Baby J feat Pasha - Moyo Wangu Umechoka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 220

  • @bennyedson-rg6jd
    @bennyedson-rg6jd 10 หลายเดือนก่อน +56

    Wanao tazama ngoma hii 2024 tujuane kwa like

    • @AboudMohammed-qu6rg
      @AboudMohammed-qu6rg 6 หลายเดือนก่อน

      Hellow

    • @flova7022
      @flova7022 6 หลายเดือนก่อน +1

      Dahh kizazi cha 90 tunaelewana xna

    • @NadraBeyout
      @NadraBeyout 4 หลายเดือนก่อน

      Nipo kizaz cha 90

    • @jeremiahkijika1991
      @jeremiahkijika1991 4 หลายเดือนก่อน

      Naitazama Leo tarehe 17/08/2024

    • @JuniorSaidKombo
      @JuniorSaidKombo 26 วันที่ผ่านมา

      Hello bado unakubalika tena sana Bby J keep it up sister 💯🇰🇪

  • @IdrisBigDrix255
    @IdrisBigDrix255 11 หลายเดือนก่อน +28

    Old is gold! Mwaka 2024 ila bado ngoma ni fire 🔥

    • @mpandukagracempanduka3601
      @mpandukagracempanduka3601 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nasema ukweli kabisa nyimbo Hz nazielewa mno ila za wakati huu naona maluwe luwe tu

    • @yusuphstambuli4852
      @yusuphstambuli4852 6 หลายเดือนก่อน

      Tupo wote😂😂😂

  • @JamilaSaid-we7rk
    @JamilaSaid-we7rk 6 หลายเดือนก่อน +13

    Walah huu wimbo naupenda mm jmn uwiiii nani mwenzangu 2024 tunasikiza kitu hiki gonga hapaa

    • @abduljembe6608
      @abduljembe6608 3 หลายเดือนก่อน

      Afu aliyeimba wajina wako Jamila

    • @MunirryGululi
      @MunirryGululi 2 หลายเดือนก่อน

      mieeeee nafywaaaaaaaaaa mamaaaaaaa cyo Kwa utamu huuuuuuu

  • @DeoMuhando
    @DeoMuhando 9 หลายเดือนก่อน +4

    Wimbo bado mzuri

  • @yusuphstambuli4852
    @yusuphstambuli4852 6 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu pasha ni next level mpaka Leo mwamba anasauti Ile Ile ,sema ndo hivo tena

  • @mohamednzaro3510
    @mohamednzaro3510 11 หลายเดือนก่อน +13

    2024 im here.. from Mombasa. Good music never dies. Good memories

    • @JamilaSaid-we7rk
      @JamilaSaid-we7rk 6 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona yaan wimbo ukisikiliza hauchoki kabisaa

    • @mohamednzaro3510
      @mohamednzaro3510 6 หลายเดือนก่อน

      @@JamilaSaid-we7rk sure kabisaa

  • @mamyleilahog671
    @mamyleilahog671 6 ปีที่แล้ว +65

    yaani ii ngoma nliipenda sn na wala haijaniiisha ham ,tujuane WA 2019

  • @josephabel7654
    @josephabel7654 4 ปีที่แล้ว +27

    Kuna nyimbo zitaishi milele yote,nyimbo tamu sana nani yupo na mm 7 December 2020.🥂

  • @shakiraberry2456
    @shakiraberry2456 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah!nyimbo ya kitambo sana big up baby j & pasha 🤗

  • @manuu.el.ozo255
    @manuu.el.ozo255 9 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani likes zangu 2024

  • @christinajoseph4035
    @christinajoseph4035 4 ปีที่แล้ว +13

    Anayeisikiliza hii ngoma 2020 like tujuane

  • @ivyom7521
    @ivyom7521 6 ปีที่แล้ว +27

    Mbka 2019...nahic rah sana nkiskila.....pasha rudi kaka tumekumic😍😍

  • @ndilanhasjeremiah
    @ndilanhasjeremiah 6 ปีที่แล้ว +46

    2019 nani yupo?

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 4 ปีที่แล้ว +6

    2020 anyone?

