Utajiri wa Chino wazua maswali, Pesa, Mjengo wa Kifahari na Magari anayomiliki ni balaa, ni Muziki?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @NasirAidid
    @NasirAidid หลายเดือนก่อน +3

    Jacob wewe ni genius bro...me nakuelewa

  • @RuwaBoycomedy
    @RuwaBoycomedy 7 วันที่ผ่านมา

    Noma

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM หลายเดือนก่อน +4

    Brothers mafanikio yanasiri kubwa ,nawapenda SNS❤

  • @julietnyanzua
    @julietnyanzua 7 วันที่ผ่านมา

    Waja veri bro

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 หลายเดือนก่อน +15

    Mafanikio yanasiri nzito sanaaa nyuma yapazia mungu ndio anajuwa ukweli nayeye muusika zaidi

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa kaka
      ....tukubaliane na umaskin wetu tu ...ila

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa nashangaa Mimi nimepambana Hakuna inch ambao sijaenda kutafta lakini bado kiukweli tumuombe Mungu pekee mengine tuyaangalie tu

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 หลายเดือนก่อน

      na wengine ndo tunapambana​@@RobertsonNandime-eo9fp

    • @kassimabussa6583
      @kassimabussa6583 หลายเดือนก่อน

      @@RobertsonNandime-eo9fp kweli kufanikiwa Kwa haraka Kama chino inastuwa sana.mimi ni mtanzania nipoo south Africa mwaka wa kumi nasaba Sasa. lakini imekuwa nitabu sana kufanikiwa lakini ukifanya kazi za Haram unafanikiwa haraka nnaona ndugu zangu huku madawa ya kulevya bangi ndizo zinazo wafanya wanafanikiwa.sisi wengine tunamuhofia mwenyezimungu ndiomana tunasuasua mpaka Sasa lakini tusikate tamaa tuzidi kumuomba mungu. Mafanikio ukiyapata kwanjia ya khalali yanaraha sana. tuzidi kupambana ipo siku tutafanikiwa.

    • @Mina.15
      @Mina.15 หลายเดือนก่อน

      Akiili zenu ni ndogo

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q หลายเดือนก่อน +5

    Jacobo yupo mjengoni basi mimi nipo mwanzo mwisho Sabu SnS aipotoshi inagenga Daima 🇹🇿🇲🇿

  • @stefanomwayele6761
    @stefanomwayele6761 หลายเดือนก่อน +1

    Mpeni 6yrs from know mtajua kila kitu juu ako speed sana kuna kitu chini ya majì

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c หลายเดือนก่อน +5

    MASHABIKI WANAKUBADILIKIA SA YOYOTE,,PIGA HELA ZAKO HII NDO TIME YAKO,,,,,TULIKUWAGA NA ASLAY HAPA..

  • @Fks856
    @Fks856 หลายเดือนก่อน +7

    Sio kweli hata kama we ni figter kias gan

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia หลายเดือนก่อน +1

      Kwnn kaka

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n หลายเดือนก่อน +4

    Unakuta mtu unajisifu unapesa alafu pesa zenyew za masharti mludieni mungu w tz

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 หลายเดือนก่อน +5

    Alikuw dereva afu akaona kabisa gari imemshinda na alikuw anaweza kuipeleka upande wa abiria ila yeye akajipelekea mwenyew kwenye mti 😂😂😂 that was nonsense story hakuna mtu anaweza kuona nafasi ya kujiokoa alafu asifanye ivyo no one nakataa kata kata na kama uli notes haya mafanikio yalianzia pale maana siku 40 baadae tu aliweza kujenga nyumba mbili kubwa tu ya mama ake na ya mama wa marehem, baada ya hapo mara gari mara nyumba eeeh tuwe serious baac

  • @ismailahmed8728
    @ismailahmed8728 หลายเดือนก่อน +19

    Sns hamutaki kuonge ukweli mnahisi km mtaonekana mnakandia mafanikio ya mtu ila siyo rahisi kwa mafinikio hayo hata km unafanya show every day na kwa Tanzania siyo kila club itakulipa hizo pesa kwa siku atengeneze milion50 siyo powa izo vitu someone behind tusiongopeane

    • @kevo_da_clever
      @kevo_da_clever หลายเดือนก่อน +2

      You said it

    • @ismailahmed8728
      @ismailahmed8728 หลายเดือนก่อน +1

      You understand

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia หลายเดือนก่อน +3

      Hii ni fact kaka....😅😅😅 Ukweli anaujua ye mwenyewe chino.....

