasa hapo kwa watu wengine wasokuwa na ufahamu na kufata Mashekhe wanayoyafagilia mambo hayoya kuhalalisha upotovu . watafuata tu bila kuchanganua. Kwa leo yangu ni hayo tu. Allah anisamehe pale nilipokosea. Amiin
@@wardaabasi6558 naombo andika massage kwa ufupi kwasababu unamakosa yanakaribia mia katika maelezo yako kwa hio unanipa tabu nikufunze lipi. Sema moja kisha jengine. Mie nimekuekea maulid NA kuzuru makaburi kwasababu vihoja vyenu vyote navijua NA kimbilio lenu. Wala usiseme ulihusiwa bali sema ulipata bilisi akakupotoa. Njio uliokwenda mbaya omba tena NA sikiza u shauri. Kafiri hawezi kukufundisha uislamu u kabaki salama. Sasa nilikuambia kawatake hoja huko kwa wazee wako NA sio kutiwa jazba za kijinga.
Jaman hum kuna mtu anaitwa (binam mwana fa) eti anasema ni bidaa iliokithir mm nna maswali yng nahitaji anijibu 1)mtume aliwahi kupiga kura na alikua ana chama cha siasa?, 2)mtume alisegenya na kuzini? 3) mtume kasema uongo? Sasa muulizen yy je hayafanyi hayo tuache na raha zetu tulia ukoooo
Wazee wetu walikuwa na imani thabiti na ndio sababu mambo yao yalikwenda kama walivyokusudia,Leo anatokea mtu anawakejeri wazee wetu,inahizunisha Sana,ukilishwa sumu daima itakuua tu,warda Abbas ninakushauri watafute masheikh wa kitasawwuf ili uweze kuelimika badala ya kuyaponda mambo mema
Nzur zikiri sijaona ubaya wake maana hapana ngoma hapo ila mwenyezi mungu ndiye mjuzi zaidi ya zote
Allah amefundixha vipi axaliwe hivi mtume w Allah hajafundixha
Warda Abbas kama unadhani kuwa umeelimika basi ninachokufahamisha Bado hujaelimika na bahati mbaya huijui twariqa haya yote yanayofanyika yana ushahidi ulio wazi,nihatari Sana kulilaumu jambo ambalo hulifahamu nakuwaona wenzio kuwa wapo ktk hasara kumbe hasara ipo kwako,kabla ya kuwaponda kwanza unatakiwa uisome tasawwuf ndipo utagundua aina za dhikri na faida zake,vinginevyo utajikuta umeingia kwenye mdomo wa joka baya ambalo ni uwahabi,ambao kazi yao nikuyapinga kila ibada na kitabu Cha mwenyezimungu swt
Mashaallah Allah awabarik nawaona hapo babu mabruk, ba Sharif sele, somo yng MZEE MDUNGI, ba joji, ba MAKAME kombo, Dah kwa kweli NI wengi siwezi kuwesha pongezi kwenu nyote mliotoka M'balungini pita na zako na mkafika hapo nyumban TUMBATU nimemiss sana tena najifaharisha kua mm ni mtumbatu popote najitangaza bila kigugumizi chochote
Masha Allah. Hii ndio fahari yetu wazanzibar basi natuutunze utamaduni wetu. Raha sanaa
dahhh mimi kwa hapa huna la kunambia napenda sana hichi kitu
Cz hujui haq ip na batir ip
Mashaallah my twariqa alqadiriya brothers,this is good i like it.
My bro, where can i find similar videos? I love it..
@@Binyamin1444 no
Allah awasamehe na atusameh sie na wazazi wetu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo tunakwenda mkokotoni pia wanafanya. Yaani shida usiku mzima watu kazi kukwangua vifua tu ikifika asubuhi watu wote hoi. Nilikuwa sipendi kweli maana usiku hapalaliki. Kwa sasa nimeelimika Alhamdulilah. Kuna mambo tunafanya kwa vile wazee wetu walifanya .Tujiulize tunafanya ibada kwa vile wazee wetu walivyofanya au tunafanya kwa kufata amri za Allah na vigezo vya Mtume wetu Muhammad sallallahu alayhi wasalam. Tujiulize yeye na maswahaba zake walikuwa wakifanya vioja hivi? Maana kuna watu watasema kuna ubaya gani wa kumsifu mtume? Lakini sio kwa sampuli hii. Tunatakiwa kumswalia kila wakati na hasa hasa siku ya ijumaa. Na kumswalia kwenyewe ni kwa mfano kama huu. Allahuma swali alaa Muhammad waalaalihii muhammad kamaswalayta.........
