BABA LEVO AJITOKEZA KUJIBU MSAMAHA WA MKEWE “ANASTAHILI KUSAMEHEWA, NAMUOMBA MZUNGU MSAMAHA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 94

  • @matipashankanawaaooo1199
    @matipashankanawaaooo1199 ปีที่แล้ว +7

    Oh mungu wangu fanya miujiza juu ya hili ,,,simamia watt wapate haki ya malezi ya wazazi wote,,

  • @hassanabubakar8795
    @hassanabubakar8795 ปีที่แล้ว +7

    Rabbi atusamehe wote insha'Allah mwende mkalee watoto wenu Manisha ni mafupi bint yangu

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 ปีที่แล้ว +2

    Msamehe mkeo🙏🙏🙏Dunia imemfunza

  • @danielmsuya720
    @danielmsuya720 ปีที่แล้ว

    Nafikiri Baba Levo ni Muelewa amesikia na yeye binadamu anafahamu wanakoseana na kusemeheana. Alimradi umetambua kosa lako, na yeye anajua sio Saba ni saba mara sabini. Mungu akupe sawa na haja ya Moyo wako. Mal.2:10-16

  • @musaguga
    @musaguga ปีที่แล้ว +1

    Kama umeona sugu nyeusi kwnye vidole gonga like.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว

    Wewe mshenzi unasikia ya watu mbwa wewe unaona baba levo kakaa vizuri

  • @isihakaliyuma107
    @isihakaliyuma107 ปีที่แล้ว

    Usimsamehe wazungu wana love

  • @simaraphaellucas8469
    @simaraphaellucas8469 ปีที่แล้ว

    Ba revo ba fundi manyumba msamehe , uspomsamehe Mimi namhowa!

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 ปีที่แล้ว +1

    Baba Levo mdhaifu akirudi kwa huyu danga mkewe ni danga alienda south kudanga

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +1

    Mama Luby nimzuri kwakweli .mzungu mwenyewe hatii mguu kwa mamaluby

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 ปีที่แล้ว +2

    Mm shetani akikupitia ndio unaondoka nae moja kwa moja na unaenda kuishi naye wanawake shikamoo

  • @adamjosephkatigizu19
    @adamjosephkatigizu19 ปีที่แล้ว

    Msamehee Ila Usijisahau sasa kupiga uchawa pro

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว +2

    Atakusamehe dada hakuna mkamilifu kwenye hiyi dunia isipokuwa Allah

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 ปีที่แล้ว +1

    Shetani kapita na mbosso lejea saivi. Njooo KWA B LEVO fund majumba😂😂😂😂

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว +3

    Kwa uzoefu wangu huyu kamkimbia Baba levo sababu alimuona baba levo hana issue now anaona anapata vijipesa kaona bora arudi kuja kula maisha cha kisingizio cha watoto wanawake Allah anawaona ila mimi kama mimi Hata kumjibu nisingemjibu

  • @abelimembe6990
    @abelimembe6990 ปีที่แล้ว +1

    Safi💪💪💪💪

  • @ranman4910
    @ranman4910 ปีที่แล้ว +2

    Ingelikuwa vp Kama baba levo angelikuwa ana maisha mabovu Kama Yale ya zamani kapuku? Uyu dada angerudi kuomba msamaaa ?

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 ปีที่แล้ว

    Baba levo hatakama humpendi we msamehe tu kwa sababu ya watoto.

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 ปีที่แล้ว +3

    Dah! Fundi Manyumba Msamee Bibi yako sababu ya watoto mushazaa watateseka Alee watoto nimejikuta na Liaa kwa Huruma😢😢😢 wanawake mwasumbuliwa na nini lakinii?🤔

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 ปีที่แล้ว

    January ngumu.ila Mimi Kama mim huo msamaha ingekuwa ngumu Mana simuamin Tena na sijui lengo lake kwann karudi

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 ปีที่แล้ว +4

    Baba levo msamehe

  • @alexkomba3100
    @alexkomba3100 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 ปีที่แล้ว

    Baba levo umusame tu aje aleye watoto wake,ije hakuna furaha musame tena muzungu aĺeyi mutoto

