Recho Kizunguzungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @ShebySaid
    @ShebySaid หลายเดือนก่อน +3

    tupo 2024 dad anajua sana jaman

  • @224darq6
    @224darq6 ปีที่แล้ว +10

    This was my childhood jam....much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bayishimemathieu2693
    @bayishimemathieu2693 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ambao tunaenjoy pamoja 2024 tujuane

    • @nuratally9986
      @nuratally9986 2 หลายเดือนก่อน

      kwan rech ndo ray c?

  • @abdallahmussa6111
    @abdallahmussa6111 หลายเดือนก่อน

    ivi ukuwapi recho mbona kimya au mziki umeacha du.nimekkmbka asa sautiyako pia mashailiyako du.we.mdada rudi tunaupenda mzikiwako yan sana

  • @osca_kitomari_journalist
    @osca_kitomari_journalist 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu binti nilikuwa namkubali Sana🔥
    Huu wimbo niliukariri Sana enzi nikiwa primary school around 2011/2012
    Mara ya mwisho nimemwona mwanza nikiwa mwaka wa pili SAUT University mwanza ila sikubahatika kukutana nae ila siku nikikutana nae nitampatia bonge la Zawadi

  • @user-ye8tv3vd6i
    @user-ye8tv3vd6i 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi Akuna msani ninaye taka kumzidi recho aliendaga wapi ? 2024

  • @AminiMitomingi
    @AminiMitomingi 4 หลายเดือนก่อน +1

    respect my sister Recho❤❤❤

  • @emillymgallah5982
    @emillymgallah5982 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika recho wajua kuimba sauti yenyewe imekubaliiiiii

  • @twalbutwalbukisaka8161
    @twalbutwalbukisaka8161 3 ปีที่แล้ว +10

    Kama kuna msanii namkubali kwa sauti na mashairi ni huyu dada sijui kapotelea wap 21 tuko pamoja

    • @mohammedmamo6177
      @mohammedmamo6177 2 หลายเดือนก่อน

      Aliaga 2014 akiwa ywajifungua😢

  • @marycrispine5587
    @marycrispine5587 5 ปีที่แล้ว +9

    we Dada utaniua saut ya kumtia nyoka pangon rud kama zaman me na check mpaka xaxa 2019

  • @bashirukumala3001
    @bashirukumala3001 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupendaga xanaa Recho

  • @omarikilagu4101
    @omarikilagu4101 4 ปีที่แล้ว +5

    Me mpaka leo 2020 bado natizama ngoma tam hii jamani lud lecho bhn 😅

  • @gideonlungwa6555
    @gideonlungwa6555 5 ปีที่แล้ว +4

    Good song my dear

  • @vjfyamfyamcool1892
    @vjfyamfyamcool1892 5 ปีที่แล้ว +8

    Recho sauti yako kwa kweli dah!8/07/2019

  • @bwanka
    @bwanka 6 หลายเดือนก่อน

    2024 nimerudi kumtembeĺea uyu dada

    • @joycehabiba
      @joycehabiba 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni sister ya Ray C ama watanzania naombeni jibu please the love I have to this girl is on another level her voice is nice

    • @bwanka
      @bwanka 4 หลายเดือนก่อน

      rachel uyo

  • @gorgonusshayo920
    @gorgonusshayo920 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaa. Pendda sana recho mwenye nyayo kama ray c

  • @adrephinadavid1839
    @adrephinadavid1839 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤my love song 23year

  • @AlexDaudi-gx6hq
    @AlexDaudi-gx6hq ปีที่แล้ว

    Duh kwel noma sana 2023

  • @queenvee
    @queenvee 3 หลายเดือนก่อน +1

    2024 am here

  • @jackmwita4675
    @jackmwita4675 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera dada

  • @zuhurastephano9396
    @zuhurastephano9396 11 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana Recho2023

  • @mctallc-key2843
    @mctallc-key2843 ปีที่แล้ว +1

    I love the song

  • @abigail3414
    @abigail3414 2 ปีที่แล้ว +3

    Kali sana still listening 2022

  • @SaidAthumani-qt1wh
    @SaidAthumani-qt1wh 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani asante kwa kuupendo wenu bari kwa sasa ndo shemeji yenu na wifi yenu karibu nyumbani tupo kibaha

  • @user-pv6ey8sc4e
    @user-pv6ey8sc4e ปีที่แล้ว

    Duh ww dd umetisha mnoooo alaf mrembo than

  • @markkissela4527
    @markkissela4527 5 ปีที่แล้ว +2

    Recho uko vzr

  • @user-kx2pc9pe6p
    @user-kx2pc9pe6p 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda recho

  • @anointed7145
    @anointed7145 2 ปีที่แล้ว +1

    2022 nani???

  • @RehemaKisiwa
    @RehemaKisiwa 5 หลายเดือนก่อน

    Naopenda sana hii nyimbo

  • @user-eu3rj2xw7j
    @user-eu3rj2xw7j 2 หลายเดือนก่อน

    Childhood vibe❤

  • @JestinaJosefu
    @JestinaJosefu 4 หลายเดือนก่อน

    Bonge la nyimbo

  • @jackmwita4675
    @jackmwita4675 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo iko pow

  • @khadijahussein6654
    @khadijahussein6654 2 ปีที่แล้ว +2

    Love 21

  • @am_run3
    @am_run3 9 หลายเดือนก่อน

    2023 november 🔥🔥🔥

  • @fredmbossa
    @fredmbossa 3 ปีที่แล้ว

    Recho rudi kwenye gemu tumekumisi,,,,

  • @samirasaid1729
    @samirasaid1729 2 ปีที่แล้ว +2

    Love you rechooo

  • @AlexDaudi-gx6hq
    @AlexDaudi-gx6hq ปีที่แล้ว

    Kipindi hicho videvix wanavaa vitenge

  • @FimboCastory-nb9we
    @FimboCastory-nb9we ปีที่แล้ว

    Dada umeenda wapi mpaka Leo tunazisikiliza ni hatari

  • @fredmbossa
    @fredmbossa 3 ปีที่แล้ว

    Recho anaonekana ni madini tosha ila halikosa meneja,,, kwasababu video ya kawaida Sana alafu nyimbo full madini

  • @annelmbithe2906
    @annelmbithe2906 5 ปีที่แล้ว +3

    nice

    • @alexjoseph4582
      @alexjoseph4582 5 ปีที่แล้ว

      Annel Mbithe nyimbo iko poa sanaaaaaa

    • @devothababy1935
      @devothababy1935 ปีที่แล้ว +1

      Jamni mbn huonekanii skuhz nyimb nzr sana emb toa mwngn jmn ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @barakamwampashe2155
    @barakamwampashe2155 3 ปีที่แล้ว

    Pandezipi umepotea

  • @davidchalambo9746
    @davidchalambo9746 2 ปีที่แล้ว +1

    25_04_2022 P1

  • @abbasijunior3157
    @abbasijunior3157 2 ปีที่แล้ว

    download

  • @azadisalum4189
    @azadisalum4189 4 ปีที่แล้ว

    Kwani bd uhai

  • @dekapolionduru4181
    @dekapolionduru4181 10 หลายเดือนก่อน

    2023 october

  • @joashkick4178
    @joashkick4178 2 ปีที่แล้ว

    Do you know how much nimekutafta wewe..SIna clue ya anything