Jamani kutafuta elimu ni muhimu.
Tatizo letu hatupendi kusoma waislam tunajiona kwa vile tumezaliwa waislam tunaswali swala tano na kufunga habari imekwisha. Allah atufanyie wepesi kwenye kuitafuta haki na kuachana na yaliyo batwil. Amiin
Wazee wako walikua sawa na hoja wanazo tatizo ulikua mdogo hukuwaomba wakutaftie shekhe wenye dalili. Lkn nakuomba rudi tafuta wanaoendeleza kisha kawaombe mjadala lakini wafate mashekhe wao NA sio kuwafata walikua hawajui. Huwenda tukafikiri wamekosea kumbe wazee wetu walikua karibu ya MTUME SAW kiuzazi kuliko sie vijukuu NA asili ya wazee wetu ni kufata kwa maswahaba ra. Lkn ile aya ilo shuka kuwa kufata mila za wazee wetu hawakukusudiwa waislamu ila ilikududiwa wale walioabudu masanamu sababu wazee wa waislamu ni maswahaba ra. Lkn watu wanapotosha kujifanya aya ilikusudia wazee wa waislamu NA hio wameanzisha makafiri kuwa wazee wetu waislamu ni wapotovu kwaio tuwafuate wao makafiri ndio wapo sahihi. Unaona wanavyoberuza. Lkn pia muislamu akifata mambo ya kikafiri muhimu aonywe
@@hilalalhabsi2047 Assalam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Dadili hazipo ndio maana nikasema akhii. Tumo tunafata mambo yasoeleweka. Hio aya mie nimeifahamu kwamba inaongelewa waliyokuwa wanaabudu masana kama wazee wao. Lakini tusiseme kwamba hizi aya zinawagusa wao tu zinatugusa na sie na ndio ikawa fundisho kwetu. Kwani hivi leo hamna wanaoabudu masanamu wanaomshirikisha Allah na kadhalika? Quran ni muongoza kwa waliopita, tuliopo sasa na wajao. Kufanya dhikr kupo lakini sio kwa njia hio na kumzushia Mtume wetu kwamba kayafanya au maswahaba zake wamefanya kwa njia hio. Ndio tukaambiwa elmu ni fardhi kwa kila muislam wakike na wakiume. Na elmu bora ni iya akhera. Elimu ya kushikamana na Quran na kushikamana na mafundisho ya Mtume wetu Muhammad salallahu alayhi wasalam. Mie naishiahapo. Kazi yangu ni kutuma ujumbe mwenye kuongoa ni Allah. Nakuombea wewe na najiombea mie Allah atujaalie tuache yalio batwil na tufuate yaliyo sahih. Assalam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh
@@wardaabasi6558 waalaikum salaam wa rahma tullah wabarakatu. NA mimi nilikua huko ulipo kwenda weye saivi. Nilikua nikifundishwa kuwaita makafiri watu wa dhikri za kukohoa NA na aina nyingi kwa mfano maulid kuzuri bakaburi NA mengine mengi. Nilipenda kumuomba Allah sw anibainishie ukweli. Nilikuja kuumwa nikapata Shekh mmoja nikamuomba anifunze dua. Wakati ananifunza namuambia shirki bidaa😂. Akaleta dalili zote nikatoka nazo kuwapelekea mashekhe wetu wanopinga nikiwapa wanaingia mitini hawanijibu wsnakimbia. Nikajua ukweli upo wapi. Sasa nipo ulipoondoka
@@hilalalhabsi2047 mie nilikuwa huko kwenye madhikiri hayo maulid , khiitma na kadhalika na sio nasema hivi kwa kujisifu na maovu niliyokuwa nikiyatenda. Baada kupewa nasaha na kwa rehma za Allah Alhamdulilah najitahidi kujiweka mbali na mambo yaliyokuwa hayana mashiko ya hadithi sahih. Kawaida ya Iblis ni kutupambia mambo maovu ili tuyaone mazuri. Nakupa mfano mdogo tu mtu utamwambia kufanya Birthday party haifai hivi walikuwa wakifanya wagiriki wanawasha mishumaa kwa ajili ya waungu wao na hio ni shirki na mwenye kumshirikisha Allah na mauti yakamfikia hajatubia basi anakwenda motoni. Kwa sababu atakuwa ni MushrikL . Allahumma ajirna mina nnar. Mtume wetu wala maswahaba hakutufundisha kulifanya hilo ila alikuwa akifunga siku yake aliyozaliwa. Kwa nini tusiige alivyofanya yeye. Tena mwambie mtu hivyo kwamba Birthay haifai mtafikia kugombana kwa vile lile jambo mtu analipenda