Today 14th April,maunda lost life on car accident happened last night,I will always cherish your moments, your vocal and songs you left us with Wil make us remember you until our end...rest easy My favorite singer
Always will be one of my favourite musicians of all time, Maunda. This song, 'Nataka Niwe Wako', no doubt your greatest hit yet, has been my tonic every night. I've lived with the pious hope that I would meet you someday. After last month, however, it's unpleasantly clear that it would never be. I'll cherish memories of you all my life, though. Always in my heart from Kenya. R.I.P
Ungekuwepo enzi hizi za ruby na akina nandy balaa lingekuwa zito. Best song kwangu kutoka kwa maunda zorro. Nyimbo inagusa moyo, tumemisi hizi ladha. Nov 2019.
The sweetest bongo flava song that i've ever heard in my entire life. This song makes my skin hairs pop up, the beat immerses in my soul and my entire body shivers. It never bores me ever. i remember back in the days when it came out used to replay it throughout the day. Asante Maunda Zorro kwa hili ji hit la kufa mtu. Come back and give us more pls!
One of the classic songs of all times in bongo flava. Mikono safi ya Allain Mapigo, na sauti kamili ya Maunda...Mungu akuweke pema bibie. Tupo kwenye foleni
Leo nimeamka nawewe maunda wangu mackin niangalia hizi nyimbo nawaza hata hukutegemea kama utaondoka2022 hakika mbinu za Mungu hazichunguziki pumzika kwa amani watoto wako mackin🙏🙏😭😭😭❤️❤️
Daaa pole sana mrembo uliutumia wakati vibaya uliipenda dunia kuliko Mungu.Mungu akuhurumumie sana nakuonea huruma sana pole ulimkataa Yesu enzi za uhai wako leo sijui utajitetea na nini
Kama siku tano kabla ya kifo chako nilikua naskiliza nyimbo uliyoimba Na Squeezer. Nimetoa chozi kusikia habari ya kifo chako. Daima nitakukumbuka Maunda Zorro. Nakupenda sana Na hii ni nyimbo yako ninayoipenda kuliko zote. Pumzika kwa amani Dada angu. You are a One of the best out there. You are a legendary musican. 11/February 1986-14/April/2022
so much love with this song it reminds me of my first date, my gf used to call me in the middle of the night and tell me to tune into the TV when this song played at night @ 5/4/2018
i woke up just with the melodies of this song,i even didn't know the Singer n the name of the song but i used to love thi Song back when....then on Comments i noted she passed on..May her soul rest in eternal Peace,
Rest in peace Maunda Zorro. 2024 Now I’m still listening this song
Yaani hii nyimbo inavyoanza tu unapata feelings kabs 🔥🔥,,,,, hongera kwa maunda zoro,,,
2021 tukusanyike hapa
Today 14th April,maunda lost life on car accident happened last night,I will always cherish your moments, your vocal and songs you left us with Wil make us remember you until our end...rest easy My favorite singer
yah will surely miss her...luv da song
Rest in power dear
Kama unaangalia wimbo huu baada ya kifo Cha dada huyu like hapa 😔😔😔😔
Ata mm nimekuja uku nilipo ckia mcb
Mimi ni meneja wa shishi baby, mungu ashukuliwe kwa kila jambo 😭😭😭😭
More blessings kaka
Asee acha kaka,😭
Beautiful soul is resting in peace.This song will Iive forever.❤
R.I.P Maunda Zorro
Aliekuja kuangalia huu wimbo baada ya kusikia Maunda amefariki usiku wa kuamkia leo tujuane!
Pamoja (Rip)
Mimi
so pain jamani
R.I.P Maunda
👋
I was dating a Tanzanian girl and on our first date she played me this song.. went head over heels. Big ups from kenya
DO¥¥¥8'qqó7u
J
As a Tanzanian man I can tell she is a wife material just by that. Achana na hawa wa shaimbembe
@@Epimack_s 😂😂😂
How is it now. 😭😭 rest in peace Maunda
Rip maunda zoro
Kama bado mpenzi wa nyimbo hii gonna like 😢
Hakika Maunda hapa ulifanya kazi nzuri hongera,,km yupo anaeangalia na kusikiliza hili song saizi saa 7 usiku km mm gonga like tujuane!