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 ปีที่แล้ว +2

    Hii part 2 baada ya kuliwa huko mtaani na kuona hawamthamini ndo unaona ujirudi😄😄wanawake mnafeli Sana.asante umepata funzo huko mtaani

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 ปีที่แล้ว

      Wamemkopa sana nje kaona bora ajisalimishe

  • @kingstalents3769
    @kingstalents3769 ปีที่แล้ว +2

    OYA AO MUUWACHE KAMA WALIVYO MM NILISHA MWAMBIA BABA LEVO HIYO PUA NI KUBWA SANA YEYE HAKUNIELEWA

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 mungu akusame

  • @athumanmdimu
    @athumanmdimu ปีที่แล้ว +3

    Msamehe kasha jilewa huyo ndo mwana mkebor

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +20

    Yani huyu ndio angekua kaingia mziki wangu asingekanyaga Tena kwangu Hawa wajinga Sana wakisha tongozwa na watu huko nje na kudanganywa na vizawadi Basi huona waume zao sio kitu waanachana waume zao kule nako jamaa akishapata anachokitaka aliona halina samani analitimua linaanza kuhaha na kukumbuka lilipo toka

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +2

      Umeona broo ee kashatooooooombwa uko nje akatupwa akawa mpweke ndo akaukumbuka uwepo wa ba level,fucking woman like this

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +1

      @@amanimanase8798 😄😄😄😄😄

    • @marylukumai
      @marylukumai ปีที่แล้ว +1

      Won Robby samehe bure atakua amejifunza

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 ปีที่แล้ว

      @@marylukumai hakuna kujifunza huyo maisha yamempiga tu ndio maana kakumbuka kambi aliona haifai unaweza msamehe kesho akashikwa Tena masikio na akaondoka Tena

    • @marylukumai
      @marylukumai ปีที่แล้ว

      Daaaa ila mtu ukiwa na akili ya kubebewa na watu, ni tabu, ndo maana raisi jakaya aliwahi kusema maneno ya kuambiwa changanya na yakwako,usikurupike TU kutendea kazi maneno ya watu

  • @lodrickmwambene133
    @lodrickmwambene133 ปีที่แล้ว +6

    Kiki za kibongo mtu mzima ushawishiwe kama mtoto mdogo mimi siwezi msamehe mwanamke kama huyo

  • @kingfuture7147
    @kingfuture7147 ปีที่แล้ว

    Ulitombwa huko harafu urudi kwake tena acha ufala usimpelekee uchafu

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 ปีที่แล้ว +1

    Kaona leo umepata hela nyingi ndio anaomba msamaha iv babalevo usingepata pesa kama zamani uyo mwanamke angelud?

  • @mwanaidsalehe1109
    @mwanaidsalehe1109 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo msamehe mkeo.

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 ปีที่แล้ว

    Mmmmh dada wa kukurupuka

  • @abdulwaheedmzury351
    @abdulwaheedmzury351 ปีที่แล้ว +4

    Pesa itafanya uombwe msamaha hata dunia nzima ijue😂😂

    • @aminaam281
      @aminaam281 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣kama kweli yaan 😆😆😆

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Mmezidi umalaya ukipewa pesa flani zapamoja mnasahau ndogondogo mnazopewa kilasiku onaulivyokua mdogo kama printon unatia huruma ntamwambia akusamehe alafu urudiagetena mwambwamwe

  • @mehdyahmed8479
    @mehdyahmed8479 ปีที่แล้ว

    Wanawake mashetani asamehe kwanini kwanza alimdharau babalevo kwakuwa alikuwa hana hela kaona mwenzake kapata mapeni kidogo eti aomba msamaha...

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 ปีที่แล้ว

    Huyu msenge haki ya nani anatia hasira yani upo ndani ya ndoa kwa umalaya wako utoke kisha urudi kirahisi hivyo

  • @meshack3266
    @meshack3266 ปีที่แล้ว

    Focas ya njokooo

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 ปีที่แล้ว +4

    Huyu itakua Alisha muomba msamaha ,Ila labda kwakuwa alimchafua kwenye mtandao mume wake, inawezekana kamwambia aende akaombe msamaha kwenye mtandao huo huo aliotumia kumchafu, halafu Mambo mengine yatafuata.