na hajawa tayari kuliwacha. Mtu atakuuliza kuna ubaya gani kwani?. .. Na kuhusu makaburi hadithi ipo kuhusu kuzuru makaburi hilo sikupingi na nini cha kusema wakati upo makaburini unawatolea salam waislam waliozikwa hapo makaburi wote na kusema maneno hayo nyie mmetangulia nasie tupo nyuma yenu. Hayo mazushi mengine ya kwennda kusoma quran kwenye qabr nawaachia wenyewe. Na kwenye mambo ya khitma ndugu zetu huna la kuwaambia lolotee. Mtu wakati yuhai swala haitaki kusoma quran alikuwa hataki. Eti leo kafariki mumsomee quran ili iwej? Mambo yatakayomfaa ni Sadakatul jariya, elmu yenye na mtoto mwema ..Ama kwa dua hilo limethibiti na sio watu kukusanyana kila mwaka siku alokufa mtu watu wakajaza matumbo yao. Inatakiwa Kila baada ya swala kuwaombee dua au wakati itakapomaliza adhan wazee wetu.. Na jengine kuhusu kwimwita mtu kafir wakati huna ushahidi wowote haifai. Hebu tujitahidi kufata vigezo vya kipenzi wetu alikuwa anakaa na majirani zake kwa wema hata kama walikuwa ni makafir. Kuna hadithi moja Mtume Muhammad alichinja na alipochinja akagawa fungu akaamrisha akapelekewe kitoweo jiran yake wakati alikuwa sio muislam. Ule ukaribu wetu na kufahamishana kwa busara na amani basi ndio kunavutia watu kwenye Uislam na sio kibabe babee. Waislam tunatakiwa tuwe wenye akhlaq nzuri lakini leo la kuskitisha wabishi ndio sie wazinifu, wezi,.waongo, wenye kudhulumu watu, qashirikina , mashekhe waongo wenye kutafuta maslah ya kidunia ni sie waislam japo kuwa sio wote. Kweli tutapata nusra? Tumekuwa wenye kufuata mambo ya maajabu maajabu. Hivi karibuni Egypt baadhi ya waislam wanataka kuhalalisha kulala na mait kama si ushirikina ni kitu gani?i. Sababu yao kuu nini eti hadithi. Hi imefasiriwa na Anas bin Malik. Tulikuwa tupo kwenye mazishi ya mmoja ya watoto wa Mtume salallahu alayhi wassalam alikuwa amekaa kwenye kaburi, yaani ndani. Nimemuona Mtume Muhammad salallahu alayhi wassalam macho yake yakitokwa na machozi. Akasema, kuna yeyote kati yanu aliyekuwa hajafanya jimai na mkewe jana usiku? Talha akasema mie. Akaambiwa ashuke aingie ndani ya kaburi.Sasa hao wanaotaka kuhalalisha hilo tendo wamechukulia aliambiwa aikingie kwenda kujimai na maiti kwa vile yeye hakuwa miongoni mwa waliokuwa wamefanya jimai. Sasa hapo kwa watu wengine wasokuwa na ufahamu na kufata Mashekhe wanayoyafagilia mambo hayoya kuhalalisha upotovu . watafuata tu bila kuchanganua. Kwa leo yangu ni hayo tu. Allah anisamehe pale nilipokosea. Amiin
@@wardaabasi6558 naombo andika massage kwa ufupi kwasababu unamakosa yanakaribia mia katika maelezo yako kwa hio unanipa tabu nikufunze lipi. Sema moja kisha jengine. Mie nimekuekea maulid NA kuzuru makaburi kwasababu vihoja vyenu vyote navijua NA kimbilio lenu. Wala usiseme ulihusiwa bali sema ulipata bilisi akakupotoa. Njio uliokwenda mbaya omba tena NA sikiza u shauri. Kafiri hawezi kukufundisha uislamu u kabaki salama. Sasa nilikuambia kawatake hoja huko kwa wazee wako NA sio kutiwa jazba za kijinga.
😭😭😭 mashallah mungu atupe uchamungu nasie
Hamdu, Allah akuzidishie pa1 na wote waliohudhuria,
Safi sana ndugu zanguni mmmmmm hadi Rahaaa
Masha Allah.... napenda Sana
kutaja swifa za mtume wetu bila ngoma ni kosa jamani hya ni mashair tu
Fadhkuru llaha Akbar
Muhad muhamad allah nyie wakari watumbatu kiboko mungu awabariki
Muungu awasameh na atulinde na uzushi huu
Mimi nimejaribu kidogo lakini nimeanza kukohoa
Hahahaaa
Hahahaa!!
lala tu wewee maashallah nakumbuka sana
Mashaalah tumbatu jongowe hyooo
Bidaaa iliyo kithiri - Mtume hakufundisha hivi.