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc หลายเดือนก่อน +1

      True

    • @Zuu673
      @Zuu673 หลายเดือนก่อน

      Anavuna pesa za mwanamke wake kwao ni wenye pesa

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 หลายเดือนก่อน +2

    kwa cc tulioko nje ya tz hatushangai... chino anapata shows nyng sana nje ya tz so anaingiza kiac kikubwa cha pesa za kigen ambazo zna thaman zaid🥈🥈📌📌📌

    • @empaul3612
      @empaul3612 25 วันที่ผ่านมา

      Wapi

  • @silverman6930
    @silverman6930 หลายเดือนก่อน +3

    When someone makes it people question when someone struggles still question too ..may be the dude knows how to save … Jacob is and Escro not sure at all .. 😂😂😂

  • @MkhayaSogadari
    @MkhayaSogadari หลายเดือนก่อน +4

    Kwanini amfikiri mkopo bak jaman mimi nawafatiliya nikiwa southa Africa deben

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 หลายเดือนก่อน +1

      kweli aeza kua kakopa aregesha pole pole bank

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 หลายเดือนก่อน

    Ukweli anaujua yeye na Mungu wake!

  • @CashMoney-zf4qr
    @CashMoney-zf4qr หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndugu mafanikio yalianza ka koki imeng'olewa kutoka ktk bomba baada ya ile ajali ya dereva ake😢

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu หลายเดือนก่อน +3

    Duh atari sanaaa

  • @Zenny89
    @Zenny89 หลายเดือนก่อน +6

    Wabongo na kuhangaika na pesa za watu😂 Pesa za mtu ni siri yake

    • @Mina.15
      @Mina.15 หลายเดือนก่อน

      Yani wanazani kila mtu anaanda kwa mpalange 😂😂

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 21 วันที่ผ่านมา

    Hana pesa huyo hajamuona mzee lukumi

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 28 วันที่ผ่านมา

    Hela za kichawi zinapatikana KAZURA MIMBA KIGOMA

  • @frankdominic664
    @frankdominic664 หลายเดือนก่อน

    Sns kuna siri mnajua hapa wekeni mambo wazi

  • @ThabisoMbhele-oj7zd
    @ThabisoMbhele-oj7zd หลายเดือนก่อน +3

    Wa kwaza

  • @HarrisOthman-p7i
    @HarrisOthman-p7i หลายเดือนก่อน

    Kama unamuamin Mungu ,amini mafanikio sio km aliopata ni njia za giza mm naamin Mung akitak kukupa ni sekunde tu unapata

  • @GasparMpangaa
    @GasparMpangaa หลายเดือนก่อน

    Sema hata nyinyi mnawivu mlishindwa kumshauli hukomliko kwenda kwake halafu mnakuja kutuchanganya huku mnaacha Maada ogeeni huko chumbani mlienda kufanya Nini Hadi mna mponda ivi et hatumsemi vibaya

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf หลายเดือนก่อน +1

    Haiwezekani show zikawa kila siku kwa kila mwezi

  • @RamadhanWanga-t1q
    @RamadhanWanga-t1q หลายเดือนก่อน +1

    Huu mziki na mafanikio kuna Siri kubwa Sana nyuma Yake....ukifuatilia story za P Diddy na tangu huyu kijana wale rafiki zake wafariki kuna Siri nzito saana.....so usione mafanikio ya mtu ukalia ngoa

    • @dunstunnchimbi7994
      @dunstunnchimbi7994 28 วันที่ผ่านมา

      Haya mafanikio ya Chino yamekuja haraka sana mpaka yanashtua watanzania. Hatukatai mziki unalipa. Lakini yeye umemlipa kwa haraka sana. Mana ngoma chache mafanikio makubwa. Inaogopesha. Wale marafiki zake waliokufa kwa ajali wanatamani kusema neno lakini hawawezi tena.

  • @chukizoalphonse7115
    @chukizoalphonse7115 24 วันที่ผ่านมา

    Kubukeni AJALI ILIUWA

  • @MasterJay-vr6dc
    @MasterJay-vr6dc 29 วันที่ผ่านมา

    Mnaogopa kuongea ukweli tu....kuna siri kubwa ndani ya mafanikio,huo sio mziki tu kuna kitu nyuma ya pazia

  • @Zuu673
    @Zuu673 หลายเดือนก่อน +1

    Chino peke yake hakuwezo yote hayo ni juhudi zake na mwanamke wake katoka kwenye famiya pesa ivyo anazichuna tu.