  • @doctorjuniour9459
    @doctorjuniour9459 5 ปีที่แล้ว +17

    2019 KUNA DADA NAMPENDA ANAITWA SABINNAH ananizngua knoma.
    This is a nice song i can dedicate her.

  • @traceisaac3548
    @traceisaac3548 ปีที่แล้ว +6

    2023 daaa I don't know what to say ...good music alive❤️

  • @lucyjackson4905
    @lucyjackson4905 6 ปีที่แล้ว +26

    Who's still listening this song in 2018

  • @malundeautoservices5249
    @malundeautoservices5249 หลายเดือนก่อน

    ❤ hii nyimbo kali sana napenda kusikiliza siku zote

  • @pandabooming
    @pandabooming 2 ปีที่แล้ว +5

    Leo Nmeaka Huu Wimbo Umenikaa Kichwani Imenibidi Niutafute, Great Tune🔥🙌

  • @OmaryHassani-n4f
    @OmaryHassani-n4f 3 หลายเดือนก่อน +1

    2024 niko hapa🎉

  • @aslayjoshua8489
    @aslayjoshua8489 4 ปีที่แล้ว +5

    Wakwanza 2020💪💪💪💪💥
    Tujuane wangap bado2naburudika
    Nahii ngoma

  • @Hamisipeke
    @Hamisipeke 5 หลายเดือนก่อน

    Old is gold, trust me hizi nyimbo zita hit forever ❤❤

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 2 ปีที่แล้ว +3

    Leo 11 wa 7-2022 imebidi nitafute huu wimbo, talent kubwa sana hakuna matusi Wala udhalilishaji

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto wa Zanzibar ase nampenda sana uyu manzi sema bas sijawai kumuona live

  • @samsonmpangala1481
    @samsonmpangala1481 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pasha kaka nakukubali sana mpaka leo 1/2/2024 nimeikumbuka na kuangali

  • @shakiraberry2456
    @shakiraberry2456 3 ปีที่แล้ว +5

    Nice song baby j,this song it's remind me when I was student 2009....💋😘

  • @elizabethdaniel3071
    @elizabethdaniel3071 5 ปีที่แล้ว +11

    2019 kama bado unaenjoy gonga like

  • @paschalsamwel5921
    @paschalsamwel5921 5 ปีที่แล้ว +3

    pasha acha kuzingua bro rudi kwenye game, fans wako tumekumic bro!

  • @lebronz
    @lebronz  15 ปีที่แล้ว +5

    Yeah ni kali sana na Baby J yuko fresh sana !!

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 5 ปีที่แล้ว +2

    Mnajua ni kwa nn tupo hapa mwaka huu? 2019... Ni skendo inayoendelea ya baby j kuibiwa bwana na esma platnum. Muangalie na video ya offside trick inaitwa USINIPE. ameshirikishwa baby j... Lobe u baby j and miss u.

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 ปีที่แล้ว +1

    2023.yaani unasikiliza nyimbo unapata feeling flani hivi.daah.enzi hizo.

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeusikiliza tena huu wimbo leo 27, November, 2022 Hakika old is gold 🔥💪

  • @anoldmbarama985
    @anoldmbarama985 ปีที่แล้ว

    #Pasha huyu jamaa aliufanyia Kila kitu MUZIKI sweetie voice daaa nyakati tulienjoy sana japo tulikuwa wadgo

  • @kichezwoogy
    @kichezwoogy 3 ปีที่แล้ว +17

    Greatest hits 2021 we are still listening .

  • @MunirryGululi
    @MunirryGululi 2 หลายเดือนก่อน

    jamaniiiiii jaman najiisi nipo Dunia ingine wallah daaaaah mapenz haya mapenzi gani mapenzi faniii irudiweeeeeeeee

  • @shyfettymtunda1928
    @shyfettymtunda1928 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani nakumbuka mbali nikiangalia huu wimbo. Basi tu yani 😂😂
    Nani bado anaikubali hii ngoma mwaka huu 2021.
    👇

  • @WaziriKilo-y2z
    @WaziriKilo-y2z 9 หลายเดือนก่อน

    Bonge la ngoma siachi kuiskiliza 2024

  • @godfreywilliam8139
    @godfreywilliam8139 6 ปีที่แล้ว +7

    Wooooooooooow!!!! Bonge la collaboration thanks

    • @barakakayeba5206
      @barakakayeba5206 4 ปีที่แล้ว

      FUNDI Pasha unajua sana kaka kupendana MM na ww tunapendana ila Acha wivu MM na ww tusijegombana

  • @AsiaaAbdullaziz
    @AsiaaAbdullaziz 2 หลายเดือนก่อน

    Mampendaga sana huyu kk jamani nikiskiliza nyimbo zake nainjoi

  • @earthmankondo6923
    @earthmankondo6923 7 หลายเดือนก่อน +1

    2024 bado ngoma iko moto

  • @fredyanania1401
    @fredyanania1401 6 ปีที่แล้ว +7

    Dada kweli ulijua kupanga msitar sijui ulipotelea wp jaman bado watu. tunakuitaji