  • @tolutolu2970
    @tolutolu2970 ปีที่แล้ว

    Chizi uyu

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 ปีที่แล้ว +1

    Umalaya tu daaah mimi nanavyo wachukia wanawake hi kwa upande wangu ndo ingekuwa imeisha yaaani ndo basi tena

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 ปีที่แล้ว +2

    Kiki zenu munaendeleza maana mulipofanya kiki ya kuachana ili mupate pesa mukaona watu hawakujali sasa mumerudi na gea nyingine ya kuombana msamaha hii yote ni hizi pesa za TH-cam munazopata muko radhi kujidhalilisha. Ama kweli fedha fedheha na wasiokuwa na haya wana mji wao.

    • @nanaritho6850
      @nanaritho6850 ปีที่แล้ว

      Toka umesikia neno kiki basi kila kitu ni kiki kwendraaaaaaa huko na wewe

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 ปีที่แล้ว

    Huyo anaonekana danga hakuna kitu kingine

  • @kobelotv
    @kobelotv ปีที่แล้ว

    Vipi ulio wapea??Sasa??

  • @twiser6029
    @twiser6029 ปีที่แล้ว

    Marioo...Lete mziki

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 ปีที่แล้ว +2

    BABALEVO ACHANA NAE HUYU MPIGE BENCHI

    • @suzanalondo503
      @suzanalondo503 ปีที่แล้ว

      Msamee ndugu yako saba mara sabuni ndiyo maandiko yasemanyo Nami namsaidia kuomba msamaha msamehe na Mungu atakusamehe wewe hakuna binadamu aliyekamilika chini ya jua hakuna.

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 ปีที่แล้ว

    Huyu kalazimishwa kufanya hivi! Na ni baba levo kamwambia aombe msamaha 💯

    • @nissamwapoladi7345
      @nissamwapoladi7345 ปีที่แล้ว

      Usimshuhudie mtu uongo

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 ปีที่แล้ว

      @@nissamwapoladi7345 unajifanya humjui Baba levo? Na tz?

    • @shadrackkamugisha4481
      @shadrackkamugisha4481 ปีที่แล้ว

      @@ummySheikh72 sio anajifanya wewe unauthibitisho na unachoongea

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 ปีที่แล้ว

      @@shadrackkamugisha4481 hebu niondolee makasiriko utube pls

  • @danielmwamahonje9852
    @danielmwamahonje9852 ปีที่แล้ว

    WANAWAKE NI WAJINGA SANA YANI SANA.

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 ปีที่แล้ว

      Wajinga kama babalevo aliyetangaza hadharani kuwa angekuwa mwanamke angemzalia Diamond sasa hapo mwenye tamaa ni yupi? Acheni kujiyoa uhayawani huyo baba levo hsna muda na huyo nibi saa xote yuko nya ya mwanaume mwrnzie kumsifia tu na kama ni kuvumilia bibiye kavumilia tangu hajiwezi hadi sasa vipi amkimbie wakati wa neema? Kuna yaliyoko nyuma ya pazia hivyo kaeni kimya watayamaliza wenyewe hamuna munalolijuwa hapa.

  • @cottamanywele1396
    @cottamanywele1396 ปีที่แล้ว

    Uache ujinga na usirudie tena mpambavu wewe, ndoa zinapotea acheni ujinga ujinga next. Itakula kwako hutosemehewa,

  • @joyfrck3469
    @joyfrck3469 ปีที่แล้ว

    Acha zako ulijua jamaa ataangaika umeona jamaa kakaza unatak kujiludi kafie mbele mshamb ww

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว

    Msamehe ila endelea na harakati zako Chawa Pro.maana unaweza kurudi nyuma badae ukajuta

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 ปีที่แล้ว +1

    Jaman ndio mjuage wanawake walivyo wachawi anakuchafua mwenyew alaf anaawamisha watu uongo alafu akipata shida analud kwako

    • @yasiniselemani8672
      @yasiniselemani8672 ปีที่แล้ว

      upo sawa mwamba wanawake wachawi xn 😅😅😅😅

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 ปีที่แล้ว

      @@yasiniselemani8672 umeona eeeh! Na wakiongea serikali inawabeba xana

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว

    Yani dunia inaenda kasi mno yani huyu huyu aliesema yuko tayari amzalie tajiri mtoto lichawa promax leo linaombwa msamaha

