This is 2023 and this song is everything to me , will be sang forever it's east Africas best ever Gospel song praise God , and May The good Lord bless you kijito choir
Nimemshuhudia Mungu Hakuna kama Yeye niliumwa kama miezi miwili kasoro lakini Mungu akasema nami atniponya nilikuwa nasubiria uponyaji kama nasubiri chakula Kumbuka hapo nakula tuu tena kidogo na kulala siwezi ata kutembea Ase siku nimekuja kujulikan naumwa nini Ndio ikawa uponyaji wangu wa mojakwamoja Mungu ni wewe tuu hakuna kama yeye Daima nitakusifu
Zaman zaman tuu Mana nyimbo wasikiliza hadi wapata iman kuwa hakuna km yeye nyimbo nzur ujumbe mzur nyimbo toka miaka hyo had leo bado hazichuj na huchoki kuckilza wabarikiwe sana jmn nataman warud tena 2021 naangalia🙏
Mimi ni ISAAC OSAMA. Kwa hakika hakuna Mungu kama wewe Yahweh. Nimeuona mkono wako kwa maisha yangu huu mwaka. Ahsante sana Yahweh kwa baraka zako , naomba na kuamini kwa jina la Yesu , amen.
Just give your life to Jesus. He will save you from your sins and even give you eternal life after the life in this earth is over and he will bless you and guide you for he said, "come unto me all who are burdened and I'll give you rest." The rest you will find in him is so wonderful. Just give your life to him.
Who's here in 2023 after the #MwashumbeNaMwakideu serious deejay restart at radio 47 breakfast show... kwani iko niniiiiii..... hiii imeeenda🤣🤣🤣..........
Thank You God Almighty the God of Abraham , Isaac , and Israel for restoring alot that had been stolen from me by satan. Hakika hakuna Mungu kama wewe Yahweh. Kwa Jina la Yesu naamini , amen.
2024 Tupo tujuane hapa kama mungu kakupa nafasi like 😢
Nipo hapa 2024
And for sure hakuna Mungu kama Wewe Bwana
2025 hakuna mungu kama ww🎉🎉
2025🎉🎉❤ anyone?
2025 jamani nipeni ata like moja nisikie fiti
Nazipenda sana
Kama tuko pamoja tunabuludika kupitia nyimbo hizi mpaka Sasa 2024,tujuane kwa like 👎
Am here
😊
@@faithomaz8225 woo
Ameen
Nipo hahaa
Wale tuko hapa 2024. Nipe liked please
God is powerful
Kama tukopamoja kwa nyimbo za kijito nyama mwaka 2023,nipe comments.Nipo Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
Nsibi
2024 listening from Nairobi Kenya 😊
Tuko pamoja.. nko msa pia shanzu
bb😮😮@@dr.mathias1505
Hadi mwaka wa2024 tuko pamoja na nyimbo za kijito nyama hadi utepeni
Hii nyimbo inaishi ndani yangu🙏
Who’s here in 2024
Me ✋
Am here November 2024
❤
Nyimbo bora ya mda wote haichuji na kilichoimbwa ndani yake kinaleweka kabsa kale ni dhahabu YESU mbele
Tuko pamoja sana
Indeed . hakuna mugu kama wewe.
Hakika Cha kale ni dhahabu,siku hizi waimbaji wanambwembwe Sana mpaka wanaharibu
Nyimbo za zamani ndo zinaujumbe na hazichuji kamwe
2023 still is new 🇹🇿
I love those guitarists
❤❤❤hazichuji akiii
December to remember 2024 mungu kwanza
No God like Yahweh forever and ever
2024 anyone?