  • @georgedamas4415
    @georgedamas4415 4 ปีที่แล้ว +10

    2020 still 🔥

  • @magutumogeko6936
    @magutumogeko6936 8 หลายเดือนก่อน

    kama Mimi hapa jaman ngoma Kali sana hii

  • @luthermbio7581
    @luthermbio7581 4 ปีที่แล้ว +2

    Nani anacheki 2021 hii ngoma

  • @edwardmachaku1661
    @edwardmachaku1661 7 หลายเดือนก่อน +1

    May 2024,Ngoma bado yamoto

  • @givenmyula7270
    @givenmyula7270 4 ปีที่แล้ว +7

    2020 like

  • @alankimaro4464
    @alankimaro4464 5 ปีที่แล้ว +1

    Baby j unajua Sana rudi kwenye game jamani

  • @KaimuNgonyani-o9v
    @KaimuNgonyani-o9v 8 หลายเดือนก่อน +1

    2024❤❤ ludi jamani

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 4 ปีที่แล้ว

    Siokama sikuelewi jamni utamuuu km huuu sijui nn kimetokea angalia usiku......❣️❣️❣️❣️❣️

  • @allymtanga8127
    @allymtanga8127 4 ปีที่แล้ว +1

    Nami ni wa kwanza 2020 ? Nipe like!!!

  • @ndelemwalonde2145
    @ndelemwalonde2145 7 หลายเดือนก่อน

    Enzi hizo maisha magum jaman,huwez hata pata babe sweet

  • @amcmjuni8464
    @amcmjuni8464 3 ปีที่แล้ว +4

    Bonge la ngoma ninalirudia mara 10, zamani kulikua na vipaji bwana

  • @Lucas-gp2gu
    @Lucas-gp2gu 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoma Kali Sana wamekutana wote mafundi mashaili hatari tupu

  • @crissfaustine1041
    @crissfaustine1041 5 วันที่ผ่านมา

    December 18/2024 still sound as New banger

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 5 ปีที่แล้ว +2

    Pasha namkubali sana ila alikata tamaa mapema

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 2 ปีที่แล้ว

    Ndg yng pasha kaua xn hum🙌🙌☝

  • @magieebeauty1482
    @magieebeauty1482 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana pasha,,upo wapi jamañ

  • @witnessshadrack8442
    @witnessshadrack8442 2 ปีที่แล้ว +2

    bado naipenda mpaka leo 2022✌

  • @jonnieyutube
    @jonnieyutube 13 ปีที่แล้ว +3

    Baby J I cant help myself watching ur videos ur not just a star but a super star!

  • @IdrissiMohammed-tj7rg
    @IdrissiMohammed-tj7rg ปีที่แล้ว

    Bonge la ngoma 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kamangunassoro8221
    @kamangunassoro8221 29 วันที่ผ่านมา

    aiseeeh cha kale n dhahabu sichoki kuangalia hasa nikiwa nmetulizanaaaa

  • @HajiGogo
    @HajiGogo ปีที่แล้ว

    Jaman hii ngoma naikubali na haijachuja

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 ปีที่แล้ว +3

    Wasanii wakal na producers ngoma nikal sna

  • @fasmamohammed796
    @fasmamohammed796 10 ปีที่แล้ว +2

    Wow am crazy abt dis song keep it baby j

  • @ThedonClassic
    @ThedonClassic 3 หลายเดือนก่อน

    11/9/2024 hii nyimbo haijawahi chuja yani

  • @BestaJustin
    @BestaJustin 9 หลายเดือนก่อน

    24/3/2024 Ngoma nimeikumbuka
    2:07

  • @SamEvalist
    @SamEvalist ปีที่แล้ว

    Dah ngoma kali saaaaana💥💥💥💥💥

  • @ghannialove
    @ghannialove 14 ปีที่แล้ว +4

    i love this song pasha is soooo cute

  • @talltall5674
    @talltall5674 12 ปีที่แล้ว +3

    i love this song...i love baby j

    • @annamushy4305
      @annamushy4305 7 ปีที่แล้ว

      Calypso Talltall so nice

  • @salumsimai2728
    @salumsimai2728 4 ปีที่แล้ว +1

    bado hii nyimbo inaishi 2020

  • @sarahalfani3124
    @sarahalfani3124 5 ปีที่แล้ว +2

    Bado naitazama

  • @nahianahia2635
    @nahianahia2635 5 ปีที่แล้ว +1

    pasha noma sanaaa

  • @marthakadutu3012
    @marthakadutu3012 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwel mkali 2020