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa หลายเดือนก่อน +1

    Watu wanapiga kazi

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna dili itakua kabitua kapata pesa ya pamoja

  • @candy9969
    @candy9969 หลายเดือนก่อน +1

    Yani Jacobo Una vyo hisi kam Ninavyo hisi

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf หลายเดือนก่อน +6

    Kwani yule ndugu yake alikufaje

  • @KassimallyKassim
    @KassimallyKassim 24 วันที่ผ่านมา

    Kisha pakwa mafuta hy

  • @bishangaclassic2419
    @bishangaclassic2419 หลายเดือนก่อน +2

    Mining Cryptocurrency Pi network

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k หลายเดือนก่อน

    Yani wanadamu niwenye kushangaza sana Mafanikio yawengine mnayaulizia sana ila inapofikia mtu kulalanjaa au kua maskini hua hanaga maswali kwnini ni maskini wala hata muezii mtafuta kumuuliza kama akala au la daah binadamu kazii😂

  • @stanleygeorge-lg8et
    @stanleygeorge-lg8et หลายเดือนก่อน

    Ameimba nyimbo gani

  • @ChireGriffin
    @ChireGriffin หลายเดือนก่อน +6

    Tatizo la watanzania ni shule....Yani mtu hana biashara inayoonekana zaidi ya mziki ...na mziki wenyewe Ina miaka miwili na pia hana umaarufu mkubwa vile .....kuna Siri kubwa nyuma ya mafanikio. ....don't joke with money

  • @EilaAssa
    @EilaAssa หลายเดือนก่อน

    Ibada zama sheteni zinawatajilisha

  • @Awezae-w8o
    @Awezae-w8o หลายเดือนก่อน +2

    Mungu amuongoze uyo dogo ila tu duuuhhh

  • @dennisandala3431
    @dennisandala3431 หลายเดือนก่อน

    Nimewaelewa wanangu😂😂

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 หลายเดือนก่อน +1

    ameend kw p did

  • @fifii1985
    @fifii1985 หลายเดือนก่อน

    Uyo jamaa Jakobo like like nyingi hazina mana yoyote. Your sentences can still make sense without the stupid likes😅

  • @WillsonMakorere
    @WillsonMakorere หลายเดือนก่อน +1

    Jamaaa kwenye stej yukopoa SANA ila swala la show kama za batafy tegeta mangi Dola amlipe miliyoo 7. Kwa bia za bukujelo na kiingilio bule 😂😂😂

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 หลายเดือนก่อน +1

      Nilimuonaga qx huyu hana maajabu kiingilio elf5 unapewa na bia 3 hizi pesa siyo poa

  • @petroalex8951
    @petroalex8951 หลายเดือนก่อน

    Baluza huyo😢😢

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi หลายเดือนก่อน +2

    Mavanikio ya gafra daaa😮

    • @Mina.15
      @Mina.15 หลายเดือนก่อน

      Rip Swahili 😂😂😂 MAVANIKIO GAFRA NDIO NINI

    • @Mina.15
      @Mina.15 หลายเดือนก่อน

      Rudi shule na wewe UPATE MAVANIKIO GAFRA 😂😂

  • @shanizuberi7984
    @shanizuberi7984 หลายเดือนก่อน

    Binadamu tunaishi kwa malengo ukitaka kufanya kitu ,inatakiwa ujitoe ku make money sisi tunafanya kazi tunalipwa kwama saa na unaweza kufanya kazi kwa siku maa 17 hapo unakua namalengo yako

  • @gfellasmusickenya4796
    @gfellasmusickenya4796 หลายเดือนก่อน

    Kafara

  • @AmmielNzala-fu4xu
    @AmmielNzala-fu4xu หลายเดือนก่อน +2

    Huyo chino hayo mafanikio yake, sio ya mziki wala nini

  • @DaudiSinani
    @DaudiSinani หลายเดือนก่อน +1

    Siku tukiwa na furaha ya kuona vijana wenzetu wanafanikiwa na sisi tutafanikiwa aisee hapa nasikiliza ila kitu kilichopo ndani ya wengi wenu ni chuki tu ya wazi ya mafanikio ya mwana ila sio mbaya, kama tunaamini kwenye kufanikiwa basi muda wenu utafika na nyie mtafanikiwa kwa kila hatua , mungu anatoa kwa wakati aiseee. fanyen kazi kwa bidiii mtapata na nyie hahahaha

  • @Softtlipss001
    @Softtlipss001 หลายเดือนก่อน +1

    🏡 CCTV 📺.📽

  • @saidmwakugomba3623
    @saidmwakugomba3623 หลายเดือนก่อน

    Matako yanawatajirisha wabongo vilivyo, wana shanga viunoni wote ao

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 27 วันที่ผ่านมา

    Kumbukeni hii ni baada ya miezi michache wa yule jamaa yao ku rest in peace 😂😊

  • @Thegame-607
    @Thegame-607 หลายเดือนก่อน

    Enjoy Enjoy😂😂😂

  • @HASSANKAMGUNDA
    @HASSANKAMGUNDA หลายเดือนก่อน +2

    Utajiri wa huyo chino unawausu nini?? Fatirieni akitoa kazi mumseme, siyo kujadiri vitu arivyo navyo mnaboa bhn😢

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 หลายเดือนก่อน

    Fake life 😅

  • @chany9950
    @chany9950 หลายเดือนก่อน

    👹👹