2021
2022 baad yakifo
This is one of the best songs I have ever had.....Rest In Peace Maunda Zorro!!!!!
Jamani Maunda Zorro R.I.P 2022 nitabaki shabiki wa nyimbo zako
Always will be one of my favourite musicians of all time, Maunda. This song, 'Nataka Niwe Wako', no doubt your greatest hit yet, has been my tonic every night. I've lived with the pious hope that I would meet you someday. After last month, however, it's unpleasantly clear that it would never be. I'll cherish memories of you all my life, though. Always in my heart from Kenya. R.I.P
Was my favourite song back in the days R.I.P maunda
Rest in eternal peace Maunda Zoro...u will always be remembered through your music
Daaaaah yn cn ht cha kusema mn dhairi wimbo umejieleza kwahisia kbsa ,yn mwanamke makini upndwa na mwanaume Aliyemakini always❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Much love from Kenya 😘😘😘the beat just fuckin cool,the sweetest beat I've heard in 2019,big love
One of my best music production and artist ever MAUNDA HELEN ZORRO R.I.P
Hizi ndio nyimbo sijawai kutoka hapa adi sasa 2019 itabaki kuwa nyimbo yangu pendwa daima
Hata mm kwakweli, naipenda hii nyimbo acha tu 💞💞💞💞💞💞💞♥️♥️♥️
Asiah Mariam true
Rest in peace our dear angel Maunda
Tanzania will truly miss you 🇹🇿😔🙏
Unique voices and pure talent. May her soul Rest In Peace
Rest is Peace Dada. Pole kwa familia. Utaishi daima kwenye masikio yetu
waaah nimeamini kuna muziki na kuna mziki mzuri❤️🇰🇪 2021/10/27 Alhamisi saa nane dakika arobaini
RIP Maunda Zorro,,,, You will always be alive in your beautiful music,,,,
Rest in eternal peace Maunda. You'll always be remembered🙏🏽
She's late?
@@RBA3569 Yea
@@Thekidp3702 that’s sad to hear. Love this song. What happened to her?
@@kudason She was sick 😔😔😔
No she wasn't sick. She was involved in an accident
Ungekuwepo enzi hizi za ruby na akina nandy balaa lingekuwa zito. Best song kwangu kutoka kwa maunda zorro. Nyimbo inagusa moyo, tumemisi hizi ladha. Nov 2019.
Maunda nyimbo zako zote hiii ndo ninayo ukubali wale wenzangu na mie gonga like tujuane
Am listening in 2021 the best song ever, old is gold
Hii miziki imepotea inabidi tuifate hukuhuku
Daaaah Yaani Tanzania Tunapoteza Wasanii Wazuri 😓😥😥😭😭 Pumzika Kwa Amani Mrembo
daahhh 😭😭😭
Am crying for this beautiful soul💔
your songs will always remain at our heart...rest in peace legend 😢
I don't get enough of her song! Rest in peace dear mau😓😓
Yess... My favourite... Anaemjua Maunda msihii aanze kuimba tena! So beautiful
R.I.P Maunda zorro... We will always remember you.... Listening this 2022, April the day of your death😭😭
Dah inauma Sana 😭😭😭😭😭😭😭
ngoma nzur Sana nimekuja kuichek baada ya kufarik dunia pole Sana wafiwa
Ananikumbusha Bali sana jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭
Innalillah wa inna ilayhi rajun mungu ailazé roho yako mahali pema peponi aamiine 🙏🙏🙏🙏
The sweetest bongo flava song that i've ever heard in my entire life. This song makes my skin hairs pop up, the beat immerses in my soul and my entire body shivers. It never bores me ever. i remember back in the days when it came out used to replay it throughout the day.
Asante Maunda Zorro kwa hili ji hit la kufa mtu. Come back and give us more pls!
