CHID BENZ aukosoa WIMBO wa HARMONIZE wa Yanga Bingwa, afunguka makosa makubwa yaliyofanyika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 45

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 7 วันที่ผ่านมา +4

    Pamoja na mapungufu yako chid benz mungu akulipe memayako ya kuhehimu dini ya mungu wetu ubarikiwe sana wabilahi taufiq assalamualaikum 🙏🙏🙏🇹🇿🙏

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 6 วันที่ผ่านมา +2

    CHID BENZi AKILi Mingi saaana 🧡🖤💚💛💥🔥💯

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 7 วันที่ผ่านมา +8

    Chid Benz ana akili Sana💪💪💚

  • @AbuMadi-u6f
    @AbuMadi-u6f 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi nimempa shukran kwa sababu amehishimu adhana baraka lAllahu laka

  • @ireneferge9142
    @ireneferge9142 7 วันที่ผ่านมา +4

    Chid safi sana

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 7 วันที่ผ่านมา +4

    Chidi yupo sahihi bora Harmonize angetumia sanaa ya kutaja namba badala ya jina la mchezaji

    • @MansaMusa255
      @MansaMusa255 6 วันที่ผ่านมา +1

      Sio kila kitu kinafanywa ili kidumu milele,, project zingne ni temporary kwa ajili ya muda husika., mfano ni nyimbo za kampeni zinaimbwa kwaajli ya muda husika huwezi kuiimba kwenye kampeni ijayo.

  • @AhmmedyJ.m
    @AhmmedyJ.m 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah

  • @NkenguburundiKenny-xn8of
    @NkenguburundiKenny-xn8of 4 วันที่ผ่านมา

    Next time make sure you moved your hands on the camera screen

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 7 วันที่ผ่านมา +1

    Chidi benzi bhnaaa😂😂😂 Nan kajambaa

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 4 วันที่ผ่านมา

    Chidi huwa ananiacha hoi😂😂😂😂😂😂

  • @amisindondi4549
    @amisindondi4549 7 วันที่ผ่านมา +1

    ni nyimbo ya msimu na ni kumbukumbu pia kwa wachezaji

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 7 วันที่ผ่านมา +1

    Pungu zeni ukali wa maneno hilo ndio kosa

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa anakanushaje wakati ni kweli alimkosoa??

  • @riosingingandmore8224
    @riosingingandmore8224 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂chidi bhana 😂😂😂 huko ndani mmmh mmmmmh 😂😂😂😂

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 7 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂EBUTUCHEKE KAMA YEYE😁😁😁😁😁😁

  • @mahmoudmihanjamu669
    @mahmoudmihanjamu669 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa sometime 😂😂😂

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nani kajamba 😂😂😂😂😂😂

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 6 วันที่ผ่านมา

    Kumbe alimsema harmonize

  • @thomasnachenga795
    @thomasnachenga795 7 วันที่ผ่านมา

    Sijui kiu😂

  • @sanjafarmmachinerystractor4205
    @sanjafarmmachinerystractor4205 7 วันที่ผ่านมา

    Chid chid bez

  • @HakizimanaFiston
    @HakizimanaFiston 7 วันที่ผ่านมา

    Chid bwana mmmmhh

  • @user-ns2bj3bd5u
    @user-ns2bj3bd5u 7 วันที่ผ่านมา

    Ila mwaka itatolewa remix mbona munajaji unafikili hawakuka na kutasmini ila nyiie pore sana

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 7 วันที่ผ่านมา

    Hata nyimbo za world hubadirika Kila kombelikianza kuchezwa,,,msimu mwingine itatungwa ingine,,,kawaida ,,,hata Ile ya pepe kale outdated,ABAS boss w yanga enzi hiyo absent now.

  • @marcemarco3747
    @marcemarco3747 7 วันที่ผ่านมา

    Baaday ya kuongelea swala la show ya tembo na kupromote huko KONDE alipo.. mnasemea ujinga tuu

  • @CheloDangote
    @CheloDangote 7 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂

  • @washinymhone
    @washinymhone 7 วันที่ผ่านมา

    Mmmm😅

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 7 วันที่ผ่านมา

    Watunzi wa nyimbo za Yanga sijui kwanini wanapendaga kutaja wachezaji ndio maana nyimbo zinakuwa nzuri lakini haiimbwi tena msimu mwingine kama akina Mayele

  • @BELYSAM_NEWS
    @BELYSAM_NEWS 7 วันที่ผ่านมา

    Chid benz Et Mmm😂

  • @BELYSAM_NEWS
    @BELYSAM_NEWS 7 วันที่ผ่านมา

    Mwingine😂😂

  • @SifaEmma
    @SifaEmma 7 วันที่ผ่านมา +1

    Harmonize Mzee Popo anategemea uchawi kwenye kazi zake...Hajiamini tena😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 7 วันที่ผ่านมา

    mwingine 😂😂😂

  • @martinoiddi-mc6yh
    @martinoiddi-mc6yh 7 วันที่ผ่านมา

    Chidi kahimba matusi

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 7 วันที่ผ่านมา +1

    Katunga nyimbo ya msimu ofcause, unataka ya milele ili asipate tena deal 😂😂

  • @khamispondeza
    @khamispondeza 7 วันที่ผ่านมา

    Hii nanii yako km FANTA 😂😂😂

    • @AsiaNassor-u7s
      @AsiaNassor-u7s 7 วันที่ผ่านมา

      Alaf anaskia kuu😂

  • @ConsciousBNB
    @ConsciousBNB 7 วันที่ผ่านมา +1

    Chid 😂😂😂😂😂

  • @ShabaniSuleimani-g5m
    @ShabaniSuleimani-g5m 7 วันที่ผ่านมา +1

    Meja kapoa kwl anamchora mlaunga alopagawa😂

  • @Zumitv-c1g
    @Zumitv-c1g 7 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa kama sio hayo madawa...angegombania ubunge tungempa...Ofcourse lina akili sana

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 7 วันที่ผ่านมา

    Chid ,,bhana mbona muda wote anakuwa kama anapoteza kujiamin,,,madawa jaman😔😔😔😔

    • @SabanaSipemba
      @SabanaSipemba 6 วันที่ผ่านมา

      Madawa ulimpa ww

    • @EdwinKihumbe
      @EdwinKihumbe 6 วันที่ผ่านมา

      Mbona anajiamini sana

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 6 วันที่ผ่านมา

      @@EdwinKihumbe kujiamn sio kulopokwa ,,