Binam mwana fa dhikr bidaa ilo jina cunampenda uyo msanii au?
Uko sahihi!!
Iko vizuri
Haya ndo mambo ya kusikiliza.chexea mdungi ww
Mungu hawabaliki sana
From tumbatu hiyo huyo mzee ameshatangulia mbele ya haki niyamuda hiyo duuh munatuza
Mzee yupi huyo
Jaman karibun nyumban TUMBATU ila mm niko mjini NYERERE Zanzibar
Tumtegemee Allah
Kwetu raha sanaaa
Jaman hum kuna mtu anaitwa (binam mwana fa) eti anasema ni bidaa iliokithir mm nna maswali yng nahitaji anijibu 1)mtume aliwahi kupiga kura na alikua ana chama cha siasa?, 2)mtume alisegenya na kuzini? 3) mtume kasema uongo? Sasa muulizen yy je hayafanyi hayo tuache na raha zetu tulia ukoooo
Mdungi sijaivyo ati yoti sio bidaa haifai na hayo yote pia hayafai
Allah awasamehe huenda hamjui mufanyalo
Nawe pia akusamehe huenda hujui usemalo
Kwanza usamehewe wewe maana wakurupukia kutoa hukumu bila ya elimu.
Maashaallah
napenda hiki kitu mimi wacheni tuuu 😋😋😋
kweli mungu atangulize kumsameh yeye kwanza huyo Iddi hamis hujuwi unatamka nin
Mmhh mm langu jicho tu
mashawah allah barik
Watu wa peponi hao
Wazee wetu walikuwa na imani thabiti na ndio sababu mambo yao yalikwenda kama walivyokusudia,Leo anatokea mtu anawakejeri wazee wetu,inahizunisha Sana,ukilishwa sumu daima itakuua tu,warda Abbas ninakushauri watafute masheikh wa kitasawwuf ili uweze kuelimika badala ya kuyaponda mambo mema
Hii hakuna kabisa katika dini ya uislam
Ww kwan mtume
Iddi Hamis hapana hii ipo hy akh akh maana yake ni Allah
Iddi Hamis we mshenzi ndio hupo ktk dini
Hakun ibada Kama hii ktk dini
Allh akbar😭😭😭
ishaallah tutaweka
sheikh mahammed ayubu
marhaban ya ikwan zanzibar
Maa shaa allaah
MaşAllah👍
I like it very interesting
Rahma Said Mohammed
Uko pande zipi
Bidaa!
Sawa
Mashallah:) natamani kupata cd nzima kama hv walakin sijajua ntapata Vp??
Masuallh
Sas hii ni ibada au hhhhhh
Abuu mujaheed ndio
Mambo ya bidaa tu!!
Mashallah
Usipinge uliza wenye kujua huenda ww ndio hujui hao si wajinga kukusanyika na wakafanya hivyo
Naomba ile cd ya dhikr alioswalisha nani ukiipata+255715849684
Nikisikia zikri natamani nikeshenayo
Hiyo sio dini ni Mila tu mmejiwekea
Mbwa ww
mbwa ww
Kasome dini ujuwe uislam usikurupuke tu mila mila
Waambie wazi kuwa ni bidaa, usifiche!
@@rashidiali417 wewe ndio unaonekana huijui dini, nenda kasome!!
Dhikri dhikri dhikri
Bidaa!!
Upo wap ubidaa wake
hayo sio mafundisho ya mtume bali ni kumtawalisha shetani
Kumsifu mtume hatia na kuniskia diamond ama harmonise sio makosa
mafundisho anayo babaako mbwa ww
Ndugu yangu kasome dini
mashaallah yani nafaika
mashaaa Allah
Fadhukurullah dhikiran kathiira hatta kullu majinuun
shirk kubwa
Nitakubaliana na wewe ikiwa utanambia ni bid'aa, samahani akhi lakini hii sio shirk
+Eddie Elijah sawa ni bid'aa na ni haraaam
Wewe pia ni bid3ah, ah ulikuwepo enzi za mtume
Bado upo gizani ndo maana huelewi kinachofanyika hapo hukmu ya hili muachie mungu ndo hakimu
We mwenyewe ni shirki
maashaalah