She is not around this time.REST IN ETERNAL PEACE MAUNDA
May her soul rest in heaven
It will remain as hit song forever and always
Video za kutomban
R. l p
What a loss ,such a legendary voice.R.I.P Maunda
Rest in peace Maunda....I listen to this song in 2012 and it was amazing ..still feeling the same this year!
Such a classic . 2018 Gonga like twende Sawa
daa nice song inanikumbusha mbali saana kuna kituo cha redio walikuwa wanapenda kuipga saa kumi na mmoja asbh
Rest Easy Maunda your music will live forever in our hearts• 💔
Pumzika kwaamani maunda wangu 😭😭😭 uliimba nyimbo ilio ishi hata baada yakupumzika kwa muda Mungu akutie kauli thabiti AMEN 😭🙏
One of the classic songs of all times in bongo flava. Mikono safi ya Allain Mapigo, na sauti kamili ya Maunda...Mungu akuweke pema bibie. Tupo kwenye foleni
I can't get enough of this song, it's my favorite of all the time tangu umeachiwa kwa hewa kwa mara ya kwanza till now!
Watching this in March 2019😍
Ni kwel ujaongopa na isitoshe nilibaatika kukaa mtaa 1 na maunda zoro nilikuwa namkubali xana hasa kwa nyimbo hii
Nyimbo nzur, namkumbuka maunda kila cku! Cjui yuko wapi huyu dada
She passed away last night 14/04/22😭😭😭
Rest easy Maunda Zorro. Thank you for ur service, real appreciate.
Tutakukumbuka daima milele Maunda Zorro.........REST IN PEACE.
Leo nimeamka nawewe maunda wangu mackin niangalia hizi nyimbo nawaza hata hukutegemea kama utaondoka2022 hakika mbinu za Mungu hazichunguziki pumzika kwa amani watoto wako mackin🙏🙏😭😭😭❤️❤️
lovelyyyyyyy Maunda Zorro hongera sana kwa wimbo wako muzuri mutamu sana basi
Rest Easy Maunda, this song reminds me of great memories I had in those years
I used to put it on replays wayback in 2007, very sweet melody with fine lyrics! Mpaka leo sijauchoka nazidi kuuona mtamu tu
Walokuja kuangalia baada ya kifo cha maunda zorro tujuane 😭😭
😭😭This beautiful soul ameenda kupumzika kweli kaburi,n tajiri
Maunda zorro mungu akupunguzie adhabu ya kaburi co Kwa nyimbo hzi tamu ulizotuachia
R.I.P MAUNDA ZORO😭😭😭😭14/04/22 a date to remember mama😭😭😭
Daaa pole sana mrembo uliutumia wakati vibaya uliipenda dunia kuliko Mungu.Mungu akuhurumumie sana nakuonea huruma sana pole ulimkataa Yesu enzi za uhai wako leo sijui utajitetea na nini
As if u know where u'll head when u die,,,,kazi ya Mungu Muachie Mungu mwenyewe
Kama siku tano kabla ya kifo chako nilikua naskiliza nyimbo uliyoimba Na Squeezer. Nimetoa chozi kusikia habari ya kifo chako. Daima nitakukumbuka Maunda Zorro. Nakupenda sana Na hii ni nyimbo yako ninayoipenda kuliko zote. Pumzika kwa amani Dada angu. You are a One of the best out there. You are a legendary musican. 11/February 1986-14/April/2022
Rest In Peace Maunda...you gave us the best moments with your sweet voice, go sing with the angels girl💔💔💔
Nimerudi tena hapa 2023 kwa mdogo wangu maunda zorro. Ulale salama Iko siku tutaonana tena mungu ni mwema sana😭😭😭
Rip ulinikonga kwa nyimbo hizi sasa umetuacha maunda asante.
Pumzika kwa amani Queen maunda zoro 😍🙏🏼😭😭😭 tutakukumbuka daima milele mbele yetu nyuma yako sister 🙏🏼😍😍
Duuuh ..R.I.P maunda tuendlea kusikiliz nymb zako
R.I.P Maunda Zorro, You Were Indeed A Talented Bongo Artiste.