I'm here
I'm here November 2024
Nyimbo nzur kwer Mungu awabariki kijitonyama
😘😘 mpaka club inapigwa tuna enjoy sana
Sanaa😂😂😂😂
Waaa
2023 e estou aqui 🇲🇿
Tuko pamoja brother nyimbo za kijitonyama za bamba na zabari Sana
Watching from Lusaka Zambia im connected good work God bless you
Mungu azidi kuwa bariki watumishi wake
This is 2023 and this song is everything to me , will be sang forever it's east Africas best ever Gospel song praise God , and May The good Lord bless you kijito choir
HAKUNA MUNGU KAWA WEWE BWANA...WEWE UNAWEZA WEWE NI MKUU KULIKO VYOTE JINA LAKO TUKUFU UMETUKUKA...2024 SONG IT STILL NEW HII KWAYA IBARIKIWE SANA
Am watching it in 2019.!!!!
It's still the best
Hakika nyimbo za MUNGU hazipitwi na wakati
Me🙌✋
Ni ukumbusho wa milele🙏
Who else getting blessed today?
N 2023. I miss you @christopher george kimanga❤. #RIP🙏 from your daughter
Nyimbo Huwa inanifaliji sana mungu ni mwema
Still banging ,,,,big up to the composer
Tuko pamoja imekata pw sana
Hakuna kama wew Bwana hata hii 2024 ni fire🔥🔥🔥 tunaendelea kubarikiwa tuuu nabarikiwa nikiwa Zambia wenzangu mkiwa wapi,?
Dar es salam
1/1/2025/hakuna mungu kama wew nimeuona mwaka
Ukuna mungu kamawewe bwana.
Who is here with me in 2023? I see heaven when I listen to this song
Oh! Nashindwa kujizuia acha tumsifu Mungu pamoja, twende sasa sifa kwa Yesu amen,mwe kanunu fijo.
Nimemshuhudia Mungu Hakuna kama Yeye niliumwa kama miezi miwili kasoro lakini Mungu akasema nami atniponya nilikuwa nasubiria uponyaji kama nasubiri chakula
Kumbuka hapo nakula tuu tena kidogo na kulala siwezi ata kutembea Ase siku nimekuja kujulikan naumwa nini Ndio ikawa uponyaji wangu wa mojakwamoja
Mungu ni wewe tuu hakuna kama yeye Daima nitakusifu
Ameeeeeeen ametukuka kweli kweli
Hakuna Mungu kam wewe.......Wa baraka yeeeeh🎶🎶 2020 gonga like hapa
Nabapenda sana ndiliyishi kwenu muda murefu ,musukume nazingine ,leo niko kwetu Rwanda
Real this song and simba bayuda they can inspire so much
This song is for worshipping God. Kweli hakuna mwingine kama Yeye.
Inspiring songs
Kama unacheki nyimbo 2020 gonga like hapa twende sawa
Its so nyc
Saudi Arabia kila ninapochoka nikisikiza hizi nasikia napata Amani,nguzu mpya n barikiwa Sana .God bless this Group 😊
Ata mie naipenda sana hiii japo ni Muislam
Kama umeskikiza huu wimbo mwez February 2019 gonga like yako alafu twende sawa
Zaman zaman tuu Mana nyimbo wasikiliza hadi wapata iman kuwa hakuna km yeye nyimbo nzur ujumbe mzur nyimbo toka miaka hyo had leo bado hazichuj na huchoki kuckilza wabarikiwe sana jmn nataman warud tena 2021 naangalia🙏
Mimi ni ISAAC OSAMA.
Kwa hakika hakuna Mungu kama wewe Yahweh. Nimeuona mkono wako kwa maisha yangu huu mwaka.
Ahsante sana Yahweh kwa baraka zako , naomba na kuamini kwa jina la Yesu , amen.
Hakika mungu Ni muweza Kama na Wew unasikiliza 2019 tia like 2juane
Mimi ndiyo kwanza nauona kama umeachiwa Leo hii
daniel MANYANGA
Gud
We are to gather
2025 weka like
Who is listening to this song with me 2024
Me. On Xmas
December 2024....hakika hakuna MUNGU kama ww
Wale tuko hapa 2024 wapi like
Kama unaangalia 2025 gonga like
Am a muslim but much love in gospel songs
Just give your life to Jesus. He will save you from your sins and even give you eternal life after the life in this earth is over and he will bless you and guide you for he said, "come unto me all who are burdened and I'll give you rest." The rest you will find in him is so wonderful. Just give your life to him.