  • @KaimuNgonyani-o9v
    @KaimuNgonyani-o9v 8 หลายเดือนก่อน

    Pasha ndokawa mlevi kabisa

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kudaaadeki nakumbuka mbali sana mbwa mm nilijichkuliya toto zuri toto lakiarabu kwa wimbo huu dah kweli old is gold

  • @harunaabrahaman1679
    @harunaabrahaman1679 2 ปีที่แล้ว

    Hizi ndo zilikua ngoma bhana daah natamani mungu atarudishe ata miaka 15 nyuma

  • @SelemanNassoro-lz5ib
    @SelemanNassoro-lz5ib ปีที่แล้ว

    2020 December nani yupo pamoja na mim

  • @MudySaid-k9e
    @MudySaid-k9e 9 หลายเดือนก่อน

    Mwaka 2024 tarahe 8 mwez 2

  • @wakukayatz6959
    @wakukayatz6959 3 ปีที่แล้ว +2

    Nani yuko hapa 2021🔑

  • @fadhilngimilanga1828
    @fadhilngimilanga1828 3 ปีที่แล้ว

    2021 baada ya kucheki Eatv tarehe 8 April saa nne usiku tujuane hapa

  • @saidbahanuzi
    @saidbahanuzi ปีที่แล้ว +2

    Naomba like jamani Kazi nzuri 2023

  • @heavyweightpictures4284
    @heavyweightpictures4284 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 ..nani ako hapa

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 4 ปีที่แล้ว

    Aliye kuwa anamjua simba miaka hii aseme hahahahaha haya maisha bana

  • @FakihiNapunda
    @FakihiNapunda 5 ปีที่แล้ว +3

    2019 on the go.......💥💥💥💥

  • @chazkoillah2652
    @chazkoillah2652 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa kasepa na sauti yake

  • @flova7022
    @flova7022 3 ปีที่แล้ว +2

    G records was killing

  • @yohannajr9558
    @yohannajr9558 9 หลายเดือนก่อน

    6/march/2024 tujuane hapa ❤

  • @musamagomba3696
    @musamagomba3696 4 ปีที่แล้ว

    Mbali sana sio poa

  • @wazirimwanazuoni5567
    @wazirimwanazuoni5567 3 หลายเดือนก่อน

    Bonge la ngoma

  • @flova7022
    @flova7022 3 ปีที่แล้ว +1

    I was standard four, 2004when it was released

    • @pandabooming
      @pandabooming 2 ปีที่แล้ว

      Huu Wimbo Sio Wa 2004 Bro, Ni Kwenye 2009/2010

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว

      @@pandabooming wewe ndio hujui...kuingia plat form ndio 2008 ..but recording ni 2004 na tulifanya same studio na zangu

    • @pandabooming
      @pandabooming 2 ปีที่แล้ว

      @@flova7022 Mi Sizungumzii Platform Nazungumzia Wimbo Ulipotoka, Director Wa Hyo Video John Kallage 2004 Alikuwa Hajulikan Hata Alipo. Angalia Quality Ya Hyo Video, 2004 Hata Director Namba 1 Tz Adam Juma Alikuwa Hajafikia Quality Hyo. Labda Kama Unataka Kubishana Tu Ila Ukitulia Ukafuatilia Mzee Hyo Nyimbo Sio Ya 2004 Ht Pasha Alikuwa Hajatoka Na Ni Soo Yake 2004

  • @harithdeobi1189
    @harithdeobi1189 4 ปีที่แล้ว

    2020 💥 Km mupo 🖒 ni hiari tujuane!

  • @bebycandkim1631
    @bebycandkim1631 5 ปีที่แล้ว +1

    nakupenda baby j

  • @haniliciousbaby4987
    @haniliciousbaby4987 4 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka mbali sana na hili song

  • @tabufredmakunga8436
    @tabufredmakunga8436 4 ปีที่แล้ว +1

    Tujuane 2020👍👍👍👍

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma imetulia jaman

  • @Kelvin5782.
    @Kelvin5782. 2 ปีที่แล้ว +2

    Love it

  • @ramadhanimwenyasa2377
    @ramadhanimwenyasa2377 ปีที่แล้ว

    Nimeueudia leo 23/11/2023

  • @michaejp1
    @michaejp1 14 ปีที่แล้ว +2

    nice beat!

  • @flova7022
    @flova7022 3 ปีที่แล้ว

    2021 pasha kills..were are you baby j

  • @SarrahJosseph
    @SarrahJosseph 6 หลายเดือนก่อน

    Yan hii Ngoma naikubali mno