Anaye sikiliza huu wimbo 2023.tujuane hpa 😥.....R.I.P Maunda😔... you'll always remain in our hearts 😭💔
so much love with this song it reminds me of my first date, my gf used to call me in the middle of the night and tell me to tune into the TV when this song played at night @ 5/4/2018
Hahahahahaha. Nimekusoma.
Pumzika kwa amani maundazoro tutakukumbuka daima
dah nyie dunia hii maunda dah Sasa kwann umetuacha wakati bado tunakupenda jamn dah
🙏🙏 Asante dada pumzika salama we Missing you forever ❤
Mungu akulaze mahali pema pepon 🙏🙏🙏 maunda zorro
2021 from Kenya 🇰🇪🇰🇪♥️ we love tz music iko juu tu Sana tumeirank
Rip maunda 😢😢😢
Kipindi hiki nimemfia mtoto mmoja wa Mkwajuni Mbeya....
Kwa sasa ni mke wangu na watoto Lukuki.
#RIPMaunda
Hatal kutoka 2005 mpaka
Leo 2023 bado ngoma kali
R - I- P dada yetu kipenzi
tutakukuta kwa uwezo wa
maulana😭 aame
Mbele yko nyuma yetu dada maunda
Upumzike kwa amani.Amina
#R.I.P
#MAUNDAZORO
Nani amekuja hapa baada ya taarifa za kifo cha MAUNDA ZORO R.I.P
Pumzika kwa Amani dada yetu umetuachia burudani tunamis sana uwepo wako😭 mungu akusamehe makosa yako🙏
Rest farewell Maunda🙏😢 we celebrate your Legacy
Beautiful song...brought lots of memories
It's paining from Kenya ....rest easy queen
It's 2022 and still the heat song, who's listening 🎧
R .i.p maunda 😭😭😭😭
Rip sis...
Thank you Maunda. Tangulia salama dada.
Rest In Peace Queen
Kama unacheki hili goma 2021 ..wew ni legend 🔥 🔥
Rip dada,, baada ya kifo chako hakuna alieziba pengo lako kwa wasnii wa kike,, ulikuwa wewe, shaa na ray c baaasi..
Tutakukumbuka daima ❤❤
very nice video amejitahidi.. tunasonga mbele tanzania jamani.
Nimeumia Sana jaman Maunda. Mungu akupe pumziko la milele.
Kwa kweli kifo ni fumbo mungu ailaze rohoo yako pema peponi🤲🤲
Lala salama my dada nyimbo zako daima nitaendelea kuzipenda😭😭😭😭
fundi aliyepimzika na ufund wakee 🔥🔥 2024
Dada arikuwa anajua kweli kuimba hii nyimbo huwa napenda kuiangaria kila wakati napenda sana kifo hakuna uluma pumzika kwa amani dada
Kufa ukumbikwe dahhh alivyokua hai niliona ngoma ya kawaida sana ila now bonge la hit r.i.p maunda we love ❤️ u forever💯
nataka niwe wako nifanye niwe wako so nice song.........
RIP maunda
kristo atakufufua siku ya mwisho amen
R I P Maunda Zorro. A legend indeed.
😪😪😪 nakumbuka nilikua aipenda naiimba hii nyimbo kila saa ilikua 2009 ilikua ya motooo sanaa....Rest in peace Maunda
i woke up just with the melodies of this song,i even didn't know the Singer n the name of the song but i used to love thi Song back when....then on Comments i noted she passed on..May her soul rest in eternal Peace,
Rest easy maunda 14/10/2024..8:58pm naisikiliza sauti yako tamu nikiwa 🇸🇦
R.I.P maunda Zoro 😢🙏
😥😥 #Rip
Inauma Sana Dah 😭😭😭😭😭😭😭
R.I.P MAUNDA ZORRO😭😭😭😭🥺🥺🥺🥺
2020 Kenya 🇰🇪🇰🇪 tuko ndani ❤️❤️❤️❤️
Kristu atakufufua siku ya mwisho amen
Napenda sana nyimbo za uyu dada pumzika kwa amani dah
Sijui lini itafika hisia zangu we kuzitambua... Sijui lini itakuwa... Vile mimi ninavyoiota... Mahn when a woman loves she loves for real...