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 ปีที่แล้ว

    Huyu shetan kaz anayo misara yote had atakubar kaz ipo

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว

    Mzungu?? Mualabu

  • @Mzalendo14
    @Mzalendo14 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mwanamke atakua kafanywa sana. Mmmh vina muda basi!!?? Hawataweza kuishi kwa kuwa mwili mmoja....hayo ma spirit aliyoenda kuyaokota huko nje..yatawatenganisha tena. SEX is deeper!! Note: Mwanamke ataachwa isipokua kwa uzinzi tu. #Baba levo jichanganye...TUKO HAPA!!!

  • @abdulwaheedmzury351
    @abdulwaheedmzury351 ปีที่แล้ว +2

    Dada kaona baba levo anapata mapesa na madili zaid sasa anataka kurudy wanawake nyieee mmmh 😷 nizibe mdomo mm nisije pata corona ila hamtendy sawa kwa wanaume wenu na Hamna mapenzy ya kweli badilikeni ili mdumu kweny ndoa zenu !! Nishajuuaaa huyo dada kaona levo babaa saivi anapata pesa ndoman anataka kurudy wanawake buana🤣🤣🤣🤣

  • @gasperkaaya5769
    @gasperkaaya5769 ปีที่แล้ว

    Mapembelo

  • @prosperpius9030
    @prosperpius9030 ปีที่แล้ว +1

    Fear women

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว

    🍹

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 ปีที่แล้ว

    Yani anavosisitiza kutajataja hilo neno la mume wangu yan hawa watu sijui huwa wapoje

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 ปีที่แล้ว

      Hakuna ndoa hapo ilikuwa ni come we stay tu ndoa mchezo.

  • @mkundukunuks
    @mkundukunuks ปีที่แล้ว

    Maisha huyo yashamshinda

  • @martinmnkeni3278
    @martinmnkeni3278 ปีที่แล้ว

    Baba levo mimi binaries namuombea msamaha anastahili msamaha kwani huyo mshazaa lakini uwe muwazi kwa mahusiano mapya umshirikishe update maoni yikes ndipo ujue utaishi naye au hapana nwewe usije ukawa sehehem yakumuumiza mpenzi wako mzungu

  • @iddiadam857
    @iddiadam857 ปีที่แล้ว

    Hypergamy ✔️✔️✔️😃😃

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 ปีที่แล้ว

    Tafuta Wazee Waende kuomba Msamaha....sio Misamaha yakwenye Mitandao.

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 ปีที่แล้ว +1

    Mke alikuoa? au mnaitanaitana tuu nyie wazinzi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Baba Levo hakuna mtu mkamilivu ni mungu peke yake,msemehe mkeo aludi nyumbani,pia wewe dada ludi kwa mumewe aacha kusikiliza wajinga ndoa ni ya watu wawili tu.

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว

    Fala wewe jitu zima unaongozwa na marafiki mpumbavu wewe Tena fala Sana wewe aliekudanganya uachane na mumeo nayo kakuacha nini pumba wewe kwenda huko

  • @amaniharub1569
    @amaniharub1569 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂 wanawake nyie ooooi ooooi itifaki izingatiwe Mimi nani nsietaka hela za chawa na madili yote anayopata

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁

  • @chishakosaidi1541
    @chishakosaidi1541 ปีที่แล้ว +1

    wewe nimke wa baba levo au ni hawara wababa levo.ulifunga ndoa mwaka gani,mnahalalisha zinaa kwa kusema maneno yatakawagharim siku ya qiyaama.kama mnazini sema hawala yako siyo mume.ili awe mume mngekuwa mmefunga ndoa.miaka saba mnazini halafu unasema nimumeo.tuangalie dunia inapita.tusiwafurahishe wanadam bali tuyende mambo yatakayozifurahisha nafsi zetu pindi tunapoondoka katika dunia hii.

  • @sonyboyofficial
    @sonyboyofficial ปีที่แล้ว

    Kipindi anasepa 🥺🥺th-cam.com/video/Vmf_5gvtPK4/w-d-xo.html👈