Mr Samwel Bwana akubariki sana
Mungu akubarik San
God bless you 🙏
Glory to GOD
Hakuna Mungu kama Yahweh..anaeza kwa hakika❤❤,🙏💃2023.finya io like tudance kwa yesu
HAKUNA MUNGU KAMA WEWE HAKIKA JINA LAKO LITUKUZWE NA KUHIMIDIWA MILELE NA MILELE AMINA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Who's here in 2023 after the #MwashumbeNaMwakideu serious deejay restart at radio 47 breakfast show... kwani iko niniiiiii..... hiii imeeenda🤣🤣🤣..........
My lovely song may God continue to rain his blessings on you 💗💗💗🙏
Kama unaangalia hi ngoma 2023 gonga like hapaaa
Still vibin to this ❤
Kama unaangalia wimbo huu huku unasubir mwaka 2020 gonga like .....love you all guys
Nalia jamani nyimbo hii nataman niludi mtoto
2023🔥
Classic song.. who is with me in 2024?
yeeha hakuna Mungu kama wewe ,,after going through hard times ,,his grace saved me .....I will worship my heavenly father by all means
Reminds of my long days 😢🥺🥺
Kweli ya kale ni dhahabu
bassist had no chills
❤❤Jesus to the world 2023🌎
Im here 2024 nov 09
The song is not getting old its new every day whuuu📢📢 tujuane kwa likes tuu
Asante sana mungu kwa kunivusha mwaka wa 2024 salama na kuuona mwaka mwingine mpya wa 2025
Bora kabisa...🔥
its 2023 Am here too. 15yrs down the road. this song is still amazing. God bless u all.
Yakale ni zahabu ambapo saiz wimbo Kama huu huwezi kuipata sehm yyte
Such a master peace❤ nachukia kuskia ikipigwa mbaka club 😕
No acha utukufu wa mungu upenye mpka huko
Kwan wao wapoteao huutaji neno kwa njia yeyte ile warudi 😊
2020 lakini bado nauona mpya. Hakika lwa Yesu hakuna kuzeeka
2023 Bado hot...uko huko likes ziko wapi.....
Kwakwery .nyimbo unaisikia moyon utajikuta unalia 2
This Track never gets old 2025 nani bado ako?
Who else is still listening to this song 🖐️🖐️🖐️🖐️. Well composed.
Nipo hapa 2024 najiandaa kuingia 2025 hla nyimbo Ni inanibarik Kama vile imetoka Jana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thank You God Almighty the God of Abraham , Isaac , and Israel for restoring alot that had been stolen from me by satan.
Hakika hakuna Mungu kama wewe Yahweh.
Kwa Jina la Yesu naamini , amen.
Kiukweli nyimbo zenu zina uvuvio wa Roho mtakatifu na kamwe hazichuji miaka nenda miaka rudi. Mungu aendelee kuilinda kwaya yenu!
Hii ngoma ilikuwa ikipigwa kila siku ya maafari chuo kila mtu alikuwa anatoa machozi ya furaha. Mimi ni nani nisiikumbuke.
Hakika hakuna Mungu kama wewe JEHOVA umeniokoa na Mengi.
It's 2025 am still enjoying this song God is great❤
😥😥😥😥😥nimetoa machozi nyimbo mzuri san zamani sana bado zimenigusa akika yesu ndo njia roho mtakatifu kanishukia asubuh hii na kutafuta izi nyimbo
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😚😚😚😚😊😊😚😚🤬😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚
When people used to walk with the Holy spirit
2024 we still here listening,watching and enjoying good music.indeed hakuna MUNGU KAMA WEWE
Hakuna mungu kama wewe❤❤ Deus abençoe todos que vão ler este comentário
God bless my family how we use to enjoy this song in some where in 2005 but I can still listen to it in 2023❤❤🙏🙏🙏
kama unahuakika kama kweli mungu Ni mungu tiya like
kweli ni mungu
Yes
2024, Mungu mwema 🙏🙏 yupo na anatenda❤
Hakika za kale zahabu